Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu umenifanya nipende mahubiri Yako make namuona Mungu akinishughulikia Kila nisikilizapo mahubiri yako.endelea kunyenyekea baba, Mungu Yuko pamoja na wewe
Hawa ndio watumishi wakujiambatanisha nao. Sio hao wafanyabiashara wa mafuta na maji ya kuzimu ambao ukiwafatilia hupati hata neno la Mungu kwao. Wamejawa na kuelezea miujiza tu itokanayo na mafuta yao na maji yao. Pastor nakuombea sana Roho Mtakatifu azidi kukutumia mnoo katika kulifunua neno la Mungu. Amen.
Baba unafundisha kwa hekima sana na upole, itoshe tu kusema nakuelewa mnoo na unafundisha unaeleweka sana, mungu azidi kukuongezea umri mrefu na hekima zaidi 🙏🙏🙏🙏
Emen amen nimebarikiwa sana sana nimeenda kanisani muda mrefu sijai okoka lakini tangu nikusikize sai nimeoko na nimebadilish a mienendo zangu kupitia wewe mtumishi ubarikiwe sana
Toka nianze kukufatisha ktk mafundisho yako Aiseee, nimezidi kufunguliwa na Nimekuwa mtu mwingine haswa ktk Imani... Mungu Akubariki uzidi kutushibisha kiroho na kutufunguwa na kulijuwa neno ipasavyo, barikiwa sanaaaaa 🙏🙏🙏
Ameeen nabarikiwa sana mtumishi
Na barikiwa Sana na neno lako mchungaji ila sauti iko chini Sana. Wenye mitambo tafadhali angalieni hilo
Amen. Nabarikiwa saana na mafundisho yanayopitia mtumishi wa Mungu George.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu umenifanya nipende mahubiri Yako make namuona Mungu akinishughulikia Kila nisikilizapo mahubiri yako.endelea kunyenyekea baba, Mungu Yuko pamoja na wewe
Mungu akubariki natamani wengi wakusikilize asnte mtumishi wa mungu.
Hawa ndio watumishi wakujiambatanisha nao. Sio hao wafanyabiashara wa mafuta na maji ya kuzimu ambao ukiwafatilia hupati hata neno la Mungu kwao. Wamejawa na kuelezea miujiza tu itokanayo na mafuta yao na maji yao.
Pastor nakuombea sana Roho Mtakatifu azidi kukutumia mnoo katika kulifunua neno la Mungu.
Amen.
Kwa kweli pastor unatusaidia kwanza napenda vile hua unafafanua kiswahili na kingereza be blessed sana
Asante mungu,kwa kunipatanisha na mtumishi wako George..barikiwa ndugu🎉🎉❤❤
Amen and amen mungu azidi kukubari pia🙏🙏
Amen.nimeanza kushuhudia mengi kupitia neno lako barikiwa sana mchungaji.
Baba unafundisha kwa hekima sana na upole, itoshe tu kusema nakuelewa mnoo na unafundisha unaeleweka sana, mungu azidi kukuongezea umri mrefu na hekima zaidi 🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana mchungaji,unanijuza mengi kiroho,nko kenya, nafuatilia sana
Asante Sana Mtumishi ..... Nimepata maarifa makuu katika kujua namna ya kulitumisla Neno la Mungu!
Umenisaidia mtumishi wa mungu wacha mungu akubariki
Amina Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
Mungu abariki huduma yako uzidi kubariki wengi. Really blessed am not the same again and i will never be the same again.
Amen!!! Oooooh halleluyaaaaaah.
Emen amen nimebarikiwa sana sana nimeenda kanisani muda mrefu sijai okoka lakini tangu nikusikize sai nimeoko na nimebadilish a mienendo zangu kupitia wewe mtumishi ubarikiwe sana
E baba mtumishi tunabarikiwa kupitia Neno Mungu atusaidie afungue fahamu zetu.
Asante bwana
Asante pastor! Amen 🙏🙏
Toka nianze kukufatisha ktk mafundisho yako Aiseee, nimezidi kufunguliwa na Nimekuwa mtu mwingine haswa ktk Imani... Mungu Akubariki uzidi kutushibisha kiroho na kutufunguwa na kulijuwa neno ipasavyo, barikiwa sanaaaaa 🙏🙏🙏
Mafundisho haya yamenisaidia sana barikiwa mno Mtumishi wa Mungu
Amen and amen, let's praise the lord everyone 🙌🙌🙏🙏
Asante Mungu asante Baba asante
Mtu wa mungu kweli mungu akuinuwe saidi
Amen amen 🙏🙏
Pastor unanibariki sana.
Amina
God bless you pastor George
Amen nabarikiwa sanaaaa
Amina poster
Ameeen...
Amen!!!
Amen ukweli mimi nina kufata na tangu ni anze kuku fata niko na komala tena ki roho baba
Amen Amen
MUNGU AKUJALIE MAISHA MAREFU PASTOR NAJIFUNZA KUTOKA KWAKO🙏
Amen
Kweli Baba Mungu leo kanipa neno Isaya 12 yote akabadilisha uzuni wangu. Nikawa na furaha nyingi.
Naomba namba ya sim ya mchungaji jaman
Hakika nime jifunza kumbe nilikuwa sijui kuomba ndo mana nime chelewa kupokea lkn sasa naenda kupokea haja yangu
Add volume please
Mafundisho mazuri kabisa,kuasiliana nawe ndio balaa,natamani ila sijafaulu
Mch Mukabwa branch zako ziko Arusha?
Baba Mungu akutunze ukweli hata nikiwa sehem ambayo net ya kulipata somo kwa cku unazotuma huwa nahisi kupungukiwa
Ubarikiwe Sana mtumishiwamungu
Amennnn, nabarikiwa sana
Amen amen 🙏
Amen na amen
Amina Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
AMEN AMEN
Amen
Amen