Aggrey akutana na Waziri Gwajima, afunguka kumtumia kuwarudisha wengine kwenye maadili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 71

  • @superb1344
    @superb1344 16 วันที่ผ่านมา +11

    Mungu akutunze saana kakaangu,,Mungu akuponye kwa kila eneo ambalo uliuumia,,Bwana akutetee zaidi

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 16 วันที่ผ่านมา +11

    Hii approach nzuri hawa watu msiwaukumu waaonyesheni upendo

  • @Naomiwilliamu
    @Naomiwilliamu 17 วันที่ผ่านมา +17

    MUNGU ATABAKI KUWA MUNGU TUNAKUSHUKURU MUNGU KWA WEMA WAKO🙏

  • @MasokaShabani
    @MasokaShabani 12 วันที่ผ่านมา +1

    Amen 🙌🙌🙏 mingu wakumbule wagine 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @emanueluroki6160
    @emanueluroki6160 17 วันที่ผ่านมา +26

    Japo hili agrey amefanya katika kuokoka na kacha mabaya ni jambo zuri sana wadau wa serikali na mashirika wamtizame pia katika ajira na uchumi wampe kazi na apate utulivu pia

    • @hopechidera
      @hopechidera 17 วันที่ผ่านมา

      Kabisaaa...

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 17 วันที่ผ่านมา

      Mpe ajiraaa

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k 17 วันที่ผ่านมา

      Hakika❤❤❤

    • @dadyjo_
      @dadyjo_ 17 วันที่ผ่านมา +1

      Apewe ajira kwa misingi ipi inatakiwa apambane kwa sasa kama mwanaume halisi

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 17 วันที่ผ่านมา

      @@dadyjo_ kwani alikuwa mwanamke

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 17 วันที่ผ่านมา +1

    From 🇧🇮 mashaallah

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 17 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu akulinde

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akusimamie

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu asante kwa hili 😢❤❤❤❤

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py 17 วันที่ผ่านมา +8

    Mungu akupe ulinzi wa lohoni, uje geuka nyuma Tena, mungu akulinde kweli

  • @elizabethmkude9452
    @elizabethmkude9452 15 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutunze maana bila yeye atuwezi

  • @alexwaspongamachumbe428
    @alexwaspongamachumbe428 17 วันที่ผ่านมา +2

    Asante Mungu kwa kusikia Kilio Changu, maana nilikuwa nachukizwa sana kumuona Agrey alivyo kuwa akiishi na Wasanii kufurahia Maisha yake... MUNGU na Mizimu ya Babu zako ikulinde Mtu wangu wa Nguvu... Nakuomba Pambana na kushindana na Vishawishi..

    • @MagrethCharles-ne2ts
      @MagrethCharles-ne2ts 16 วันที่ผ่านมา

      Kikwelii alindwee na mungu..miungu ni jangaa pia kaka👨‍🔧👨‍🔧

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 12 วันที่ผ่านมา

      Mmmh we nawe,mizimu hapa imefwata nn Mungu anatosha

  • @JeanjacquesAmuri
    @JeanjacquesAmuri 14 วันที่ผ่านมา +1

    Vp kuhusu ule askari police video zake zilivuma aige mfano wa mwenzio nafasi ipo kwa Mungu nipo congo DRC inchi ya haadi 🇨🇩

  • @MariaEvance
    @MariaEvance 17 วันที่ผ่านมา +2

    Hizo nidram nimpk Neema ya Mungu iwafikie muwaombee wengine

  • @JewsJews-c8w
    @JewsJews-c8w 17 วันที่ผ่านมา +8

    hawezi kuacha bila kukutana na Mungu wa kweli kwani hii roho.kumbe serikali inawajua harafu inawaacha.

    • @DavidCurtis-e4c
      @DavidCurtis-e4c 16 วันที่ผ่านมา

      Wee nawe ulitaka iwafanye nini wakati wa magufuli walishughulikiwa na makonda mpaka vya vya siasa vikawatetea na na yule mwanasheria mtoto wa Raisi aliepita nchi fulani ukivuka bahari😂 na makonda mpaka sasa amezuiwa kuingia marekani kwa sababu ya mashoga, ukiwaingilia hao hovyo hovyo hata amani ya nchi inayumba kama haujui makao makuu yao ni taifa teule la Israel😂 ndio wao walienda mbali mpaka kutengeneza bendera yao ya rangi rangi taifa teule hilo ambazo laana zote za ulimwengu zinaanzia kwao

  • @SimoniThomasi
    @SimoniThomasi 17 วันที่ผ่านมา +7

    Lakn huyu anatakiwa akae karibu zaidi na viongonzi wa kiume ili akaze kiume aachane kwanza mwasha kidogo maake atachelewa kukaza nakujua mengi ya kiume apunguze kukaa na wanawake kwa muda😢

    • @hopechidera
      @hopechidera 17 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂eti aachane kwanza na Mwasha kidogo...

  • @wadantz123
    @wadantz123 17 วันที่ผ่านมา +8

    Mungu awalinde watt wetu wakiume 😢

  • @EzekiaMwaigalagala
    @EzekiaMwaigalagala 16 วันที่ผ่านมา

    4 on

  • @AishaAisha-q7y
    @AishaAisha-q7y 17 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏

  • @ConfusedBlockGame-nw3lb
    @ConfusedBlockGame-nw3lb 17 วันที่ผ่านมา

    💪💪💪💪🤝🤝🤐

  • @gracenizigama695
    @gracenizigama695 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu nimwema

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 17 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢

  • @MustafaMsumari-j1c
    @MustafaMsumari-j1c 15 วันที่ผ่านมา

    Jimalizeni tu siku akiwageuka ndio mtajua kichaa aponi moja kwa moja

  • @AdmiringGlassRose-ko3yf
    @AdmiringGlassRose-ko3yf 16 วันที่ผ่านมา

    Ingelikua wazanzibar wabongo ungewasikia tu ila yakwao aaaa

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 17 วันที่ผ่านมา

    Mi naona mapema sana , shamrani kiboko!

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 16 วันที่ผ่านมา

    Kapewa kichambo juzi kaona amuite Agrey ili apate kumdidimiza yule alosema anauza mtoto hii hajaifanya yy mbona hajamwita tokea alipotangaza kubadilika shame on her haina ladha big up LILLIAN MWASHA umewapata serikali aibu na mfano wa kuiga

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 17 วันที่ผ่านมา +1

    Waanze na Anti T alafu wadada muache kuwalea na mashoga inawafanya wajione wanafanya sahihi💔🚮

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 16 วันที่ผ่านมา

    Hutu kihana anatakiwa kuanza kukaa na wanaume zaidi k kuliko kukaa na wanawake sana ili mwili ukaze maana bado amekegea sana apelekwe kwenye mazoezi ya mpira na ngumi na junyanyua vitu vizito na kukimbua na kazlka

  • @mangiclaus
    @mangiclaus 17 วันที่ผ่านมา +3

    Ni kweli amebadilika ila anahitaji bado muda wa sober na matibabu ya muda mrefu Ili anapoenda mbele ya jamii awe tayari na muonekano WA mtu aliyepona. Haifai kumjumuisha kwenye shughuli za watoto ikiwa bado ana muonekano flani ambao haujakaa kama mtu aliyepona sawasawa. Tumpe muda zaidi anaweza kuwa para social worker Bora

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 17 วันที่ผ่านมา

    Lilian kaja laso na huyo aggrey angejaribu kimuangalia kabla ya kumtrendisha siku akigeuka atajua hajui

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 17 วันที่ผ่านมา +1

    Yu wapi nabii tito?

  • @hafidhyakoub8369
    @hafidhyakoub8369 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mm huyu waziri hayuko serious na kazi yake yani okoa watoto wadogo ww waziri okoa watoto kunyanyaswa

  • @Jamila_1996
    @Jamila_1996 16 วันที่ผ่านมา

    Angetulia madhabahu moja,hasa huko SDA angefundishwa na kusimama kiimani

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 17 วันที่ผ่านมา

    Maish yanabadilika

  • @MonicaMwoka
    @MonicaMwoka 17 วันที่ผ่านมา +1

    Waziri gwajima utusaidie watoto wetu wanaoishi mikoa ya ruvuma mbeya iringa njombe wanateseka na baridi miezi ya may june julai wanapokwenda shule wabadilishiwe mavazi tafadhali wstoto wanateseka mno mno haswa wakati wa baridi

    • @MkisiStylish
      @MkisiStylish 16 วันที่ผ่านมา

      Ungependa wavae nini 😹😹😹ongea na mwalimu mkuu wa shuleni kwa mwanao,,Mimi niliposoma msimu wa barid tulikuwa tunaruhusiwa kuvaa sweta la kawaida ndani la shule nje,kichwani unavaa mzura mikononi groves ukifika muda wakuandika unatoa afu miguuni unavaa mabuti kwaio ni rahisi tyu sio adi msumbue serikali mambo madogomadogo kama hayo wazazi mnaongea tyu na uongoz wa shule ilimradi tyu muwe na point ya muhimu kwanini wabadilishe mavazi kwa msimu wa baridi

    • @Jamila_1996
      @Jamila_1996 16 วันที่ผ่านมา

      Mbona njombe watoto wanavaa suruali ndefu,na wakike wanavaa sket na suruali na kofia. Njombe mjini

    • @MonicaMwoka
      @MonicaMwoka 15 วันที่ผ่านมา

      @Jamila_1996 sasa utupiganie huko kwinhine musimu wa baridi wstoto wanateseka

    • @Jamila_1996
      @Jamila_1996 15 วันที่ผ่านมา

      @@MonicaMwoka kweli mana baridi sio ya utani mpaka uso unakua wa baridi

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 17 วันที่ผ่านมา

    Kwani lilian na yeye keshajenga kanisaa

  • @adammveyange9638
    @adammveyange9638 17 วันที่ผ่านมา

    Too late brothers and sisters haitafutika hii..msimung'unye maneno..huyo ni shoga tu maana ameshafanywa vibaya asitafute kichachaka.

    • @MkisiStylish
      @MkisiStylish 16 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe ni Mungu au,,,kikubwa Mungu amemsamehe sisi binadamu si chochote

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 17 วันที่ผ่านมา

    Hakuona Aibu kupg pcha na wamama wamemzd urefu 🫣

  • @stanslauschatata3483
    @stanslauschatata3483 14 วันที่ผ่านมา

    Kwa hiyo hapo akijaaribu kujamba tuu anajinyea😂

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 17 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 17 วันที่ผ่านมา

    mhhh ajapata tu bwana mwenye hela

    • @bonvivant3704
      @bonvivant3704 17 วันที่ผ่านมา +1

      🤣🤣💀

    • @johngerald4677
      @johngerald4677 17 วันที่ผ่านมา

      Acha ujinga ebu muombee

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 17 วันที่ผ่านมา

      Akili inayokula mavi

    • @MariaNdagile-hx5pr
      @MariaNdagile-hx5pr 17 วันที่ผ่านมา

      .hujazaa ndugu yangu

    • @ezebiakayingi6576
      @ezebiakayingi6576 17 วันที่ผ่านมา

      hivi wewe ni mwanamke mwenye uke kweli!!

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 17 วันที่ผ่านมา

    Mungu nimwema