MWIJAKU amuomba Msamaha MASOUD KIPANYA kwa kumshambilia vibaya na kumwambia anafanya BIASHARA HARAMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 269

  • @humphreymwihambi4330
    @humphreymwihambi4330 6 หลายเดือนก่อน +38

    Ulimtukana na kumdhalilisha sana Masudi. Hii tabia unayo sana. Km Masudi ameona akusamehe shukuru sana. Mdomo unakuponza Mwijaku.

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 6 หลายเดือนก่อน +4

      Hanaga adabu sijiu likoje

    • @HappyJohn-rj8co
      @HappyJohn-rj8co 6 หลายเดือนก่อน

      Sifa nying

    • @matipashankanawaaooo1199
      @matipashankanawaaooo1199 6 หลายเดือนก่อน

      Ip sik atashika mavi kuchamba kwingi huku huna maji ni ufezuli

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@judyngowi391Lina ropokaropoka Sana aisee hadi linakera

  • @emmanueljudas4522
    @emmanueljudas4522 6 หลายเดือนก่อน +13

    Uyu mwijaku mshamba sana limbukeni sana shida ya washamba wakishika pesa na umaarufu ni balaa masoud legend kitambo alafu hana kelele.

  • @abdullahally5479
    @abdullahally5479 6 หลายเดือนก่อน +12

    Huyu jamaa hata yule Salah wa Silent Ocean kuna siku atakuja mtukana. Masood ni very nice Guy

  • @PaulNdunguru-um7ey
    @PaulNdunguru-um7ey 6 หลายเดือนก่อน +5

    Tumekuelewa kaka DC Unajuwa Makosayako Safi Sana Wew. Unajielewa Sana Hongera.Sana kwa Ilo Mungu akubaliki Sana❤❤

  • @CyprianBCTanzania
    @CyprianBCTanzania 6 หลายเดือนก่อน +13

    Hii ni dhahiri huyu jamaa ni limbukeni sana wa maisha na hata ajionavyo kuwa amesoma ukilinganisha na matendo ni tofauti kabisa

    • @lastkinglastking3326
      @lastkinglastking3326 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kakosea kakosea sana ila haimanishi kama matendo mema Hana
      Na hata kuomba msamaha wakati umekosa ni hekima na hekima sio kitu Cha walimbukeni

  • @Jasminemashina
    @Jasminemashina 6 หลายเดือนก่อน +5

    Pole kaka na hongera kwakulitambua kosa lako mungu akufanyie wepesi kwenye maisha yako kak

    • @Nope6e07
      @Nope6e07 6 หลายเดือนก่อน +1

      Alipe faini 😂😂😅

  • @tmt2642
    @tmt2642 6 หลายเดือนก่อน +3

    😢😢 Umekurupuka..Kwa Masoud KP..Haya unatoongea ulitakiwa uyafikilie kabla ya kumdhalilisha

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 6 หลายเดือนก่อน +6

    Shenzi kabisaaaaa huyu mwijaku asijitilishe huruma hapa na maneno ya busara hapa huyu ilifaa apelekwe mahakamani maana kazid mnoo kudhalilisha watu hajali kabisa hisia za watu 📌📌📌

  • @samkoka3
    @samkoka3 6 หลายเดือนก่อน +3

    😢😢umeyakanyaga boss lazima usafishe jina lake na uache mdomo

  • @mchilohasna7190
    @mchilohasna7190 6 หลายเดือนก่อน +13

    Tatizo huyu baba makurupuka kwann usingempigia simu direct mtu mzima ovyo

  • @mohanmashine3518
    @mohanmashine3518 6 หลายเดือนก่อน +4

    hapanaa wew hutakiwi kusamehewa mpuuzi sanaa wew mm ningekuwa naweza kumuonaa masoud ningemshauri tu akupeleke mahakan ili ujifunze

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 6 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa hata mimi nitamshauri Masoud ampeleke mahakamani

    • @marcynhumbi3534
      @marcynhumbi3534 6 หลายเดือนก่อน

      Hata mim nataka Masood asimsamehe waende mahakamani,Sasa kama anajua biashara haramu za Masood kwanini aombe msamaha

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 6 หลายเดือนก่อน +17

    Kuna watu sio wa kuwagusa, utalambwa😂

  • @josephramadhani8914
    @josephramadhani8914 6 หลายเดือนก่อน +5

    Hili jamaa nafiki Sana,eti brother ake

  • @IbrahimMohamed-rk7zx
    @IbrahimMohamed-rk7zx 6 หลายเดือนก่อน +6

    Uwache maneno unajisikia sana sio uislam uwo jirekebishe

  • @lucksonize
    @lucksonize 6 หลายเดือนก่อน

    Bigup snl

  • @mwanjaarashidi7402
    @mwanjaarashidi7402 6 หลายเดือนก่อน +5

    Leo kweli nimeamini ukiwa na furaha sana au hasira Bora ukae kimya Bila kusema kitu chochote

  • @zubeirzubeir6534
    @zubeirzubeir6534 6 หลายเดือนก่อน

    Bahati kwa sisi Waislaku pale Mtu Anapokubali Kujishusha na Kukuomba RADHI ni WAJIBU wako Kumsamehe. Aidha ni MAKOSA Kukataa Kusamehe iwapo Umeombwa RADHI na hiyo Inaweza kua ni DALILI KUBWA YA KIBURI (na KIBURI no Vazi la MUNGU PEKEE.
    May ALLAH GUIDE THEM and us ALL to his Right Way 🙏

  • @bensonmwananchi7701
    @bensonmwananchi7701 6 หลายเดือนก่อน +4

    Lakini maneno yako ya kwanza ndo ya kweli maana ulikuwa na hasira..c unajua ukwel huwa unasemwa ukiwa na hasira

  • @abdallahhuseinkabale7534
    @abdallahhuseinkabale7534 6 หลายเดือนก่อน

    Sema tumejua kazi zake

  • @JamaliAmour-jp9dd
    @JamaliAmour-jp9dd 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kalipe kwanza bilioni tano

  • @sakaraboy8951
    @sakaraboy8951 6 หลายเดือนก่อน +4

    MWEMBA AMEYATIMBAAA.. 😅😅😅😂😂😂😂😂😂.

  • @sunyareh
    @sunyareh 4 หลายเดือนก่อน

    Na mimi nilikuwa nakaa na Khadija Abdikarim, nilipo Safiri wakaachana na akamuoa Huyo Mariamu, na akajiita mbarawa, ni wasomali na ni kabila yangu mimi Zahra

  • @trendings1293
    @trendings1293 6 หลายเดือนก่อน +6

    Umeshikwa pazuri,ulitukana mitandaoni so utaomba msamaha same way

  • @meckgandye9250
    @meckgandye9250 6 หลายเดือนก่อน

    Iñgia pabov ..we we msen❤❤

  • @gabrielgwawu4026
    @gabrielgwawu4026 6 หลายเดือนก่อน +15

    Mnaitaja dini yenu kwenye vitu vya hovyo, huwezi kuta mkristo anajifichia kwenye dini kuhalalisha upuuzi aliofanya.

    • @swalehmbarak2137
      @swalehmbarak2137 6 หลายเดือนก่อน

      Sasa na wewe mambo ya dini yameingilia wapi apo...mbna wapo mapastor wengi tu wanafanya mambo ya uzinifu na hakna mtu anaingilia kati.....usiingize dini apo kabisaa...huna lakusema bora unyamaze tu.. Kenge wewee

    • @hassankhamis7380
      @hassankhamis7380 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kaka usilete udini humu mseme huyu mjinga huyu

    • @mudrickkisinda1515
      @mudrickkisinda1515 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi muislam lkn umesema ukweli anatafuta huruma kupitia dini waislam kuweni na akili mdaa Kuna watu wanafiki sana

    • @wemachristian286
      @wemachristian286 6 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabis ​Badala aombe msamaha mda wote anataja dini​@@mudrickkisinda1515

    • @gabrielgwawu4026
      @gabrielgwawu4026 6 หลายเดือนก่อน

      @@swalehmbarak2137 hujanielewa.

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 6 หลายเดือนก่อน +8

    Sio masudi2. Muombe msamaha hata diamond huwa unamdhalilisha sana kisa kutafuta umarufu.

    • @hassankhamis7380
      @hassankhamis7380 6 หลายเดือนก่อน

      Mondi akiamua kulipeleka segelea ni siku 1

  • @AminaMollel-cd9mb
    @AminaMollel-cd9mb 6 หลายเดือนก่อน

    Tujifunze Kusamehe ili na sisi Allah atuswamehe......Kama sisi hatujawahi kukosea basi na tuendelee kumtusi Mwijaku

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 hapo kanajifanya.....kana dini...salamu ndeeefuuuuu😂😂😂😂😂

  • @thomasmayane5179
    @thomasmayane5179 6 หลายเดือนก่อน

    Usijaribu kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa...kwa mtu mwenye kujielewa na kwa speech yko ulioongea we ni muongo na mwenyezi mungu mwingi wa rehema atakuadhibu maana unafanya ya dunia na mkosefu but unajificha kwa kivuli chake mwnyez mungu akuangamize

  • @Donovan.2906
    @Donovan.2906 6 หลายเดือนก่อน +1

    Masoud ni mmoja wa wat wa mda mref clouds, na mwijaku kutoka clouds kwenda crown hata kama kuna mshahara mkubwa...atapoteza dili nyingi ndani ya mda mfupi...mwijaku si wa kuomba msamah hivi...shinikizo la kukosa dili mbeleni ndilo lililomleta hapo

  • @felixmwayeya6716
    @felixmwayeya6716 6 หลายเดือนก่อน +2

    Leo umepoa umepoa mwijaku umepoa😂😂

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 6 หลายเดือนก่อน +2

    Masudi Kipanya usimsikilize huyu amekuharibia uture ysko.Kumbuka baada ya hapa utatafutwa tu na wasiojurikana. Issue ya madawa ni hatari sana. Hakikisha uchunguzi unafanyika kisheria na liishe kisheria.

  • @Mamahope-u3b
    @Mamahope-u3b 6 หลายเดือนก่อน +1

    Toka hapo umelazimishwa kuomba msamahaa ww, na mbado utaomba msamaha sana usipoacha domo lako Hilo, Huwa nashangaa maka ulienda kufanya nn ww, tena uachane na Mondi kumsema vibaya Kila siku siku ukiingia kwenuee kumi na nane za Mond hakuna kuomba Msamaha utaenda gerezani Moja kwa Moja.

  • @anthonymanyama
    @anthonymanyama 6 หลายเดือนก่อน

    Msamee tu ndug yako masoud ni maisha tu haya ndug yang

  • @sunyareh
    @sunyareh 4 หลายเดือนก่อน

    Na akataka kumuuwa Khadija Abdikarim, ikabidi mume wake amwambie unataka kuuwawa rudi Tanzania, huto anaye jiita zarina Hasan alimwambia Abdi Hasan nitamuuwa mke wako au mwache.

  • @ICEELECTRICCOMPANY
    @ICEELECTRICCOMPANY 6 หลายเดือนก่อน +1

    Experience life now we want 5billions no excuse😂😂😂😂 tutaongea mbele ya mahaka saa hv hatutaki msamahaa wako 😂

  • @abdulrahmanmwadini5925
    @abdulrahmanmwadini5925 6 หลายเดือนก่อน

    Masudi ana mahusiano Mazuri na Makampuni na Mashirika tofautitofauti,kitendo ulichokifanya kimepelekea kuharibu Mahusiano hayo na atakae msafisha ili akubarike tena ni Mahakama tu,hivyo huna jinsi Mwijaku ,lazima Mahakama ikuhusu then baada ya hukumu ikionesha una Makosa bado atakuwa na haki ya kukusamehe,lakini sio kwa sasa,chakukifanya wewe kuwa nae karibu"kuwa CHAWA wake "ili muelekee Mahakamani Kirafiki.

  • @thehomeoffootballskills4358
    @thehomeoffootballskills4358 6 หลายเดือนก่อน +14

    Achanawewe matangazo ya Kamali na mikopo ya RIBA acha tamaa Mwijakuu zile pesa xx na kampuni ya kamali

    • @alsam4881
      @alsam4881 6 หลายเดือนก่อน

      Huyo Mwijaku ni mtu wa hovyo kabisa kwa kuwanyooshea wenzake vidole, na sasa amefanya matangazo ya Condoms na kushawishi Zinaa.😏

    • @abdallahabdul8684
      @abdallahabdul8684 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ni mshenzi tu huyu afwati chochote kwneye dini

  • @ABUU426
    @ABUU426 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu kama kuna mtu ana namba ya simu ya mwijaku naomba anipe

  • @ommymbagamoyo4780
    @ommymbagamoyo4780 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa mshenzi sana, anatumia dini kwenye ushenzi wake...

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 6 หลายเดือนก่อน +7

    Sisi tunasimama na maneno yakwanza ndo yenye uhalisia siku zote mtu akikasirika na kuongea ndo hua anaongea mambo yakweli mana yanatoka yale ya moyoni😅

  • @jimmyhabarugira4232
    @jimmyhabarugira4232 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hili jamaa jinga sana
    Si mara ya kwanza anatukana watu wenye kumzidi kilakitu, kutukana mpaka watu wana umri sawa na wazazi wake hapo wametaka kumpeleka mbele ya sheriya ndomana amekuja kuomba samahsni za kinafki kama alivyofanya kipindi alimtukana Mama Mondi

    • @rajabdibwa6415
      @rajabdibwa6415 6 หลายเดือนก่อน +1

      Pia tanasha😂

  • @LeftLaneking
    @LeftLaneking 6 หลายเดือนก่อน +7

    Umemkosea sana we jamaa. Masoud kaifanyia makubwa nchi hii kuliko wewe unapaswa uheshimu hilo. Anyway Masoud ni mtu smart sana naimani ameshakusamehe

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 6 หลายเดือนก่อน +1

      Tz heshima Hua hakuna kabisa heshma hususan Hawa watu walotoka vijijini huko wakaingia mjini Hua wanahisi wao ndio wakwanza na kuhisi hakuna wakuambia lolote kumbe hayo yote ni kuonyesha viwango vyao vya ushamba

    • @wemachristian286
      @wemachristian286 6 หลายเดือนก่อน +1

      Hata usiseme kuliko yeye masoud hapaswi kulinganishwa kabisa na huyu

  • @nanziambaga7985
    @nanziambaga7985 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mkisha tukana watu ndo mnakumbuka misamahaa

  • @NassorHussein-g7f
    @NassorHussein-g7f 6 หลายเดือนก่อน

    upo sahihi Kaka msamah nikit sahihi

  • @moshisadara815
    @moshisadara815 6 หลายเดือนก่อน +2

    Masoud kipanya nakuomba usisikilize msamaha wa huyu mwijaku nimtu mpenda sifa pia mropokaji, inatakiwa abanwe iwe fundisho na kwa wengine.

    • @kamanapomo7029
      @kamanapomo7029 6 หลายเดือนก่อน

      Hapana, muislam hatakiwi kua hivyo kaka, jamaa kakosea na kaomba radhi ni vizur kusamehe Kama anavyo tufundia mtume Muhammadi s.w

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu anaitwa kipanya ogopaaa ,namtega kila siku hategeki ogopaaa,jidanganyee

  • @aidaharuna5549
    @aidaharuna5549 6 หลายเดือนก่อน

    Unakula pesa halali pesa yako yakuvuruga ndoa za watu na maisha ya watu

  • @mamouNaturals
    @mamouNaturals 6 หลายเดือนก่อน

    Wa kwanza😊

  • @yudachelango6824
    @yudachelango6824 6 หลายเดือนก่อน

    Hela za kulipa huna ndo maana UNATAPATAPA,,Kafungwe huko

  • @martinmendrad3531
    @martinmendrad3531 6 หลายเดือนก่อน +2

    We mwijaku ni boya sana, yani mtu kama masoud kweli unamdhalilisha vile kweli, hata kama anamambo yake, ila masoud ni mtu smart sana wewe haustahili hata kukanae karibu ni tu bahati ulifanya nae media moja, SHENZI WEWE

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 6 หลายเดือนก่อน

    Ukishapata shida ndio unajifanya unajua dini. Jirekebishe tabia yako mambo mengi unafanya ambayo si katika dini.

  • @didaamira-cp6uf
    @didaamira-cp6uf 6 หลายเดือนก่อน +10

    Yani wewe kaka unaijuwa dini ila unafanya mambo sio mbona umekwenda umra ila unarudia kufanya mambo sio wewe ndio kiongozi wa familia ila unaongoza sivo Kwa nn unaijuwa dini halafu unaruhuau mkeo na mtt wako watembee uchi mwislamu wa kweli hatakiwi awe hivo wamuweka mkeo kwenye mitandao uchi na mtt na wajuwa kuwa dhambi hiyo elimi Yako waitumia vp

    • @Oldskulgemini9991
      @Oldskulgemini9991 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kujua dini sio shida ndomana baadhi ya mashehe na wachungaji wanafanya vitu vya uovu nyuma ya pazi na hawajulikani, ishu ni kuishi Bila kumkera mtu na kutoruhusu mtu kuingilia maisha Yako binafsi, Kila mtu Aishi vile anaona inafaa

    • @tahiyasaidi6532
      @tahiyasaidi6532 6 หลายเดือนก่อน +5

      Anaijua dini gani😂

    • @alsam4881
      @alsam4881 6 หลายเดือนก่อน +1

      Na sasa amefanya matangazo ya Condoms na kushawishi watu wanunue ili wafanye Zinaa.

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@Oldskulgemini9991kila mtu aishi kwa kujua Mungu yupo sio kuishi atakavyo!ebu jaribuni kumuepuka shetan japo hata kwa kukemea mabaya basi!kila mtu aishi maisha yake wee unaweza kumtia mama ako!?hacha kushabikia upuuzi pumbu wee!kukumbushana mema ni sehem ya uislam sasa wewe kama hujui hizo kanuni na upo upande mwingine bora ukae kimya

    • @thamani5842
      @thamani5842 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@Oldskulgemini9991uislam hautufundishi kila mtu kuishi anavoona inafaa, bali kuishi vile ALLAH anavotaka

  • @nestanesta5704
    @nestanesta5704 6 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku huwa anaropoka Sana hajui kubalance hajui nn aongee akiwa wapi na nini aongee kuhusu nani

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 6 หลายเดือนก่อน

    Mtume gani unamdharirisha masoud mstaarabu sana,mwajabu acha ukenge

  • @JosephDaniel-l2m
    @JosephDaniel-l2m 3 หลายเดือนก่อน

    Celine Run

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 6 หลายเดือนก่อน

    Mkikosea ndio mnajiona mnamjua mungu

  • @silviocimo3948
    @silviocimo3948 6 หลายเดือนก่อน

    Umezoea kunkejeli Diamond, leo umenshezea ntu asiopenda masiala

  • @pikipiki_market
    @pikipiki_market 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona dini Sana anazungumzia anajificha na dini

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 6 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @sunyareh
    @sunyareh 4 หลายเดือนก่อน

    Na sasa kuna mtu kampa jina la Shakib, huyo Shakib ni mtoto wa shangazi yangu aliye nilea mimi.

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 6 หลายเดือนก่อน

    lisemalo lipo nakama alipo basi linakuja inaweza kua kweli au uwongo sisi atujui ila labda ana ushaidi maana mpaka mtu mzima afikie kusema ivyo maana yake anajua alicho kisema awezi sema maneno kama hayo bila kujua ukweli

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mwijaku mdomo utamchongea anapenda kuropoka hii inshu sijui niyangapi kuomba radhi watu hufikisha ujumbe kisha akimwagiwa mkwala uharo chapa chapa kwenye suruwali

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 6 หลายเดือนก่อน

    Kuomba msamaha ni jambo kheri kuomba msamaha,lkn jifunze kuwa na subra lkn fahamu kwamba Allah ametukataza kumchafua muumini mwenzako

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unatapika tapika tuuu Nash’s kipanya ni mtuu anaeshimika sna ila ww unatak kubunja eshima yke

  • @olomifill2790
    @olomifill2790 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 unajitetea sana

  • @shabanimbenu2163
    @shabanimbenu2163 6 หลายเดือนก่อน +1

    TUMIA AKILI KABLA HAIJAKUTUMIA MWIJAKU, YOU'RE HAVE TO THINK TWICE.

  • @annievibes8794
    @annievibes8794 6 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo ukome nyoko wewe nenda kasali rakaa 2 umuombe mungu akusafishe domo lako😢

  • @salmaswala3900
    @salmaswala3900 6 หลายเดือนก่อน

    Mnafanya ujinga halafu mnakimbilia kwa mungu

  • @hhurbert
    @hhurbert 6 หลายเดือนก่อน

    Dah BILION 5 NI PESA NYINGI SANA JAMAA KAJIELEZA SAAANNNNNAAAAAAAA

  • @christonchristian7448
    @christonchristian7448 6 หลายเดือนก่อน

    hata kama umetoka umra uende mahakamani mbwa WEWEEE😤😤😤😤😤😤😤😤😢😢😢😢😢😢😢

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mmh!

  • @ErickJosephmlay-kf2sy
    @ErickJosephmlay-kf2sy 4 หลายเดือนก่อน

    Kwanza unangalia na miwani ni zarau hiyo ivy unaheshima adabu wala maadili ivy uwajibike mana inaonekana unaushahidi na tunataka.uonyeshe ayo uliosema BONGO LALA WEWE

  • @zayneryassin6054
    @zayneryassin6054 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kwamaneno yale lazima kikurambe chini ya kapeti

  • @sumayasumaya6455
    @sumayasumaya6455 6 หลายเดือนก่อน

    masudi humjui..smart' sana na ila sio ukimletea habari za kumdhalilisha., na game' anazijua ila pia ana imani sana., na mkweli

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 6 หลายเดือนก่อน

    Umeambiwa ufate maagizo kutoka kwa Advocate wake

  • @lulurubby2235
    @lulurubby2235 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu hajui juwa watu wengi hawampendi kutoka na tabia yake ya kukosea watu adabu ,dawa yake huyu ni kumkatia ktk media zote kila mtu anamtukana alafu samahani

  • @erickbulyota9474
    @erickbulyota9474 6 หลายเดือนก่อน

    Braza iyo TV iliyokua ukutani umepeleka wap?😊

  • @RamadhanAlly-qg9hq
    @RamadhanAlly-qg9hq 6 หลายเดือนก่อน

    Pumbavuuu we're ibada gani unajisifu mnafikiiijj

  • @hassankhamis7380
    @hassankhamis7380 6 หลายเดือนก่อน

    Faini inakuchanganya bro ww lipa acha ujinga tumefundishwa kua na subra sio kuongeya hovyo km unavyoongeleaga watu una jizalilisha sana kenge acha ya kukute

  • @MunirAbdullah-sy8ks
    @MunirAbdullah-sy8ks 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unaniudhi unapotaka kuweka dini kama kinga yako ila sio fresh iyo iyo dini imetuagiza kuficha aibu ya mwezio

  • @africanasplumbing
    @africanasplumbing 6 หลายเดือนก่อน +3

    Usikanushe huyo ni mwanao kwa hio siri zake umeshazitoaa tatizo HUGANDISHII😅😅

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 6 หลายเดือนก่อน

      Hana siri yoyote ile anayoijua ya Masoud huyu ni Domo kaya.kaja mjini jana actualize tunaomjua Masoud kipanya

  • @JobMalishee
    @JobMalishee 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu Bwana ni Mropokaji sana na anaikosea sana taaluma ya Habari

  • @erickbulyota9474
    @erickbulyota9474 6 หลายเดือนก่อน

    Leo unajifanya shekhe 😂😂 classmate unazingua

  • @africanasplumbing
    @africanasplumbing 6 หลายเดือนก่อน +2

    Lakini si rumeshajua kua anafanya biashara haramu

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 6 หลายเดือนก่อน

    Mbona sauti haitoki vizuri sai. Piga kelele watu wasikie. Hahaha halaaaaa

  • @amos878
    @amos878 6 หลายเดือนก่อน

    Billion 5 unafikiri mchezo hii ndio itakuwa kitu kizuri kufanya kuwawajibisha hawa chawa uchwara

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 6 หลายเดือนก่อน

    Wanakumbukaga sana Dini Hawa mambo yakiwakuta🤣

  • @mwanakitenge
    @mwanakitenge 6 หลายเดือนก่อน

    Aennde tu jela japo miaka 2 ili akili imkae sawa

  • @MohammedyMohammedy-mi2vh
    @MohammedyMohammedy-mi2vh 6 หลายเดือนก่อน

    mahakama bwana kumbe Ahyaaa unazijua ivyoo

  • @adamore854
    @adamore854 6 หลายเดือนก่อน

    sifa za watu wanafiki,,hujiegemeza kwenye dini kuficha mabaya yao....

  • @itibrose190
    @itibrose190 6 หลายเดือนก่อน

    Jamaa kumbe Anafanya biashara haramu usibadili maneno kisa bilioni 5

  • @rweyemamurweyongeza4879
    @rweyemamurweyongeza4879 6 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku kuwa mkweli, ulikuwa na nia ya kuomba msamaa au kila ukiwa bl 5 roho inauma.😅😅😅😅

  • @benardjob6815
    @benardjob6815 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu inabidi ahukumiwe kulingana na uzito wa kosa alilomtendea M.Kipanya ili awe fundisho kwa wadhalilishaji wengine.!!

  • @amaniemmanuel5260
    @amaniemmanuel5260 6 หลายเดือนก่อน

    Biblia inasema chunga ulimi wako proverbs 21-23 ni kiungo kidogo kabisa but it can cost your life.

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanza wala hata hakusema vibaya mpaka umdhalilishe mwenzio kiasi kile haikubaliki kwa kweli amezoea kudhalilisha wenzie Masudi kaza kamba

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna kitu kwenye dini ya kiislamu haipo sawa,,, wengi nimeona ni watu wa hasira hasira na kukurupuka sasa sijui hasira zao ni suna pia

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 6 หลายเดือนก่อน

      Uislam na mtu unahusiana vipi kaka?

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 6 หลายเดือนก่อน +2

    😮jinga ww mdomo utakuponza unapenda kuchafua watu bila uhakika utaenda jera boya ww kiropo ropo sanaa ulimtukana mama wa zuchu akakuacha sasa umekutaniza🤣🤣🤣

  • @natashakibale5557
    @natashakibale5557 6 หลายเดือนก่อน

    Ufungwe tuu....

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy 6 หลายเดือนก่อน

    Toa Bilioni 5 babaaa