🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 พ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @user-jc6dk2fe8g
    @user-jc6dk2fe8g 29 วันที่ผ่านมา +11

    Utamaduni wa mwafrika haujawahi kua kuvaa nguo, babu zao babu zetu walifunika nyeti tu. Hakuna mheshimiwa mmoja hapo bungeni amevaa kiasili. Halafu wanaongelea utamaduni wa mwafrika.

    • @alhaminyangusi8035
      @alhaminyangusi8035 27 วันที่ผ่านมา

      sio jumba la Sanaa, hapo ni bungeni

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah หลายเดือนก่อน +7

    Simba nguvu moja 💪🫶♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️💐💐💐💐💐💐mtake msitake

  • @johanesjofrey2105
    @johanesjofrey2105 25 วันที่ผ่านมา +2

    Ccm kirumba ni uwanja wa kimataifa ila serikali hiwalioni hilo,Kabla ya kujenga uwanja wa ilemela,mngekarabati CCM kirumba kiwango cha vigezo vya FIFA

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 หลายเดือนก่อน +5

    Yani kama huyu ndio waziri basi twendeni tukasome

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 หลายเดือนก่อน +2

    Siasa siasa siasa yaani suala la ushoga unaohamasishwa na wasanii kwa kuvaa uhusika wa kidemu watu wanajibu kisiasa tu badala ya kuchukua maamuzi!!!! Hapana hapana hapa inafaa hatua stahiki za kuzuwia zichukuliwe hakuna mtego wowote hapo my brother wanawake wasanii wapo wengi asilimia kubwa ya wanaume tunachukizwa na maigizo ya hivyo hatuburudiki wanaoburudika ni wanawake wasio na hofu ya Mungu na mashoga tu

  • @IlambonaSimon
    @IlambonaSimon 4 วันที่ผ่านมา

    Uko sawa

  • @sportswinner6906
    @sportswinner6906 หลายเดือนก่อน +7

    Simba nguvu moja

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA หลายเดือนก่อน +3

    Afcon 2024???
    Copy &paste in preparations of reports is problem

  • @chikualiy8705
    @chikualiy8705 16 วันที่ผ่านมา

    Simba nguvu moja❤❤❤

  • @johanesjofrey2105
    @johanesjofrey2105 25 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanini viwanja wanavyomiliki ccm visibinafusishwe kwa manufaa ya taifa?

  • @Manyanyatv8551
    @Manyanyatv8551 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo hamuoni au mnajitoa...... watoto wana haribika mnamchango ni za ovyo.

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt หลายเดือนก่อน +1

    Kirumba itakarabatiwa? Kweli itakarabatiwa? Mungu atuweke tuone ukikarabatiwa

  • @yohanaisayasimoni
    @yohanaisayasimoni 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanin tusisimamie utamaduni yetu piga marufuku tamadun ya nje

  • @JAMESNASHON
    @JAMESNASHON 23 วันที่ผ่านมา +1

    Kashakuwa chawa naye siku hiz

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 29 วันที่ผ่านมา +1

    Ujenzi ungeanza na kiwanja cha CCM Kirumba kikakarabatiwa na kuwa na kiwango cha kimataifa kabla ya ujenzi wa kiwanja cha Ilemela. Hakuna logic yoyote ile kifedha kuanza kujenga uwanja mpya kabla ya kukarabati uwanja wa CCM, endeni mkajifunze kwa wenzetu Kenya na Uganda walivyokarabati viwanja vyao. Kama hakuna nauli basi nendeni Zanzibar mkaone walichokifanya.

  • @sadicknyahi7312
    @sadicknyahi7312 หลายเดือนก่อน

    Mwijuma kaiva

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 หลายเดือนก่อน +1

    Kabuku

  • @itikamwasimanga4202
    @itikamwasimanga4202 หลายเดือนก่อน +2

    Kamzungumzia Mo WP

    • @iddimngazija1957
      @iddimngazija1957 26 วันที่ผ่านมา

      Hivi vichanel uchwara ndio zao kuforce views

  • @elisbegaelias163
    @elisbegaelias163 หลายเดือนก่อน +2

    Yani et waziri anaulizwa vingine anajibu ujinga

    • @arondotto
      @arondotto 27 วันที่ผ่านมา

      😭😭

    • @arondotto
      @arondotto 27 วันที่ผ่านมา

      😭😭

  • @mcgeemwamba9303
    @mcgeemwamba9303 14 วันที่ผ่านมา

    Siyo kingeleza😄👉ni kingereza

  • @DM_15
    @DM_15 หลายเดือนก่อน

    FA KAIVA

  • @samsonpopat1474
    @samsonpopat1474 28 วันที่ผ่านมา

    Binafsi naomba mweshiwa Tulia kama spka asitusahau uwanja wa sokoine uwe wa kisasa kwa maandalizi ya afcon

  • @shukurually8769
    @shukurually8769 26 วันที่ผ่านมา

    Kwenye maswali na majibu naona kama mipango yani maswali yameshaandaliwa kuwa mimi nitakuuliza hili kisha na wazili nae anaandaliwa majibu.kisha muuliza maswali anasoma swali na mjibu maswali anasoma jibu hii ingekuwa darasani nadhani wote wangefaulu mjibu swali anasoma jibu

  • @user-ux3xu9gs8d
    @user-ux3xu9gs8d 12 วันที่ผ่านมา

    Ujajibu kitu apo mwana F. Unapo sema kwamba Kila mtu anaishi Kwa utamaduni wake Tena wemwenyewe una sema tuna Linda utamaduni Sasa apo una Linda Nini maana una sema Kila mtu Aishi Kwa utamaduni wake .wachina Wana ingea lugha Yao na awa changani ninyi mna jifanya wazungu na Bado Nima fisadi eti Dunia Kijiji Sasa ume faidika nini na iyo Dunia Kijiji upumbavu TU ivi niyi mnaona kama watanzania so ni wajinga eti.ila nataka nikuku mbushe kama mtanzania ange kua mjinga asinge penda utendaji wa Magufuri IPO siku

  • @eunho9529
    @eunho9529 28 วันที่ผ่านมา

    mbona Kapombe akutibiwa na serikali alipoumia?????

    • @goodluckzmtae
      @goodluckzmtae 28 วันที่ผ่านมา

      Bali alitibiwa na daktari

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 หลายเดือนก่อน +2

    Nashangaa hii kiazi amekuje waziri?

  • @SuleimaniKimwagas
    @SuleimaniKimwagas 24 วันที่ผ่านมา

    Huyo ndyo mwana falsafa!!😂😂