Hakika Mungu are not limited,kuona yeye ni juu ya mambo yenye tulifikiria kubwa kizima kutoka kinywani mwake mtu yeyote ile hadharani. Yesu apewe sifa zote!
Aki asante nimejifunza fundisho Kali lenye na nguzo zote za kuenjoy tendo la ndoa nimefurahi na umeniboost sana sina cha kukupa ila mungu Wa mbinguni aliyekupa hii Neema ya kufundisha mambo haya ya thamani na sema azidi kukubariki nyanja zote
Ubarikiwe mtu wa Mungu, RIP mtumishi wa Bwana ! Tuliipenda sana huduma yako. Na ukweli ulikuwa ni muwazi na wa tofauti sana katika eneo hilo. Rest in peace brother, Mioyo yetu inalia, ila pia ina furaha kwa kuwa tunajua upo salama pamoja na mzee Ibrahim, Lazaro pamoja na watakatifu wengine mbele za uwepo wa Mungu Baba wakati huu mkiendelea kulisubiri Kanisa na kuungana nalo kuingia mji ule Mtakatifu ambao haki ya Mungu inakaa ndani yake !
RIP baba hakika mafunzo yako yataendelea kuishi tulikupenda sana ila mungu kakupenda zaidi umevipiga vita vilivyo vizuri mwendo umeumaliza imani umeilinda😭😭😭
Bado mapema sana!! Tutapata wapi material haya? Mungu watie nguvu familia,kanisa na taifa zima mana hili pengo halizibiki!! Mungu tuhurumie! Pumzika kwa amani baba yetu
Sijui kwa nini umenyakuliwa mapema Mwalimu Wanguu 😍
Kama una amin wana wake ngangali wapo wengi gonga like
Hakika Mungu are not limited,kuona yeye ni juu ya mambo yenye tulifikiria kubwa kizima kutoka kinywani mwake mtu yeyote ile hadharani. Yesu apewe sifa zote!
Aki asante nimejifunza fundisho Kali lenye na nguzo zote za kuenjoy tendo la ndoa nimefurahi na umeniboost sana sina cha kukupa ila mungu Wa mbinguni aliyekupa hii Neema ya kufundisha mambo haya ya thamani na sema azidi kukubariki nyanja zote
duuuuu hakika mipango ya mungu haina makosa mungu ukupunguzie dhambi ulale salama mchungaji R. I. P mbelee yako nyuma yetu pumzika kwa aman
Hahahaha pastor am single Umeniamsha aki😀😀aty kata kiuno😂😂mbaka nmeskia utamu😀😀Aki apo mwenye ajui kuinua leo amejua Awesome man❤❤😘😘😘
Mamboo ya kuzima taa si mahabaa ni kuwangaaa washenii taa waonee shangaa jaaaamanii kama umeona ni kweli nipe like
Barikiwa sana mtumish wa Mungu kwa kuponya na kuokoa ndoa za watu mamia na zaidi
Ubarikiwe mtu wa Mungu,
RIP mtumishi wa Bwana !
Tuliipenda sana huduma yako.
Na ukweli ulikuwa ni muwazi na wa tofauti sana katika eneo hilo.
Rest in peace brother,
Mioyo yetu inalia, ila pia ina furaha kwa kuwa tunajua upo salama pamoja na mzee Ibrahim, Lazaro pamoja na watakatifu wengine mbele za uwepo wa Mungu Baba wakati huu mkiendelea kulisubiri Kanisa na kuungana nalo kuingia mji ule Mtakatifu ambao haki ya Mungu inakaa ndani yake !
Asante sana mchungaj nimekuelewa sana mngu aendelee kukulinda ili utufundisha meng
Mambo makubwa hayo...!!
Kila la kheri wanandoa..🙌🙌
Jifunze kukata kiuno ,,makavu live bila kupepesa macho
So sad umekufa ndo nimeanza kukufuatilia ulikuwa amazing Sana mchungaji 😘😘
Somo nzuri kabisa
Daaah maneno matam saaanaaa 🔥 🔥
Safi saaaana mchungaji umesema kweli
Asante kwa mafundisho mazuri. Barkiwa mchungaji
I'm touched. By miti mingi
RIP baba hakika mafunzo yako yataendelea kuishi tulikupenda sana ila mungu kakupenda zaidi umevipiga vita vilivyo vizuri mwendo umeumaliza imani umeilinda😭😭😭
Asante mchungaji mafunzo bomba kipindi chako chanifunza mengi yenye sikuyajua
M nikizimiwa taaa naghair.
Patamu hapooo mtumishi wa Mungu
Am enjoying this 🙏
Rest in paradise 😭😭😭
Thankyou .Remember my country with prayer God be with u all
Hapo patamu sana sasa nafanya mpango wa kuoa.
Nakupenda Dady God bless you Man of God
Kwel kabisa walio wengi hawana radha maan wakina baba wengi wanalalamika kwa marafik zao mpaka kunazuka ugomvi ndan kwaajir ya kutafuta kuridhishwa.
Nice teaching
kweli wema,hawadumu ktk dunia dah! pumzik kwa,aman baba
Rip mwalimu wetu tutaendelea kujifunza ulicho tuachia
Nakukumbuka saana rip
Thank you for enlightening women.I've liked it.
Jamani kifoooooo uwiiiii
Good teaching Dr mitimingi
Safi kabisa Kenya tunakukubali mafundisho mazuri sana
Pumzika kwa amani😭😭
Thank you dady
Duh hahahaaa yani wee acha tu mtumishi inaonekana idara iyo yuko vizur😱😱
Rest in peace, your teaching will leave for a long time
Good
Umelala Dr.ila maneno yako yataishi milele
😁😁😁😁😁 kazi kwelikweli
Asant kwa semina baba
Alafu weee miti mingi wewe😃😃😃😃
Pwaaaaah niokotwa Kenya
Good say
Nakupenda bure mwalimu @mitimingi
R I P zeee
asante mwalim somo nzuriiisana
Bado mapema sana!! Tutapata wapi material haya? Mungu watie nguvu familia,kanisa na taifa zima mana hili pengo halizibiki!! Mungu tuhurumie! Pumzika kwa amani baba yetu
Wanaume wengi hawapendi wake zao wafanye kazi,wala kujishughulisha
hapohapo mchungaji! ushanenaaaa kwa kukata maunoo😃😃😃😃😃😃😃
This guy was too much funny, true. Lesson.
Pumzika kwa Amani
Asante sana barikiwa ninaendelea kujifunza na kubarikiwa pia
wow barikiwa mtumishi
Dah ,
.... Rest in Peace
God bless you for your good teaching Mwalimu Dr Mitimingi
Very true
Amina mi nko kenya but uwa napenda mfunzo yko
😂😂😂nimecheka kweli funzo nzuri
Duu somo limeshiba kwel..kwel
R.i.p
Ukapumzike salama mwalim
nimecheka wallah asante kwa somo
Wamama mko smart sana be blessed
Thank you
Mbarikiwe
Nakuelewaa sana mtumishi
Duuuuuh somo nzuri
Rest in peace 💔💔💔
R .i.p mtumishi
Heheeeeeeeeee,uwiiiiiiiii jaman Dr umeniacha hoiiiii
Rest in peace pastor 💔 mawaidha mazuri sana 💕
Amina Mungu akubariki mtumishi nimejifunza kitu
Rest in piece dadyyy
Ameen
mh nmeipenda hii
R.I.P
asanteeee ubarikiweee mtumishi
.leo nimecheka sana ila jambo naumwa apo kwa wanawake umewafikisha kweli
Hii kali ila ina mafunzo ya kujenga
Mmh umetisha
Mmm aya bana'wenye viuno vigumu mnalo
*Mke wangu ana nitaka kimapenzi nifanyaje*😊😊😊 nahitaji ushauri wenu jamani
Barikiwa sana,asante
Asante Kwa mafunzo
Rest in peace bro
Duuh kwa nzia reo nitakua nikimpa Mume wangu kira siku asante Mchungaji na swari nyigine jee nakama nina Maziwa madogo!
😁😁😁asanté mitimingi
Emen
MI sijaona mchungaji apa jamani""
Aiseeeee!
Mh asante
Hiv? Naomba kuuliza nijue. Haya mafundisho yanavo fundishwa? Watoto hawpo? Au wanezowea?
Mnatuchanganya mchungaji Daniel Mgogo anawataka wanawake waombe Pesa kwa waume zao wewe unafundisha Kuwa wanawake wajishughulishe,kipi tushike?
hahahaahaaaa umetisha mchungaji ni hatareeeee
real talk
Jifunzen wadada kukata kiuno.