HISTORIA YA VITA VYA WAYAHUDI NA WAPALESTINA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
    Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
    Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za TH-cam Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

ความคิดเห็น • 209

  • @user-os3tg5bo6v
    @user-os3tg5bo6v 3 หลายเดือนก่อน +2

    Unapoteza muda Kwa kupotosha na kuyafundisha Maneno ya Mungu sivyo -Kichwa Cha Mwili ni Kristo mwenyewe-wamvunjia heshima mwenyewe Kwa kulopoka kama hukuwahi kujazwa na Roho,umelogwa na nani!. Amen

    • @oigenmwaya6018
      @oigenmwaya6018 3 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu jamaa simfuatiliagi kabisaa sijui ila leo nimemsikiliza mwanzo mwisho Kuna mambo kaongea pointing saana fuatilia history utayajua hayo na ni kweli mwaka Jana Israeli wametunga Sheria ukimtaja Yesu ni jela na mengine mengi saana

    • @AmbokileIbrahim
      @AmbokileIbrahim หลายเดือนก่อน

      Kweli leo Nami nimeona kaongea ukweli,ila israel ndio hii hii hakuna nyingine Bali kizazi kitabadirika

  • @Martha-mt5sx
    @Martha-mt5sx 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shalom.kuhusu historia ya wayahudi na ile habari ya Mungu ni mmoja si nafsi 3. Kweli nakukubali. Kuwa umtumishi wa kweli.

  • @lukabernald3924
    @lukabernald3924 2 หลายเดือนก่อน +1

    Napataga amani sana kukusikiliza mzee wa upako.

  • @DrLugendo-sf7cj
    @DrLugendo-sf7cj 9 หลายเดือนก่อน +5

    Leo NIMEFURAHI SAAANA....UMENENA VYEMA SANA...hasa mwishoni.
    Ahsante.... Asalam aleykum

  • @shabanibussara8454
    @shabanibussara8454 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nasikia Paul alikuwa mrumi mchungaji.

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli sisi hatuna la kusema zaidi tushikeni jembe tukalime. Well said

  • @nurusalum6729
    @nurusalum6729 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante BABA yetu CHIEF kwa mahubiri mafundisho mazuri Ameen

  • @WAKRISTOKANISALAMUNGU
    @WAKRISTOKANISALAMUNGU 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli mzee wa upako upo sahihi sana.

  • @user-xt4mi5zs2s
    @user-xt4mi5zs2s 9 หลายเดือนก่อน +2

    Acha kutetea hao wauwaji WA manabii washalaniwa sana Pepo hawatoipata pia walitaka kumuuwa yesu mungu akamnusuru

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 9 หลายเดือนก่อน

      Walimua mpaka Yesu Kristo

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@lulanjamd3886sio yesu tu hata mtume pia walimtilia sum Ili afe

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wa upako uko sahihi kabisa Yesu Kristo akutunze

  • @user-fi2tm6gy6m
    @user-fi2tm6gy6m 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanini mwanadamu hawezi kutii maagisho yamungu mkiristo kuwangalia kitabu Cha mwanzo kuwanzia Moja na kutafakari njia za mungu ilikuithi ufalme wamungu ❤

    • @duncanenyodi6222
      @duncanenyodi6222 3 หลายเดือนก่อน

      Bwana Sule, unadai umesoma saaaana lakini naona huielewi dini ila kichwa yako imejazwa uarabu na chuki kwa wayahudi bandia wazungu.
      Kwanini niseme hivi? Kama kweli umesoma hayo yote kikamilifu, ungelijuwa kwamba muyahudi kamili ni mtu mweusi na Canaan haipo kule wazungu wanatuonyesha ila ndani ya "middle east" ki geography wala si middle east ya kubandikwa na wazungu na waarabu. Kama unatumia kichwa chako mzuri, utaitaje inchi haipo hata ndani ya tropics eti middle east? Je, Halafu inchi ziliopo kwa equator unaziita nini wewe ?
      Hivi punde Tu Russia imeutoa ushahidi uliyofichwa kuonyesha wayahudi walikuwa weusi. Misri yenyewe ilitawaliwa na watu weusi kwenda Hadi huko kupakana na Babylon. Yesu alikuwa kujificha ndani ya watu weusi. Ulisikia wapi utamchukuwa mbuzi mweupe kuficha ndani ya zile nyeusi? Hata kule Roma kuna black Samantha.
      Kulingana na bibilia, kuna wayahudi kadhaa wametajwa au kuonyeshwa kuwa weusi.Hawa hawa watu weusi ndiye waliyokuwa wakipigana vita na waarabu,waroma na wagreek na wewe hapo ndipo unausaliti uafirika wako kumtumikia mwarabu na kumsifiya kwa uovu.
      Tafadhali elewa kwamba miaka Mia inne tangu wazungu na waarabu kuleta utumwa Africa imekamilika. Niwakati ujikomboe kujielewa na kutupiliya mbali dhana za kiarabu.
      Taifa teule ni mtu mweusi peke Yake na hivi karibuni dhana zenu za sijui aqsa aqsa aqsa kilawakati utawaporomoshea vita Hata hizi vita mnaotangaza zianzishe na mchapwe kabisa kwani mungu amekwisha wapa watu wake upanga wakuwanyorosha waliyokuwa vinara vya utumwa wao. Mzungu atawagonganisha waarabu na wazungu kutwangana nao waarabu na washirika wao watachokoza mtu mweusi kulipuzia kisasi kwa kisingizio eti wanashirikiana Na wayahudi wazungu. Hapo ndipo mungu atawawapa waafrika nguvu ya kuwalima waliyowapeleka utumwani maana atawaruhusu kutumia upanga.
      Huu ni utabiri uliyopo, waja na utakamilika hizi karibuni Tu maana tayari kisingizio baina ya muarabu na muzungu kipo na kinashughulikiwa.
      Viva Africa. Viva mungu mkuu WA taifa takatifu la mwafrika. Down with fake Jews. Down with terrorists killing fellow Africans. Down with Arabs!
      Mungu akubariki ujielewe

  • @user-ob4yx3zg4d
    @user-ob4yx3zg4d 8 หลายเดือนก่อน +1

    Safi baba.huwa nakuelewa sanaaaaaa.miaka ming kwako

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 3 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi saana,uko sahihi history imekaa vzr kwako

  • @gracekisaka8461
    @gracekisaka8461 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uko sahihi kabisa.kuhamishia makao makuu Jerisalem ni dalili kabisa za kubomoa msikiti huo .ule unabomolea nina uhakika ..na wameshajipanga ni muda tu unasubiriwa

  • @godymaimu3770
    @godymaimu3770 20 วันที่ผ่านมา

    Hii kichwa ni hatariiiiiiii,
    Hii ndio maana halisi ya CHIEF
    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-ob4yx3zg4d
    @user-ob4yx3zg4d 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante umeeleweka baba

    • @charlesphiliph528
      @charlesphiliph528 8 หลายเดือนก่อน

      Kwa nini mnapiga hayo magita gita????Tunataka kusikia taarifa

  • @mtindikoja8837
    @mtindikoja8837 9 หลายเดือนก่อน +3

    Asilimia kubwa anaongea ukweli Ila kwakua hampendi ukweli mnahisi kamavile ameegamia kwawaislamu huo ndio ukweli japo hamuutaki

  • @HamisMzava
    @HamisMzava 2 หลายเดือนก่อน

    Ahsante kwa kuwakumbusha malofa wanaosema Palestine wapigwe

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hamna taifa la Mungu hapa duniani. Ile nchi ya Israel ni nchi tu kama nchi nyingine haina umaalumu wowote. Mungu na haki yake hawezi kuendelea kuji-identify na taifa ruthless kama lile. Mungu hana fahari ktk unyama na uonevu wa israe. Kuendelea kumuhusisha Mungu na taifa kandamizi, onevu kama lile ni kufuru tu. Mungu anayeagiza na kusimamia haki hawezi kuwa kipenzi cha wakoloni

    • @isayaamulike
      @isayaamulike 7 หลายเดือนก่อน +1

      Live. Hao so wenyewe tunadanganywa

    • @afanikiwechaula1347
      @afanikiwechaula1347 15 วันที่ผ่านมา

      Ndo ufahanu wako ulipo ishia

  • @user-kp2sk2vi7d
    @user-kp2sk2vi7d 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hujui

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 8 หลายเดือนก่อน +4

    Satellite mzee zimejaa wachina, warusi
    Yani umepotea kabisa

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 8 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu jamaa anabahatisha. Wakati mrusi ndio wa kwanza duniani kurusha satellite

    • @isayaamulike
      @isayaamulike 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hata kenya tu wanazo

    • @ngadupalaamour
      @ngadupalaamour 11 วันที่ผ่านมา

      Naona alimaanisha wale WA kwanza kwenda anga za mbali japo hata Urusi ina idadi kubwa sana ya wayahudi na wanajumuiya kubwa sana kule Russia

  • @christophermwanjoka7406
    @christophermwanjoka7406 8 หลายเดือนก่อน +1

    Du nimeilewa sana

  • @user-xt4mi5zs2s
    @user-xt4mi5zs2s 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu kawapa Pepo ya Dunia to Pepo hawatoiyona

  • @user-vy8tb2hq9w
    @user-vy8tb2hq9w 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hatari

  • @BinBadru
    @BinBadru 9 หลายเดือนก่อน +1

    Muhammad saw ametwambia issa mwana wa bikira maryam atakaposhuka toka mbinguni ataoa na atawakana wale wote waliokua wanamuita Mungu na ataishi miaka 7 na atafata sheria za Muhammad na ulimwengu utakua na amani nayo hy ni ishara ya kiama

    • @ShawnBeatz
      @ShawnBeatz 9 หลายเดือนก่อน +1

      Vichekesho hivi😂😂😂

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 3 หลายเดือนก่อน

      mnawaza ngono tu.

  • @hurumajosephat6333
    @hurumajosephat6333 9 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana mzee wa upako Mungu akubalik

  • @user-in7jr4py7y
    @user-in7jr4py7y 8 หลายเดือนก่อน +1

    Haja egemea Kwa waislamu eleweni hapo ana tukuzwa yesu kristo mwamba

  • @georgenyasudi4060
    @georgenyasudi4060 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ni dini yenye uongo mwingi zaidi ya mtu flani humu inchini.

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 9 หลายเดือนก่อน +2

    MASII DAJALI HUYOOO ATAKUJA KUWAPOTEZA WATUU.

  • @JohnNkina
    @JohnNkina 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kama nakuelewa

  • @amanitarimo2026
    @amanitarimo2026 3 หลายเดือนก่อน +1

    Muisrael anakalia kimabavu eneo la Golan Heigh huko Syria na pia sehemu za Lebanon

  • @joneshelberth1025
    @joneshelberth1025 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee;

  • @omaar5693
    @omaar5693 9 หลายเดือนก่อน +4

    9:54 bora uwambie mapema, maana huko Israel Yesu mwenyewe ni WANTED...
    ni kheri ashukie GAZA atakabidhiwa mamlaka yote...

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wanted ni mamaako anaefirwa na babaako

    • @omaar5693
      @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@vincentcharles4385 unanitukana kwa sina vya kukukamata ama?

    • @omaar5693
      @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@vincentcharles4385 fresh mamangu hajasulubiwa na babangu ni marehemu,,,
      unatusi lingine?

    • @omaar5693
      @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@vincentcharles4385
      so wewe huko kanisani unafundishwa kutukana wazee wa wenzako bila kujali ni marehemu au wako hai, na unatoa sadaka?

    • @omaar5693
      @omaar5693 8 หลายเดือนก่อน

      @@vincentcharles4385
      mimi sitomtukana mzee wako najua kwangu ni point...
      huenda ukawa ibilisi anaetafuta point kwamba amesababisha nikatukana, ila kama wewe ni mtu,,,
      jidhanie wewe si mtukanaji alaf mtu anakutukania mama na babako just think ila kama ni mwehu au mhadarati potezea tu.. mimi spati faida kutukana,
      usisema wewe ni mtu wa mungu umechukia nimesema yesu ni WANTED huo ni ukweli ndio maana ni marufuku kumtaja,,, so ungekuwa unajua kitu ungenikosoa lakini huna zaidi ya matusi angekuwepo hapa angekuunga mkono??

  • @BinBadru
    @BinBadru 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hayo unenayo Muhammad alikwisha tuelezea tangu karne ya 3 na koran au waislamu tunaposema issa mwana wa maryam hajafa wala hajasulubiwa bali alipaishwa mbinguni tunamaana kubwa

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 3 หลายเดือนก่อน

      muhamad kazaliwa karne ya 6. ila amewaambia hayo maneno karne ya 3🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @saimonjmai801
    @saimonjmai801 9 หลายเดือนก่อน +1

    Chief🎉🎉🎉🎉

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mayahudi wahamwamini yesu kabisa, alaf wanasema katika torati dini inayosujudia sanamu ni bora achinjwe...yan hawaamini kabisa ukristo...Alaf waarabu wapo wengi tu wakristo kama lebanoni pupulation kubwa ni wakristo japo ni Waarab na nchi zote za kiarab zina wakristo wengi yeye muyahudi anapigana na dini zote hzo anasema dini ya kweli ni uyahudi na torati ni kitabu cha mwisho. Mussa ndo Nabii yao.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 9 หลายเดือนก่อน +3

    tunawaombea amani wasiuwane wanaoumia ni wazee wanawake na watoto

  • @clemencelisonga8261
    @clemencelisonga8261 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nimecheka kwa maneno yako yako ya mwisho

  • @user-lo9oh8rq1f
    @user-lo9oh8rq1f 7 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sahihi usemacho watu sikieni ukweli huoo msishabikie mambo msiyo yajua.. Pateni ukweli huo

  • @kaoretosha6668
    @kaoretosha6668 หลายเดือนก่อน

    Endelea kuwadanganya hao jamaa zako....

  • @andrew29468
    @andrew29468 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mpinga kristo yupo hata sasa

  • @NgebaSumahili
    @NgebaSumahili หลายเดือนก่อน

    Mbona ampigi makofi tena

  • @oleangolwisye5367
    @oleangolwisye5367 9 หลายเดือนก่อน +1

    Genius

  • @madawamchuwa8253
    @madawamchuwa8253 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweli maana ukristo ulikuja baada ya yesu kuondoka

  • @DaudaBilikesi
    @DaudaBilikesi 8 หลายเดือนก่อน +1

    KWA MIAKA 1000 ANAYOKUJA KUTAWALA DUNIA AKIWA YERUSALEM NA KUWATAKA WANADAMU WOTE WAENDE KUSALI YERUSALEM VINGINEVYO WATAKOSA MVUA NCHINI KWAO,BADO KUNA WATU TUTAENDELEA KUAMINI YESU NI MUNGU?

  • @user-cw3vu8mu3k
    @user-cw3vu8mu3k 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lusekelo nani ajui kwamba apo uko na ipad au unaniona mimi ni mjinga kama hao unawaona mbulula

    • @NdeshaPaul-uz9bw
      @NdeshaPaul-uz9bw 8 หลายเดือนก่อน +1

      Huna la kichea I? Tena basi hueleweki punguza kinywaji mzee wa upako

  • @costofamily4861
    @costofamily4861 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaa ana madini huyu

  • @tenzichagaga
    @tenzichagaga หลายเดือนก่อน

    nakubal

  • @SaimonNtupwa-pj5ei
    @SaimonNtupwa-pj5ei 4 หลายเดือนก่อน +1

    Devi

  • @omaar5693
    @omaar5693 9 หลายเดือนก่อน +1

    10:40 huu uongo kwangu una maslahi nitaupataje mkuu yani nautafuta kwa garama yoyote..

    • @alphageorge5563
      @alphageorge5563 9 หลายเดือนก่อน +1

      Soma Biblia kila kitu kimeandikwa

    • @omaar5693
      @omaar5693 9 หลายเดือนก่อน

      @@alphageorge5563
      hicho nnacho kitaka hakimo kwenye biblia

  • @NasraKadabla
    @NasraKadabla หลายเดือนก่อน

    Dar wakristo ayo makofi kawafunza nani

  • @oneafrica01
    @oneafrica01 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nasikia sauti ya baba levo et mnombaomba halafu hamna akili

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 2 หลายเดือนก่อน +1

    Saf

  • @user-ij9te1ck9p
    @user-ij9te1ck9p 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hapana Israel imenyanya Golan heights safu ya milima iliyopo Syria mpaka Leo amehodhi na kuweka base za kijeshi,alinyakuwa milima ya Sinai Misri alirudisha baada ya makubaliano maalum yaliyosimamiwa na Marekani

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ni mhongo Sana,anatumia point kidogo Sana ndani ya Biblia,ili kuwapotosha watu,unabii wa miaka elfu 1000 ni wa watakatifu kuwa mbinguni,baada ya hapo waovu watachomo Moto,Kisha dunia itasafishwa,na watakatifu wataishi milele zote bila dhambi,kifo,magonjwa,havitakuwapo Tena!!!

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 9 หลายเดือนก่อน

      Kwani ww ni Mkristo au mm ni me title nimenisikilize kwanza😂😂😂😂

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 9 หลายเดือนก่อน

    Wanaoamini yesu kuibiwa sio wayahudi tu hata waislamu wanaamini yesu kaibiwa.eti iyo habari wameambiwa na mayahudi nao wameamini😢😢😢

    • @madawamchuwa8253
      @madawamchuwa8253 9 หลายเดือนก่อน +2

      Labda WA Islam WA kwenu muislam gani ana urafiki na uyahudi mpaka amuelezee mambo ya yesu? Allah anatuambia Sisi sio marafiki WA WA Kristo wala WA mayahudi mana nyie ni marafiki nyinyi kwa nyinyi

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 9 หลายเดือนก่อน

      @@madawamchuwa8253 acha uongo Quran inasema mayahudi ndio wamewaambia kristo aliwatoroka na wakamsurubisha mtu mwingine

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 9 หลายเดือนก่อน

      Sisi Waislamu tunaamini kuwa Yesu Hakuuwawa, bali Mungu alimnusuru kutoka katika makucha ya Umauti ...
      Tuulize Waislamu... Usisikie yanayosemwa juu yetu..

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 9 หลายเดือนก่อน

      @@swafiirbulbul819 Mungu alimnusuru kristo hasiuwawe hayo ni maneno ya nani kwenye Quran aloyasema hayo ni nani?

    • @swafiirbulbul819
      @swafiirbulbul819 9 หลายเดือนก่อน

      @@martinmkoba361 Ni maneno ya Mungu wetu sote pamoja na Yesu/Issa Mwana wa Mariamu...
      Hakuwa Yesu isipokuwa ni Mtume kwa Wana wa Israeli kama inavyotaja katika kitabu chenu YOHANA 17:3 ....

  • @JosephKabadi
    @JosephKabadi 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtu hana upako wa Mungu labda wa shetani maana anayoyasema yanaonekana ni wakala wa shetani sijui anaisomaje hiyo biblia kuweni makini na watu kama huyu atawapoteza wengi

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ma ofisa wa kijeshi Esrael wana majina mengi Christian

    • @mussahamadi3849
      @mussahamadi3849 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa wakristo ni wayahudi Kwani yesu si myahudi then nyinyi wakristo msiyokwa wayahudi mmedandia mtubwi WA kibwengo coz yesu alitumwa kwa Wana waisrael Sema wakamkataa ndio wakalaaniwa wachache waliomkubali kina Paulo na petro ndio wamefanikiwa na ni wayahudi ushauri someni biblia muielew Jesus is for Jews only.

  • @rahmasalum1317
    @rahmasalum1317 9 หลายเดือนก่อน

    Mayahud ni maadui zetu sote waislam nawakirsto tatizo wakirsto hawaelew ni wachache wanafahamu kama huyu muhubir anajua vzr

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 9 หลายเดือนก่อน +1

      Biblia inasema mpende adui yako muombee anaekuudhi. Sisi Wakristo ni wajibu wetu kumpenda adui yetu.

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@abbyadams8691Umemjibu vizuri sana

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@abbyadams8691Kwa hiyo na wewe ni mkristo unaeabudu Sanam lá yesu na maria

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 9 หลายเดือนก่อน

      Wokofu unatoka wayahudi taifa la Mungu

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 9 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanchenga4606 Kwa Hawa hawa wanaoazimisha ushoga wameopitisha kutombana matakoni ni halali au lingine? kuwa na akili acha ujinga

  • @brunoh_bx77
    @brunoh_bx77 8 หลายเดือนก่อน

    Mwamba anajua sana huyu tena anatumia maandiko ya Biblia😂

  • @omaar5693
    @omaar5693 9 หลายเดือนก่อน +2

    12:33 mkuu unawaumizi vichwa watakudhani umekula TENDE kutoka gaza
    edited:
    nawambia hivi alivyo andaliwa ibilisi
    ni sawa na alivyo andaliwa Israel kama unambariki Israeli
    wengine wanambariki ibilisi... 👈 kweli iyo
    niite muongo nikupe ushahidi

  • @martinkidenya3060
    @martinkidenya3060 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @meshack3266
    @meshack3266 6 หลายเดือนก่อน

    Yani mtu anawafundisha mnapiga makofi sasa sijui mnashangilia nn nyie watu bhana tulizeni akili muelewe

  • @FocusAmnaay
    @FocusAmnaay 9 หลายเดือนก่อน +2

    Hata wewe ninabii wa uwongo😂

  • @nyibukojoel3952
    @nyibukojoel3952 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi naona anataka kusilimu huyu jamaa. Biblia inasema nitambariki akubarikiye na kumlaani akulaniye. Kwanini ajiite Israeli?

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 9 หลายเดือนก่อน

    Oooowakisto chaleeeee hahahhhaha 😂😂😂wqnashabikia kitu ambacho

  • @user-ez9qc2jo1x
    @user-ez9qc2jo1x 9 หลายเดือนก่อน +1

    yani Yesu atakuja kutawala duniani akiwa Yerusalem? kwa miaka 1000? nilijua utawala wake ni mbinguni tutakapokuwa nae

  • @isayaamulike
    @isayaamulike 7 หลายเดือนก่อน

    Kuhusu satellite so kweri wengi wanazo

    • @andrew29468
      @andrew29468 7 หลายเดือนก่อน

      Hujaelewa
      Kasome vzr kuhusu issue Ya satellite
      Google tuu ujue vzr

  • @jessemathew4696
    @jessemathew4696 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mzee anaongea pumba tu.
    Dola ya kwanza kutawala Dunia ni Misri ya pili Ashuru, ya 3 ndio Babel, ya nne Wamed na waajemi tano ni Wayunani na sita ndio Rumi.
    Soma Biblia usisomewe

  • @milakauli
    @milakauli 7 หลายเดือนก่อน

    Huku utawasikia makafisto myahud mzur loooooooo zinduka na hapo anasema msikiti wa Palestina utavunjwa hiyo imendikwa kwenye Quru'an na yeye asiwafanye et anatabili hahahahaha zindukeni wagalatia😅😅😅

    • @user-ks2xm5yb4p
      @user-ks2xm5yb4p 7 หลายเดือนก่อน +1

      Amina mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏

  • @johannesssamsonambogo4125
    @johannesssamsonambogo4125 2 หลายเดือนก่อน

    MZEE WA UPAKO NI MPUMBAVU SANA, UJUI BIBLIA ATA KIDOGO SEMA UMEBARIKIWA KUONGEA VITU AMBAVYO WAJINGA WENGI UKUELEWA KWA HARAKA SANA, WALA MUNGU HANA MAHUSIANO NA WEWE MAANA UJUI HABARI ZAKE ATA KIDOGO, KILICHOANDWIKWA KWENYE BIBLIA USICHANGANYE NA KILICHOANDIKWA KWENYE QURAN, MAANA BIBLIA NA QURAN NI VITABU TOFAUTI KABISA.

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mlevi wa konyagi,wanaokusikiliza ni wapuuzi wenzio

    • @NicodemusGasore-xk9kd
      @NicodemusGasore-xk9kd 8 หลายเดือนก่อน

      Hapana ana madhaifu yake lakin ameongea kwel, judaism( uyahudi) ni din ya kiyahud , din ya musa.....yupo sahihi 90%

  • @user-qg5yd9ki4v
    @user-qg5yd9ki4v 2 หลายเดือนก่อน

    Kwama wenye akil wamekataa ww nan

  • @rahmasalum1317
    @rahmasalum1317 9 หลายเดือนก่อน +12

    Yaani wao nimakofi tu uyu jamaa anawazindua lkn kiakili sana ila wao hawapo wakirsto mna nn vchwa havifunuki 😂😂😂

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 9 หลายเดือนก่อน +1

      @rahmasalum1317 Sidhani kama una akili timamu, Imani kutokua ya kwako ukijiingiza tu kwa maana ya kuibagaza unakua mpumbavukubwa, Kaa na Imani yako unayo iamini basi, unaponda na haujui lolote, hakuna siku uliongea na MUNGU akakwambia waKristo ni Imani isiyo faa, unaaminishwa tu na hauna lolote unalo lijua

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 9 หลายเดือนก่อน +4

      Sisi wakiristo tunaona nyie waislamu ni mabogazi hamna akili kabisaaa

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 9 หลายเดือนก่อน

      WAGALATIA AMKENI WALE NI MAJAMBAZI 😢😢😢😢😢

    • @emmanuelbilikundi1589
      @emmanuelbilikundi1589 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@georgemassebu2083😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@OmmyJames-xn7ji waislamu mbona wagumu kuelewa vichwa vyenu vigumu kama mawe mmeambiwa vya kutosha hiyo dini yenu inawapeleka motoni nyie mmekomaa nayo tu poleni sana

  • @oneafrica01
    @oneafrica01 9 หลายเดือนก่อน

    Tufundishe muizraeli wa kweli ni nani? je asili yao ilikuwaje?

    • @user-ez9qc2jo1x
      @user-ez9qc2jo1x 9 หลายเดือนก่อน

      soma kitabu cha mwanzo,kumbukumbu la torati,kutoka utajua

  • @mahadboy5124
    @mahadboy5124 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa makofi ya nini😂😂😂😂

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wa yahudi wa christian ni wengi sana tena angalia majina yao hasa ma ofisa wa kijeshi ni wengi

    • @user-ez9qc2jo1x
      @user-ez9qc2jo1x 9 หลายเดือนก่อน

      israel wakristo wachache sana karibia wote hasa ktk majeshi yao sio wakristo ni JEWS

    • @shabanibussara8454
      @shabanibussara8454 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-ez9qc2jo1x Naam...Ni 1% ya waisrael WOTE.

  • @user-fj3dp2xe4q
    @user-fj3dp2xe4q 9 หลายเดือนก่อน

    Awa jamaa wanambiwa haqqi wanaambiwa ukweli wazinduke wao ni makofi tuu kama mambumbu mbu vile

  • @MichaelMagige
    @MichaelMagige 9 หลายเดือนก่อน

    Mkitaka kujua ukweli wa Biblia na kuhusu unabii wa cku za mwisho za kufungwa historia ya ulimwengu,Mambo yote yanatokea Sasa Vita duniani kote,hasa hivi Vita vya Ukraine na Russia,palestina na Israel fatilieni mikutano ya wasabato utayapata,mwakani mwezi wa tano 2024 mikutano itarusha Tanzania nzima,na nchi nyingi zitafuatilia!

    • @user-ez9qc2jo1x
      @user-ez9qc2jo1x 9 หลายเดือนก่อน +1

      wasabato wametokea wapi? wote tumetokana na hao hao waisrael

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 9 หลายเดือนก่อน

    Isa anarudi kwa mpigana na anti christ the dajjal

  • @andrew29468
    @andrew29468 7 หลายเดือนก่อน

    Nataka kujua nani mpinga kristo????

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 6 หลายเดือนก่อน

      Waislam wanamwita masjdajar wakrsto wanamwta mpga krsto

    • @nassorsharifu9837
      @nassorsharifu9837 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@saphinalutaha9077ni Masihi dajal

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 9 หลายเดือนก่อน

    Kweli akili ni mali uwezi kueleza yote juu wateja watakimbia

  • @justinnoah4590
    @justinnoah4590 9 หลายเดือนก่อน

    Pamoja na kuongea vizuri kuna maeneo umepwaya sana mtu wa Mungu. Huwezi kusema waisraeli ni wale wa Musa na si hawa. Kwa hiyo kizazi cha Ibrahimu hakuna tena sio. Mzee Israeli ni taifa la Mungu: Ukisema walishaasi kwani wakati wa Musa Israeli hawakuasi? Rudi kwenye maandiko usome vizuri. Kuitakia amani Yerusalemu ni Biblia. Please usipotoshe watu

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 3 หลายเดือนก่อน

      Kaa kimya huna unalolijua, benders fuata upepo.israel ya leo siyo ile. Na ndiyo maana sasa ni makao makuu ya ushoga

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 9 หลายเดือนก่อน

    Unadhani ww ni mchungaji nyny ni political zynonist

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 9 หลายเดือนก่อน

    Huu ndo ukweli japo wengi hawawezi kuuamini.

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 9 หลายเดือนก่อน

    Apokwenye setilite umetudanganya

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 9 หลายเดือนก่อน

      @chazy7ya216
      Israel ndiyo yenye Sitilite angani, hata ukiisikia ni ya Marekani lakini ni waliyo tengeneza na kuirudha ni waYahudi,, na wana control wao

    • @NicodemusGasore-xk9kd
      @NicodemusGasore-xk9kd 8 หลายเดือนก่อน

      Na bado sattelite ni wao ndo mabingwa had sasa dunia nzima

    • @shabanibussara8454
      @shabanibussara8454 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@georgemassebu2083Ushahidi..???🤷🏻‍♂️

    • @shabanibussara8454
      @shabanibussara8454 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@NicodemusGasore-xk9kd🤷🏻‍♂️ Ushahidi??????

  • @lucksonsikaona505
    @lucksonsikaona505 9 หลายเดือนก่อน

    Umeshakuwa kibaraka wa waislamu huwezi kutenganisha ukristo na muisraeli wewe umepewa rushwa ili kupotosha ukweli nyie ndio manabi wa uongo yesu mwenyewa ni muyahudi ukweli wote upo kwenye bibilia huyo yesu unaye mutaja ametoka kwenye kabila lipi acha kuwa danganya washitukab

    • @mussahamadi3849
      @mussahamadi3849 8 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli huwezi kutenganisha ukristo na uyahudi but wayahudi hawamkubali yesu. Wakristo ni wayahudi waliomkubali yesu. Lkn ndugu yesu ni kwa wayahudi 2 na sio ulimwengu mzima rejea biblia vzur

    • @user-ij9te1ck9p
      @user-ij9te1ck9p 3 หลายเดือนก่อน

      Kwani huwelewi Mayahudi ndio walioikamata Dola ya America na UK hauwelewi ndio walioamzisha bank ya kwanza Barclays 1750 chini ya kizazi kiitwacho The Rose Child Society na huwezi kuwa rais WA America bila idhini na matakwa Yao na hujuwi ndio waanzilishi WA Free Manson (kuabudu shetani) na hujuwi sherehe za ushoga Makao Makuu yake TELAVIV, ISRAIL na hujuwi waziri WA ulinzi WA Israel ni shoga. Utataka aje nani akufumbue macho basi tafuta elim ata kwenye Google siku hizi Dunia ipo mtandaoni mbona huelewi Dunia inavyoenda brother upo na ushabiki usio na maana

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 9 หลายเดือนก่อน

    Siku zote mzee wa upako huwa simuelewi mahubiri yake mengi ni ya kiislamu asilimia tu ujulikane moja alishawai kusema yesu sio mKiristo mara mkataba wa bandari dp world kuuzwa miaka Mia ni sahihi yani yuko tofauti kabisa na waKiristo wengine wabaojitambua

    • @wilbatnyato4679
      @wilbatnyato4679 9 หลายเดือนก่อน

      Anachosema mzee wa upako ndio biblia ilivyo tatizo wengine wanaingiza tamaduni za walioleta dini na kusema ni maagizo ya Mungu wakati ht kwny biblia haipo kabisa.Ukisoma Quran vzr na biblia vzr na kuweka pembeni tamaduni za walioleta dini utaona uislamu na ukristo vinaendana mnooo na wote baba yao wa imani ni mmoja ambae ni Ibrahimu hivyo wakristo na waislamu ni ndugu wa damu toka enzi na enzi

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 9 หลายเดือนก่อน

      AMKA WEWE FALA UNALILIA BANDARI BADO 🥳🥳🥳🥳🥳KULE KWA MANABII KUNA MASHOGA WENGI WANAKUSUBIRI 😢😢😢😢😢

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 9 หลายเดือนก่อน

      @@OmmyJames-xn7ji wenzenu wanapigwa huko uarabuni na wateule wa Mungu mmevamia maeneo matakatifu ya watu mkajenga msikiti sasa wenye nayo wamerudi wanayataka wajenge masinagogi yao msijisahaulishe na kutafuta huruma kwa watu mnavamia mpk miji mitakatifu ya watu wengine bila hata aibu?!

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 9 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanmahongole9293 SEHEMU TAKATIFU YA SHOGA KAMA WEWE

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 9 หลายเดือนก่อน

      @@OmmyJames-xn7ji mashoga wako macca na wengine kila mwaka wanakwenda macca kuzurula🤣🤣🤣

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 2 หลายเดือนก่อน +1

    Saf