JINS YA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 104

  • @user-hl1yi5nt9l
    @user-hl1yi5nt9l 6 หลายเดือนก่อน +7

    Karibu Kenya mtumishi twakupenda sana

    • @soidaniel6735
      @soidaniel6735 13 วันที่ผ่านมา

      The message is toughing

  • @gracepeter8219
    @gracepeter8219 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe maisha marefu duniani baba,ilitupate mafudisho ❤

  • @fatumaramadhani5974
    @fatumaramadhani5974 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu anipe kibali baba nikuone live.

  • @olphanyamweya3154
    @olphanyamweya3154 3 วันที่ผ่านมา

    Praise GOD pastor, nakufuatilia kutoka Saudi Arabia, ningepatana na hili mapema.

  • @AgnesNyaleso
    @AgnesNyaleso 21 วันที่ผ่านมา +1

    Amen amen amen 🙏

  • @alicell2804
    @alicell2804 27 วันที่ผ่านมา

    Powerful teaching 💪💪🙏🙏🙏may God give me wisdom 😢😢🙏

  • @SaimonKigaigai
    @SaimonKigaigai 11 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi ubarikiwe

  • @user-py2ko5wg6v
    @user-py2ko5wg6v 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen mwalim navuka kila changamoto kwa jina la Yesu

  • @PriscarDaniel-eq2jp
    @PriscarDaniel-eq2jp 7 หลายเดือนก่อน +1

    Daaa nimejifunza sana kwenye hili somo pastor acha niende na haya mafundisho na naomba mungu mwaka ujao mungu akinipa neema ya uzima na akifungua tumbo langu ntakuja kutoa ushaur

  • @DorisKimario-sp3gm
    @DorisKimario-sp3gm 7 วันที่ผ่านมา

    Amina mchungaji nakuelewa sana

  • @officialjemimahowiti
    @officialjemimahowiti 11 หลายเดือนก่อน +1

    You sharpen me so much sir, I letsen to you every morning in my bathroom...as I dress for work! My life has never be the same

  • @freshbeats
    @freshbeats 14 วันที่ผ่านมา

    Wew sio mwalimu ni mwalimu mkuu

  • @MakesenLekoyo
    @MakesenLekoyo 18 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 mtumishi

  • @IreneMtoto-un5lg
    @IreneMtoto-un5lg หลายเดือนก่อน

    Mchungaji anae ubiri adi unaelewa ni huyu mungu akubariki🙏🙏

  • @user-xg4fw4jr9t
    @user-xg4fw4jr9t 8 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa mungu,nimebarikiwa kupitia mafundisho haya,nilikuwa sijui la kufanya,ninapopata changamoto,nimetaabika sana,

  • @user-ik4ux8nc2u
    @user-ik4ux8nc2u หลายเดือนก่อน +1

    mungu hana upendeleo

  • @NicholasLihasi
    @NicholasLihasi หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana na haya maubiri naitaji kuongea na mchungaji naitaji naitaji mwongozo wakubadilisha maisha yangu

  • @wilsonmkumbo3032
    @wilsonmkumbo3032 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana Pastor kwa mafundisho haya yenye kutuponya

  • @magdalenampanda1426
    @magdalenampanda1426 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Mtumishi ulivyo na Neema ya Mungu ndani yako

  • @babydriver6497
    @babydriver6497 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika mungu unaweza mchungaji nabarikiwa na uduma yako

  • @hadijanafuna-qe7hm
    @hadijanafuna-qe7hm ปีที่แล้ว

    Amen 🙌 hallelujah barikiwa sana Barikiwa pastor 🙏🙏❤️

  • @olphanyamweya3154
    @olphanyamweya3154 3 วันที่ผ่านมา

    MUCHUNGANJI naomba ukue mzazi wangu angarau nitoke kwenye nimeshikiliwa.

  • @janicejohn62
    @janicejohn62 ปีที่แล้ว

    Umenibariki mtumishi. Mungu akutunze uwafungue na wengine. Barikiwa baba

  • @eliasilwimba187
    @eliasilwimba187 หลายเดือนก่อน

    Glory to God ,I am listerning from Tz

  • @KambaleAlexa
    @KambaleAlexa 5 วันที่ผ่านมา

    As antekwama fundisho

  • @mariamnjaidi8934
    @mariamnjaidi8934 29 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen

  • @user-hl1yi5nt9l
    @user-hl1yi5nt9l 6 หลายเดือนก่อน

    Tune from Kenya,nabarikiwa sana man of mungu

  • @jonasjoel5613
    @jonasjoel5613 2 ปีที่แล้ว +1

    BARIKIWA SANA mtumishi umeniinua Sana Nina furaha

  • @dorahhanga3156
    @dorahhanga3156 8 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana mtumishi asante kwa mafundisho

  • @user-mu4jz1xq3b
    @user-mu4jz1xq3b 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mwalimu mafundisho Yako kweli hayakeri yananijenga

  • @everlyneimili
    @everlyneimili หลายเดือนก่อน

    mungu badilisha mtazamo wangu, uwe wa ushindi

  • @ivonebikehi1584
    @ivonebikehi1584 8 หลายเดือนก่อน

    Powerful teaching...my life is upgraded

  • @Lydia-mz7jm
    @Lydia-mz7jm 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinuwe sanaa mtu wa Mungu

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa sana mchungaji

  • @JaphetJohn-dt2cl
    @JaphetJohn-dt2cl หลายเดือนก่อน

    Asante mtumishi umenifungua kweli

  • @rumariletimba7585
    @rumariletimba7585 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @GeorgeUlemak
    @GeorgeUlemak ปีที่แล้ว

    Mt Amina kwa mafundisho.mazury

  • @sophiajonas2090
    @sophiajonas2090 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Sana mtumishi

  • @GraceLukindo
    @GraceLukindo 8 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi umenijenga mengi mungu akubariki Niko dar es salaam

  • @judithfrancis9458
    @judithfrancis9458 11 หลายเดือนก่อน

    Nimepata ushindi kupitia mafundisho ya mtumishi wa Mungu
    , Mungu aendelee kukutunza

  • @damarisdamakatana4515
    @damarisdamakatana4515 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana mchungaji

  • @Danielmoyo556
    @Danielmoyo556 2 ปีที่แล้ว +1

    Naam pure teacher
    Stay blessed

  • @EstherOmosa-bx1kt
    @EstherOmosa-bx1kt 4 วันที่ผ่านมา

    Amina

  • @julienneasende2902
    @julienneasende2902 6 หลายเดือนก่อน

    Baba mungu akubaliki sana❤😊

  • @eliasilwimba187
    @eliasilwimba187 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa mno kutoka Tanzania.

  • @barakafabiani5487
    @barakafabiani5487 7 หลายเดือนก่อน

    Hakika nimemjua mungu kupita huyu pastor

  • @everlyneochiel
    @everlyneochiel 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa. Asante

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 6 หลายเดือนก่อน

    Ooooooooh halleluyaaaaaah!!! Amen

  • @olphanyamweya3154
    @olphanyamweya3154 3 วันที่ผ่านมา

    🙏👍🙏🙏🙏👍

  • @pascalumira7271
    @pascalumira7271 2 ปีที่แล้ว +1

    Asate mtumishi wa MUNGU ni mimi MUNGU ana ongea namimi nita itumiya hiyo neno 1 naitaji simu zako

  • @annakadudu4505
    @annakadudu4505 ปีที่แล้ว

    Amina barikiwa

  • @paulolotuno9862
    @paulolotuno9862 2 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana umenifungua

  • @ezramanjerenga9514
    @ezramanjerenga9514 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana

  • @magdalenampanda1426
    @magdalenampanda1426 หลายเดือนก่อน

    AMA KWELI!!!!!!!

  • @magrethpeter5622
    @magrethpeter5622 ปีที่แล้ว

    Watumishi kama hawa niwachache.nabarikiwa sanaaa

  • @linusmgohamwende6720
    @linusmgohamwende6720 ปีที่แล้ว

    I understand my brother

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em หลายเดือนก่อน

    Amen Amen kwa neno

  • @germainndayishimiye8158
    @germainndayishimiye8158 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana

  • @vanessadhenge4319
    @vanessadhenge4319 ปีที่แล้ว +1

    Sijui nihamie Tz

    • @magdalenampanda1426
      @magdalenampanda1426 หลายเดือนก่อน

      Jitahidi tu kusikiliza usihame mpendwa

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 2 ปีที่แล้ว +3

    MWENYEZ MUNGU AKUBARIKI UMENIFANYA NIPATE NGUVU KTK UTAFUTAJI WANGU

  • @JaphetJohn-dt2cl
    @JaphetJohn-dt2cl หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi mafudisho yako nimeyaelewa sana na yamenifugua

  • @JJTSUPERCLEANER
    @JJTSUPERCLEANER 7 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AZIDI KUKULINDA PASTOR GEORGE!
    MAANA TUNAPATA YALE TUNAYOSTAHILI KUYAPOKEA KUTOKA KWA MUNGU KUPITIA WEWE!

  • @magrethpeter5622
    @magrethpeter5622 ปีที่แล้ว

    Kweli baba unamafundisho mazuri mno.kwa hakika tukifanyiia kazi mfindisho haya kwa hakika tutafik mbali.

    • @gloireluvao1912
      @gloireluvao1912 ปีที่แล้ว

      Nashukuru.saana.umeninasua.katika.ujinga

    • @gloireluvao1912
      @gloireluvao1912 ปีที่แล้ว

      Mimi.ni.mama.mukongo.muji.mukuu.wa.Goma.

    • @gloireluvao1912
      @gloireluvao1912 ปีที่แล้ว

      Natama.kujua.Adres.yako.ao.namba.yako.kusudi.tukualike.kwa.makanisa.zetu.

  • @ronahhassan9525
    @ronahhassan9525 9 หลายเดือนก่อน

    Umeniponya Mwalimu..napitia changamoto ya ugonjwa toka mwezi wa saba na nimeokoka.

  • @PurMer-lx4qf
    @PurMer-lx4qf 5 หลายเดือนก่อน

    Umenitia guvu barikiwa Sana mchunganji❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @NeemaBaraka-ud7lh
    @NeemaBaraka-ud7lh 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtumishi yaan Kila nikiweka bando lazima nifuatilie mafundisho Yako natamani Mungu anifikishe hapo alipokufikisha

    • @shabanisaidy126
      @shabanisaidy126 9 หลายเดือนก่อน

      mwalimu ubarikiwe Sana kwa mafundisho hayo.

    • @shabanisaidy126
      @shabanisaidy126 9 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe mch G.

  • @fredrickmikera5998
    @fredrickmikera5998 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi Mungu akuinue zaidi na zaidi,nimekuwa nikikufatalia zaidi ya wiki 2 sasa.hakika roho wa Mungu iko ndani yako

  • @user-hl1yi5nt9l
    @user-hl1yi5nt9l 6 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli pastor

  • @JJTSUPERCLEANER
    @JJTSUPERCLEANER 7 หลายเดือนก่อน

    Pastor bhana kiukweli kalama yako inaniinuaga sana kiroho!
    "Mungu akuzishie siku za kuishi kwako uendelee kuziimarisha roho zetu"
    Nimefurahi zaid hapo uliposema changamoto za kiro wakristo wengi za kiroho wanazitatua kimwili na za kimwili wanapambana kuzitatua kiroho😅😅😅

  • @beatricemwamini2044
    @beatricemwamini2044 7 หลายเดือนก่อน

    Amen.

  • @JastineMwesiga-um7zt
    @JastineMwesiga-um7zt ปีที่แล้ว

    Ahasante baba

  • @officialjemimahowiti
    @officialjemimahowiti 11 หลายเดือนก่อน

    Pure gospel that opens the mind

  • @maniamba.tz_
    @maniamba.tz_ 10 หลายเดือนก่อน

    Elimu nzuri

  • @mariamnamwa188
    @mariamnamwa188 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimebariwa sana na mafundisho ya huyu mwalimu

  • @JaphetJohn-dt2cl
    @JaphetJohn-dt2cl หลายเดือนก่อน

    Mtumishi umenifugua kweli nilikuwa na changamoto kubwa sana naoba namba ya sadaka

  • @vanessadhenge4319
    @vanessadhenge4319 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji hakika mafunzo yako niya ajabu,yanajenga,yanafunza,yanabariki

  • @victoriamaige2862
    @victoriamaige2862 5 หลายเดือนก่อน

    Ninaomba tuombe pamoja kwa ajili ya kanisa Kuna jambo la upinzani kuchafua huduma.tuombe.

  • @JoycenyellaJoyce
    @JoycenyellaJoyce หลายเดือนก่อน

    Mtumishi naomba uweke No. Sim niwezekuongea na wewe

  • @pastorjustinedamian6704
    @pastorjustinedamian6704 2 ปีที่แล้ว

    Naomba namba pastor G

    • @zawadikimaro4087
      @zawadikimaro4087 2 ปีที่แล้ว

      Napenda mahubiri yako sana mchingaji ñabarikiwa sana

    • @violetdenis9187
      @violetdenis9187 2 ปีที่แล้ว

      I need number of this pasta

  • @zipporahmibei9007
    @zipporahmibei9007 ปีที่แล้ว

    Somo kubwa mno

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 3 ปีที่แล้ว +10

    Waumini mnafaidi sana akili za mchungaji George

    • @onesmothimos2635
      @onesmothimos2635 3 ปีที่แล้ว +3

      Uyu ndo mchungaji ambae ataji magari bila mpango Kama matapeli wengine

    • @Hancymtembo
      @Hancymtembo 9 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu mimi ningekuwa mwanza, nimemuelewa sana wamepata bahati kubwa.

    • @PatrickKanini-vi4zp
      @PatrickKanini-vi4zp 7 หลายเดือนก่อน

      Pastor asante kwa kunipa nguvu mpyaa tunakupenda tukiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇹🇿💙💙

    • @sophiajonas2090
      @sophiajonas2090 หลายเดือนก่อน

      Kwa kweli Wana raha

    • @LeahMuhaje
      @LeahMuhaje หลายเดือนก่อน

      Yaan siku nikaja MWANZA lazima nimuone tu huyu mtumiehi amenibadilisha sana

  • @mawazomolani2677
    @mawazomolani2677 10 หลายเดือนก่อน

    ASANTE KWA SOMO ZURI

  • @AgnesNyaleso
    @AgnesNyaleso 21 วันที่ผ่านมา

    Amen amen amen 🙏

  • @user-bc4yf5de3i
    @user-bc4yf5de3i หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @robatiokiraro5290
    @robatiokiraro5290 2 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @bahatishitindi
    @bahatishitindi 8 หลายเดือนก่อน

    Amina