Mwalusambo International Ministry
Mwalusambo International Ministry
  • 60
  • 51 534
Rediscovering the Gospel Truth | Kingdom Philosophy | Sunday Online Service 3 | September 29, 2024
Karibu kwenye Mfululizo wa Vipindi live na Dr.Mwalusambo kila Jumapili na katikati ya wiki kwaajili ya Maswali na Majibu.
Kujiunga kwenye group kwaajili ya kupata Maelekezo na Ratiba za Ibada
Bonyeza hapa Whatsap link kujiunga:
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GrEaugjidby4U1eaWu0loo
#drmwalusambo
#kingdomphilosophy
#gospelmessage
#gospel
#bible
#bibleverses
#kingdomphilosophy
#biblestudy
มุมมอง: 113

วีดีโอ

TURUDI KWENYE KWELI NA DR MWALUSAMBO II PART 2 #drmwalusambo #rediscoveringthegospeltuth
มุมมอง 9412 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Karibu Kwenye Mfululizo huu wa Mafundisho ya siri za Ufalme na Dr.Mwalusambo. Welcome to this series of teachings on the secrets of the Kingdom by Dr. Mwalusambo. #kingdomphilosophy #rediscoveringthegospeltruth #gospel #gospelbible #gospeltruth #truth #tranding #gospeltrend #gospelculture #gospelmessage #gospelmusic #christianbible #motivation #biblestudy #injili #injiliyakristo #seminar #semin...
TURUDI KWENYE KWELI NA DR MWALUSAMBO II PART 1 #drmwalusambo #rediscoveringthegospeltuth
มุมมอง 27416 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Karibu Kwenye Mfululizo huu wa Mafundisho ya siri za Ufalme na Dr.Mwalusambo. Welcome to this series of teachings on the secrets of the Kingdom by Dr. Mwalusambo. #kingdomphilosophy #rediscoveringthegospeltruth #gospel #gospelbible #gospeltruth #truth #tranding #gospeltrend #gospelculture #gospelmessage #gospelmusic #christianbible #motivation #biblestudy #injili #injiliyakristo #seminar #semin...
MASWALI TATA YAJIBIWA NA DR.MWALUSAMBO - PART 1 #kingdomphilosophy # #biblestudy
มุมมอง 17619 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Rediscovering the Gospel Truth | Kingdom Philosophy | Wednesday Service 3 | September 25, 2024 Unaposoma Biblia kuna maeneo unaweza usiyaelewa vizuri, kwahiyo ni vyema upate msaada wa kiuelewa. Hapa tuna baadhi ya maswali ambayo Dr.Mwalusambo anaenda kuyajibu #kingdomphilosophy #gospel #gospelmessage #gospel #bible #biblestudy #musicvideo #motivation #tanzania #kenya #africa #africachurch #usa
Rediscovering the Gospel Truth | Kingdom Philosophy | Sunday Online Service 2 | September 15, 2024
มุมมอง 134วันที่ผ่านมา
Rediscovering the Gospel Truth | Kingdom Philosophy | Sunday Online Service 2 | September 15, 2024
Rediscovering the Gospel Truth | Kingdom Philosophy | Sunday Online Service 1 | September 15, 2024
มุมมอง 19214 วันที่ผ่านมา
Rediscovering the Gospel Truth | Kingdom Philosophy | Sunday Online Service 1 | September 15, 2024
MUNGU NI MMOJA TU. #kingdomphilosophy
มุมมอง 48621 วันที่ผ่านมา
MUNGU NI MMOJA TU. #kingdomphilosophy
MAKOSA YA KIUFUNDI NDANI YA MAFUNDISHO YA KIKRISTO NA DR MWALUSAMBO
มุมมอง 16128 วันที่ผ่านมา
MAKOSA YA KIUFUNDI NDANI YA MAFUNDISHO YA KIKRISTO NA DR MWALUSAMBO
UTAMBULISHO WA HUDUMA YA MWALUSAMBO INTERNATIONAL MINISTRY(MIM) NA DR MWALUSAMBO #kingdomphilosophy
มุมมอง 145หลายเดือนก่อน
UTAMBULISHO WA HUDUMA YA MWALUSAMBO INTERNATIONAL MINISTRY(MIM) NA DR MWALUSAMBO #kingdomphilosophy
SOMO: KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA SIO UNABII NA DR MWALUSAMBO
มุมมอง 5502 หลายเดือนก่อน
SOMO: KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA SIO UNABII NA DR MWALUSAMBO
MASWALI TATA YA WAKRISTO YAJIBIWA NA DR.MWALUSMBO
มุมมอง 1.2K3 หลายเดือนก่อน
MASWALI TATA YA WAKRISTO YAJIBIWA NA DR.MWALUSMBO
WOKOVU UMEKUWA KAMA MZIGO MZITO KWA WAKRISTO NA DR.MWALUSAMBO
มุมมอง 2074 หลายเดือนก่อน
WOKOVU UMEKUWA KAMA MZIGO MZITO KWA WAKRISTO NA DR.MWALUSAMBO
KANUNI ZA MANABII WAKUBWA NA WADOGO NA DR.MWALUSAMBO // MBEYA - PART 2
มุมมอง 4484 หลายเดือนก่อน
KANUNI ZA MANABII WAKUBWA NA WADOGO NA DR.MWALUSAMBO // MBEYA - PART 2
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 2 - Mtiririko wa Habari | Dr. Zephaniah Mwalusambo
มุมมอง 3744 หลายเดือนก่อน
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 2 - Mtiririko wa Habari | Dr. Zephaniah Mwalusambo
UNAHITAJI KUIELEWA LUGHA YA MUNGU ILI UFANIKIWE NA DR.MWALUSAMBO // MBEYA - PART 1
มุมมอง 6475 หลายเดือนก่อน
UNAHITAJI KUIELEWA LUGHA YA MUNGU ILI UFANIKIWE NA DR.MWALUSAMBO // MBEYA - PART 1
JE, MJI WA MUNGU UKO WAPI? NA DR MWALUSAMBO
มุมมอง 8285 หลายเดือนก่อน
JE, MJI WA MUNGU UKO WAPI? NA DR MWALUSAMBO
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 1 - Mtiririko wa Habari | Dr. Zephaniah Mwalusambo
มุมมอง 5315 หลายเดือนก่อน
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 1 - Mtiririko wa Habari | Dr. Zephaniah Mwalusambo
UKWELI USIOUJUA KUHUSU KITABU CHA UFUNUO NA DR MWALUSAMBO// MBEYA - PART 3
มุมมอง 1.5K5 หลายเดือนก่อน
UKWELI USIOUJUA KUHUSU KITABU CHA UFUNUO NA DR MWALUSAMBO// MBEYA - PART 3
FAHAMU KOSA LA KIUFUNDI KWA WATUMISHI WENGI WANAOFUNDISHA KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA
มุมมอง 2436 หลายเดือนก่อน
FAHAMU KOSA LA KIUFUNDI KWA WATUMISHI WENGI WANAOFUNDISHA KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA
LIVE MASWALI TATA YAJIBIWA NA DR MWALUSAMBO//ACCESS FM MBEYA TANZANIA
มุมมอง 4566 หลายเดือนก่อน
LIVE MASWALI TATA YAJIBIWA NA DR MWALUSAMBO//ACCESS FM MBEYA TANZANIA
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 16 - Kucheza Mbele za Bwana | Dr. Zephaniah Mwalusambo
มุมมอง 4486 หลายเดือนก่อน
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 16 - Kucheza Mbele za Bwana | Dr. Zephaniah Mwalusambo
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 15-Mafundisho yanayowatoa watu katika Imani | Dr. Zephaniah Mwalusambo
มุมมอง 4497 หลายเดือนก่อน
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 15-Mafundisho yanayowatoa watu katika Imani | Dr. Zephaniah Mwalusambo
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 14 - Kanuni ya lugha na misamiati ya Biblia | Dr. Zephaniah Mwalusambo
มุมมอง 3327 หลายเดือนก่อน
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 14 - Kanuni ya lugha na misamiati ya Biblia | Dr. Zephaniah Mwalusambo
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 13 - Mia na arobaini na nne elfu | Dr. Zephaniah Mwalusambo
มุมมอง 5589 หลายเดือนก่อน
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 13 - Mia na arobaini na nne elfu | Dr. Zephaniah Mwalusambo
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 12 - Vitabu vya hukumu Mbinguni | Dr. Zephaniah Mwalusambo
มุมมอง 35710 หลายเดือนก่อน
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 12 - Vitabu vya hukumu Mbinguni | Dr. Zephaniah Mwalusambo
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 11- Kukifungua kitabu kuzivunja Muhuri zake | Dr. Zephaniah Mwalusambo
มุมมอง 40310 หลายเดือนก่อน
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 11- Kukifungua kitabu kuzivunja Muhuri zake | Dr. Zephaniah Mwalusambo
HIZI HAPA KANUNI ZA KUSOMA NA KUIELEWA BIBLIA
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
HIZI HAPA KANUNI ZA KUSOMA NA KUIELEWA BIBLIA
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 10 - Wazee Ishirini na nne | Dr. Zephaniah Mwalusambo
มุมมอง 546ปีที่แล้ว
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 10 - Wazee Ishirini na nne | Dr. Zephaniah Mwalusambo
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 9 - Wenye uhai wanne na maserafi | Dr. Zephaniah Mwalusambo
มุมมอง 576ปีที่แล้ว
Kuifahamu Lugha ya Mungu Part 9 - Wenye uhai wanne na maserafi | Dr. Zephaniah Mwalusambo
MAFUNDISHO SAHIHI KUHUSU KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
MAFUNDISHO SAHIHI KUHUSU KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA

ความคิดเห็น

  • @deussimbeye9531
    @deussimbeye9531 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ameni baba tunakufatilia toka sumbawanga

  • @deussimbeye9531
    @deussimbeye9531 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina baba mungu akuongezee miaka mingi

  • @aloysmrimi3250
    @aloysmrimi3250 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Baba si mwana,mwana si Roho mtakatifu,ila baba ni Mungu,mwana ni Mungu huyohuyo na pia Roho mtakatifu ni Mungu huyohuyo. Hizo nafsi tatu Mungu moja ,ni Mungu sliyejifunua kwa nyakati tofauti na kwa kusudi tofauti.

  • @grantngonyani4728
    @grantngonyani4728 วันที่ผ่านมา

    Asante Baba

  • @NICKSONNGATA
    @NICKSONNGATA วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana mchungaji

  • @queengerald3546
    @queengerald3546 2 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @MalikiaRecho
    @MalikiaRecho 3 วันที่ผ่านมา

    Amina😊

  • @bishoparronmgaya1749
    @bishoparronmgaya1749 6 วันที่ผ่านมา

    Sio sahihi unamaana alipojifunua kama mwana akasulubiwa mbinguni hakuwepo??? Hayo mafundisho yako ni uzushi.

  • @alimasiabongyo1266
    @alimasiabongyo1266 6 วันที่ผ่านมา

    Ameeeeeeen

  • @PapyKakinga
    @PapyKakinga 6 วันที่ผ่านมา

    Amen. Mungu akubariki

  • @rashidibitendo148
    @rashidibitendo148 7 วันที่ผ่านมา

    Tuna shukuru sana Mwalimu Mwalusambo kwa kujibu maswali yetu ,na kuendelea kutufafanulia kitabu cha ufunuo na jinsi yakuelewa biblia . Mungu wetu YESU KRISTO azidi kukujaza hekima, ufahamu na maarifa ya kumjua sana na kutufundisha sisi watoto wake tulio fichwa mambo haya kwa muda mrefu katika nia mbaya ya kulipotosha kanisa la YESU KRISTO. Kama alivyo sema YESU KRISTO katika Mt 10:26 "Basi, msiwaogope, kwa maana hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa: wala lililofichwa, ambalo halitajulikana."

  • @jeremiahevodius925
    @jeremiahevodius925 7 วันที่ผ่านมา

    Nikweli ndoa ni yawawili walio kubaliana kanisan msikitin tunaenda kutanganza kwamba sasa tunaish pamoja

  • @HusseinNkuna
    @HusseinNkuna 7 วันที่ผ่านมา

    proud to be Muslim 😂😂

  • @grantngonyani4728
    @grantngonyani4728 8 วันที่ผ่านมา

    Amen Dr. Mungu akubariki sana.

  • @nicholaschacha8239
    @nicholaschacha8239 8 วันที่ผ่านมา

    Majibu mazuri sana

  • @sanykyando5713
    @sanykyando5713 9 วันที่ผ่านมา

    Amina baba hakika nimeisikiliza nimejikuta nacheka mwenyewe kwa furaha kubwa Ufahamu wangu unazidi kupanuka ubarikiwe Sana baba Mungu azidi kukutunza zaidi

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk 11 วันที่ผ่านมา

    Imeandikwa wapi nahao waanzirishi kwamba Mungu ni Mwenye Nafsi tatu.?

  • @BonifaceMalley
    @BonifaceMalley 11 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, masomo yako yanahitaji umakini sana

  • @saidimurisa4600
    @saidimurisa4600 11 วันที่ผ่านมา

    Uongo huo utajaribu kuelezea hadi kiama Mungu hana nafsi tatu utajua ile saa unaingia kaburini we biga mkwanja tu baba ela mbele kubaya

  • @aloysmrimi3250
    @aloysmrimi3250 12 วันที่ผ่านมา

    Hakuna dosari mtumishi. Kumbuka baba si mwana,mwana si Roho,Roho si baba. Ila,baba ni Mungu,mwana ni Mungu na Roho ni Mungu. Wote asili Yao ni Mungu moja.Na kwa asili Mungu ni pendo,ndo maana nafsi hizi tatu zinakaa pamoja kama pendo. Kusema nafasi tatu,haimaanishi Mungu watatu.

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 12 วันที่ผ่านมา

    Kwani wapi biblia imesema Mungu ana nafsi tatu?.... Nafsi ni fundisho la kiuzushi tu ambalo halina msingi wa Moja kwa moja kimaandiko ya kibiblia.

  • @GraceJovit
    @GraceJovit 12 วันที่ผ่านมา

    Tatizo luhga,hii imeeleweka zaidi

  • @isayapaulo9211
    @isayapaulo9211 13 วันที่ผ่านมา

    Yesu Kristo akubariki umesema ukweli

    • @RastaSuma
      @RastaSuma 13 วันที่ผ่านมา

      Anayestahiki kumbariki mtu ni Mwenyenzi Mungu tu na sii kiumbe ,kwani yesu ni Nabii wa mungu aliyetumwa kuwafundisha yaliyo mapenzi ya mungu naye sii mungu wala roho mtakatifu sii mungu, hivyo mungu hafanani na chochote alichokiumba.

  • @grantngonyani4728
    @grantngonyani4728 14 วันที่ผ่านมา

    Amina Baba

  • @jifunzeleo.8610
    @jifunzeleo.8610 15 วันที่ผ่านมา

    Amen amen....barikiwa saana

  • @YonaLunyili
    @YonaLunyili 17 วันที่ผ่านมา

    Ufunuo 12:,Vita mbinguni, shetani kutupwa

  • @YONAMBWAGA-xx8ih
    @YONAMBWAGA-xx8ih 18 วันที่ผ่านมา

    Tunakuomba baba yetu, Yesu azidi kukupa mpenyo.

  • @Chr196
    @Chr196 23 วันที่ผ่านมา

    Amina barikiwa mtumishi

  • @moriasimingate6665
    @moriasimingate6665 24 วันที่ผ่านมา

  • @LosotwaMichael
    @LosotwaMichael 24 วันที่ผ่านมา

    We're Nenda darasani Elimu yako katika maandiko bado sana

  • @rupiangwigulila2987
    @rupiangwigulila2987 25 วันที่ผ่านมา

    Naomba nifahamu maana ya maandiko haya Matakatifu kama yalivyo andikwa. 1, Zaburi 23:1-6 2. Zaburi 24 yote

    • @mwalusambointernationalmin9065
      @mwalusambointernationalmin9065 16 วันที่ผ่านมา

      Zaburi 23:1-4; ni maneno yaliyowazi sana, kuonyesha jinsi ambavyo Mungu alivyo mchungaji wa maisha yetu; kila aliye wa Mungu analijua hili. Msitari wa 5; kuandaa meza, tunajua maana ya kuandaa meza ni kuandaa chakula. Mungu anatuandalia chakula cha kiroho ambacho ni Neno la Mungu. Mafuta ya Mungu anayotupaka ni Baraka za Roho Mtakatifu; kujaa kwa kikombe na kufurika ni kukaa kwa Baraka. Tena, kikanuni, kila palipo na chakula, pia kuna maji; kila palipo na kula, pia kuna kunywa; kwa hiyo, kuandaa meza, maana yake ni pamoja na maji; vyote viwili, yaani chakula na maji, ni Neno la Mungu. Sura ya 24: inazungumza kupanda katika mlima wa Bwana, ikiwa na maana mtu anayemfikia Bwana. Tunapomtafuta Bwana, tunapanda mlima wa Bwana; lakini lazima tuwe ni watu wanaoishi maisha ya utakatifu. Hicho ndicho kizazi cha Wana wa Mungu, wamtafutao.

  • @gwakisamwakilema
    @gwakisamwakilema 28 วันที่ผ่านมา

    Elimu kubwa sana...

  • @Chr196
    @Chr196 28 วันที่ผ่านมา

    Amina barikiwa mtumishi

  • @albert_Victor
    @albert_Victor 28 วันที่ผ่านมา

    Shule🎯

  • @costantinemihayo
    @costantinemihayo 28 วันที่ผ่านมา

    Nakuelewa sana Mtumishi

  • @eng.godwinjsamboho973
    @eng.godwinjsamboho973 29 วันที่ผ่านมา

    ufunuo wa yohana 20:11 kisha nikaona kiti cha enzi, kikubwa, cheupe, na yeye akiteye juu yake; (naomba ufafanuzi hapa huyu nabii aliona tofauti na unachofundisha?) naomba msaada hapo

  • @bennymkubwa6196
    @bennymkubwa6196 หลายเดือนก่อน

    Umenifanya nisome zaidi maana mh!!??

  • @leganluvanda2173
    @leganluvanda2173 หลายเดือนก่อน

    ❤ ubarikiwe sana Baba ASKOFU MKUU mstaafu

  • @j3st660
    @j3st660 หลายเดือนก่อน

    Mbona twafundishwa yesu alikufa akafufuka akazikwa na sk ya tatu akafufuka akapaa mbinguni jamani mpaka kuja wengine kuelewa nikazi ninavyo tazamaga juu 😅😅 sijui namwangaliaga nani mmmmh yerusalemu sijui niitazamaje kiroho kwakweli mungu nisaidie jicho la tatu

    • @ezekmusic2578
      @ezekmusic2578 7 วันที่ผ่านมา

      Hahahah ,,, kazi tunayo. Yale tuliyolishwa awali yametuharibu😂

  • @azimiompobota
    @azimiompobota หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana baba

  • @deussimbeye9531
    @deussimbeye9531 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @LoshaLosha-z9s
    @LoshaLosha-z9s หลายเดือนก่อน

    Walio weng wametoa maoni yenye mashiko na maswali ndani yake lakin ndugu zetu wengine wametiwa upofu macho yao maana wanapenda kusomewa na kuhadithiwa than kutafuta ukwel wa biblia wao wenyew# binafsi nabii isaya alisema wachungaj kama hawa kwao hapana asubuh maana wananena yaliyo matakwa yao ...kwanza haelewek anachofundisha kama kuna mtu amemuelewa anieleweshe

  • @TabithaMalisa
    @TabithaMalisa หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @jifunzeleo.8610
    @jifunzeleo.8610 หลายเดือนก่อน

    Typo pamoja saaana.

  • @jifunzeleo.8610
    @jifunzeleo.8610 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @albert_Victor
    @albert_Victor หลายเดือนก่อน

    Be blessed 🙏

  • @BankuwihaNorobeti
    @BankuwihaNorobeti หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana Mtu WA MUNGU

  • @NanahJadili
    @NanahJadili หลายเดือนก่อน

    Mtuuu Ana unanganisha unganisha vifunguu ili awa changanyee zaidiii hao mashaid wawilii watakuja ndio na Wata uwawa na baada ya ya siku tat nanusu Wata uwaaa jamn angalien msije mkajichanganyyaaa

  • @NanahJadili
    @NanahJadili หลายเดือนก่อน

    Ila wew mchungaji ni muongo saan wew na nyie mnao msikilizaa msikubali kusimewa jufunzeni kusoma na kuelewa mtu Ana kuchanganyia vifunguu vifungu ili atengenezee maana yake mwenyew jiangalien msije mkarubuniwaa

  • @CHARLESMAJALIWA-b3h
    @CHARLESMAJALIWA-b3h หลายเดือนก่อน

    3 Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati u karibu. Ufunuo wa Yohana 1:3