MZEE WA UPAKO;YESU HAKUA MKRISTU WALA HAKUWAHI KUINGIA KANISA LOLOTE,ALIINGIA MSIKITINI TU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
    Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
    Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za TH-cam Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.

ความคิดเห็น • 1.4K

  • @rajabually8659
    @rajabually8659 2 ปีที่แล้ว +15

    Mzee wa upako wewe kweli ni msomi wa biblia hongera sana kwa kuwa mkweli

    • @fredjoel1350
      @fredjoel1350 2 ปีที่แล้ว +1

      Hasa akinywa konyagi anakuwa mkweli😂

    • @user-ls2nq2eq3l
      @user-ls2nq2eq3l 4 วันที่ผ่านมา

      ​@@fredjoel1350🤣🤣🤣

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 2 ปีที่แล้ว +20

    Allah akuongoze in sha Allah umenena vyema

  • @kimweritz6364
    @kimweritz6364 2 ปีที่แล้ว +12

    Wanaelewa sana Mzee wa Upako tatizo wanapinga ukweli kulinda MASLAHI YAO makanisani huko

  • @ramadhanimtetu7246
    @ramadhanimtetu7246 2 ปีที่แล้ว +36

    Madini hayooo !!!
    Huyu Baba Anajua Mpaka basi
    Mimi ni Muslim lakini Mahubiri yake
    Ni Safi sana hapendi kona kona

    • @eppiemodest
      @eppiemodest 3 หลายเดือนก่อน

      Kila mmoja na imani yake. Utatu mtakatifu aheshimiwe. Baba. Mwana na Roho mtakatifi
      Nafsi ya kwanza ni Mungu Baba aliyetuumba pamoja na dunia na vyote vilivyo ndani yake.
      Nafsi ya pili ni Yesu Kristo Mkombozi wetu, Alifia Msalabani tupate msamaha wa dhambi kipitia damu yake.
      Nafsi ya tatu ni Roho Mtakatifu ambaye anatupa mwongozo na kutuimarisha katika imani yetu ya Ukristo. Ndiyo maana huwa tunasononeka tukifanya mabaya au kufarijika tutendapo mema. Ni Roho Mtakatifu yuko kazini.

  • @charlesrweyemamu8352
    @charlesrweyemamu8352 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera Mzee wa upako umenena vema Kwa zaidi ya 90%

  • @khamisikapopo9356
    @khamisikapopo9356 2 ปีที่แล้ว +12

    Unawakera Sana umekuwa Bernard Morison unawakera mzee wa upako

  • @brunoh_bx77
    @brunoh_bx77 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wa upako ni very brilliant yaan anajua kuhusianisha maandiko matakatifu na maisha ya uhalisia, hongera Mungu akubariki sana kwa elimu hii uliyotupatia👏👏👏🙏

  • @shabansalum9283
    @shabansalum9283 2 ปีที่แล้ว +19

    Wewe mzee nimkweli sana Mungu akuongoze njia

    • @ghulamjuma2883
      @ghulamjuma2883 2 ปีที่แล้ว

      Mwenyezi Mungu akuongoze kwenye njia njema

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 2 ปีที่แล้ว +1

      AWE MUISLAM 😁😁😁😁

    • @ghulamjuma2883
      @ghulamjuma2883 2 ปีที่แล้ว

      @@aaaaaah290 Ameen

  • @lizzygussep2051
    @lizzygussep2051 2 ปีที่แล้ว +13

    Leo Ndy nimekulelewa last time hukufafanua vizuri Asante baba

  • @hamidafundi-pw1gw
    @hamidafundi-pw1gw ปีที่แล้ว +6

    Asante Askofu Mzee wa Upako. Kwa hakika nimejifunza.. Hakika mwenye akili hujifunza kutoka kwa wengine. Tushikamane kumrejea MWENYEZIMUNGU .Dini ni njia tu ya kurejea KWAKE.

    • @user-rq1ir9jq1d
      @user-rq1ir9jq1d 3 หลายเดือนก่อน

      Story huwa ni tamu,,, lakini mara nyingi huwa ni uongo au ubunifu,,,, Cha msingi ndg yangu tusome maandiko yatuhekimishe na kiukweli kuhusu dini hatuwezi kuelewa chochote bila kurejea ktk historia halisi iliyobeba Alpha na Omega yaani Mwanzo na mwisho Nayo ni Mwa 1:1-31 ALPHA yaani MWANZO.
      Na Mwa 2:2-3 OMEGA yaani Mwisho.
      Kwa pamoja Alpha na Omega unadhihirishwa ktk Mwa 2:1-4 , huo ni mpango mzima wa Mungu hadi Itokee mabadiliko kutoka Mungu kuumba upya na kufuta uumbaji wa kwanza....... Hata hivyo akiumba upya anarejelea Alppha na Omega tena Isaya 66:22-23 na Wakati atafuta wote watakaomwasi ktk hilo Isaya 66:24.…....... Tafakari ndg ya uharibifu mkuu unaendeshwa na Watu wasiotaka kusema ukweli ila wanataka kupoteza sura ya Mungu kwa wanadamu duniani kote Eze 22:24-26.

    • @user-rq1ir9jq1d
      @user-rq1ir9jq1d 3 หลายเดือนก่อน

      Atazidi kuwadanganya kwakuwa yeye ni wakala wa shetani.... Iko atasema ukweli tu...tumwombee

  • @omarimussa7904
    @omarimussa7904 2 ปีที่แล้ว +19

    mungu akurinde kwakuwapa shure nzuri sana sana

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 ปีที่แล้ว

      Share??? Come on!

    • @uwezohekima-qk8ss
      @uwezohekima-qk8ss ปีที่แล้ว

      Wewe nae rudi shuleni ukaanze Dr's la kwanza ili ukajifunze irabu sawasawa unakimbilia nn kuandika mtandaoni unajichoresha tu na kumbe hujui kusoma na kuandika eti MUNGU AKURINDE Na wakati ulitakiwa kuzena akulinde alafu SHURE pale ulitakiwa uandike shule km hujui kuandika kaa kmya!!!

    • @MuhidiniNassor
      @MuhidiniNassor 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@uwezohekima-qk8ssalitakiwa kuzena au kusema mkosoaji ni mwehu zaidi anza wewe kusoma irabu kisha ndo ulinganie wengine

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 หลายเดือนก่อน

      ​@@MuhidiniNassorheri mimi sijasema

  • @abdallahsiraji9919
    @abdallahsiraji9919 2 ปีที่แล้ว +10

    Nimekuelewa Mzee na nimwjifunza kitu kikubwa Sana Leo..
    Nimejifunza Utu Upendo na Umoja wa wanadamu dhidi ya Shetani ndio Lengo la Mungu kuleta madabii Mirume utume na Unabii...
    Shetani katuzidi Hadi tunakua na Umoja wa baadhi yetu wanadamu dhidi ya wanadamu wenzetu..
    Asante Sana

  • @salminmayila4395
    @salminmayila4395 2 ปีที่แล้ว +3

    Bwana lusekelo hujawahi kusema uongo, unasema ukweli unaoujua na unao uamini, safi sana bwana wa majeshi atakulipa

  • @user-qi8ln1qf7h
    @user-qi8ln1qf7h 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah haufanyie wepesi my broo kwani wengi wanapenda kudanganyw sanaa

  • @jorammsemakweli3116
    @jorammsemakweli3116 8 หลายเดือนก่อน +6

    Eleza vizuri kuwa kanisa lilianza baada ya kushuka Roho mtakatifu kutoka dini ya kiyahudi yenye kuabudu Mungu Yahweh na kuamini katika njili kwa neema ya ukombozi kwa njia ya Msalaba.

    • @isayaclement9999
      @isayaclement9999 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe jamaa acha uongo, kanisa lilikuweko toka enzi na enzi

    • @husseinihassani3541
      @husseinihassani3541 4 หลายเดือนก่อน

      Msitari wa ngapi?

    • @user-sy3qw2zk1b
      @user-sy3qw2zk1b 3 หลายเดือนก่อน

      " Kwa sababu neno msalaba Kwa wanaopotea ni upuuzi , Bali kwetu sisi ni nguvu ya MUNGU"! Korinthi 1 _ 18 _ 30

    • @AshaHusseinMussa-ul7vt
      @AshaHusseinMussa-ul7vt 3 หลายเดือนก่อน

      @@user-sy3qw2zk1b salale duuuu! Kwa nguvu ya msalaba, hawa wapagani wanawadanganya sana, wanawafanya kama kuku, laiti kama kuku angelijua kuwa mwanaadamu anamfuga kwa ajili ya nyama yake unafikiri angelikaa na ww, lakini akili ya kuku imewezwa na binaadamu ndivyo hivyo hivyo, kwenye ukristo na uhusiano na msalaba, ngoja nikurejeshe nyuma kidogo kwenye historia na sio stori, maana kuna tafauti history na story, wengi wetu tumezoea story. Kwasababu ni wavivu wa kusoma, hapo zamani ilikuwa hivi, alipozaliwa Yesu hapo hapo Yudea, watawala walikuwa ni Roman empire, tekful wa hapo alikuwa Pilato, mfalme wa Roma alikuwa Julius Caesar, kaisari, Roma ilikuwa na nguvu sana, super power, kama unavyoiona leo Marekani, ilitawala dunia nzima, walikuwa makatili na mahabithi sana imani yao walikuwa ni wapagani wanaoabudu masanamu na mambo mengine ya ujinga, Christmas ya tarehe 25 Dec ilikuwa yao, hadithi za lucifa au Morning star, au shetani, hadithi za Mungu kuzaa na binaadamu, zilikuwa zinapendwa, wakieleza kuwa kulikuwa na Mungu jina lake akiitwa Zeus, huyu Zeus alizaa na bin adam akazaliwa Hercules, hata mfalme mwenyewe Julius Caesar aliitwa Mungu, suala la Trinity, utatu mtakatifu na mambo mengine yalikuwa yamo kwenye mila zao za kipagani, alipozaliwa Yesu na kuanza harakati zake kama mwalimu na kuvutia watu wa Roma wakamouna kuwa political threat kwao, na kwa kuwa wayahudi hawakufuata imani yao ya Kipagani wa Roma walipata upinzani mkubwa wa kiimani kwa hiyo alipanza Yesu mahubiri yake akiwa na umri wa miaka 33, waroma waroma wakapanga kumuua ili kuondoa upinzani dhidi ya Emperor wao Julius Caesar, kilichotokezea kimetokezea, waliamini baada ya kumuua yesu ndio upinzani utakwisha, ikawa tafauti wafuasi wake walizidi kueneza mafundisho yake, miaka sabiini baada ya kuondoka Yesu waroma wakavamia Jerusalem na kuteketeza maandiko na mengine kuyachukua, bare in mind kuwa hapo zamani kulikuwa hakuna machine za copy wala vitabu havikuwa vingi, maandiko mengi yalikuwa ya agano la kale kuliko jipya, kwa hiyo wakachukua maandiko na kuyapeleka huko roma na kuyafungia, miaka 321 ya maisha vita vilikuwa vingi sana na Roma ilianza kupoteza nguvu zake, Mfalme Constantine the great akaja na wazo, la kumaliza upinzani bila kumwaga damu nyingi, akafa kikao huko Nikea, akachuchua yake mambo ambayo sio threat kwao kutoka kwenye taurat na injil, yaani agano la kale na agano jipya, na kuchanganya na hayo mambo yao ya kipagani, kama vile hiyi sherehe ya Christmas, hadithi za Morning star, Lucifar, Samson and Dalila na mambo tele, ya maandiko ya Paulo, na kuja na bibilia, wazungu wanasema if you cannot defeat them join them, kwa hiyo hilo suala la msalaba badala kuonekana ni laana likafanywa uukozi, ili kuondosha tuhuma kwa wa Roma, walipo kwisha kutengeneza wakawapelekea wayahudi bibilia, wayahudi walipoisoma wakasema hii ni kufuru wakakikata kitabu hicho na wakaupinga ukristo kwa nguvu zote kuwa ni uzushi, kwa kuwa roma ilikuwa na nguvu wakaeneza imani hiyo kama dini duniani kote, yeye mwenyewe Constantine hakuuamini ndani ya moyo wake, hadi akiwa kitandani mauti yakimkaribia, lawama zote za mauwaji ya yesu wakatupiwa wayahudi, kama vile unavyoona leo, ni nani anaewalaumu wazungu kwa biashara ya utumwa, lawama zote wametupiwa waarabu, utumwa wa east Africa wameupa jina Arabic slave trade, na ule mkubwa wa wazungu ukaitwa Triangular slave trade, au Antlantic slave trade, kwa hiyo mzungu humuoni hapo, halafu akandika historia kuwa wao ndio waliokomesha biashara ya utumwa, wakati mapinduzi ya viwanda ndio yaliondoa mahitaji ya watumwa, chefuuuu, kwa hiyo msalaba sio nguvu ya ukombozi, ni kama mwenge wa taifa unazugwa wewe tu kiimani. Ukristo unatumika kama platform ya wazungu kuleta ideology yao ya freemanson, World order. ni imani ya kishetani haina uhusiano na Yesu wa Nazaretti.

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 ปีที่แล้ว +16

    Mungu akujalie usilimu kwa sababu umeeleza ukweli mtupu

    • @aishaomarry6996
      @aishaomarry6996 2 ปีที่แล้ว +1

      Amina

    • @Amosbuzinzira
      @Amosbuzinzira 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hata wewe bado haujaelewa Yesu sio mkristo Yesu ni Kristo mwenyewe (Masihi)

    • @FeisalDoctor-wr8ws
      @FeisalDoctor-wr8ws 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Amosbuzinzirando ameelewa hivo ww nd hujaelewa

  • @sadaralmas4185
    @sadaralmas4185 2 ปีที่แล้ว +5

    Big up mzee waupako,endelea kufundisha wajue ukwel upo wap.malizia tu yesu alisali kwenye sinagog ambao nimsikt ili waongeke.amani sana.

  • @elisantennko8222
    @elisantennko8222 2 ปีที่แล้ว +5

    Nakubali uchambuzi wako.Tatizo watu wanaenda Bible School kukariri ili wapate vyeti ,hawachambui semi na nahau za theology,historical.

  • @fredyfile623
    @fredyfile623 2 ปีที่แล้ว +6

    Kama hata siku moja hushiki na kusoma maneno ya mwenyezi Mungu hutakiwi kubishaa kitu bcz utabishana na mambo usiyoyajua cha muhimu tujitahidi kusomaa maneno ya mwenyezi mungu mara kwa mara. Kafafanua vizuri sana.

    • @qeytherymasoudy4547
      @qeytherymasoudy4547 2 ปีที่แล้ว

      Idhajaaaa anasuru llah walfatuh. Wala ai ta nnasa yadighuluna fidiini llah afuaja fassabbih bihamdi rabikah wa staghafiruh innahuu kana tauwabaaa HICHO NDICHO KINACHOTOKEA SASA IVY QURAN HAIONGOPIII WAISLAMU TAKIBIIIR

  • @richardmushi1062
    @richardmushi1062 ปีที่แล้ว +5

    We need more of this wisdom, especially now.
    Ubarikiwe Askofu.

  • @christophermrema5277
    @christophermrema5277 2 ปีที่แล้ว +12

    Mchungaji bwana yesu asifiwe Sana mungu akupe Afya ya Roho na mwili umefafanua vizuri sana.hakika wewe Ni mwazuoni.Amina

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 ปีที่แล้ว +2

      Wanawake sio kuwa wachungaji tu hatu ukisoma historia ya utumwa hakuna wanawake walichukua watu kuwauza utumwani
      Nenda ziwani au baharini wanakesha wavuvi wanaume sio wanawake.njoka wa kuingia kwenye maduara migodini ni wanaume hata wachoma mkaa ni wanaume. Wapo wanawake wanaitwa wanawake wa shoka lkn hawajawahi kuangusha mti kwa shoka hizo na mpini ukivunjika Hadi mwanaume aje aweke mpini.mwanamke akishika shoka atakatia Kuni miti mikavu sio magogo

    • @aristidesvedasto7855
      @aristidesvedasto7855 ปีที่แล้ว

      ​@@frankjohn8706Hakuna cha kuongeza uko sawa kamanda

    • @simasima8084
      @simasima8084 ปีที่แล้ว

      @@frankjohn8706 Yan ww nyau umefafanua mpka nikaelewa 👍

  • @kawezaseleman5794
    @kawezaseleman5794 2 ปีที่แล้ว +6

    Leo nimeamini mzee wa upako msema kweli kabisa namimi nimesoma nimeyaona hayo

    • @bamsimba7835
      @bamsimba7835 2 ปีที่แล้ว

      Huyu Kuna maneno huwaanawaambia wafuasi wake wawewanayatumia kila mara hayo maneno ni tafsiri ya ayatul kursy. Nazifahamu hiitafsri ila anaongeza na maneno yake na jina la yesu pia amelichomeka . Huyu anatakakuishi vizuri ila anafahamu kila kitu.

  • @samweldonati6596
    @samweldonati6596 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sana kwa kunifundisha kwani nilikuwa sielewi kitu juu ya ukristo

  • @mwigaali1942
    @mwigaali1942 2 ปีที่แล้ว +10

    Mumewadanganya wezenu kwa miaka na mikaka sasa uongo jitenge ukweli dhihirikaa🙌🙌🙌

    • @saidymbagalla6622
      @saidymbagalla6622 3 หลายเดือนก่อน

      Kashawapiga pesa wajinga miaka mingi kashatajirika leo anawakana

  • @KandidoLuvanga
    @KandidoLuvanga 3 หลายเดือนก่อน +3

    Haya umeniongezea uelewa umepanua vichwa vya watu hasahao wa madhabahuni wameze wembe huo saiziyao 🙏🙏🙏👍👍👍

  • @tahiyaabubakar5304
    @tahiyaabubakar5304 3 หลายเดือนก่อน

    Huo ndiyo ukweli wa mambo.Shukran sana bro huo ndiyo utata baina ya Uislamu na ukristo. Mungu awaonyeshe haki muifuate

  • @user-ut2fo1hi9i
    @user-ut2fo1hi9i 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wa upako nimekuelewa Sana ombi langu endelea kuwafundisha Hawa tuko pamoja na wewe

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 2 ปีที่แล้ว +6

    Hongera mzee WA upako sema ukweli mie shabiki wako mkubwa

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 ปีที่แล้ว +26

    Unajua tatizo si hoja, ni namna ya kuitetea hoja.wengi wanatoa hoja wanashindwa kuielezea kwa sababu wanakopi na kupesti.ila mzee nimekukubali kwa kuitetea hoja ma ana wewe hujakopi na kupesti bali umebobea.big up baba.

    • @blessingblessing9641
      @blessingblessing9641 ปีที่แล้ว +1

      Karibu katika dini ya haki islam

    • @deusdeusibrahimdeus2149
      @deusdeusibrahimdeus2149 ปีที่แล้ว

      Kichwa hiki bn

    • @JestinaMakamba
      @JestinaMakamba 6 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅

    • @JestinaMakamba
      @JestinaMakamba 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu haangalii dini we tenda yaliyo mema pole sana mtu wa mungu ukizani dini ndo tiketi ya kwenda mbingini 😂😂

    • @JestinaMakamba
      @JestinaMakamba 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu haangalii dini we tenda yaliyo mema pole sana mtu wa mungu ukizani dini ndo tiketi ya kwenda mbingini 😂😂

  • @selemansingano
    @selemansingano ปีที่แล้ว

    Allah akuongoze ktk njia ya haki Ufe ali yakua ni Muislam safi usione aibu mzee wa upako Mwenzio Mchungaji wa Afrika kusini kaujua ukweli kasilim yeye na wafuasi wake leo kanisa lake lime kua msikit mwenyez mungu akuongoze inshallah

  • @abedkirway8668
    @abedkirway8668 2 ปีที่แล้ว +2

    asante baba Mungu akubariki sana uendelee kutufundisha neno la Mungu uwe na umri mrefu baba

  • @otienoodera4142
    @otienoodera4142 2 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana, una ushahidi mkubwa kuhusu hilo swali ya dini.... hongera sana.

  • @ababukarlinus9355
    @ababukarlinus9355 ปีที่แล้ว

    Mzee wa upako anajua vizuri sana uislamu Kwa sababu amesoma sema kinachowaweka huko ni pesa tu na si kiimani .

  • @novatidamian7236
    @novatidamian7236 2 ปีที่แล้ว +5

    Ni kweli walokole hao kama hawapo Dunia hii! Mimi ninabo washangaa wao kila mmoja wao keshafika peponi hayuko Dunia hii ya dhambi. Kubatizwa ktk maji mengi basi kwao kibari tosha.
    Thank you Brother A. Rusekero

  • @edwardmalila5230
    @edwardmalila5230 2 ปีที่แล้ว +3

    Upo vzr mzee wa upako leo nimekuelewa vizuri

  • @raphaeldinyu427
    @raphaeldinyu427 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hekalu ni moja tu na liko Yerusalem kwa ajili ya Wayahudi kwa ajili ya kumtolea Mungu sadaka za kuteketezwa , na masinago ni kwa ajili ya Wayahudi waliokuwa nje ya Yerusalemu kwa ajili ya kusoma na kujifunza torati ya Musa , Sasa msikiti unahusiana Nini na Wayahudi au na Yesu hamjui kitu na hamtakaa mjue chochote mtaishia kwenye unafiki tu pole mzee wa upako wa wasiomwamini Yesu

  • @FadhiliAdam-oc2kk
    @FadhiliAdam-oc2kk ปีที่แล้ว +1

    Nimekufatilia saana uko sawa umesoma Mungu akupe afya njema uzidi kuwa elimisha watu

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kwa elimu uliotupatia, kwavile umesema wewe wengi wataamini.
    Tuletee mwendelezo kuhusu Yesu ili tufaidike kwa mengi tuliokua hatuyajui

  • @fadhiltave1359
    @fadhiltave1359 2 ปีที่แล้ว +6

    Ooooooh!!!! Haleluya kama kunawakati umeongea pointi ni huu wakati... Pendo la KRISTO

  • @bonifasideus8691
    @bonifasideus8691 2 ปีที่แล้ว +1

    Wemzee unaijua biblia hongera sana sasa badilika uwe muislamu uko sawa kabisa hapo umebakiza kubadilika2

  • @VictorNgosi
    @VictorNgosi 5 หลายเดือนก่อน

    Sawa nimekuelewa upo sahihi ila Kuna mwewe,kunguru,njiwa,hata uwelewa nivigumu wengine kuelewa ❤

  • @faylafood756
    @faylafood756 2 ปีที่แล้ว +22

    Bwana mchungaji umeongea maneno mazuri sana, nimefurahi nafsini mwangu, naomba utuweke wazi usifiche kwa maana mungu a nakuona na kuku sikiliza na mwisho wa siku utarudi kwake usifiche kwa kumfurahisha mtu. Yesu alikuwa dini gani? YESU na Nabii Muhammad ni ndugu au sio ndugu? Mungu akuongoze kwa jibu zuri.

    • @buuwahiid2898
      @buuwahiid2898 2 ปีที่แล้ว

      Jibu mbona umelipata

    • @ericalexandre2166
      @ericalexandre2166 2 ปีที่แล้ว

      Yesu alikua Muyahudi, Uyahudi ni dini pia ni kabila. Muhammad ni muarabu, waarabu na wayahudi ni kabila mbili tofauti.

    • @flova7022
      @flova7022 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ericalexandre2166 nakujibu, kivingine,,, Yesu na Ismail ni ndugu Kwa kushea babu mmoja yaani Ibrahim, kumbuka Yesu alizaliwa kutoka upande WA jakobo Kwa mama Sara( upande WA wakristu) na Ismail ( uislamu) alizaliwa nA hajiri mke kijakazi WA Ibrahim hajiri ..hivo wakristu na waislamu sisi ndugu,,,hivyo hatupaswi chukiana mAna babu yetu sote ni Ibrahimu

    • @adamsamata8754
      @adamsamata8754 2 ปีที่แล้ว

      Uyahudi ni kabila sio dini na uwaraabu ni kabila sio dini

    • @khalfanikishki2646
      @khalfanikishki2646 2 ปีที่แล้ว +2

      @@ericalexandre2166 Dini ya kiyahudi walitunga wenyewe ilikuwa yakishirikina. Uyahudi kabila ndo alilokuwa nalo Bwana Yesu lakini Dini Uislamu. Ndo mana aliswali kama sisi. Matayo 26:39) alisujudu.

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 2 ปีที่แล้ว +5

    Mzee wa Upako Yuko sahihi, Kumuita Yesu alikuwa Mkristo ni sawa Na Kusema Mungu ni Mchamungu, Yesu Mwenyewe alisema Hajaja Kuanzisha Dini. Na Akasema Dini Iliyosafi ni Nini

    • @elishakitumbu5719
      @elishakitumbu5719 2 ปีที่แล้ว

      Reta andiko

    • @davidngwesa
      @davidngwesa 2 ปีที่แล้ว +1

      @@elishakitumbu5719 reta au leta???

    • @alexmwita5426
      @alexmwita5426 2 ปีที่แล้ว

      Sawa kabisa maana ukristo umeamza baada ya yesu kufa na kupaa mbinguni

    • @ThobiasMarandu
      @ThobiasMarandu 2 ปีที่แล้ว

      @@elishakitumbu5719 Yakobo 1.27 au James 1.17 Religion that God our Father accepts as pure and faultless is this: to look after orphans and widows in their distress and to keep oneself from being polluted by the world.

  • @solutionprovider7155
    @solutionprovider7155 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana,Yesu Kristo hakuwa mkristo Bali Yesu ndiye Kristo mwenyewe, na hapa duniani hakuna wakristo Bali Kuna watu mali ya Kristo ambaye ni Yesu

  • @davidedson6560
    @davidedson6560 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli mzee was upako waelimishi hao wanaosoma bibilia kama gazeti safi sanaaa....

  • @faylafood756
    @faylafood756 2 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah Allah akuwezeshe

  • @kingwatabata4230
    @kingwatabata4230 2 ปีที่แล้ว +4

    Mch akiri nyingi sana nakupenda sana.

  • @user-kv6vc8sd7c
    @user-kv6vc8sd7c 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu Akuzidishie Imani endelea kutufundisha wanaokupinga achana nao wakasome tena

  • @NoelKomba-bj4yr
    @NoelKomba-bj4yr 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee wa upako umechepuka sana....
    Uislamu umeanza karne ya Sita kipindi kanisa limepoa....
    Kipindi cha Yesu dini iliyokuwepo ni Uyahudi

    • @kibaikiramadhani1475
      @kibaikiramadhani1475 3 หลายเดือนก่อน

      Ww hujui kitu sema ufundishwe uislam ndik maumbile alioumbiwa mwanadamu

  • @eliaskalikowele3680
    @eliaskalikowele3680 2 ปีที่แล้ว +4

    Nilikuwa cjakuelewa hapo upo sawa

  • @luhelumommboboci7136
    @luhelumommboboci7136 3 หลายเดือนก่อน

    Wahayudi hawatumii mskiti ndugu yangu, hacha kuhadaa watu. Uislamu ulianza miaka mingi sana baada ya ukristo na mskiti ni nyumba ya maabudu ya waislamu na hekalu na sinagogi ni nyumba ya maabudu ya wayahudi.

  • @maulidharuna183
    @maulidharuna183 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa hili linajua sana hadi linakera kudadeki

  • @nyokasaidi1107
    @nyokasaidi1107 2 ปีที่แล้ว +6

    Ahsante sn mzee wa upako huku kwy midahalo ya dini wakina Daniel mwamkemwa na Muyaudi wanakomaa Yesu akuingia msikitini kila sk wakina Mazinge na Kinyogoli Wana waambia Yesu aliingia msikitini leo ww umesema ukweri ubalikiwe sn na Mungu atakuongoza sababu umewafungua wengi wakristo akili !!

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah, Allah akupe tawfiiq ya kusema ukweli!!

  • @erastokonga5639
    @erastokonga5639 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee wa Upako uko sahihi mno! Yeye ndiye Kristo na tunaoamini na kukiri kuwa yeye ni Kristo ndiyo Wakristo

  • @eliakanyika5379
    @eliakanyika5379 2 ปีที่แล้ว +1

    Imani ni moja Soma yuda 1:3 neno la Mungu halibadiliki ni like la Jana na leo pia Mungu habadiliki ni Yule wa Jana na leo!.

    • @user-es4uf6gj7u
      @user-es4uf6gj7u 3 หลายเดือนก่อน

      Isio badilika na qur an daima inaendana na wakati sio bibilia iliotengenezwa na binadamu wakati amelewa soma luka

    • @jumannemaganga716
      @jumannemaganga716 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-es4uf6gj7uhujui nguvu ya neno la Mungu litafsiwalo ktk Roho na sio hisia mzee.

  • @issatwaha3093
    @issatwaha3093 2 ปีที่แล้ว +4

    Wafafanulie wajue vizuri

  • @mussamgonola3983
    @mussamgonola3983 2 ปีที่แล้ว +4

    Assalam alaykum warahmaturullah wabarakatuh ! Wallah khaki kamwe haiwezi shuka bali itabaki kileleni hadi kiama ,Hadi Yesu (Issa bin Mariam) atakapo rudi kuvunja makanisa na misalaba hatimae kumuua masihi dajal

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa wamejenga makanisa hao wazungu utagikiri kwao kuna mitume kila kitu wamebadilisha mpaka ma nabee wengi leo padri wanawake waimbaji baranarani wanawake wanacheza eti wanamsifia yesu wapi yesu alicheza akaruka barabarani na nguo fupi na wigi sadaka wanambiwa watoe na mchezaji barabarani yesu ni mtume wa Allah naatarudi ibrahim alivunja masanam na mtume muhamad alivunja masanam pua hao ndio mitume wa kweli isa alipaishwa
      A

  • @nassoroyahaya821
    @nassoroyahaya821 3 หลายเดือนก่อน

    .....Nayo KWELI ....Itawaweka huru....asante Comred Anthony Lusekelo you are the master and others are followers of you educate them to the maxmum,God is with you forever mpaka ikamilifu wa Dahari WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA Hii slogan yako hujaichagua kwa bahati mbaya

  • @khamisikapopo9356
    @khamisikapopo9356 2 ปีที่แล้ว +2

    Umenifundisha kitu mzee wa upako nilikuwa sijui Kama yesu kristo akuwahi kusali kanisani bali alisali ktk misikiti ya wayaudi umeupiga mwingi sana

  • @ramadhaniabasi6780
    @ramadhaniabasi6780 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali Sana mzee wa upako

  • @AW-vt9pw
    @AW-vt9pw 2 ปีที่แล้ว +6

    Udugu wa Yesu Na Muhammad (S.A.W‏﴿ ulitokana kwa watoto wa Nabii Ibrahim, Isaac na Ismail, Yesu ni katika kizazi cha Isaac na Nabii Muhammad (S.A.W‏﴿ ni katika kizazi cha Ismail. Yaani Hao asili yao Babu zao ni ndugu

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 ปีที่แล้ว

      Acha kupotosha watu Muhamadi ana undugu na Yesu kivipi? Muhamadi ni Mkureshi yassue Muyahudi

  • @fadhilisule
    @fadhilisule 3 หลายเดือนก่อน

    Unaeleweka sana mzee sema ukisema ukwel kwa wenzio wakristo watakupinga kwa sababu wao wapo kwenye ulimwengu wa kanisa pesa

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 5 หลายเดือนก่อน

    Nimekuelewa Sanaa Mtumishi wa Mungu Barikiwa sana huo Ndio ukweli

  • @daudinyello4033
    @daudinyello4033 3 หลายเดือนก่อน +2

    TATIZO WAKRISTO WA AFRIKA MASHARIKI HASA TANZANIA WANA VICHWA VIGUMU, UMENENA SANA NA NDIO UHALISIA.

  • @athumanibaruti6060
    @athumanibaruti6060 2 ปีที่แล้ว +4

    Ni kweli Yesu hakuwa mkiristo lakini wapo wasioelewa hili wapo wanao sema Yesu ni mungu.

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo liko wapi

    • @mossymtwana6422
      @mossymtwana6422 2 ปีที่แล้ว

      Akili mgando si umeambiwa Yesu ni Kristo ndio maana wanafunzi wake walikua wa Kristo ni sawa na mtoto baba yake ni Athumani utasema huyu mtoto ni wa athumani ndio maana yake WAATHUMANI WAKRISTO SASA HUJAELEWA NINI MBONA SIE WATU WA AJABU LISILOELEWEKA HAPA NI NINI WAKRISTO NI WAFUASI WA KRISTO NDIO MAANA WANAITWA WAKRISTO hakuna dini ya Kristo ukristo sio dini ni wafuasi wa Kristo tatizo liko wapi kila mkristo anajua hakuna dini ya kikristo ila ni wafuasi wa Kristo kama nyie mlivyo wafuasi wa Mtume Mohamed lakini ikaitwa Dini

    • @awadhhamza9296
      @awadhhamza9296 2 ปีที่แล้ว +1

      @@mossymtwana6422 Shida mnamuita Mungu

    • @jescalaurent3183
      @jescalaurent3183 ปีที่แล้ว

      YESU NDIYE KRISTO, AWEZI KUWA MKRISTO, WAKRISTO NI SISI WAUMINI TUNAJIITA WAKRISTO, (YESU KRISTO)

  • @KilongolaAbdallah
    @KilongolaAbdallah 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo nimekuelewa Mzee wa upako asante kwa kutuelimisha

  • @AndrewShola-ts5lp
    @AndrewShola-ts5lp 5 หลายเดือนก่อน

    Nimekwelewa Sanaa hapo kwenye uchungaji mwanamkee..

  • @enockmgata6054
    @enockmgata6054 2 ปีที่แล้ว +3

    Shati kali baba yangu

  • @roselugendo6943
    @roselugendo6943 2 ปีที่แล้ว +5

    Kumweleza mzee wa upako unabidi uwe na akili zakutosha. I miss you dad.

    • @buuwahiid2898
      @buuwahiid2898 ปีที่แล้ว

      Hahaha 🤣 jamani wakiristo

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 2 ปีที่แล้ว

    Mzee nimekuelewa sana ingawa mimi ni msilamu mungu akubari sana

  • @mohammedamour4930
    @mohammedamour4930 2 ปีที่แล้ว +4

    Funguka tu mzee.sinagogi ni msikiti unawahusu waislamu tu.ima wakiwa waisrael wafaransa na wengineo.na vipi YESU kabla ya kusali anatawadha kama waislamu?na ibada yake anavua viatu na anasujudu kama waislamu..hii dunia tunapita tu.viongozi angalieni sana mtabeba mizigo ya watu.

  • @bajomba2010
    @bajomba2010 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzee wa Upako...nakuelewa kabisa..endelea kutuelimisha ndugu yetu..wala usiyumbe!!!

  • @sifaelpyuza3422
    @sifaelpyuza3422 ปีที่แล้ว

    Mzee wa upako hakika wewe ni kiongozi mungu mbariki kiongozi huyu

  • @fordmasnyenga_kiuyangulyri7409
    @fordmasnyenga_kiuyangulyri7409 25 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli mzee wa upako Yesu ni kristo

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 2 ปีที่แล้ว +7

    Ni kweli Yesu hakuwa Mkristo na si wote wanamwamini Yesu

    • @flova7022
      @flova7022 2 ปีที่แล้ว

      Wakristu na waislamu wote wanamwamini Yesu... Wakristu huamini Yesu kuwa ni Mungu na ni mwana WA Mungu waislamu huamini Yesu ni nabii(ISA)

    • @ericalexandre2166
      @ericalexandre2166 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo ni kutokusoma, swali je anae fata uislamu anaitwa muislam na anae fata Kristo ataitwa je? Eti Yesu hakuwa mukristo sasa angekua je Kristo na mukristo the same time. Someni au ulizeni mupate kujua na sio ubishi kwani hausaidii kitu

    • @ericalexandre2166
      @ericalexandre2166 2 ปีที่แล้ว +1

      @@flova7022 Yesu sio Mungu coz haijaandikwa hata sehemu 1 ya Biblia istoshe amezaliwa na mwanadamu. Wanao sema ni Mungu waambie wa kuonyeshe ilipo andikwa kwani tunatakiwa kufata maandiko na sio maneno ya watu

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzee wa upako wewe unaijua biblia, kwangu naona upo sahihi. Hongera sana kwa ufafanuzi huo.

    • @buuwahiid2898
      @buuwahiid2898 2 ปีที่แล้ว

      Na mujuwe kuwa bibilia sio kitabu cha mungu

  • @louissamuel1659
    @louissamuel1659 3 หลายเดือนก่อน

    kweli mzee wa upako unaijua Biblia, Mungu akubariki

  • @lukabernald3924
    @lukabernald3924 3 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewaga sana mzee wangu, barikiwa zaidi.

  • @saidmohd7240
    @saidmohd7240 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzee was upako tusaidie! Misikitini wanaingia watu wa dini gani???Ahsante kwa kuusema ukweli kuwa Yesu hakuwa Mkristo na wala hakuingiapo Kanisani! Aliingia wapi????

  • @oscarkilangi1187
    @oscarkilangi1187 2 หลายเดือนก่อน +1

    Baba Modicaya@hongera!

  • @sikuyetuu2405
    @sikuyetuu2405 ปีที่แล้ว

    Mzee kwa sisi tulioisomulioenda Theology University Upo sahihi sanaa mjinga hawezi elewa na akielewa atapinga maana inabidi aache uongo aliowaminisha watu anakwepa aibu

  • @ambwenesandersony1545
    @ambwenesandersony1545 2 ปีที่แล้ว +4

    Nimekuelewa Sana, barikiwa sana

  • @isaacnombo8844
    @isaacnombo8844 2 ปีที่แล้ว +5

    Hugely impressed by your Brilliant Teachings....
    1st time listener of your online Program!

  • @user-xd2tg8eq1h
    @user-xd2tg8eq1h หลายเดือนก่อน

    Mashaalwah mzee wa upako silimu tu kilichobaki

  • @prosistermsomaMsoma
    @prosistermsomaMsoma 15 วันที่ผ่านมา

    Baba ubarikiwe

  • @lightnesselirehema1464
    @lightnesselirehema1464 2 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji umefafanua vizuri kuhusu sinagogi na misikiti. Hata makanisa ya zamani kwetu uchagani tuliita misikiti

    • @emmanuelshayo4703
      @emmanuelshayo4703 2 ปีที่แล้ว

      Embu fafanua kidogo hapo! Wachaga waliita makanisa misikiti!

  • @reganpaul8542
    @reganpaul8542 2 ปีที่แล้ว +6

    Chief mwalimu general mzee wa upako kifaru Cha Yesu ubarikiwe mwalimu wa biblia Moses Bible college

  • @aminamkumba3549
    @aminamkumba3549 2 ปีที่แล้ว

    Upo vzr mzee wa upako, unasema kilichoandikwa hutoi kichwani kama wengine

  • @dassustephen5391
    @dassustephen5391 2 ปีที่แล้ว

    Daaah.Mzee wa upako vipi tena umekuwaje mzee wetu?Mungu akurehemu

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 2 ปีที่แล้ว +8

    Geometry don't lie , your so brilliant

    • @newatareeesanauyumtufantas6227
      @newatareeesanauyumtufantas6227 2 ปีที่แล้ว +1

      Baba wewe ni mtu wa mungu nmekupenda na kukuelewa sana sana naomba npate namba yako au mwenye namba ya uyo mkuu tafadhari

    • @khamisawadh7333
      @khamisawadh7333 2 ปีที่แล้ว +1

      Usimsute Upako?kweli yesu Alikua anaswali Kwenye MasinaGigi Ambayo Yaitwa MSKTI?Uko Ok

    • @theafricanprincevivecongo8632
      @theafricanprincevivecongo8632 4 หลายเดือนก่อน

      @@khamisawadh7333 we umeelewaga?

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 2 ปีที่แล้ว +5

    Mim nimelitambua toka zamani ndio maana nikatoka uko saivi naitwa ally na nitakufa nikiwa mwislamu mwenye wivu ajinyonge

    • @flova7022
      @flova7022 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha

    • @gladnesssidiu4922
      @gladnesssidiu4922 2 ปีที่แล้ว

      @@flova7022 bora hata umemcheka manake mwenye wivu gani ajinyonge wakati yeye ndo yuko kupotea
      Yesu ndiye njia ya kweli na uzima

    • @flova7022
      @flova7022 2 ปีที่แล้ว +1

      @@gladnesssidiu4922 kanichekesha Sana ..na bado kajiandika jina lake anampenda YESU

    • @Saidkhel
      @Saidkhel ปีที่แล้ว

      @@flova7022 sasa tatzo nini tatzo mnalo nyie maana Waislam pia tunamtambua yesu kama nabii wa Mwenyez Mungu na siyo kama nyie mnamtambua kama Mungu kwaiyo kujiandika siyo tatzo maana yesu ni Nabii hata kwenye Qur'an yupo anasomwa pamoja na Mama yake mariam kwaiyo jiulizen nyie mliye potea eti yesu ni Mungu na alivyo paa mnasema kaenda kwa Mungu sasa Mungu gan tena wakat yeye ndiyo Mungu yaani mnajichanganya kizembe sana Ingien katika UISLAM mjue haki mzee wa upako anawaambia ukwel hapo mnanuna ona sasa mnavyo uwana huko kenya kizembe wakristo akili hamna ila siku hiz wachungaj wenu washa anza ujua ukwel mnaamini sana miujiza zaid kuliko dini ona wakina zumarid wanavyo waendesha kisa mnapenda miujiza

    • @flova7022
      @flova7022 ปีที่แล้ว

      @@Saidkhel akili kijiko ndio hizo ushaskiaa waroman tuna miujiza...pili wewe unaamini quran ,Mimi naamini biblia.. hivyo huna strong point kubisha kilichopo kwenye biblia Wala mm kubisha kilichopo kwenye Qur'an....kama huamn trinity ..hivyo huwez elewa mtu alikwambia Yesu ni Mungu...nanarudia kusema Yesu ni Mungu..na ndie mkombozi WA dunia...afu Yesu WA kwenye biblia sio ISA wenu Mzee..nyie ISSA wenu hajafufuka Hadi Leo. Alikufa akazikwa India.

  • @peterjohn7613
    @peterjohn7613 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh Baba umeongea point sana!!!!!

  • @allysonmmanyi7436
    @allysonmmanyi7436 ปีที่แล้ว

    Very good, uko sahihi vizuri sana!

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 2 ปีที่แล้ว +6

    Mzee ume upigaaa mwingiii sana🤝😂

  • @kessylukombe1811
    @kessylukombe1811 2 ปีที่แล้ว +6

    Ipo siku mtakubali ukristo ni dini ya kutengenezwa na watu na sio dini ya Mungu

    • @KanteTriphone-it5wj
      @KanteTriphone-it5wj 4 หลายเดือนก่อน

      Sio ukristo tu bali dini zote zimetengenezw

  • @leonardoautomotivegarage9452
    @leonardoautomotivegarage9452 ปีที่แล้ว

    Nashauri acheni Mungu awe mwamuzi, kuwa mkongwe haimanishi una Mungu, kujaza watu si kuwa na Mungu, kunyamaza nayo hekima, Mungu atapambanua pumba na mpunga

  • @francisrobert9652
    @francisrobert9652 2 ปีที่แล้ว +2

    nimepata upeomkubwa sana tokakwako ubarikiwe sana

  • @rahmaferuz2776
    @rahmaferuz2776 2 ปีที่แล้ว +10

    Ni kweli usemayo japo baadhi ya watu hawakuamini wajibu wako kufikisha na umeshafanya hivyo

  • @sosthenespaul8821
    @sosthenespaul8821 2 ปีที่แล้ว +3

    Siku moja kila sikio na akiri vitakuelewa