#EXCLUSIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @NgangaajilalaLutelemba
    @NgangaajilalaLutelemba 27 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu jamaa inatakiwa wamchunge ametudanganya vanilla inaiva ndan ya mwaka mmoja viongoz tunawaomba muwe mbere yetu

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 หลายเดือนก่อน

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @SylivanusCylilo
    @SylivanusCylilo 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂 uyu jamaa aangaliwe Akili yake

  • @nathanielshauri5135
    @nathanielshauri5135 28 วันที่ผ่านมา

    Sijajua kama jamaa ni taperi au sijui maana nimemwona kwenye vanilla akasema vanilla kilo million leo manguluwe lazima tuwe makini sana jamaa

  • @JosephMalelemba
    @JosephMalelemba 2 หลายเดือนก่อน

    MBONA nashindwa kuelewa, ulikuwa na wake 6 halafu unapsema kuwa haukuwa na pesa hata 50 mln! Halafu ulikopa chakula Cha 3000 umelipa juzijuzi. Inaonekana haukuwa na uwezo,kwa nn wake 6???

    • @nahumnkwama239
      @nahumnkwama239 2 หลายเดือนก่อน

      😅😅. 😅😅😅 nikajua ni mimi tuu

  • @PutinTz-do7qc
    @PutinTz-do7qc หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa muongo daa sijapata kuona

  • @NostusMchilo-vz7rz
    @NostusMchilo-vz7rz 2 หลายเดือนก่อน

    Mbwembwe zote nguruwe 1000

    • @RamazaniNdegeBedua
      @RamazaniNdegeBedua 2 หลายเดือนก่อน

      Hamna lolote tafuta vidéo halisia yupo chini ya 50.

  • @nahumnkwama239
    @nahumnkwama239 2 หลายเดือนก่อน +2

    ,moja ya interview mbovu kuwahi kutokeaa, halafu Global mbona nyie wakubwaa in gani hii sasan haina content kabisaaa

    • @EvaristKatibula
      @EvaristKatibula 2 หลายเดือนก่อน

      Tanzania uongo nimutaji yani musikilize vizuri. Mr eeeh

    • @RamazaniNdegeBedua
      @RamazaniNdegeBedua 2 หลายเดือนก่อน

      Ni mwongo saana, maneno yanashida vitendo.

  • @chedielimrutu6955
    @chedielimrutu6955 หลายเดือนก่อน

    Upuuzi mtupu nguruwe alianza vipi una miaka mingapi ukakaa miaka 14 mara Bangkok mmhhh uongo kabisa