Jumba la Kifahari la JUX ni noma, atamba nalo Mtandaoni, itakushangaza, wasanii wenzake wampongeza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • #Jux

ความคิดเห็น • 157

  • @ivaniavianarodrigo7201
    @ivaniavianarodrigo7201 3 ปีที่แล้ว +39

    duu noma bora iwe yake, ikiwa yakupanga ni uzembe na ulimbukeni, ila jux namkubari yupo timamu ni yake.

    • @nuruabraham3769
      @nuruabraham3769 3 ปีที่แล้ว +6

      Sio yake bhanaa 😝tushawazoea hawa

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 ปีที่แล้ว

      @@nuruabraham3769 kweli

    • @mudiboytz5762
      @mudiboytz5762 3 ปีที่แล้ว +1

      Yake iyo

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 ปีที่แล้ว +1

      @@mudiboytz5762 camini wallah

    • @monicamsangi3616
      @monicamsangi3616 3 ปีที่แล้ว +3

      Ni nyumba yake alianza kujenga kitambo sana jux

  • @mabyserolouchcraig2431
    @mabyserolouchcraig2431 3 ปีที่แล้ว +17

    Kama ni yake Mashallah 😍😍 but ka niyakupanga ni upuzi

  • @rexyreyna1762
    @rexyreyna1762 3 ปีที่แล้ว +5

    Congratulations to him
    ...my best artist ever.....mob love...Juz...#Reginah
    .song you made it for me
    ....am grateful 🥰Big up

  • @mwajumaabeidy8137
    @mwajumaabeidy8137 3 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana jux ,umepambana sana na ulianza jenga tangu upo na vanessa kitambo nakumbuka ulipost ikiwa bado sana.bigbigup

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 3 ปีที่แล้ว

      Nakumbuka ilikuwa gofu kipindi hicho

  • @Kal-Mary
    @Kal-Mary 3 ปีที่แล้ว +10

    wa kwanza 🙌🙌ongera Jux👌

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah bro jux Allah akuzidishie nguvu zako uzid kujituma na kujenga zaid ❤ ya hy lkn iwe yko maana mastar wetu nyinyi

    • @Ryoof-qo7if
      @Ryoof-qo7if 3 ปีที่แล้ว

      Mm naona ya kupanga 2

  • @ndeletwaswai3530
    @ndeletwaswai3530 3 ปีที่แล้ว +4

    Vannesa rudi kwa jux kumenoga sio kazi kupiga picha za vitandani na huyo mchumba wako,woyoo jux uko vzr.

  • @dannyboymsanii
    @dannyboymsanii 3 ปีที่แล้ว +5

    Iko Kali Sana naipenda🔥🔥🔥🔥

  • @marcomuhoja5981
    @marcomuhoja5981 3 ปีที่แล้ว +10

    Hongera bn ndo ujuwe Kuna tofauti kubwa Sana Kati ya mwanamke na mwanaume mwenzako katuonyesha Pete mnyamwez umetuonesha nyumba💉🚶🚶🚶

    • @samniza1763
      @samniza1763 3 ปีที่แล้ว +2

      Yake???

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 3 ปีที่แล้ว

      Vanessa arudiane na Jux tu,kule aliko naona anakondeshwa tu

    • @makulaikuku6909
      @makulaikuku6909 3 ปีที่แล้ว

      @@samniza1763 ndio yake alianza kujenga siku nyingi

    • @africatanzaniatours
      @africatanzaniatours 3 ปีที่แล้ว

      Ahahaha ...aisee unaongea point broo ...sisi wanaume tuna focus sana maisha ...wanawake Wana focus kushindana kwenye vitu vya kijinga

    • @asmahassan7570
      @asmahassan7570 3 ปีที่แล้ว

      @@africatanzaniatours si wote siku izi wanawake wng wanajenga

  • @denisaidan7476
    @denisaidan7476 3 ปีที่แล้ว

    Africa boy uwa akosei uwo mjengo niwake mzee safi sana unanifanya niongeze mapambano zaid🤜

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 ปีที่แล้ว +9

    Hope ni yake Mashallah nzuri sana 🤝❤🇹🇿🇨🇭

  • @meshackwabomba9839
    @meshackwabomba9839 2 ปีที่แล้ว

    Kielelezo kwa jamii ,much love from 254kenya

  • @hajiramadhan7319
    @hajiramadhan7319 3 ปีที่แล้ว +2

    African boy in the building shotout Bro's

  • @cuteme4870
    @cuteme4870 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu alikua anahenga cku nyingi sana

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 3 ปีที่แล้ว +4

    Alionyesha nyingine pia ilikuwa nzuri sana lakini ilikuwa ya kupanga sasa sijui hii ni yake au bado ya kupanga? Haya hongera tajiri.

  • @johnyagat2chat860
    @johnyagat2chat860 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo nyumba jux kaanza kuijenga tangu mwaka 2014 na alikua akiipost akiijenga ilikuwa gorofa moja. nahisi ndo hii imekamilika

  • @giftkondo8936
    @giftkondo8936 3 ปีที่แล้ว +2

    Nyumba nzuri mno

  • @johnsonmlowe1232
    @johnsonmlowe1232 3 ปีที่แล้ว

    Hatareee maisha n kupamban keep it up jux

  • @mathewbundu235
    @mathewbundu235 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh yaelekea keshamsahau hadi V Money

  • @deldeli3031
    @deldeli3031 3 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali jux..

  • @magiehermess9949
    @magiehermess9949 3 ปีที่แล้ว +4

    Kama kanunua safi. Ila kama kupanga ni upuuzi

    • @patirickdenisi7596
      @patirickdenisi7596 3 ปีที่แล้ว

      Kapanga mm iyo nyumba naijuwa adi mwenye nayo

    • @ndegejr4218
      @ndegejr4218 3 ปีที่แล้ว +1

      @@patirickdenisi7596 Acha uongo wewe

  • @hodhanlacky6394
    @hodhanlacky6394 3 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah 🥰🥰🥰🥰👌

  • @lucasmartin4004
    @lucasmartin4004 3 ปีที่แล้ว +5

    Wapil jux juuuu

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 ปีที่แล้ว +2

    Nihakirikuwananyumba zuri

  • @jonathanicrisatijonathanic6708
    @jonathanicrisatijonathanic6708 3 ปีที่แล้ว

    Mucheki jiva ana ngoma kali sana

  • @mafiosoismail7475
    @mafiosoismail7475 3 ปีที่แล้ว +7

    Kwani miwani ndo identity ya jux au coz cjawahi muona huyu mwana bila miwani kwakwel imagine hapo yupo ndani na still kavaa duuh me Ngachoka 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @richardmapunda559
    @richardmapunda559 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyumba ya mama ake hyo

  • @zulfamkawa7129
    @zulfamkawa7129 3 ปีที่แล้ว +2

    Wawooo mashallah

  • @clarantatubanganya9634
    @clarantatubanganya9634 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera juma

  • @angelsango9083
    @angelsango9083 3 ปีที่แล้ว

    Nyumba IPo vikunai kotaz za bima alinunua akabadilisha ramani kwa sehemu

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 3 ปีที่แล้ว +2

    Great

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 ปีที่แล้ว +10

    Kma yakwake kajenga hongera ila kupanga ni ujinga tu

  • @biyobisimba2.36msubscriber7
    @biyobisimba2.36msubscriber7 3 ปีที่แล้ว +2

    Powa kk

  • @anitasudigal3789
    @anitasudigal3789 3 ปีที่แล้ว +2

    kaka, sukari ya waremboo

  • @swafiyamansur4326
    @swafiyamansur4326 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah nice one🔥🔥

  • @rinnionnTV
    @rinnionnTV 3 ปีที่แล้ว +16

    Hii nyumba Kajenga mwenyewe jux kama unaweza pitia post zake za zamani alikuwa anapost picha za site wakati bado gofu

  • @Donrugi
    @Donrugi 3 ปีที่แล้ว +4

    Big congratulations to him

  • @dainagano3656
    @dainagano3656 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera zake ,ila ingekua ni mimi ningeongeza furnitures km sofa ili sitting room kusipwae sana

    • @tanzaniatouristsattraction1622
      @tanzaniatouristsattraction1622 3 ปีที่แล้ว

      Acha ushamba hio nyumba za kitajir haziko ivo hapo kaja designer kabisa

    • @dainagano3656
      @dainagano3656 3 ปีที่แล้ว

      @@tanzaniatouristsattraction1622 jaman ndo maana nkasema ingekua ni mm ningejaza furniture .....umewah ona nyumba ya Kylie Jenner ni nzuri sana kwasbb kuna furniture nyingi na decorations nyingi kuliko nyumba ya Kim kardashian iliopwaya..... Na pia designer anaweza akutengenezee na isipendeze vilevile tu kwani designer si mtu km wengine

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 3 ปีที่แล้ว +2

    Vizuri kama ni yake ila kama ya kupamga huo ni ushamba

  • @nasmasalim2352
    @nasmasalim2352 3 ปีที่แล้ว +3

    💕💕💕💕💕

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah

  • @jjboy5157
    @jjboy5157 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jama ana hela

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว

    Ni maisha ya kuigiza

  • @officialzu3772
    @officialzu3772 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣Ila wasanii wetu daaah balaa tupi🙌

  • @mashakasayi4137
    @mashakasayi4137 3 ปีที่แล้ว

    Jaman nyumba ninzuri

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 3 ปีที่แล้ว +2

    Lilobakii aowee apatee Watoto na watoto wajee kujidaii kuwa wananyumbaa za kifaharii y baba yao

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 3 ปีที่แล้ว +7

    Kivanesaaaa ashaonaa jmn weee

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 3 ปีที่แล้ว +3

      Anahusika nini sasa Vanessa?

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว +1

      @@zakyahya4645 🤣🤣🤣

    • @nancynziku9757
      @nancynziku9757 3 ปีที่แล้ว +2

      Hujawahi kuona jumba la vanesa wewe

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 3 ปีที่แล้ว

      @@salomewandya7257 😂😂wa ajabu sana uyu

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 3 ปีที่แล้ว

      @@nancynziku9757 nahic mgeni

  • @gloriamilinga1563
    @gloriamilinga1563 3 ปีที่แล้ว

    Uko vzr

  • @jumaamilly3099
    @jumaamilly3099 3 ปีที่แล้ว

    Msanii mkubwa tanzania video of

  • @stephanierona6592
    @stephanierona6592 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama kweli yake munhu ampe akili ya kujenga nyinginie isiwe kkiki tu

  • @glorianikiza6033
    @glorianikiza6033 3 ปีที่แล้ว

    Ongera

  • @chantalmulasi5663
    @chantalmulasi5663 3 ปีที่แล้ว +2

    Sasa Nyumba yaku panga ni nyumba? Mwenye nyumba akiamua kuiuza leo ata henda wapi? Tamaa mbaya wa sanii ndo maana mna tafuta pesa za giza . Bora ukae kwenye Banda kama ni lako

  • @diahemedsalumdia6594
    @diahemedsalumdia6594 3 ปีที่แล้ว

    𝙒𝙖𝙨𝙖𝙣𝙞𝙞 𝙬𝙚𝙣𝙜𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖

  • @iposikurashidi2887
    @iposikurashidi2887 3 ปีที่แล้ว

    Hongela sana fundi juma jux nakukubali

  • @makutateammkt_family2035
    @makutateammkt_family2035 3 ปีที่แล้ว

    Ni balaa

  • @simonjonas1457
    @simonjonas1457 3 ปีที่แล้ว

    Salut

  • @dullydarlington3606
    @dullydarlington3606 3 ปีที่แล้ว

    Tunafurahi sana wasanii wetu wanaweka thamani zao kubwa ila ss utashangaa mwisho wa siku eti kapanga 🤣🤣🤣

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 ปีที่แล้ว

    Hiikal👍👌

  • @McheshiOnlineTv
    @McheshiOnlineTv 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo ni nyumbani kwao bwana nyumba ya mama yake 😃😃 mbezi huko mama ake yuko vyema sana mbona ni wakishua huyo hapo kwao

  • @Afro_congo
    @Afro_congo 3 ปีที่แล้ว +2

    MJENGO KAMA WA KWANGU

  • @dggxxxxfgff3876
    @dggxxxxfgff3876 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyumba😂😂😂😂

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 ปีที่แล้ว

    Hio nyumba yangu bwana sema tu Mimi sitaki watu wajuwe

  • @Hassan-ot1mc
    @Hassan-ot1mc 3 ปีที่แล้ว +2

    Shida inakuja wanapoumwa ndio tunajua kuwa hawana hela

  • @user-ry9sr6rc7x
    @user-ry9sr6rc7x 3 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @abrahamfelix333
    @abrahamfelix333 3 ปีที่แล้ว +1

    wabongo wanaanza kuhoji ni yake kweli!! basi yenu nyie

  • @rashidahmed8071
    @rashidahmed8071 3 ปีที่แล้ว

    Akili nyigi

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @samniza1763
    @samniza1763 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe hamjui nilidhani mmeshajua kuwa ni yake lol!

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 ปีที่แล้ว

    Wasaniwotewamigiwananyumbazuri

  • @kijahnikwelinyalinga1740
    @kijahnikwelinyalinga1740 3 ปีที่แล้ว

    Kwenda huko kapanga

  • @ngomirakizaibrahim1546
    @ngomirakizaibrahim1546 3 ปีที่แล้ว

    Iwe ni yaake tu maana mpangaji hana ramani baana

  • @jayk5003
    @jayk5003 3 ปีที่แล้ว +1

    Anamringishia Vanesa huyo

    • @esteralbert4720
      @esteralbert4720 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 nimecheka balaa ila kutesa kwa zamu🤣

  • @sameeralrahbi5469
    @sameeralrahbi5469 3 ปีที่แล้ว

    Shinsha toba

  • @Swagaboysentertainment
    @Swagaboysentertainment 3 ปีที่แล้ว +1

    SIO YAKE NI YAKUPANGA😂😂

  • @yusrahatungimana9804
    @yusrahatungimana9804 3 ปีที่แล้ว

    Mwambie uyoo juma kama vee 1yatabia ya jioni nikumuwudumia chemella yetuu rotimi😏

  • @Sppah697
    @Sppah697 3 ปีที่แล้ว +1

    Atakuwa amerent!

  • @marinamooh4055
    @marinamooh4055 3 ปีที่แล้ว

    Mbwembwe zote hizo ukute kapanga🤣🤣🤣maana ma ⭐ wa Tz ndio wanaongoza kwa kupanga 🤣🤣

    • @zuleikhakhamis3303
      @zuleikhakhamis3303 3 ปีที่แล้ว

      kwani unaonaje hawa hawawezi jenga apo ni kupanga tuu

    • @luganochelwa2707
      @luganochelwa2707 3 ปีที่แล้ว

      Pitia page yake insta utagundua hilo

  • @sesyurio7609
    @sesyurio7609 3 ปีที่แล้ว +1

    Mastaa wa bongo wanpost Nyumb sio zao upuuz mtupu ikiwa ya kwako ndo upost

  • @janetcharo1543
    @janetcharo1543 3 ปีที่แล้ว +1

    Nitaanza kunywa chai jioni🤔

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 3 ปีที่แล้ว

      Na mimi pia😅😅😅

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 3 ปีที่แล้ว

      Matajiri ndio wanaokunywa chai jioni hujaelewa?

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 3 ปีที่แล้ว

    Mmmh itakuwa n department iyo

    • @fadhilinyengo7853
      @fadhilinyengo7853 3 ปีที่แล้ว +1

      Department ndiyo nini wewe? Au unamaanisha apartment?

    • @nancyfamilysharesmoments7634
      @nancyfamilysharesmoments7634 3 ปีที่แล้ว

      Apartment

    • @hajimnyamuru7433
      @hajimnyamuru7433 3 ปีที่แล้ว

      @@fadhilinyengo7853 atakuwa anamaanisha Department ya madawa hyo

    • @hanifaally4694
      @hanifaally4694 3 ปีที่แล้ว

      @@fadhilinyengo7853 😂😂😂😂😂 amekosea tumsameh bro

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 ปีที่แล้ว

    Kapangisha kama diamond

  • @monicamassawe9397
    @monicamassawe9397 3 ปีที่แล้ว +1

    Mjengo wa babayangu huo kapanga ninyumba yetu iyo

    • @fatmamakalo3068
      @fatmamakalo3068 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣 ya baba angu mimi hiyo

    • @godblessjrtz.8652
      @godblessjrtz.8652 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwani wachaga nao wanapenda kujisifu kama wahaya?

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 ปีที่แล้ว +1

    IWE SI YAKUPANGA MANA MUMEZOEYA KUISHI MAISHA FAKE

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @sameeralrahbi5469
    @sameeralrahbi5469 3 ปีที่แล้ว

    Shinsha toba