UTACHEKA: DOTO MAGARI KAMTAPIKIA TENA MWIJAKU KUHUSU KESI YAKE na MASOUD KIPANYA -ANADAIWA BILIONI 5

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 15

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  7 หลายเดือนก่อน

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @Jumamsauzy
    @Jumamsauzy 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana broh mana huyo mwijaku anakukosea sana yani mpaka aseeeme

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 7 หลายเดือนก่อน

    Mmechelewa Global

  • @hussein8200
    @hussein8200 7 หลายเดือนก่อน

    Unafurahisha sana bro😂

  • @HusseinKalamba
    @HusseinKalamba 7 หลายเดือนก่อน

    Dotto nakukubali

  • @Sandeeyanga
    @Sandeeyanga 7 หลายเดือนก่อน

    Hana iyo pesa

  • @stanleynombwe4865
    @stanleynombwe4865 7 หลายเดือนก่อน

    Tatizo huyo muha mwijaku uchoko na mideko anaizidisha mno acha Sheria imnyooshe

  • @Sandeeyanga
    @Sandeeyanga 7 หลายเดือนก่อน

    Msameheni bure tu

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 7 หลายเดือนก่อน

    Muombeye Mdogo wako asamehewe
    Dotto kweli anauruma lakini uyo lawyer aache mbwembwe zake Mwijaku sio wa kwanza

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 7 หลายเดือนก่อน

      Sio wa kwanza ndio. Akamuulize Siprian Msiba mpaka leo kaufyata baada ya mahakama kumtaka amlipe Membe Bilioni moja.
      Usicheze na mdomo ukakutana na sheria

  • @braysonshayo5266
    @braysonshayo5266 7 หลายเดือนก่อน

    Mtamuua huyo bwana

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 7 หลายเดือนก่อน

    Mwamba km mwamba

  • @Jumamsauzy
    @Jumamsauzy 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana broh mana huyo mwijaku anakukosea sana yani mpaka aseeeme

  • @Jumamsauzy
    @Jumamsauzy 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana broh mana huyo mwijaku anakukosea sana yani mpaka aseeme

  • @Jumamsauzy
    @Jumamsauzy 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana broh mana huyo mwijaku anakukosea sana yani mpaka aseeme