Mungu aliamua matafa yote Kaanani yaangamizwe,Mfalme Sauli hakutimiza,Mungu akasema watskuwa mwiba ,hiyo ni kifuniko Kwa Mzee wa upako kuhusu Myahudi na Mwarabu, Zak 14:--yote. Wewe ni mvuruga lmani ya kweli kuhusu Mungu wa kweli. Amen
Mimi ni MUISLAMU wa kuzaliwa na naijua Dini yangu vema sana kiasi cha Kumshukuru sana Mungu kwa Hilo.. Nakiri kusema kuwa Mzee wa Upako mara nyingi unakuwa MKWELI sana na una UTU Mara nyingi hupindishi maneno juu ya kile unachoamini ni sawa na ni sahihi.Huna Unafiki na nakupongeza sana kwa Tabia Hizi ambazo ni ktk Mafundisho ya Uislamu na Mtume Muhamad s.a.w Umesema kweli juu ya Ubinadamu kuwa Waizrael waonywe wanapokosea pia Wapalestina waombewe na kuonewa Huruma kwakuwa ni wanyonge.. Kifupi unachotazama ni haki ya Mwanadamu pasi na kupegemea upande wowote kwa kisingizio chochote ikiwemo Imami za kidini.. Nakupongeza sana na natamani siku nikutane nawe na kufanya Mazungumzo ya Ana kwa Ana... Asante
Unaijua koran eti kisawasawa si kweli usijidanganye hebu kwanza msikilize huyo mzee wa upako,kasema soma koran au bibilia kisha changanya na akili yako, msikilize....kiufupi anasema tusikalilishwe, hapo hajamtaja Mohammed kama ni mtume....msikilize.
Wewe ni Prof wa Bible History salute sana. You have a balanced teachings very objective. Kumbe Waisrael hawatupendi Wakristo? Pia kumbe hata Yesu wetu hawampendi? Bora lakini walimkataa kwa faida yetu
Ahh..yote aliyonena miongzi wetu wa dini yameandkwa kwenye vitbu vya mungu Biblia na msahafu napnda mno kusklza ,ubarikiwe,maneno haya ni silaha toka kwa mungu kwa waaminio utukufu wa mungu,Amina.
Huwa napingana na watu wanaosema kwamba Wayahudi ni weusi… wakati najua kwamba Wayahudi kila walipokuwa wanakwenda utumwani hawakuacha utamaduni wao wa kumwabudu Mungu kwa mjibu wa torati. Hata Wayahudi wanaoishi Marekani, wana dini yao ya Kiyahudi tofauti na Ukristo.
Asante sana nataka na mimi ni ulize ivi samahani kwa swali langu, Ibrahim kazaa wa toto 2 na mukubwa kamzaa na mumisri, na misri umesema sio warabu, na Ibrahim mwenyewe sio mwarabu swari langu ni ili Ismail amekuwa aje baba wa warabu nayeye sio mwarabu? Asante mchunganji
Ulev noma kwa hiyo kama wamemkataa yesu hao ni mashetan Alita bak jiwe juu jiwe ile nisehem takatifu ya waliomkubal yesu sio hao myahudi hao wataendea kutanganga na kupigwa kila kona ivyo mzee usitudanganye
Shida nikua viongozi wetu wadin mnatuvuruga sana huu ngogoro mnautazama kwenye dini mnasahau siasa toka vita1 yadunia ya2 nampk intake kutokea vita ya 3 ile vita yasiku6 napia wana waizrael wanao semwa kwenye dini ndohawa mayahudi wa zayun
Wayahudi hawa wa sasa siyo wale wa kipindi cha yesu hawa ni watu enye itikadi za kiyahudi wakazi wa ulaya waka amina kuanzisha taifa la itikadi ya kiyahudi
Laana haichagui ilimradi tu ni Wana Wa Israili; 👉 Qur'an-Surrat AL-MAIDAH 5 78, 👉 Biblia-Yoshua 7: 12 Na hata kama hawa Wayahudi wa Sasa/wa Leo ni Wa Ulaya walaakin Mungu (Allah) Mola Muumba ni yule yule alowaalaani Wana wa Israili.
acha uwongo inamana bs ht. Wanafunzi wa yesu pia hawakumwona ? Kma we huamn kuw hujamwona Mungu je wafuas wko unawapeleka kw mungu yupi kw hyo unawaambia wafuas wawe na Mungu yupi
Ni kweli asilimia 100,ndiomana mi huwa nawashangaa watu eti taifa la Irani wanaliita taifa la kiarabu yaani wanataka kulazimisha Wakorea waitwe Wachina eti kwasababu wamefanana...hawajui kuwa atakama Wachina wanafanana na Wakorea lakini Mchina atabaki kuwa mchina na Mkorea atabaki kuwa Mkorea...ndivyo ilivyo Muarabu ni mtu wa Saud Arabia na wala siyo Iran wala Palestina
@@salumuluhanja2049 ukiona kitu hukielewi usisubiri mtu akueleze.....soma vitabu na historia za mataifa mbalimbali ata kwenye mtandao soma.....andika asili ya waarabu,Wakemiti ni nani? Waajemi ni watu gani?Wakoptiki ni nani?Wapalestina ni watu gani? Utajua tu tena ukiweza soma maandiko mengi tofauti
Wakati hekalu linajengwa Kuna watu walitoa maneno ya kashfa kwamba hata mbweha anaweza kuuboa ilikuwa wapi? Maana wametajwa hata waarabu walikuwa ni miongoni kwa walitoa maneno ya kashfa
We mzee ni mpuuz sana unasema Misri,Morocco,Jordan,Algeria,Tunisia,Libya,Qatar,Yemeni,Palestina,Uturuki,Syria ,Iraq n.k siyo waarabu aya tuambie basi hawa ni wakina nani ??
Kuwaekea vigwazo ningumu mkuu hawa ndo frimason Wasasa hawa ndo wanaongozakwa kilakitu hapa Dunian Wamekamata kila kitu viongozi wa mataifa kama Marekani wengi niwa yahudi
Hiyo ni kweli isipokuwa Ibrahim ni mzawa wa Iraq lakini sio Muiraq Baba yake Tera alikuwa mchungaji Kanaan mwenye mifugo mingi katika kutafuta machunga ya mifugo yake alijikuta huko Iraq ikiitwa Ukaldayo au Babeli baadaye na Wagiriki waliita Mesopotamia mengine ni sahihi
Ngoja nikusaidie. Kama vile Ibrahim alikuja Kanaani na kuwakuta wenyeji na kumuoa pia Ketura na kuzaa masayyid 6, vile vile Ishmael aliwakuta wenyeji na kuoa hapo Makka na kuzaa masayyid 12. Upo? Wenyeji hao ndiyo waarabu. Uzao wa Ishmael ni pote ndogo katika waarabu. Katika uzao wa Ishamael ni kabila la maquraysh ambalo ndilo kabila la Mtume Muhammad.
Kisha enzi hizo za Ibrahimu na Ishmael na Ishaq na Israel sio enzi zetu leo. Kusema Misri, Iraq, Syria ,Jordan... Sio waarabu, waarabu ni Saudia ni makosa kabisa. Population hubadilika kwa zama. Ubarikiwe.
Changamoto ya imani ya dini ni kwamba kubali na amini ilivyo ukihoji unaharibu?wakati wa enzi za Ibrahim wachina,wahindi na wafrica weusi tulikuwa wapi?na Mungu wetu ni yupi kama wayahudi ndio walipendwa na kuwa chaguo lao, sio ubaguzi, huo? Na je kweli Mungu anabagua? Pana shida mahali ktk uandishi wa bibliai?kama Yesu, jesus is God,halafu,wayahudi wenyewe wanamgomea hii masna yake nini?total confusio
Mimi ninaimani kwamba biblia sii maneno ya mungu kwani kuna biblia zaidi ya 8 na zote ni tofauti sana uandishi wake ,hivyo warumi wamechakachua na kutuingiza chaka la 1+1+1=1 na manabii wote walimuabudu mungu mmoja na sii watatu, hii ni propaganda iliyotengenezwa na wakristo baada ya yesu kuondoka
Ukweli ni kwamba dini ni uslamu NA manabi wote wanajua kwamba kuna nabi baada ya yesu atakuja NA akija mfateni huo mtume mohamed yupo kwenye vitabu vyao taurati kwa hiyo waliyo fuwata ni sahihi lakini walikatah kufuta mtume mohamed baada ya kuja NA gruani ndio waliopotea NA ndio walikasrikiwa NA mungu kwa hio dini kwa mungu ni uslaam tu NA ukumbuke kwamba taurati emefutwa futwa NA wayahudi NA emeharibiwa hivyo mtume mohamed wanavyo eleza NA kundi la wayahudi ni watu waongo wauaji makatili hata wameuwa manabi wengi sana
Acha ushabiki wa kibubusa ktk imani ndg yng kwnz soma tafuta elimi acha misimamo yakijinga huyu mzee anaongea ukweli mm nimuislam lkn namkuli hua haongeagi porojo maana nimesoma Qur-an nimesoma historia pia nimesoma bible . sasa toa ww bac hiyo historia yko ucilete micimamo yko ya ovyo ovyo apa
Kama wayaudi walikwenda misri,huko misri siwalijaamiana na wenyeji kwa hiyo huko misri kuna wayaudi nikiwa na maana kwamba walichanganya damu siyo? Huko nyumba ulisema kwamba wayaudi Wana elimu kubwa na ujuzi pia,kwahiyo wamisri wamekuwa na ujuzi na maendeleo kwa sababu ya wayaudi?
Historia hii kwa maelzo yako Imekusanya ukweli na upotoshaji Maoni yako binafsi Ama ukweli 1-kizazi cha Ismail kweli kimebarikiwa na kimeandikiwa kudumu Miongoni mwa barka hizo ni Kupewa mtume Ambae ni Muhammed SW, 2- Mayahudi hawaamini Ukristo wala kumuamini Yesu (Issa) juu yake Amani ya mungu. 3- kweli mayahudi wanawapiga Wapalestina wote waislamu na wakristo. Swali wengi wenu mnawaunga mkono Mayahudi kwa vitendo vyao vya kinyama je hayo pia ni Maamrishi ya Torati je Wakristo wa Palestin Sio waumini wenzenu
Kazi ya mungu ibarikiwe mzee wa upako je. Ni kweli hawa ndio wale waliotokea misri kwa asili.walikuwa weupe hivi kweli.
Mungu aliamua matafa yote Kaanani yaangamizwe,Mfalme Sauli hakutimiza,Mungu akasema watskuwa mwiba ,hiyo ni kifuniko Kwa Mzee wa upako kuhusu Myahudi na Mwarabu, Zak 14:--yote. Wewe ni mvuruga lmani ya kweli kuhusu Mungu wa kweli. Amen
Mimi ni MUISLAMU wa kuzaliwa na naijua Dini yangu vema sana kiasi cha Kumshukuru sana Mungu kwa Hilo..
Nakiri kusema kuwa Mzee wa Upako mara nyingi unakuwa MKWELI sana na una UTU
Mara nyingi hupindishi maneno juu ya kile unachoamini ni sawa na ni sahihi.Huna Unafiki na nakupongeza sana kwa Tabia Hizi ambazo ni ktk Mafundisho ya Uislamu na Mtume Muhamad s.a.w
Umesema kweli juu ya Ubinadamu kuwa Waizrael waonywe wanapokosea pia Wapalestina waombewe na kuonewa Huruma kwakuwa ni wanyonge..
Kifupi unachotazama ni haki ya Mwanadamu pasi na kupegemea upande wowote kwa kisingizio chochote ikiwemo Imami za kidini..
Nakupongeza sana na natamani siku nikutane nawe na kufanya Mazungumzo ya Ana kwa Ana...
Asante
Unaijua koran eti kisawasawa si kweli usijidanganye hebu kwanza msikilize huyo mzee wa upako,kasema soma koran au bibilia kisha changanya na akili yako, msikilize....kiufupi anasema tusikalilishwe, hapo hajamtaja Mohammed kama ni mtume....msikilize.
@@ezekieljacob5795kwa iyo km hajamtaja Mohamad ndo nn sasa ?
Safi dulah kumbe Kuna waislamu wenye hekima nimekupenda bure
@@MuuYascohy-oc7osokay mtume Mohamad amekuja miaka mia Tano baada ya Yesu kristo
@@FocusMsimbe-k5m Kwa iyo km amekuja miaka 500 baada ya Yesu ndo nn ??
mzee asante Sana sababu umeongea kile unacho kijuwa istoria ya kweli kabisa Dr sule aje umufundishe istoria !!!!
Mpuuz sana ww hakuna kafiri yoyote anaeweza kumfundisha Dr.Sure
mzee wa upako hizi ndio sifa njema za maulamaa hawaongee ila haki /kweli, safi sana always hua nakukubali one love my father.
Ubarikiwe sana Mzee wa upako na Amin Neno la Mungu Kwako
Mzee wa upako hakika historia ya israel na palestina unaijua vema uko vizuri.
Kweli kbs mayahudi hawataki wakrsto
Mzee akiongea mimi nakimbilia Peni Na Karasasi. Kisima Cha Elimu, Ubarikiwe Baba.
Ubarikiwe Mtu wa Mungu. Nice History
Mimi naitwa Idrisa Simba ni mwislaam Ila nampenda sana Mzee wa upako ni mtu mwenye elimu na mkweli kupita maelezo
Tatizo huna elimu utamuona km mxom
@@AnisaRamadhan-m6gww mwenye elimu unajua kip
Nafurahi sana kusikia neno ni tamu sana jina la BWANA litukuzwe
Mungu akubari kwafunuo was kweli kabisa Mimi nicongoman
Ubarikiwe Mzee wa upako
Wewe ni Prof wa Bible History salute sana. You have a balanced teachings very objective. Kumbe Waisrael hawatupendi Wakristo? Pia kumbe hata Yesu wetu hawampendi? Bora lakini walimkataa kwa faida yetu
Mzee wa upako yupo sawa, kwenye Historia.
Amen amen hili neno lamungu limekua chakulakwangu Mungu akuienguvu mtumishi wa mungu
Sasa huyu kachanganyikiwa kasema IRAQI siwarabu alafu asema ismaili ni baba wa warabu ASILI ya warabu ni Yemeni hata wasaudi wenyewe wana kubali.
Ubarikiwe sana kwa kutufundisha
Asante kwa ujumbe wa ufahamu
Umeongea maneno ambayo niliyasikia nikiwa mdogo nyumbani kwetu busona kulikua wazee wanaijua bibilia vizuri Mungu amenena nawe ukweli ❤
Ahh..yote aliyonena miongzi wetu wa dini yameandkwa kwenye vitbu vya mungu Biblia na msahafu napnda mno kusklza ,ubarikiwe,maneno haya ni silaha toka kwa mungu kwa waaminio utukufu wa mungu,Amina.
busona ya wapi au ya tukuyu
Baba mustachi wako mzuri❤❤❤❤❤
UNGEZEKA SANA MZEEE
Mzee wa upako nimekuelewa vizuri
mungu akubariki
Naikubali elimu unayoitoa Mtumishi wa Mungu
Amina 🙏 ubarikiwe sana.
Asante sana Mzee wa neno
Mungu atusaidie
Mimi BAdo sijatia comment ila I feel very happy
Good Nice waelewe basi hao wa bish
Amen mzee wa upako
Mzee umeshiba historia ukweli mweupe
Uko sawa
Aminaaaa kabisaaa
Huwa napingana na watu wanaosema kwamba Wayahudi ni weusi… wakati najua kwamba Wayahudi kila walipokuwa wanakwenda utumwani hawakuacha utamaduni wao wa kumwabudu Mungu kwa mjibu wa torati. Hata Wayahudi wanaoishi Marekani, wana dini yao ya Kiyahudi tofauti na Ukristo.
Asante sana nataka na mimi ni ulize ivi samahani kwa swali langu, Ibrahim kazaa wa toto 2 na mukubwa kamzaa na mumisri, na misri umesema sio warabu, na Ibrahim mwenyewe sio mwarabu swari langu ni ili Ismail amekuwa aje baba wa warabu nayeye sio mwarabu? Asante mchunganji
Asante Asante Asante
Ulev noma kwa hiyo kama wamemkataa yesu hao ni mashetan Alita bak jiwe juu jiwe ile nisehem takatifu ya waliomkubal yesu sio hao myahudi hao wataendea kutanganga na kupigwa kila kona ivyo mzee usitudanganye
May GOD bless ISRAEL I pray for peace in YERUSALEMU
2:57 israel ipi? Hyi sasa au israel ipi ambyo tuiombee
Kwa ujumbe huu, nimekuelewa binfsi
Ninekuwelewa baba
Nabii Ibrahim alimwona Mungu! Soma vizuri Biblia ukitafakari kila neno. Hapa utapata maarifa ya kuelewa unachosoma!
Saudi Arabia haikuwepo enzi za manabii yala maeneo mengi yalikuwa yanaitwa Hijaxi sasa unaongelea ipi?
Mzee umetoa lacture ngumu sanaa leo imebid nurudie rudie ili nielewe
Salute
37:07 napenda unijuze watoto wa yakobo nakabilalao jee israel nichi ao kabila nijue hayo yuda ninani
History is the best teacher✌
v
Chifu mwatembe ubalikiwe
sasa Mzee unaninginiza cheni wew ni ster
Mimi ni muislam lakini nakukubaki Kwa kuwa kweli na muwazi katika kuwekeza biblia
Basi okoka....karibu nyumbani
Israel ni taifa la mungu mungu alimbariki Ibrahim Osaka na yakobo ishaell hatumjui ni acha kupotosha mzee
Enda kasome kwanza ndo urudi kuskiza story
Huna Unachojua Kuhusu Ibrahim Kaa Kimya Kasome Na Ujifunze Tena
Mzee hujuwi chochote kuhusu historia ya Israel Kaa kimya uendelee kunywa makonyagi yako
Amina
Shida nikua viongozi wetu wadin mnatuvuruga sana huu ngogoro mnautazama kwenye dini mnasahau siasa toka vita1 yadunia ya2 nampk intake kutokea vita ya 3 ile vita yasiku6 napia wana waizrael wanao semwa kwenye dini ndohawa mayahudi wa zayun
29:28 BABA HAPA SIJAKUELEWA
Amesema kwa mujibu wa biblia sasa kwako inaweza kuwa na history nyingine
Wayahudi hawa wa sasa siyo wale wa kipindi cha yesu hawa ni watu enye itikadi za kiyahudi wakazi wa ulaya waka amina kuanzisha taifa la itikadi ya kiyahudi
Laana haichagui ilimradi tu ni Wana Wa Israili;
👉 Qur'an-Surrat AL-MAIDAH 5 78,
👉 Biblia-Yoshua 7: 12
Na hata kama hawa Wayahudi wa Sasa/wa Leo ni Wa Ulaya walaakin Mungu (Allah) Mola Muumba ni yule yule alowaalaani Wana wa Israili.
Mtanzania wa Sasa na wazamani wanatofauti Gani ? Myahudi ni Myahudi milele na milele .
@@alhadajjmohammedsmith9042Quran ni kitabu cha shetan ndio maan waislam weng wanachukia Israel 🇮🇱 taifa la Mungu
Mm naomba ufafanuzi juu ya masjidi 12, ni kitu gani?
Huyu freemason ni muongo kweli na historia zake za uongo
Duh wacha tu kweli WAGALATIA HAWAJUI HISTORY 🥳🥳🥳🥳🥳HAWA WAACHIENI KUHUSU BANDARI NA KUANDIKA WARAKA MAMBO INGINE ZEROES 😢😢😢😢😢😢
Je, watoto wa Ibrahimu aliowazaa kwa Ketura kwa Sasa wapo taifa Gani? 1:03:59
Labda ndo sisi😅
baba uchungaji utakuwa umesha kushinda yaani sometime unaeleweka some time unavuruga kabisaaaaa sijui ukojeee
Mzee wa upaku sijakuelewa hapo kwenye kizazi
Hakika mola wetu kwa kupitia watu wake.mkishindwanita waletea watu watakao isimamisha dini miongoni mwenu.
Kwanini misri ilitumika kama sehemu ya kutesa,kuelimisha viongozi na kama sehemu ambayoviongozi wengi walipatiwa uwezo huko?
UNAJUAJE km Yesu anakuja leo
acha uwongo inamana bs ht. Wanafunzi wa yesu pia hawakumwona ? Kma we huamn kuw hujamwona Mungu je wafuas wko unawapeleka kw mungu yupi kw hyo unawaambia wafuas wawe na Mungu yupi
hongera mchungaji Naomba nambar yako ya simu mimimnipo kenya Nairobi
Tuma helaa
Wangapi wamefunguka km mimi
Ni kweli asilimia 100,ndiomana mi huwa nawashangaa watu eti taifa la Irani wanaliita taifa la kiarabu yaani wanataka kulazimisha Wakorea waitwe Wachina eti kwasababu wamefanana...hawajui kuwa atakama Wachina wanafanana na Wakorea lakini Mchina atabaki kuwa mchina na Mkorea atabaki kuwa Mkorea...ndivyo ilivyo Muarabu ni mtu wa Saud Arabia na wala siyo Iran wala Palestina
Hik kitu mm nakipinga kwann Saudia iwe waarab? Na misri isiwe waarab?
Misri siyo ya waarabu misri ni waafrica watu weusi ndiomaana unambiwa akili yakuambiwa changanya na yako
@@salumuluhanja2049 ukiona kitu hukielewi usisubiri mtu akueleze.....soma vitabu na historia za mataifa mbalimbali ata kwenye mtandao soma.....andika asili ya waarabu,Wakemiti ni nani? Waajemi ni watu gani?Wakoptiki ni nani?Wapalestina ni watu gani? Utajua tu tena ukiweza soma maandiko mengi tofauti
Wakati hekalu linajengwa Kuna watu walitoa maneno ya kashfa kwamba hata mbweha anaweza kuuboa ilikuwa wapi? Maana wametajwa hata waarabu walikuwa ni miongoni kwa walitoa maneno ya kashfa
Wizrael walipiga maandiko ya mungu na kuua mitume kama yo hana na zakaria na kutaka kumuua yesu mungu akawafanya wawe wanahangaika
Naww mbona unahangaika sasa umemfanya nn Mungu
❤❤❤
Duhh uongo unatumika sana hapa hata saudia ilikua haitwi saudia ilikua inaitwa paran
Naomba ufafanuzi wahesabu34:1- - -
Masijiid ni nn mzee wa upako?
We mzee ni mpuuz sana unasema Misri,Morocco,Jordan,Algeria,Tunisia,Libya,Qatar,Yemeni,Palestina,Uturuki,Syria ,Iraq n.k siyo waarabu aya tuambie basi hawa ni wakina nani ??
Wayahudi wenyewe kuna waisram.wa afrika wazungu
Good
Kuwaekea vigwazo ningumu mkuu hawa ndo frimason
Wasasa hawa ndo wanaongozakwa kilakitu hapa Dunian
Wamekamata kila kitu viongozi wa mataifa kama Marekani wengi niwa yahudi
Hiyo ni kweli isipokuwa Ibrahim ni mzawa wa Iraq lakini sio Muiraq Baba yake Tera alikuwa mchungaji Kanaan mwenye mifugo mingi katika kutafuta machunga ya mifugo yake alijikuta huko Iraq ikiitwa Ukaldayo au Babeli baadaye na Wagiriki waliita Mesopotamia mengine ni sahihi
Ngoja nikusaidie. Kama vile Ibrahim alikuja Kanaani na kuwakuta wenyeji na kumuoa pia Ketura na kuzaa masayyid 6, vile vile Ishmael aliwakuta wenyeji na kuoa hapo Makka na kuzaa masayyid 12. Upo?
Wenyeji hao ndiyo waarabu. Uzao wa Ishmael ni pote ndogo katika waarabu. Katika uzao wa Ishamael ni kabila la maquraysh ambalo ndilo kabila la Mtume Muhammad.
ipi tofauti ya wazayuni na wayahudi
Wazayuni ni watu wanao tumia mwamvuli wa uyahudi kufanya siasa ya kutawala dunia. Wayahudi ni watu wanao amini ktk torati.
Waslam wengi kwer wanawachukia wayadi sana
UJUE PIA IDADI KUBWA YA WAYAHUDI HAWAPENDI KUSIKIA YESU.
wayaudi walishamkata yesu na walimsurubisha
Hata akiwepo myahudi mmoja tu anaemkubalia inatosha
WAJENZI
🙏
Mimi nashindwa kuelewa kuna wayahud wacrsto na waisram mbona mayahudi wana watema mate wacrsto wamelipua ile hospital ya cristo
Mze wa Upako nimekukubali Leo, Je kumkamata Waziri NETANYAHU Nini matokeo yake?
Mzee wa Upako mbona unajichanganya? Vikwazo Kwa Israel ndiyo Nini?
Wewe ni mpigaji tuu. Atanzania mtaamuka lini muache kupigwa.na wapa pole
.
Tuambie wasabato wapo sahihi kusali jumamosi
Muhamad alikwenda kuswal ktk msikit jerusalem inamaana ulikuepo je aliujenga nani na ni lini ?
Kisha enzi hizo za Ibrahimu na Ishmael na Ishaq na Israel sio enzi zetu leo. Kusema Misri, Iraq, Syria ,Jordan... Sio waarabu, waarabu ni Saudia ni makosa kabisa. Population hubadilika kwa zama. Ubarikiwe.
ataongea masaa 24 huwezi kusikia ukrito hapo,unapoongelea historia ni Uislamu na uyahud tu jiulize ukrito ulianza lini?
Hi nielim kubwa
Joba tata momumo
Nabii Ibrahim ametoka iraq
Changamoto ya imani ya dini ni kwamba kubali na amini ilivyo ukihoji unaharibu?wakati wa enzi za Ibrahim wachina,wahindi na wafrica weusi tulikuwa wapi?na Mungu wetu ni yupi kama wayahudi ndio walipendwa na kuwa chaguo lao, sio ubaguzi, huo? Na je kweli Mungu anabagua? Pana shida mahali ktk uandishi wa bibliai?kama Yesu, jesus is God,halafu,wayahudi wenyewe wanamgomea hii masna yake nini?total confusio
Mimi ninaimani kwamba biblia sii maneno ya mungu kwani kuna biblia zaidi ya 8 na zote ni tofauti sana uandishi wake ,hivyo warumi wamechakachua na kutuingiza chaka la 1+1+1=1 na manabii wote walimuabudu mungu mmoja na sii watatu, hii ni propaganda iliyotengenezwa na wakristo baada ya yesu kuondoka
Uko sahihi mkiu wasomaji wa bublia ndio watakuelewa
Ukweli ni kwamba dini ni uslamu NA manabi wote wanajua kwamba kuna nabi baada ya yesu atakuja NA akija mfateni huo mtume mohamed yupo kwenye vitabu vyao taurati kwa hiyo waliyo fuwata ni sahihi lakini walikatah kufuta mtume mohamed baada ya kuja NA gruani ndio waliopotea NA ndio walikasrikiwa NA mungu kwa hio dini kwa mungu ni uslaam tu NA ukumbuke kwamba taurati emefutwa futwa NA wayahudi NA emeharibiwa hivyo mtume mohamed wanavyo eleza NA kundi la wayahudi ni watu waongo wauaji makatili hata wameuwa manabi wengi sana
Una kichaa wewe
Uislam ulienezwa kwa upanga ndiyo maana mnapenda mauaji. Ukristo haujaenezwa kwa upanga ila ni Amani tupu.
Mimi Naitwa Ussi,
Lakini Pamoja na Imani Yangu ya Kiislamu Nimekuelewa Somo Lako na Nimelikubali.
mungu akuokoe uijuwe kweli mzee wangu yani unachukuwa mda mwingi kuongea vitu visivyo eleweka
How?? while he speak the facts but you want the league wake up brother acha ushabiki jiongeze
Jamaa mlevi tuu tuu huyu
Historia imekupiga chenga
Acha ushabiki wa kibubusa ktk imani ndg yng kwnz soma tafuta elimi acha misimamo yakijinga huyu mzee anaongea ukweli mm nimuislam lkn namkuli hua haongeagi porojo maana nimesoma Qur-an nimesoma historia pia nimesoma bible . sasa toa ww bac hiyo historia yko ucilete micimamo yko ya ovyo ovyo apa
Kama wayaudi walikwenda misri,huko misri siwalijaamiana na wenyeji kwa hiyo huko misri kuna wayaudi nikiwa na maana kwamba walichanganya damu siyo? Huko nyumba ulisema kwamba wayaudi Wana elimu kubwa na ujuzi pia,kwahiyo wamisri wamekuwa na ujuzi na maendeleo kwa sababu ya wayaudi?
Misri israel war n mwaka 1967 cyo 63
Vita kati ya Israel na mataifa saba za waarabu kwa siku saba ilikuwa mwaka 1967 na si 1963!
That true
Na Cyo Siku 7 ni Siku 6
Historia hii kwa maelzo yako Imekusanya ukweli na upotoshaji Maoni yako binafsi
Ama ukweli
1-kizazi cha Ismail kweli kimebarikiwa na kimeandikiwa kudumu Miongoni mwa barka hizo ni Kupewa mtume Ambae ni Muhammed SW,
2- Mayahudi hawaamini Ukristo wala kumuamini Yesu (Issa) juu yake Amani ya mungu.
3- kweli mayahudi wanawapiga Wapalestina wote waislamu na wakristo.
Swali wengi wenu mnawaunga mkono Mayahudi kwa vitendo vyao vya kinyama je hayo pia ni Maamrishi ya Torati je Wakristo wa Palestin Sio waumini wenzenu