Huenda MWIJAKU akalipa BILIONI 5 kwa kumchafua MASOUD KIPANYA,Mambo ni MAZITO,kesi kwenda MAHAKAMANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 มิ.ย. 2024
  • #mwijaku #masoudkipanya
    Tembelea http s://sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 253

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 หลายเดือนก่อน +28

    Mwijaku umemtukana sana diamond kajikalia kimya sasa umeyakanyaga.

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 หลายเดือนก่อน +21

    Safi sn aliwafanyia kina NANDI SASA ZAMU YAKE 👍👍👍👍

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 หลายเดือนก่อน +4

    LEGEND KIPANYA NI A GREAT GUY,,, LEVO ZAKE NI KUBWA SANA KWA MPUMBAVU NA CHAWA MWIJAKU

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g หลายเดือนก่อน +18

    Safi sana peleka ndani mpumbavu huyo keshazoea sana

  • @MsodokiTheson
    @MsodokiTheson หลายเดือนก่อน +19

    Mwijaku kayatimba mwaka huu

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo หลายเดือนก่อน +20

    Nadhani hata Serikali ilifanyie kazi hili. Mtu kama huyu ni hatari sana kwa maisha na maendeleo ya watu.. Msijaku anaishi kwa kuombaomba kwa wakubwa hakuna anachofanya. Kipanya amepambana tukimuona kukuza Brand yake na anaheshimika sana. Hii haikubaliki anatakiwa achukuliwe hatua ili ajifunze na wengine pia wajifunze waache upbavu kama huu.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 หลายเดือนก่อน +2

    Mim nakuelewa baba angu...unajuwa watu wengi hawajal kuhusu hisia za watu kabisa ...yani wanapenda kuwaumiza watu hisia zako bila kujali..pole kaka masoud ..ila itaonyesha upo siriaz na maisha yako na hadhi yako itaonyesha hupendi masihala na watu wakuheshimu..kwel usipende kuwaprovok na kuwadharirisha watu bila sababu kisa tu nikiki...ila pole kaka angu masoud mimi nakupenda sana kaka angu masoud since kipndi cha marehem amina chifupa...mim nimemuelewa na nakuelewa sana kaka masoud na pole ..ila bado tunaiman na wewe na tunakupenda kila la heri kwakujipambania haki yako

  • @gastonfuraha
    @gastonfuraha หลายเดือนก่อน +21

    Ikawe fundisho kwa mwijaku pengine atajifunza kila mtu anamsema vby kama alivyomuonea diamond

  • @aaa64sa13
    @aaa64sa13 หลายเดือนก่อน +2

    Wakili fanya kazi yako. Mi nimekuelewa vzr sana. Sheria ifwate mkondo wake. Amezowea sana kudhalilisha watu. Jingazzzzz

  • @RamadhanpMwakilasa-di5hc
    @RamadhanpMwakilasa-di5hc หลายเดือนก่อน +8

    Sasa ameyakanyaga bola apelekwe mahakamani 💪💪💪

  • @AminaAbdullah-ws3wy
    @AminaAbdullah-ws3wy หลายเดือนก่อน +1

    Malipo ni Dunian Akhera ni Hesabu. Umemtukana sana Diamond

  • @amotvtz1302
    @amotvtz1302 หลายเดือนก่อน +13

    Bora mumkomeshe maana amezidi kutukana watu

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv หลายเดือนก่อน +9

    Hii itakuwa FUNDISHO kwa Wenye Tabia hizi za kujipaisha kwa kupitia watu wengine na kuwadhalilisha.... NITAOMBA SHERIA ICHUE MKONDO WAKE HII MITANDAO IMEKUWA INATUMIKA KUCHAFUANA

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 หลายเดือนก่อน +10

    Hapo hakuna uswahili,lazima awajibishwe.

  • @joeandres9744
    @joeandres9744 หลายเดือนก่อน +2

    yaan angeongea upuuzi wote ila kusema "biashara haramu" ,,"anaharibu watoto wa watu" hapana afilisiwe tu lile ghorofa,,,,mwijaku ana maneno machafu sana kama sio msomi yaan baba levo yupo smart kuliko mwijaku

  • @samkoka3
    @samkoka3 หลายเดือนก่อน +16

    Aloooo huyu mwanasheria mkali snaa na kwa hili anataka kufanya fundisho kwa kwel

    • @Mwamba67
      @Mwamba67 หลายเดือนก่อน

      😅 Lawyer ni denja,,,!

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน

      @@Mwamba67😂😂

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 หลายเดือนก่อน

      Na. Ajawai kushindwa kesi mahakamani, yuko vizuri kinoma. Mwijaku kz anayo ss.

  • @maryamtan682
    @maryamtan682 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku amezidi kwa kweri kuzalilisha watu wengi sana.

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana wazee ifike muda mijitu mijingajinga ipunguzwe mjini

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx หลายเดือนก่อน +2

    Safi Sana maana amezidi sana

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 หลายเดือนก่อน +1

    Alidhani kila mmoja ni mpumbavu km yeye kuna watu wapo seriously na maisha yao lazma atawajibishwa na hii iwe fundisho kwa waropokaji wote pumbav

  • @alifredmkoka
    @alifredmkoka หลายเดือนก่อน +8

    Atwambie Biashara haramu ni zipi na aje na Evidence la sivyo alipe hiyo B5 make kuropoka kwake kumezidi, na Masoud asimuhurumie hata kidogo akaze ili kijana apate adabu

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 หลายเดือนก่อน +6

    Ila nikwer huwez kumchafua mtu kwa kujinufaisha wewe mwenyewe..apo nikwel kabisa maneno aliyosema mwija hakufanya haki na hesma..nikwel inatakiwa akanushe ayo maneno azawaiz sheria ifuate mkondo wake...kama ukiwa marekan iyo nikesi mbaya sana na unaweza ukalipwa pesa nyingi sana kwa kumchafua mtu...ths is like buring on media..

  • @wasaficlassicshoes
    @wasaficlassicshoes หลายเดือนก่อน +7

    APA ndo utajua kuwa DIAMOND PLATNUMZ nimtupowa sana

    • @eleven-in5qw
      @eleven-in5qw หลายเดือนก่อน

      Juzi mjinga anachafua kwa kuwa anatamba na pesa feki hii mbaya saaaana kuliko hiyo mwanzo mondi mtukubwa zaidi duniani tena anaaambatanisha na picha.. Stupid guy ever

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 หลายเดือนก่อน +2

    Mim nimekuelewa sana baba wakili ...polen kwa mnayopitia na mliyopitia...naona itakuwa funzo na watu kuwasema watu ovyo ...kiukwel upo sahihi baba angu na tumekuelewa na poleni kwa izo changamoto..na iyo itakuwa funzo kwa watanzania wengine ambao wanapenda kuwaboling watu na kuwashusha wenzao alimladi tu kuwa kujipandisha yeye...ila baba wakili nimekuelewa na nimejifunza sana kutoka kwako...yani nimejifunza sana na nimekuelewa na nakuelewa sana kwamba kiukwel lazima umie kihisia kuhusu difemation ...kiukwel itakuwa funzo

  • @EmmyNamoyo
    @EmmyNamoyo หลายเดือนก่อน +5

    Alizidi

  • @saidimketo6708
    @saidimketo6708 หลายเดือนก่อน +1

    Alimdhalilisha mdada wa watu wakiwa wapenzi na kuziuza picha za uchi akimfanya sasa mungu anamuonyesha jinsi ya kuishi

  • @vero57
    @vero57 หลายเดือนก่อน +5

    HUYO MWIJAKU UTAKOMA, MARA ANAVAA KITAULO ALAFU ANAFOKA FOKA !! KWENDA DUBAI UNATANGAZA, NEDA SERENGETI WIKI NDIYO NITAKUONA MTU WA MAANA MWIJAKU, HUKO DUBAI KUNA NINI CHA MAANA?? USHAMBA TUU!! ALAFU PIA ANA.MTUKANA SANA DOTTO MAGARI , MWIJAKU ANA MUIGA MANGE KIMAMBI .

  • @papsmicrocreditcompanylimi1443
    @papsmicrocreditcompanylimi1443 หลายเดือนก่อน +11

    Nasubilia press conference ya Doto Magari

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 หลายเดือนก่อน +1

    Sanaa ya Kipanya inasaidia sana jamii ,hao ndio wandishi kama masoud ndio tunawataka ..Uropokaji wake mwijaku umemponza

  • @kingmzebez7786
    @kingmzebez7786 หลายเดือนก่อน +2

    Uchawa sio kazi una mwisho wake haya sasa kayakanyaga kwa mazoea ya domo lake kamachoo malinaza na kipanya ndio tukuone elimu yk na uchawa vina kusaidia nn ume rahaniwa mwijaku pumbavu maliza kwa mzee wa katuni🙏🤳

    • @user-cy5jr8nh3d
      @user-cy5jr8nh3d หลายเดือนก่อน

      Msitukane jmn funz hili siwafundish tena

  • @alphaigogo787
    @alphaigogo787 หลายเดือนก่อน

    SAFI sana! Way to go, KP!

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 หลายเดือนก่อน +1

    Shenzi kabisaaaa huyu mwijaku kwakweli amekua akimvaa kila mtu inakera mnoo hii tabia yake Jmn apewe fundisho tu kwakweli maana hua hajali hisia za watu kabisa ye ni lopolopo tu 😢📌📌📌

  • @martinmendrad3531
    @martinmendrad3531 หลายเดือนก่อน

    Safi kabisa

  • @Lina4285baby
    @Lina4285baby หลายเดือนก่อน

    Safi sana 💪🏾💪🏾💪🏾

  • @EmmanuelMhone-bn6fe
    @EmmanuelMhone-bn6fe หลายเดือนก่อน +1

    Tatizo anaona media zinatumika kwa kutangaza ulimbukeni huyu bwana. Anaona trending kuwa dili mjini.

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 หลายเดือนก่อน +1

    Yani Safi Sana kabisa wanaonaga diamond anawapuwuziya ingekuwa anawashikiliya Hao wote wanamchafuwaga kila siku kwenye mitandaoni wengi angepata adabu shenzi ao peleka mahakamani uyo alipe izo pesa na wangine wahoneye apoo

    • @hashimchaoga9566
      @hashimchaoga9566 หลายเดือนก่อน

      Hela azitoe wapi vitauzwa vyote alivyonavyo haitofikia hiyo fidia atakua amekwisha kimaisha

  • @jonasmziray3951
    @jonasmziray3951 หลายเดือนก่อน +5

    Taifa limejaa waropokaji na wasema hovyo, huyu anahitaji athabu itakayokua mfano kwa wengine.

  • @user-nb2jw4km6f
    @user-nb2jw4km6f หลายเดือนก่อน +2

    Ukiona wa nyumbani kwako anamtusi jirani usifurahie kesho atakutusi na wewe ndio hii sasa😂😂

  • @user-rh4ue7rb6t
    @user-rh4ue7rb6t หลายเดือนก่อน +1

    True

  • @romzget1892
    @romzget1892 หลายเดือนก่อน +2

    Kma adi taasisi sina terminate mikataba basi hii ishu ipo seriously aisee kuna mtu atapoteza na kuna mwingine gonna win 🏅ila mdomo unaponza kichwa😂😂😂😂😂

  • @issachina9443
    @issachina9443 หลายเดือนก่อน +2

    Mwijaku ataenda kulialia Kwa viongozi na baadhi wakubwa mwishowake watawaita wote wataka chini watayamaliza! sema mwamba abadilike tena kama jinsi anavyo mdhihaki mondi! anamoyo wapekee aisee

  • @deusisindwa616
    @deusisindwa616 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli Mwijaku amezid,,
    Kuomba radhi haitoshi,,kumsingizia Masud anauza madawa ya kulevya cyo sawa,,

  • @mohamedjarwan
    @mohamedjarwan หลายเดือนก่อน +2

    Hii ni laana kutoka kwa MUNGU , maana mtu ukisha hijji akaenda hijja MAKKA ukirudi unatakiwa uwe mwema tofauti na hapo unakuwa unamfanyia MUNGU masiharà wenzio wanatamani kwenda MAKKA ww unabahatika kufika alafu unarudi unaendelea kuteta watu, SASA hii ni BAKORA kutoka kwa MUNGU na sio hili tu Kuna mengi yanakuja kama hajafanyà toba ya kweli amekwisha, anasoma aya za mwenyezi MUNGU na Hadith za mtume (s.a.w) sio kiimani hasa ila kwa maslahi yake inakuwa anamstizai MUNGU na kinacho fata ni laana na asipo omba toba mapema angoje kufirisika ña kufedheheka.

  • @user-it6zi7zw8y
    @user-it6zi7zw8y หลายเดือนก่อน +3

    wanao comment wengi ni roho mbaya sababu sijaona comment inayo seme msameeni katereza kama binadam maana kuchafua tu sio maneno kwa mtu hata Hao wengine wanao fanya ujinga mitandaoni kuva uchi matendo yajabu mitandaoni kudhalilisha Jami nchi wananchi na family mbali mbali mbona ao awajachukuliwa sheria haki iwe sawa kwa binadam wote ili kila mmoja ajifunze jinsi gani ya kutumia mitandao

    • @user-uo8xw9kr4b
      @user-uo8xw9kr4b หลายเดือนก่อน

      Ukiona hivyo wat wamemchoka na tabia yake man si mar moja au2 hat kidini haitakiw hat km jambo ni kweli analo unatakiwa umnasih aache na sio kumtangaza .

    • @anitamwehonge8287
      @anitamwehonge8287 หลายเดือนก่อน

      Hapana sio katereza!! Mwijaku apewe tuu adhabu amezidi kuropoka

  • @luthermartin1098
    @luthermartin1098 หลายเดือนก่อน +6

    Ninaunga mkono bwana Kipanya kumchukulia hatua Mwijaku

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv หลายเดือนก่อน +4

    KUROPOKA KUMEZIDI MITANDAONI ...
    Pumbav !!!😊

  • @majimbeTV
    @majimbeTV หลายเดือนก่อน +2

    Kulopoka lopoka sio vizuri

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 หลายเดือนก่อน +4

    Safi 😅😅😅😅

  • @witnesskagirigiri3763
    @witnesskagirigiri3763 หลายเดือนก่อน +3

    DIAMOND WAPELEKE PIMBI NA JUMA NAMSOMA ILI NAO WAJIFUNZE KUROPOKA NI KOSA HAPA TANZANIA.

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu Mwijaku atakuwa amejikangaga sana

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 หลายเดือนก่อน +7

    Kwanza naona kama mnachelewa uyo mbwa

    • @japhetlust5050
      @japhetlust5050 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 mbona marekani hawana uluma hapa bongo mwijaku apingwe jera tu

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli hata mm nilipata hofu juu ya masoud

  • @ludovickanael3426
    @ludovickanael3426 หลายเดือนก่อน +1

    Advance ya 1.3b ipo tayari ,asije kujitetea kuwa Hana uwezo.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 หลายเดือนก่อน +1

    Usi msamehe mwijaku amezidi dharau huyo mbwa

  • @mchunguliechibwa198
    @mchunguliechibwa198 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna aliyesalama ,ukishatumika na chama mwisho wa siku ni aibu tu,hata hivyo msitutoe kwenye reli na issue ya BASHE WAZIRI WA KILIMO ,,"WIZI"na kulidanganya BUNGE LA WANANCHI😢😢

  • @ammaherman3391
    @ammaherman3391 หลายเดือนก่อน +2

    Mwijaku muda wa kuliwa na nyapara umefika😂😂😂😂

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 หลายเดือนก่อน +5

    Anadhani huyu ni diamond? Sasa na alipe😂😂😂

  • @SamsonEzekiel-or9xc
    @SamsonEzekiel-or9xc หลายเดือนก่อน

    Asantee amnyooshee halijafunzwa hilo limwijaku km kubwa jinga hivi

  • @GOODLUCKGodwell-bm4br
    @GOODLUCKGodwell-bm4br หลายเดือนก่อน +1

    Mimi niliwahi kutaka kumunya siku moja kama mtu wa MUNGU akaniarau kazi kwake

  • @GapsonRevoson-bn7nt
    @GapsonRevoson-bn7nt หลายเดือนก่อน +3

    Wakili sio kwa vitisho hivyo hapa kazi ipo

  • @gottaboy4178
    @gottaboy4178 หลายเดือนก่อน

    Oya hii iko serious sana, kimkakati

  • @user-xr7fh9ht8o
    @user-xr7fh9ht8o หลายเดือนก่อน +1

    MINAONA HII FUNDISHO KAZIDI YANI MINAJUA UKIENDA MAKA UKIRUDI UNAKUWA UMEBADILIKA LAKINI SIO MWIJAKU MI MTAZAMO WANGU BORA ALIPE ILI AKOME

  • @MussaPaul-ob3nh
    @MussaPaul-ob3nh หลายเดือนก่อน +3

    Anyway mdomo ukizidi kichwa ni mbaya kwa yoyote.

  • @barakambigi3522
    @barakambigi3522 หลายเดือนก่อน +1

    Na atauza Hilo ghorofa,ikithibitika ni kweli.

  • @user-rk9gr9yf3i
    @user-rk9gr9yf3i หลายเดือนก่อน +2

    Da changamoto kote kote

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 หลายเดือนก่อน

    Masoud Tunatakufahm tangu tupo wadogo ,heshima yako ameichafua sana katika jamii usikubali nenda mahakamani kwa hili,hata alete viongozi gani waje kukuomba msamaha lakini heshima yako haiwezi kufanyika zaidi ya kwenda mahakamani

  • @user-hn6kv6xe7m
    @user-hn6kv6xe7m หลายเดือนก่อน +1

    Mshtaki usimwachie kazoeya kusema umbea mwanamme mzma ,iwe funzo kwake na wenzake

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything หลายเดือนก่อน

    👍👊✌️.

  • @negwakomwasanyula6951
    @negwakomwasanyula6951 หลายเดือนก่อน +1

    Iwe fundisho kwa vijana wale wasiotaka kufanya kazi za jasho halafu wamejikita kwenye uchawa na kuuza kashfa za watu kwenye mitandao

  • @denismasele4130
    @denismasele4130 หลายเดือนก่อน +1

    Masoud kpanya alinichora namfungulia mashtaka😂😂😂😂😂😂😂

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 หลายเดือนก่อน +1

    Alipe tu pesa kdg sana hiyo kwa mtuhumiwa. kumi ndio ingemtingisha lkn tano ndogo sana kwake

    • @napster2558
      @napster2558 หลายเดือนก่อน

      Hana ela bhan😂😂😂

  • @HabibuHoseni-sv8hd
    @HabibuHoseni-sv8hd หลายเดือนก่อน +1

    Nimekumbuka shule mambo ya deformation sheria inakuwajibisha na fain hua unalipa kulingana na ukubw wa jina na nyazifa mbali mbali za uliemchafua na anaamua mwenyew aek dau gan pole mijaku umeyakanyagaaa babu

    • @LeeLian95
      @LeeLian95 หลายเดือนก่อน

      Defamation Sio deformation

    • @HabibuHoseni-sv8hd
      @HabibuHoseni-sv8hd หลายเดือนก่อน

      @@LeeLian95 typing error my furend

  • @eleven-in5qw
    @eleven-in5qw หลายเดือนก่อน

    Dah hiii itakuwa😢😢😢😢😢😮

  • @abdulkadirgafla3889
    @abdulkadirgafla3889 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku ni kenge sana ajisifia amesoma na hajitambui hata kidogo 😏😏😏

  • @user-xq6rg2pb1x
    @user-xq6rg2pb1x หลายเดือนก่อน +4

    Ameyatimba aaaaaa ameyatimba

  • @josephk90
    @josephk90 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu wakili ni mtata asee Mwijaku ameyatimba mamae ndo utaacha misifa ya kipumbavu😂😂😂

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l หลายเดือนก่อน

    Kayakanyaga mwijaku

  • @Elybwayz
    @Elybwayz หลายเดือนก่อน +3

    Gorofa sasa kwagher 😢😢😢

  • @lilybarongo8119
    @lilybarongo8119 หลายเดือนก่อน +1

    Kamtukana sana babuu wa kitaa

  • @hamisiomaryi1699
    @hamisiomaryi1699 หลายเดือนก่อน +3

    Mwijaku hunarudishwa Sasa kijijini kuvuna b 5 hipokweli

  • @stanslauschatata3483
    @stanslauschatata3483 หลายเดือนก่อน +3

    gorofa litauzwa round hii😂😂😂

  • @Rafaeltuli-gw8ii
    @Rafaeltuli-gw8ii หลายเดือนก่อน +8

    Peleka ndani

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku ni mkoja kati ya chawa wa Raisi wa sasa aka Mama na tunapoelekea anakua na kujikuta yuko juu ya kila kitu nchini

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 หลายเดือนก่อน +1

    Sawa amekosea na Ana hitaji kuadhibiwa sababu domo lake kama brush ya choo limemponza😂😂😂lkn hapo kwenye billioni 5 sio kweli...yaani ajiuze yy na familia na kaghorofa kake kenye kisima juu hafiki hata billion 1😢

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 หลายเดือนก่อน

    Mwikaju huwa ana mdomo sana,

  • @ahmadifataha6677
    @ahmadifataha6677 หลายเดือนก่อน +2

    Mawakili wa mchongo hawa ww unaijua billion 5 kila siku kuna kesi huko zinawashindwa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 หลายเดือนก่อน +1

      Membe alitaka shilingi ngapi toka kwa musiba?

  • @faziliabea-fg3tu
    @faziliabea-fg3tu หลายเดือนก่อน

    Amezindi sana mndomo awekwe ndani tu

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 หลายเดือนก่อน +1

    Hee!hapo hachomoi analeta promo kwa wajanja.

  • @oam14l
    @oam14l หลายเดือนก่อน

    Teach him a lesson.

  • @samkoka3
    @samkoka3 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa lazima alipe pesa nying ameyatimba kwa kwel maan hata yey kweny interview amesema akiguswa brand yake hawez kukuaameheee

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 หลายเดือนก่อน +1

    DUH BINAADAM TUMEJAWA NA HUSDA NIN HIKI KUMUOMBEA MABAYA 😢ILI FAMILIA YAKE ITESEKE?SEMA TUMUOMBEE ILI ASIRUDIE KOSA

    • @anitamwehonge8287
      @anitamwehonge8287 หลายเดือนก่อน

      Kwani alitumwa kuropoka??? Sio Mara ya kwanza kutukana watu,kazoea huyo, yeye haoni hasara alizomletea mwenzake

  • @user-hm3qm2nf1v
    @user-hm3qm2nf1v หลายเดือนก่อน

    Na yeye huko kuomba omba km mtt wa mitaani ni kazi halali 😮😮😮😮😮 au hajioni

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g หลายเดือนก่อน +2

    Bilion 5.!? Si atauuza mpaka ukoo wake wote sana sana ikawe fundisho

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo หลายเดือนก่อน +2

      Alisha sema anafedha za kutosha

    • @Elybwayz
      @Elybwayz หลายเดือนก่อน +2

      Gorofa sasa ni lamasudi 😅

  • @GraceMakenga-zd1vn
    @GraceMakenga-zd1vn หลายเดือนก่อน

    B or M 😢 mwijaku kazidi mdomoo tobaaa

  • @SaidKinyota
    @SaidKinyota หลายเดือนก่อน

    Kaka asamehewe kwa kipi anatukana sana watuuu acha akome arimpeka nanda amripe wewe unataka asamehewe kazi atajifunza kutukana watu

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 หลายเดือนก่อน

    Sukuma ndani😢

  • @mohammededy7086
    @mohammededy7086 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna lolote acha kutishia watu mwambie kipanya akae kw kutulia

  • @jonesphorjonathan5957
    @jonesphorjonathan5957 หลายเดือนก่อน +1

    Hii inaitwa ukatiri ndani ya utaratibu 😂

  • @alphoncejohn6308
    @alphoncejohn6308 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwjaku ana akili kwel

  • @KelvinMauky
    @KelvinMauky หลายเดือนก่อน +5

    Aisee ningekuwa mimi masoud mwijaku nisingempata hata onyo la kuomba radhi dairekti nampeleka mahakan maana sio kwa kumchafua taaruma yake kihvyoo yaan Mzee masoud usimwachie bure huyo kijana Mwijaku kama anatafuta kiki mfanye hata siku nyingine afanye kiki zake kwa kujielewa ila mnyooshee kweli kweli huyo kijana aache kiki zake

    • @tanzanianpatriotic3532
      @tanzanianpatriotic3532 หลายเดือนก่อน

      Kisheria usipo mpa onyo naukaenda mahakanani basi hata ukishinda gharama zakuendesha hiyo kesi hauta rudishiwa na uliemshtaki kwani hukumpa "demand notes" so nilazima ili kesi ikiisha udai gharama zako zakuendesha hiyo kesi