Wewe unaenda kanisa gani? Siuwapeleke hao viwete kwa pastor mwenye unaona anaeza pona. Uwezi kuja ku test the power of God because you didn't believe,thus why it never worked.
Please live God to judge its God who heals c pastor ezekiel only God uses him ...please acha kuongea vibaya juu yake achia Mungu na hajalazimisha mtu kwenda kanisa yake
Wewe unajuaje halali ju unam-watch usiku na mchana,,,unapumzika saa ngapy ju masaa yote unamfatilia???Though am keen too on pastors,,,si wote wakuaminika!!!
Okanga wewe piga siasa achana na watumishi wa MUNGU, vita zenye umeanza hautaweza,,Mungu ndio huponya sio mtu watumishi wa MUNGU ni vyombo tu, MUNGU ndio huchagua atakae mponya Kwa hivo acha siasa,, inaezekana Kua wale vipofu mlileta mliwaleta kujaribu MUNGU na MUNGU hajaribiwi kamwe!
Judgement and condemnation belong to God Almighty alone! We have been warned by scripture, which is God's voice in print, that whatever measure we use to judge others, is the same to be used against us! May we go by Scriptural advice!
Whether He is a man of God or false.... One thing this guy is missing out... Unapeleka kiwete kujaribu kama atapona .... biblia iko wazi ...usimtie Mungu wako katika majaribu... pasipokuwa na imani Amesema wanawake ni wengi kwa Ezekiel....hata kwa waliomfuata yesu ...wengi walikuwa wanawake kando na wale 12... Hata walienda kumzika Yesu.... Na mambo ya kuzika.... Haijalazimishwa mtu kuenda matanga yoyote...ilo ni kwa hiari na huruma zako ... Furahieni na wengine..lieni na wengine Sijaribu kutetea mtu ....Mungu anajua siri zote
Sasa unataka tufwate Nani wewe kila MTU anagharama yake wewe tafuta gharama yako ufanyie mungu kazi wacha kupiga wengine vita na hatuoni wewe unafanya nini
Nuru on this is fully support you..am seeing you as a very spiritual man,,
Okanga uko sawa kabisa
Wacha uwongo nanii
This must be God using okanga to open people's eyes...aende ferry awaombee viwete.
Plain truth from this Nuru Okanga. Anasema ukweli kabisa.
I wish God could transform u Nuru Okanga to do his work 👍👏🙏
My brother Nuru Okanga u can be a good preacher 👍👏🙏
I support you okanga well said
Ukweli kabisa.
truthful man
Umeongea ukweli broo
God have mercy kwa huyu mutu his blind
Hii ndio kazi yako wachana na siasa waanike wote Good job na MUNGU akuongoze❤
Mia kwa Mia Okanga you are saying the truth
Kusanya kusanya kusanya kusanya kusanya kusanya zika ndani ya moto Bwana Yesu ukachome😌😌😌
Nuru ongeza volume
❤🎉big ups Okanga !
Hope volume iko sawa
PROPHETIC Team Members Fearless Preacher UK 🇬🇧 WARNING FROM GOD !! HE IS SPEAKING 100 💯 TRUE FOR THE MOUTH 👄 OF THE LORD HAS Spoken NO Otherwise 🙏🏼❤️
Hao wanaonyesha ishara za miujiza niwale amehonga...😂😂😂😂
True talk Bro❤❤❤
Usilete siasa chafu kwa kazi ya mungu.
Surely this is true story 💯 to be a spiritual Man, Okanga uko sawa and if you know you know.
mbona zekiel haendi matanga ya wasirika.wake? good question okanga.
Nuru oganga umesema ukweli kabisa
Hii maneno nayo n true kabsa
Nuru onkanga wewe ni mjinga sana wachanga na mtumishi wa Mungu
Ukweli kabisa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂okang'a si wewe n mwanamme ambaye inafaa uwe mstari mbele kanisani na uendi 😅😅
we as reggae listeners we approve this sentiment as pure directly dictates in the book of psalms 119vs 140
Pasta joice bamburi kumbuka vile ilikuwa jaa mimi naomba kwangu nyumbani mungu yangu wao nuru niko na wewe
Nuru Okanga ako sawa kabisa.
I listen, l don't judge
Even God was being rejected, atempted and also he died but lastly he became a winner
But he is saying the truth
Okanga is used by God to open the eyes of the brainwashed.
Ukweli kabisaa.
😂😂😂.
Hao mapastor wanachezanga wakenya.
Haya yote ni kwasababu Nuru alitaka pesa kwa Ezekiel na hakupewa. Haina neno MUNGU ndiye mwaamuzi
Keep this as a record nicely for future reference
Keep for future reference,Mungu akibisha anabisha kweli
this i support u
Hamtaki ataje wakora nyinyi mko brainwashed na religion 😂😂. ..hio ni mikora ya kawaida tu
you can see others telling him ati amekanyanga live wire.🤣🤣 mikora tupu
Leo umeongea ukweli
I fully support you okanga... nowadays kanisa zimekua biashara
Unasema Ukweli. 21st Century watu wanafanya maigizo. Only you umetwambia ukweli
Wewe unacheza na fire.Endelea tu.Wewe ni nani Pastor Ezekiel si class yako.Mungu ndiye anaponya sio Ezekiel.
He is talking th truth nobody got healed
everybody knows these people are fake. Listen to Benny Hinn when he said he has been lying to people
True🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I think Nuru hayuko sawa
Mambo ya mungu musiweke siasa hashana nayo
Tunajua washirika ndio wanaumwa na maneno ya nuru okanga 😂😂
Unaumwa mbona
Kazi ipo huku 😂😂😂😂😂
Uko sawa
apo umeongea ukweli
Okanga waambie ukweli waende hata kenyatta hospital waombee watu
Nataka ujue pastor Ezekiel sio .mponyaji, yeye ni mtumishi wa Mungu
Wewe ndio utaishia vibaya chunga sana Okanga usinyoshe mkono kwa mpakwa mafuta wa Mungu. Chunga sana
Sio wote wamwitao bwana bwana ,watauridhi ufalame wa Mungu.. remember many are called bt few are chosen,so be vigilant dear
Aky achunge
useless ati wapakwa mafuta na Mungu kwa mikora? stupid okanga he's write.
Peleka vitisho huko bana
Okanga pongezi simama na ujasiri
Expose them false teachers!
We unalala saa ngapi ukifuata pastor?
Okanga sasa umekanyanga wire iliyo na moto 😮😮😮 Hutatoboa hapo 😮
Nyinyi ndo mnapemda kudanganywa tu
Wewe unaenda kanisa gani? Siuwapeleke hao viwete kwa pastor mwenye unaona anaeza pona. Uwezi kuja ku test the power of God because you didn't believe,thus why it never worked.
Hsta kama umelipwa uchague jina lake Ezekiel lakini ogopa hukumu ya Mungu
Huyu jamaa anaogea ukweli walai😂😂😂😂,watu wa nyota kujeni kipande ii,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
100%,Mr okanga
😂😂Watu wanadanganywa Eti Kibofu ataona Mapasta achen kuwabeba wqtu ufala
Umeamua kutoboa siri,na vile watu wana amini huyu Ezekiel
Please live God to judge its God who heals c pastor ezekiel only God uses him ...please acha kuongea vibaya juu yake achia Mungu na hajalazimisha mtu kwenda kanisa yake
Wewe ni muisalamu wachana na wakristo.
Wewe unajuaje halali ju unam-watch usiku na mchana,,,unapumzika saa ngapy ju masaa yote unamfatilia???Though am keen too on pastors,,,si wote wakuaminika!!!
Thou shall not judge
Kbx unasema ukweli
😂😂😂There's another prophet who warned people not to go on Ezekiel Mavueni.. and if you go you shall die. Those were his words 😢
True
Okanga wewe piga siasa achana na watumishi wa MUNGU, vita zenye umeanza hautaweza,,Mungu ndio huponya sio mtu watumishi wa MUNGU ni vyombo tu, MUNGU ndio huchagua atakae mponya Kwa hivo acha siasa,, inaezekana Kua wale vipofu mlileta mliwaleta kujaribu MUNGU na MUNGU hajaribiwi kamwe!
Hapo kwa kuoa na bibi wengi ndio sikuungi mkono kabisa
Kuoa mabibi wengi ni upagani
Jesus is not a prophet, Jesus is God.
Okanga Expose them simama ukweli na ukweli utakuweka uhuru God is fighting you okanga fear not .
Judgement and condemnation belong to God Almighty alone! We have been warned by scripture, which is God's voice in print, that whatever measure we use to judge others, is the same to be used against us! May we go by Scriptural advice!
Akienda matanga power zake zitapotea Yuko kwenye cult
Sw tutaona mbivu na mbji😅😅😅😅
Mungu akusamehe. Wewe ni uongo mkubwa. Si pst. Ezekiel anaponya ni mungu. Kama watu wako walikosa Imani ufunge huo mdomo wako kabisa.
@@ChristineKasandi mbona asiende hospital
Aponye viwete barabarani😂
Imani yako ndio inakuponya
Ukweli kaka
Nuru please piga siasa wachana na watumishi wa mungu.......utaona moto wewe.
GOD use everybody and everything to deliver the message it can be Nuru okanga was a messager of GOD.
Ukweli ameasha Moto kumbwa Sana .
Exekeihl I'd conman pure😂
😂😂😂😂 for the 1st time Nuru umeona Nuru kabisa , Ezekiel ni pastor fake kama kina kanyari, kenyans wanapenda vituko hawawezi kosa kwenda huko !
@@salimsatia5498 hehehe
Okanga kindly jua kua pastor Ezekiel ibada zake huisha 6pm everyday. Jua hio
Exekeihl no conman
Ulipeleka viwete kutest man of God, it couldn't work
Ndugu Kwa Sasa umezidi Mungu akufunge hichi kinywa cheza na siasa sio Imani ya watu wa Mungu umekaribia mwisho ndugu
Wacha vtisho titisho pelekea watu wenu
@@mwakiosalim2914anatuona kama matako yake anatisha nani🤣🤣😂
Sasa ww vitisho ni vya nini na ni ukweli
Mm ata cjui shida yako ni nni bt ipo cku
Ukweli kabisa 😂
You'll see 🔥
For what
Nuru achana na pastor ww ongea mambo ya siasa ingine kanisa sio bunge kupona ni Kwa Imani bt sio kutusi pastor
Kwani mnakula na uyo pastor😂😂😂😂
Hawa mapastors na wezi wote
Wewe ni mweu sana
Kama umeshindwa na siasa,jua pia utashindwa na pasta Ezekiel ,huku huko,Kule huko umekula 0,round and round ,up and down
Brainwash
Wewe mwenyewe unakaa desperate nenda kwa pastor Ezekiel ukakombolewe
Ukipima uyo ezekiel kilo na nuru okanga nani mzmzigo
Ulimi kiumbe kidogo kakini hatari
Fire fire fire fire fire fire wewe punguza bhangi kijana Nani of your bizz pastor analala saa ngapi ushindwe fire fire ijn
Leo umetoka kwa siasa uko kwa watumishi
Do doctors attend their dead patients burial
Ata Mimi nilipona.niko Kenya.
Uongo mtupu exekeihl ni conman then ur brainwashed
Whether He is a man of God or false....
One thing this guy is missing out...
Unapeleka kiwete kujaribu kama atapona .... biblia iko wazi ...usimtie Mungu wako katika majaribu... pasipokuwa na imani
Amesema wanawake ni wengi kwa Ezekiel....hata kwa waliomfuata yesu ...wengi walikuwa wanawake kando na wale 12...
Hata walienda kumzika Yesu....
Na mambo ya kuzika....
Haijalazimishwa mtu kuenda matanga yoyote...ilo ni kwa hiari na huruma zako ...
Furahieni na wengine..lieni na wengine
Sijaribu kutetea mtu ....Mungu anajua siri zote
Wewe Hao viwete waliitwa na okanga walikuwa na Imani ndio wakaenda hawakupona
@BrianMwaruta-fr6fe ulikuwa na wao....ama umesikia kwake
Bro fuata line yako ya politics wachana na pastors
Okangaaaa😂😂😂
Ona sasa umefanya nicheke na hii nyoooota
Sasa unataka tufwate Nani wewe kila MTU anagharama yake wewe tafuta gharama yako ufanyie mungu kazi wacha kupiga wengine vita na hatuoni wewe unafanya nini