ALLAH A'ZZA WAJALLA Anatukataza kuchanganya haki na batili. Dr. Sulle makosa yake kisheria yapo wazi. Lakini Kishki na Marehemu Shaykh Rogo unawadhulumu. Ila kwa kuwa ni bingwa wa fitna ulimi wako ni mkali kuwajeruhi waja. Unatengeneza sentensi.
Kwanza ndugu yangu hii audio ni ya Zamani sana ,,,kwahio alimzungumzia rogo kitambo sio sahii ,,,,,alafu ndugu sheikh qaasim mafuta alizungumza haqq kwa maana alibainisha manhaj mbovu ya sheikh rogo aliokuwa nayo ,,,ama hujui kuwa rogo alilingania watu katka ukhaariji ,na sheikh qaasim alikuja kumbainisha had watu wakaelewa ,,,sasa ukisema aachane naye unakusudia nn?
Wewe tafuta hoja za kiilmu tafadhali hii si hoja kabisa ,,,,wewe upo dunia sahii ,toa hoja za kidunia usingoje aakhira huko ni ghaibu kwako ,,,hapa hapa duniani unaweza kujua nani mkweli kupitia ilmu ,,,hebu tafuta ilmu kwa juhudi utajua mkweli ni nani ,mbona jambo rahisi tu ,,kwani bado hujaelewa ukhawaariji ni nini ,bado hujafaham daawa ya rogo ilikuwa ni ya kikhaariji ,bado hujaelewa ?,
Hiì dini haitaki ushabiki ndugu zangu tuwe makini sana wallah pia tunatakiwa kumfata rasulullah .mashekhe wanakosea na wao mtu hakupata kufanya kitu kama hichi anacho kifanya sheikh kassim mafuta allah amhifadh. Pia ukweli wote tutakuja kuujuwa kesho mbela ya mola wetu mlezii.
Acheni upumbavu : HAKUNA MJA MWEMA YEYOTE KATIKA WALE WALIOPITA WALIKUWA WANALETA FITNA KAMA MNAZOLETA NINYI WATU WA MITANDAO: KINACHOTAKIWA NI KUELIMISHA JAMII YA WAISLAMU NA SIYO RADD RADD KWA WATU WENGINE: mpaka mnakera.
Kasim mafuta na genge lake tengenezeni kadi ili mtu akikataa kujiunga ktk chama chenu ndio mumtoe kwa kuwa tu amekataa kujiunga ktk chama chenu ila hii ni dini ya Allah haiendeshwi kwa fitna
Wewe sio shabiki mbona wa comment??,,ushehe wake wakusema mashekhe wenziwe tuuuu,, huyo mafuta,,yan yeye ili ahutubie watu lazma Amseme Sheikh mwenzake ndio kuhutubu kwake kukamilike,,yan kilasiku yeye ni Radd tuu basi.... Lakin ujue ROGO hakufungua taasisi
Kwa mujib wa Shehe kasim Mafuta kabla kuepo yy hapa Tanzania hkna shehe aliyekua sahihi ktk dini ya Uislam? Na km yupo bc naomba nitajiwe ili tupate faida juu yke!!! Mana mashehe alowataja kua tuwaskilize hkn Mtanzania hata mmoja!
Kasmu mafuta weye ndio umepotea na kama hujapotea mjibu mtoto wa bachu mbona humjibu unajifanya kumpuzia uyo shekh rogo hukumjibu alipokuwa hai na kwa tarifa yako shekh rogo ndio kalingania dini
Kasim mafuta nikama wanafunzi wakawaida tu hana lolot ivi hamuoni yy skuzot nikuwatowa watu ktk uislam yani aliye nyooka niyeye pekeyake duh hiyo nihatar
We mafuta na hao unaowasema mukosawasawa na tunetakiwa kumfuata mtume sio kasim mafuta anaegombana na kila mtu hadi baazi ya salafi wanasema ni haram kusikiliza kasim mafuta
Maashaaaaaa allah inapendeza saaaaaana allah akuhefadhi shekhe wetu mlezi allah akupe baraka katika umri wako,
Pia nakupenda kwaajili ya Allah
Allah amfidheheshe kasim mafuta kwa kulingania njiaa za kiyahudi ambazo mashekh wa haq wana zipinga na kubainisha ukweli
Hebu na wewe shika maiki bainisha. Ùnatuhumu tuu huku umejifungia kwako....
Allah amuhifadhi Sheikh Qasimu
Qassim mafuta Allah akuongoze sheikh achana sheikh Rogo Allah Amrehem
Allah amuhifadhi shekh wetu kasim mafuta
@@ramadhanmbwana5718 Allah ampe pepo sheikh Rogo
Allahuma ameen
ALLAH A'ZZA WAJALLA Anatukataza kuchanganya haki na batili. Dr. Sulle makosa yake kisheria yapo wazi. Lakini Kishki na Marehemu Shaykh Rogo unawadhulumu. Ila kwa kuwa ni bingwa wa fitna ulimi wako ni mkali kuwajeruhi waja. Unatengeneza sentensi.
Allah Kasim mafuta achana kabisa na kumzungumzia shk rogo insha Allah ipo siku mtakutana mbele ya Allah
Kwanza ndugu yangu hii audio ni ya Zamani sana ,,,kwahio alimzungumzia rogo kitambo sio sahii ,,,,,alafu ndugu sheikh qaasim mafuta alizungumza haqq kwa maana alibainisha manhaj mbovu ya sheikh rogo aliokuwa nayo ,,,ama hujui kuwa rogo alilingania watu katka ukhaariji ,na sheikh qaasim alikuja kumbainisha had watu wakaelewa ,,,sasa ukisema aachane naye unakusudia nn?
@@ABUUJAAFAR92 hata ingekua mpya msimamo wao kuhusu rogo unajulikana Na Allah atawaadhibu kwa ujinga wao na dhulma
Ambalo Allah amekustiri
Ww ndio mnafiki sasa umfikii rogo hata kidogo na inshallah utaenda kuona kesho kwa mungu
Awa ni wanafiki kbs Yani wanachopiga vita na wanachofanya ni kitu kimoja mm kwao naona Kuna chuki tu
Ww na shk rogo tutawaona akhera nani ni mkweli inshaallah
Wewe tafuta hoja za kiilmu tafadhali hii si hoja kabisa ,,,,wewe upo dunia sahii ,toa hoja za kidunia usingoje aakhira huko ni ghaibu kwako ,,,hapa hapa duniani unaweza kujua nani mkweli kupitia ilmu ,,,hebu tafuta ilmu kwa juhudi utajua mkweli ni nani ,mbona jambo rahisi tu ,,kwani bado hujaelewa ukhawaariji ni nini ,bado hujafaham daawa ya rogo ilikuwa ni ya kikhaariji ,bado hujaelewa ?,
Hiì dini haitaki ushabiki ndugu zangu tuwe makini sana wallah pia tunatakiwa kumfata rasulullah .mashekhe wanakosea na wao mtu hakupata kufanya kitu kama hichi anacho kifanya sheikh kassim mafuta allah amhifadh. Pia ukweli wote tutakuja kuujuwa kesho mbela ya mola wetu mlezii.
Acheni upumbavu : HAKUNA MJA MWEMA YEYOTE KATIKA WALE WALIOPITA WALIKUWA WANALETA FITNA KAMA MNAZOLETA NINYI WATU WA MITANDAO: KINACHOTAKIWA NI KUELIMISHA JAMII YA WAISLAMU NA SIYO RADD RADD KWA WATU WENGINE: mpaka mnakera.
Shee acha kabisa kumzungumzia logoo
Kasim mafuta na genge lake tengenezeni kadi ili mtu akikataa kujiunga ktk chama chenu ndio mumtoe kwa kuwa tu amekataa kujiunga ktk chama chenu ila hii ni dini ya Allah haiendeshwi kwa fitna
Tukiacha ushabiki huyu shekhe kassim Yuko vzr saana na anafanya kwajili ya Allah tuache ushabiki
Kheri inshaallah lakin anae zijuw nafc za waja ni allah pekeake yake wew unasema anafanya kwa ajili ya allah kw dalili ipi ndugu yangu
Wewe sio shabiki mbona wa comment??,,ushehe wake wakusema mashekhe wenziwe tuuuu,, huyo mafuta,,yan yeye ili ahutubie watu lazma Amseme Sheikh mwenzake ndio kuhutubu kwake kukamilike,,yan kilasiku yeye ni Radd tuu basi.... Lakin ujue ROGO hakufungua taasisi
@@bwakiismail126 angekua anafanya kwa ajili ya Allah angeenda jibu hoja suyuutwi
Kwa mujib wa Shehe kasim Mafuta kabla kuepo yy hapa Tanzania hkna shehe aliyekua sahihi ktk dini ya Uislam? Na km yupo bc naomba nitajiwe ili tupate faida juu yke!!! Mana mashehe alowataja kua tuwaskilize hkn Mtanzania hata mmoja!
Na khabari za suyutwy vp? tumsome ama?
Assalam Alaykum
Hii nimpya au niyajuzijuzi??
Iwe mpya au ya zaman haijalishi awa jamaa washenzi sana sijui hii dini wanaitoa wapi, awaseme hao kina sule sio rogo
@@mobilespecialschool4216kwanini rogo asisemwe na wasemwe kina sule,,,,na Hali upotoshaji wa rogo ulikuwa mkubwa kuliko kina sule?
@@ABUUJAAFAR92 Anza kumfananisha babako na sule kisha uje kwa rogo, toka lini CCM wakatenda Haq kwenye dini
Mtume pia maqureish walitahadharisha asiskilizwe wakijua wataslimu
Wanafiki wakiongeya unafikiri ni wakweli,ukiwaona wanakupendeza muonekanowao,acheni na unafiki maulamaa,waongozeni watu kwenhe haki.
Wao ndo wanoingiza watu kweny haqq na kuwatoa na mashekhe Ni wale wanowakubali wao tu 🙃🙃
Kasmu mafuta weye ndio umepotea na kama hujapotea mjibu mtoto wa bachu mbona humjibu unajifanya kumpuzia uyo shekh rogo hukumjibu alipokuwa hai na kwa tarifa yako shekh rogo ndio kalingania dini
Qasim unakokwenda siko waona unyasi wa ndugu zako n a ww una gogo zima ambalo amelistiri
Huyu Sheikh ata mie namtaka mjadala 😂😂😂
Fundisha watu dini yao siyo kila kukicha ni kutaja wenzio tu. Inafaidisha nini waisilamu hiyo? Watu wanahitaji kujua ibada zao
Semeni ukwel je kila anae toka kwemy twaa ya kiongozi ni hawariji ikiwa ndio twambieni je Imamu Hussein n Khawariji kwa kutomtii Yazid Bin Muawiya
Soma kitabu chaitwa nafhatu da'awatu watabligh ndio utajua wapinga hawapingi
Shekh kassim isabu nafsi yako usiziisabu za wanzakov
Makhawaarij wanaumia balaa hebu tulieni dawa iwaingie 💉💉💉
Jadida naomba jbu comment yangu kuhusu Imamu Hussein
Kasim mafuta nikama wanafunzi wakawaida tu hana lolot ivi hamuoni yy skuzot nikuwatowa watu ktk uislam yani aliye nyooka niyeye pekeyake duh hiyo nihatar
Ivo sivo tulivo takiwa kwenye dini yetu tulitakiwa tuamrishane mema nakukatazana maovu tuu nasiyo kutowana kwenye uislam
Kasimu mafuta ni muhuni tu Hana elimu
Kwa uislam huu Ukimsikiliza Sheikh fulani twakufukuza Markaz ukasikilize kwa baba yako 🤣🤣🤣 nimecheka 😂🤣
We mafuta na hao unaowasema mukosawasawa na tunetakiwa kumfuata mtume sio kasim mafuta anaegombana na kila mtu hadi baazi ya salafi wanasema ni haram kusikiliza kasim mafuta
Tunafahamu kuwa makhawariji mmeumia hahahahahahahaha,
Shekh qaasim chapaaaa za uso hawo makhawariji,
Pia watambue kua rogo alikua nikhawaariji
Ndugu yangu kwa mfumo huu hii ni dini kweli ?
Dah..
Majadida nahitaji jibu ya hili suala
Shekhena we achana na rogo Allah amrehem we mbwa ndio unapotea kila kukicha, alichotea rogo ni nini wapuuzi nyie
Makhawaariji kumbe bado wanaexist??? Itabidi tuanzishe ruduud dhidi ya Makhawaariji..
@@ABUUJAAFAR92 Radd za CCM hazina nguvu
Makhawaarij wanaumia balaa hebu tulieni dawa iwaingie 💉💉💉
Mbaguzi dini ya uislam haipo ivo mwehu