"Ni HAKI YAKE KUONDOKA CHADEMA HATA KAMA INAWAUMIZA" WAKILI MWABUKUSI APELEKA MWIBA MCHUNGU CHADEMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 25 วันที่ผ่านมา +11

    Kumbe ndugu yangu mwabukusi unaongea pointing nzuri sana ushauri ndugu nawe usiwe unatumia jazba sana katika mambo ya nchi .wanyakyusa Kwa ujumla ni wasomi wazuri sana hongera ndugu yangu

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 25 วันที่ผ่านมา +13

    Msigwa ana haki kikatiba kuhamia chama chochote ila maneno yake yanadhihirisha ni mhalifu wa kisiasa.

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 25 วันที่ผ่านมา +6

    THIS MAN NEVER DISAPPOINT

  • @djumakadege659
    @djumakadege659 25 วันที่ผ่านมา +4

    Mheshimiwa wakili katika siku umeongea maneno mazito basi ni leo !
    ongera Mheshimiwa wakili.
    Aksante sana kwa maelezo yako.
    MwenyeziMungu akubariki.
    Aamiin.

  • @user-kw6pg7nb1w
    @user-kw6pg7nb1w 24 วันที่ผ่านมา +4

    Hakika leo mwabukus umesema vzr sana,mungu akubaliki sanaaaaaaa,njoooo ccm ww

  • @OmaryKilongola
    @OmaryKilongola 25 วันที่ผ่านมา +7

    Nimekukubali mwambukusi big up

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 25 วันที่ผ่านมา +8

    Hongera kwa vision yako nzuri.

  • @dabigregory3221
    @dabigregory3221 20 วันที่ผ่านมา +1

    Point kubwa sana mwanasheria msomi

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 25 วันที่ผ่านมา +6

    Hili jamaa Lina akili sanaaa

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 21 วันที่ผ่านมา +1

    Umeongea point sana

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 25 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi binafusi kabla ya yote naomba unisamehe jinsi nilivyo kuwa nakuona unaongea kwenye mitandao nijuwa wewe ni mtu mbaya na niliaminishwa hivyo. Mungu anisamehe kwa hili na aendelee kukupa maisha marefu amina

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 22 วันที่ผ่านมา

      Basi chukua muda nakufatilia mengine ambayo umeaminishwa kuwa ni mabaya kumbe yanamema

  • @user-wm5cm2us3f
    @user-wm5cm2us3f 25 วันที่ผ่านมา +5

    Mzee wangu busara Yako nikubwa sana

  • @SaidShombe
    @SaidShombe 25 วันที่ผ่านมา +2

    Nakukubali mzee una busara kubwa hakuna haja kulumbana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 25 วันที่ผ่านมา +6

    Mbona wa Ccm wanakwenda Chadema sasa cha ajabu nini Msigwa kuondoka Chadema Ccm kazi inaendelea

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 24 วันที่ผ่านมา

    Ahsante sana Severin ni kweli hatuna chuki ya watu kuhama tatizo maneno ya ovyo,hasante Mwambukusi kuwa mkweli.Tumepata somo hapo.

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 19 วันที่ผ่านมา

    Mafanikio yanatafutwa kwa mbinu nyingi,, maana maisha hayapaswi kusimamishwa,, ki hivyo, maana kuna watu nyuma yako wanamshukuru MUNGU kwa rizki kupitia wewe,,, hata mheshimiwa rowasa kipenzi cha wengi,, alijaribu kutafuta mafanikio kupitia chadema, baada ya ccm kutomtendea haki, hivo msigwa! Ana haki kabisa kutafuta mafanikio kupitia njia nyengine. Siasa, sio msaada kwa watu, ila ni kazi kama kazi nyengine. Ndio maana mwanasiasa ni mtumwa wetu, na atalipwa kwa kodi zetu.

  • @michaelkamaghe5046
    @michaelkamaghe5046 25 วันที่ผ่านมา

    Uko vizuri kk

  • @paulremigiuspaul3293
    @paulremigiuspaul3293 22 วันที่ผ่านมา

    Well said Mkuu

  • @ezekielgenja3912
    @ezekielgenja3912 5 วันที่ผ่านมา

    Ni haki yake kweli kikatiba. Ila kikubwa aache kudhalilisha anaowaacha nyuma, zaidi aongee hoja zake na nini atakifanya katika chama alichohamia. Zaidi ya yote anavyozidi kuchafua wengine atadhalilika zaidi.

  • @isacktesha6659
    @isacktesha6659 22 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa namna ilivyo kama angeenda chama kingine chochote cha upinzani wala isingekuwa tatizo ,ila kwenda chama ambacho amekipinga kwa miaka yake yote ,hata huko alikokimbilia hawatamwamini

  • @angolile
    @angolile 21 วันที่ผ่านมา

    Well spoken🎉🎉🎉

  • @danielndam5997
    @danielndam5997 25 วันที่ผ่านมา +3

    Umeongea kwa kujilinda sana mzee wanga kwenda ccm ? Bola kukaa pembeni

  • @katumabiyan5090
    @katumabiyan5090 24 วันที่ผ่านมา

    Asante

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 25 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli hiyo.

  • @user-qj2fz8uq3j
    @user-qj2fz8uq3j 24 วันที่ผ่านมา

    Mwambukusi big up uwe unatoa no zako kna watu Mambo hayapo sawa mtu hajui aanzie wapi

  • @user-ey1fq6hd9l
    @user-ey1fq6hd9l 23 วันที่ผ่านมา

    Sawa kabisa uko sawa

  • @ashrafurwegoshora4227
    @ashrafurwegoshora4227 23 วันที่ผ่านมา

    Sahihi kabisa,msigwa ana haki zake😊

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 19 วันที่ผ่านมา

    Miongoni mwa watu wenye hekima nyingi! Huyu mwambukusi nae yupo.

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x 25 วันที่ผ่านมา +1

    ✌️🙏🙏🙏🙏

  • @user-jb8bo2qw6r
    @user-jb8bo2qw6r 25 วันที่ผ่านมา +2

    Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita Kiongozi mmoja wa ngazi za juu ktk CCM,aliwahi kusema kuwa wale wanaohamia CCM tokea vyama vya Upinzani wanaenda ccm "KUGANGA NJAA"!
    Naamu aliyasema haya akiwa na maana kuwa kwenda huko ni kupatiwa cheo.Ndio maana wengi waliohamia huko hupewa vyeo!Mfano akina Kitila Mkumbo,Makonda,Mashinji,Nassari nk.
    Hivyo ni tamaa tu,kwani si kweli kuwahuko ccm kuna demokwasia zaidi kuliko chadema.
    Ni mimi Ally Daudi Ngoyeji wa Itilima,Kishapu Shinyanga.

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 23 วันที่ผ่านมา

    Yani leo nimekupigia saluti umeonge maneno mazuri sana

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 24 วันที่ผ่านมา

    Yaani kazingua sana aiseh

  • @saimonlugobi1102
    @saimonlugobi1102 23 วันที่ผ่านมา

    Nimekubali,kila Nabiii na wakati wake LUSSU,MWAMBUKUSI ni Mana bii kwa wakati huu!!! Pia msisahau kuwa ni Maoni yangu!!

  • @nyambwirobakari9436
    @nyambwirobakari9436 23 วันที่ผ่านมา

    Leo nimekuelewa Sana kaka

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 22 วันที่ผ่านมา

    Tangu nimjue huyu jamaa ndo kwanza leo nimemuona anaongea maneno yenye akili..

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 21 วันที่ผ่านมา

    Watu wanatofautiana kwenye dini sembuse chama kikubwa tuipende chadema yetu

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 24 วันที่ผ่านมา

    Mwambukusi ni mtu mwema sana anapenda haki.Familia yake yawapenda watu,kwa Mwambukusi husipindishe haki.

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 25 วันที่ผ่านมา

    Ukweli kabisa Kila Moja anahaki kwenda ata kapo

  • @juliusmoivana9844
    @juliusmoivana9844 25 วันที่ผ่านมา

    Mwabukusi uko visuri Sana kaka angu

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 24 วันที่ผ่านมา

    Umeongea vizuri sana, ila huyu Msigwa ni njaa maana Msukuma alikuwa amesha sema kuwa kuna pesa walikuwa wanampa na kama angebisha achongoe mdomo, na kweli Msigwa hakuchongoa mdomo, mimi huwa nakukubali sana broo Boniface wewe unaweza kuziba nafac ya Msigwa.

  • @user-pn1rd1fs9x
    @user-pn1rd1fs9x 24 วันที่ผ่านมา

    Una Akili sana

  • @AiserAli-mq6sz
    @AiserAli-mq6sz 23 วันที่ผ่านมา

    Chadema imekua ni chama mtu mmoja na shauri bora tundu lisu akanzishe na yy chama chake au ahame hii chadema

  • @kiatu
    @kiatu 23 วันที่ผ่านมา

    “Hatuna mtu ana miliki ya mawazo”. Kweli.

  • @josephmahando493
    @josephmahando493 24 วันที่ผ่านมา

    Maneno mazuri yaliyo kolea
    munyo na yenye hekma. Ubarikiwe Wakili msomi.

  • @aneth520
    @aneth520 20 วันที่ผ่านมา

    Unions hivyo ujue watu hawampendi na wamemchoka

  • @HamisNgole-oo8if
    @HamisNgole-oo8if 22 วันที่ผ่านมา

    Ukovizuli sana haki

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 25 วันที่ผ่านมา +2

    SAWA WAKILI MSOMI ASANTE ILA LA KUKAA MADARAKAN NA UENYEKITI KWA MIAKA 30 HUJASEMA UMELIPITA

    • @spencersambo469
      @spencersambo469 24 วันที่ผ่านมา

      Hayupo kwenye Hilo mipaka iheshimiwe

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 25 วันที่ผ่านมา

    Kwani nani anasema chadema ndo wasafi ingekua hivyo mbowe asinge kua anamuhonga mpz wake jois mukya kuwa mbunge viti maalumu kwan hakuna wanawake wengine mtu awe popote tudanganyeni mle kodi zetu basi maisha yaendelee

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise 25 วันที่ผ่านมา +1

    Apana kuhama sawa ila mpinzani mwenye akili apaswi kwenda ccm maana ccm ndo maiti inayotarajiw na wanchi,kufa maana kwanza miaka yake inaruhu kufa, pia ccm wao ndio wanaogandamiza na kuuza nchi yetu,amia chama chochote tz siyo ccm

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 22 วันที่ผ่านมา

    Msigwa ana haki ya kuhama,ila asikashifu mtu yeyote wa kule kwenye chama alichotoka

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 24 วันที่ผ่านมา

    Momumo nkamu gwangu ❤

  • @rashidhtibangayukatibangayuka
    @rashidhtibangayukatibangayuka 24 วันที่ผ่านมา

    Nakupongeza wakili

  • @saadune
    @saadune 23 วันที่ผ่านมา

    The innocence you plead on behalf of Msigwa ni hawa tupu nd designed to avoid the real naked issues knowing cfm nd their blood covered hands policies.. Sad coming frm this highly respected figure.

  • @ngimbakuyi3250
    @ngimbakuyi3250 25 วันที่ผ่านมา

    Brooo broo nimekielewa sana na naomba viongozi wa chadema kila atakayemuongelea msigwa aongee kama wewe maaana itawaweka safi ninyi na yeye atabaki na siasa zake za uongouongo

  • @AiserAli-mq6sz
    @AiserAli-mq6sz 23 วันที่ผ่านมา

    Tundu lisu alisema uchaguzi ndani ya chama umejaa sana rushwa mtu ameona ndani ya chadema kuna shida si haki kikatiba mtu kuhama

  • @benedictgamuya8855
    @benedictgamuya8855 24 วันที่ผ่านมา

    Haiwashtui hapo walopofika haiwashtui.... labda ni kwa wasiojua siasa za tz.

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 24 วันที่ผ่านมา

    Wakili ww uko vizury sana unapenda kusema ukweli

  • @FurahaJeremiah-kd5ht
    @FurahaJeremiah-kd5ht 13 วันที่ผ่านมา

    Msigwa hapendi hilii taifa Kama ameta asali yeye alambe tu asikichafue yeye aendetu

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 24 วันที่ผ่านมา

    Lakini pia,hata wanaohama wasiwe wasema hovyo.

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 25 วันที่ผ่านมา

    Maneno yake inapoza mwenyewe jaaa na unafiki Hama tu

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mchngaji kweda kuishi na shetani is to much

    • @ce-08
      @ce-08 24 วันที่ผ่านมา

      Mwingine ni ww ambae hajamuelewa mwambusi

    • @ChristianMkumbo-ix2ke
      @ChristianMkumbo-ix2ke 24 วันที่ผ่านมา

      @@ce-08 sijamwelewa kutumia hakiyake ya kwenda kwa mashetani wenziye ccm

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 25 วันที่ผ่านมา

    Ni haki yake kabisa kikatiba, lakini kwenda ccm kweli?

  • @franciscowilliam2575
    @franciscowilliam2575 23 วันที่ผ่านมา

    Hoja za Mwabukusi Hua zimenyooka kama rula.

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 24 วันที่ผ่านมา

    Wakili simamia ukweli kuwa mkweli tunakuelewa sana huna uongo kwenye jambo

  • @MaikoLainza
    @MaikoLainza 24 วันที่ผ่านมา

    Ukosawa Mabukusi endeleana msimamo huo bila kutishika

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 24 วันที่ผ่านมา

    Kumbe mchungaji yupo sawa kakimbia wanaotaka kumdhuru safi yeye mtumishi anajuwa siri

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 25 วันที่ผ่านมา

    Ajiulize NYALANDU ako wapi.
    Ndio atajua CCM ni wanunuzi tu unabakia boya.

  • @user-zq1hy1ec5n
    @user-zq1hy1ec5n 23 วันที่ผ่านมา

    Msigwa Usitowe na kushambulia chadema tayari ccm wamekuogopa watakuacha pabaya

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 25 วันที่ผ่านมา

    Hakuna anaye lalamika kuhama kwake maneno yake ya kipumbavu ajifunze kwa waliyo hama wa maana kuliko yeye walilopoka upumbvu wake hata wewe ni walewale wanafiki tunakujua

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 24 วันที่ผ่านมา

    Sababu ya kuhama ni dhaifu sana, Sikutegemea kama atahama kwa sababu hiyo.Sasa ccm anakokimbilia ni hakuna rushwa?

  • @MeshackMheni
    @MeshackMheni 24 วันที่ผ่านมา

    Sasa je? Huko alikoenda ataweza kuwasemea wananch au ni cheo anataka??

  • @NicodemBarantanda-ud7qy
    @NicodemBarantanda-ud7qy 24 วันที่ผ่านมา

    Msimamo wako Mwabukusi uko sawa lakini mifano yaKimungu uliyotolea ukilinganisha na matendo ya mwanadamu. ndipo unapoonesha mapungufu ya maoni Yako,Chadema ni taasisi ambayo ina vyanzo vyake vya taarifa zake za kiinterijensia kama vilisha baini dalili zake za usariti mapema unashanga Nini na wewe msomi

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi 25 วันที่ผ่านมา

    Huo ndio ukweli kuhama sio uwadui nimamzi

  • @ramadhaniabdulabi4035
    @ramadhaniabdulabi4035 24 วันที่ผ่านมา

    Chama cyo msahafuu wala katibaa

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 24 วันที่ผ่านมา

    Mwambukusi ni mwalimu.Tumsikilize na kujifunza.

  • @widimaelimushi
    @widimaelimushi 24 วันที่ผ่านมา

    Mzigwa agepata uwenyekiti asingeodoka nimroo wadaraka

  • @salmajafari6838
    @salmajafari6838 24 วันที่ผ่านมา

    UKIGOMBEA URAISI KURA YANGU UNAYO, I SWEAR GOD

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 23 วันที่ผ่านมา

    Kingunge Lowasa Mwenyekiti mkoa Shy walihama ni haki

  • @adrianoadriano-ys6bm
    @adrianoadriano-ys6bm 24 วันที่ผ่านมา

    Mwambukusi ukiwa shuleni ni mmoja ya mwanafunzi uliopata walimu bora kabisa. Wengine tumepita shule zenye walimu wa kukaririshwa mambo.

  • @user-kw6pg7nb1w
    @user-kw6pg7nb1w 24 วันที่ผ่านมา

    Hapana chadema ni saccos ya mbowe bwana,

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 25 วันที่ผ่านมา

    Msigwa aachwe tu kwani kuna nini

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 25 วันที่ผ่านมา

    Aaa kwa kauli hii hata wewe Huna muda

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 25 วันที่ผ่านมา

    Ni. Haki. Ake

  • @BabuelMartin
    @BabuelMartin 22 วันที่ผ่านมา

    Kelivini

  • @user-qk9iz5lt8q
    @user-qk9iz5lt8q 25 วันที่ผ่านมา

    Vema SANA MWABUKUSI UPO VIZURI HAPO HAITAKIWE KUWE NA VITA AU FITINA HIYO NDIO DEMOCRASIA

  • @jumskibona3261
    @jumskibona3261 24 วันที่ผ่านมา

    Toka nifahamiane na wewe wakili sijawai kujuta hata kidogo wewe unafaaa

  • @mochemba
    @mochemba 22 วันที่ผ่านมา

    Sasa wewe siumesoma ndo maana unaelewa, wanaopinga na kuongea maneno machafu ni wale wasiokuwa na ufahamu

  • @jacobsadock3530
    @jacobsadock3530 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kuhamia sio tatizo bali tatizo ni amehamaje na wakati gan amehama?

    • @kamazimakyaruz1219
      @kamazimakyaruz1219 21 วันที่ผ่านมา +1

      Nakubaliana na wakili Mwabukusi, hata Daudi aliwai kumkimbia Sauli wa agano la kale, akaenda kujiunga na maadui wa Israel, ambao niwa Filisti, ampaka akaingizwa kikosini Cha jeshi ili kupigana na Sauli, baada ya Sauli kufa Daudi aka ludi Israel mpaka akawa Mfalme.

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@kamazimakyaruz1219ingekuwa like zina kubali kwa wingi, ninge gonga mbaka kidole kiishe.

  • @leodgardotmar7198
    @leodgardotmar7198 23 วันที่ผ่านมา

    Mwabukusi leo umeniudhi

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 25 วันที่ผ่านมา +2

    Mchngaji Msigwa ni msaliti kwa nini asiede cuf au nccr mageuzi

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 25 วันที่ผ่านมา

      Huko kote msigwa alishapita,bila kuwa na cheo hakai

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 25 วันที่ผ่านมา

    Ukiwa na ubinadamu utu ukawa na utu.ccm sio chama chamba ambacho zahiri shahiri wanaumiza watu na kuuwa znz kila chaguzi na hata kabla chaguzi wanaukiza watu .watu lazima washangae msigwa wajwanza alikuwa anawapa ccm ukweli

  • @user-un9gg7qc4z
    @user-un9gg7qc4z 24 วันที่ผ่านมา

    Msigwa ananjaa.. amefuata kula

  • @AntonyKajange
    @AntonyKajange 25 วันที่ผ่านมา +2

    Nyie akina Mwabukusi tuambieni ukweli kama nyie niwachumia tumbo,mfano wewe unaenda ccm kwasasa utatuambia uko sahihi wakati bandari zimeuzwa NK,,acheni unafiki.msigwa kaboa

    • @akidajulius1581
      @akidajulius1581 23 วันที่ผ่านมา

      Yote kwa yote , Mwanasiasa nikama mchezaji mpila anaangalia maslahi kwanza, then tujifunze kupenda chama sio mtu, mtu amda wowote anageuka,

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 25 วันที่ผ่านมา

    Halafu siasa ya bara tafaut na znz kwamfano znz chama kile hukusikia watu kuhama chama mpaka lipumba alipochoka kutukika akakuwa kushirikiana na makufuli kuuwa chama.lakin wazanzibar wenyewe kusalit chama labda walikuwa 2

  • @user-cx4nx7xi7s
    @user-cx4nx7xi7s 25 วันที่ผ่านมา

    SEMA WEWE NI RAFIKI YAKE TWENDE KWENYE U ALISIA. KWELI NILIKUWA NAKUAMINI LAKINI KWENYE HILI DIKUKUBALII!!

    • @brunomirambi8792
      @brunomirambi8792 25 วันที่ผ่านมา

      UMESOMEA WAPI?? MBONA HUYU MWL AMEFUNDISHA SUB TOPIC HII VIXUR NA AMETUELEZEA TU HATA CHEKE CHEA HAWEZI KUSEEEMA HAJAELEWA WEEE VIPI???

    • @ellylema9042
      @ellylema9042 25 วันที่ผ่านมา

      Sasa Wewe unataka aseme nini ufurahi

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o 25 วันที่ผ่านมา

    Anataja madaraka hana lolote shenzi sana

  • @ezekielgenja3912
    @ezekielgenja3912 5 วันที่ผ่านมา

    Ni haki yake kweli kikatiba. Ila kikubwa aache kudhalilisha anaowaacha nyuma, zaidi aongee hoja zake na nini atakifanya katika chama alichohamia. Zaidi ya yote anavyozidi kuchafua wengine atadhalilika zaidi.

  • @SeverinMagwaya
    @SeverinMagwaya 25 วันที่ผ่านมา +3

    kama ni hivyo alitakiwa kukaa kimya tu. Hakuna anaye lalamika kuhama bali maneno yake

    • @misitutfs6576
      @misitutfs6576 22 วันที่ผ่านมา

      Maneno yake yasikupe shida hiyo ndio pona yake.

  • @melch3097
    @melch3097 23 วันที่ผ่านมา

    Hakuna aliepinga kuhama, tatizo maneno, akikaa kimya hakuna atakaemsema

  • @ezekielgenja3912
    @ezekielgenja3912 5 วันที่ผ่านมา

    Ni haki yake kweli kikatiba. Ila kikubwa aache kudhalilisha anaowaacha nyuma, zaidi aongee hoja zake na nini atakifanya katika chama alichohamia. Zaidi ya yote anavyozidi kuchafua wengine atadhalilika zaidi.