NGUVU YA SHUKRANI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 04/09/2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.ย. 2022
  • Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
    For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
    #jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 33

  • @mercynafula6905
    @mercynafula6905 3 วันที่ผ่านมา +1

    Amen 🙏 mtumishi wa mungu ubarikiwe sana kwa hili neno🙌

  • @user-rh7sb4lo9k
    @user-rh7sb4lo9k วันที่ผ่านมา

    Waah. Asante nimekuwa na dhambi mingi yakutoshukuru kwa mabaya lakini leo nimepokea neno vizuri kushukuru kwa kila jambo liwe mbaya au zuri, Nashukuru Mungu kwa hilo neno kunifikia kwa maana sitabaki jinsi nilivyo. Amen

  • @rosahilario17
    @rosahilario17 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana Pastor kwa mafundisho Mungu akubariki, tatumia nafasi i kutubu: nisamehe Mungu kwa kuto kuwa na moyo wa shukurani kwa watu walio tenda wema kwangu🧎‍♀️

  • @ephaskamwela2538
    @ephaskamwela2538 3 หลายเดือนก่อน

    Pastor mafundisho Yako yananifungua ,Mungu Akubariki sana !!

  • @malandojames5151
    @malandojames5151 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa pasta huyu. Mungu yu pamoja naye. Anamafundisho yenye nguvu Sana. Nabarikiwa Sana naye.

  • @MaryMwihaki-if7ry
    @MaryMwihaki-if7ry 2 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu akuongeze ngufu ya kutusaidia sisi wana wake mungu wetu

  • @NorahMbithe-i6m
    @NorahMbithe-i6m 28 วันที่ผ่านมา

    Pastor ubarikiwe tu sana you changed my thoughts and life.I thank God.

  • @Joycepetro
    @Joycepetro 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu Nasema asante kwaajili ya huyu pasta maana kwa mafundisho yako nimebadilika

  • @lovenessmwamengo7090
    @lovenessmwamengo7090 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji Mungu akubariki sana, unatufundisha sana. Asante sana.

  • @user-oz9qi4ux6b
    @user-oz9qi4ux6b 26 วันที่ผ่านมา

    Amen mtumishi

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo ปีที่แล้ว +2

    Asante kwakuni fundisha 🙏🏻🙏🏻

  • @princesprovide3
    @princesprovide3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen na barikiwa kwa mafunzo na jina la YESU lipewe sifa milele

  • @NancyKanana-nb4hy
    @NancyKanana-nb4hy 12 วันที่ผ่านมา

    Very powerful man of God

  • @mankakiwelu607
    @mankakiwelu607 ปีที่แล้ว +2

    Jaman huyu baba🙏🙏🙏🙏

  • @user-wu8ul3ri7l
    @user-wu8ul3ri7l 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sana pastor kwa Neema MUNGU aliyokupatia..nitawezaje kupata mawasiliano ya Pastor jmn?

  • @mshumbusiprotase9095
    @mshumbusiprotase9095 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe na bwana mtumishi wa bwana wamajeshi 💒🙏🙏🙏

  • @evelynekabaka7140
    @evelynekabaka7140 ปีที่แล้ว +1

    Amen barikiwe sana sana.

  • @leahmahali8948
    @leahmahali8948 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana Mtumishi

  • @AgnesNyaleso
    @AgnesNyaleso หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen 🙏🙏🙏❤

  • @dorothybanda5278
    @dorothybanda5278 ปีที่แล้ว +1

    Amen mungu akubariki

  • @user-kf6ox4pe5b
    @user-kf6ox4pe5b 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen amen amen amen

  • @josephinetumaleo8182
    @josephinetumaleo8182 10 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah ❤

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 ปีที่แล้ว +1

    Amen and Amen 🙏

  • @malisamgosi9179
    @malisamgosi9179 ปีที่แล้ว +3

    Amen mtumish wa Mungu nimebarikiwa saan na mafundisho yako 🙏🙏🙏😇😇

    • @phyllisnanjlawafula443
      @phyllisnanjlawafula443 ปีที่แล้ว +1

      asantee kwa kunifundisha pst

    • @patrickjames6547
      @patrickjames6547 ปีที่แล้ว

      Amen mtumishi Asante sana kwa mafundisho yako hakika najifunza mengi kwako Amen

    • @gracembala4519
      @gracembala4519 11 หลายเดือนก่อน

      ​@@patrickjames6547 m k 😅

  • @user-qm8cm9ny4r
    @user-qm8cm9ny4r 4 หลายเดือนก่อน

    Amen🎉🎉

  • @fulgencenayingo8919
    @fulgencenayingo8919 ปีที่แล้ว +1

    AMEEEEEN

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @matheihaule-tw8yt
    @matheihaule-tw8yt 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor naomba nambar yako unanifariji sana

  • @doveadventure
    @doveadventure 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu asifiwe nabarikiwa sana na neno lako pastor naweza vipi kupata namba yako ya simu?

  • @rosahilario17
    @rosahilario17 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Pastor kwa mafundisho Mungu akubariki, natumia nafasi i kutubu: nisamehe Mungu kwa kuto kuwa na moyo wa shukurani kwa watu walio tenda wema kwangu🧎‍♀️