VYAKULA MUHIM VYENYE FAIDA KWENYE UBONGO WAKO SEH. 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @asooraaasooraa4816
    @asooraaasooraa4816 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana pastor nimejifunza kitu kikubwa na MUNGU AKUBARIKI

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 5 ปีที่แล้ว +3

    barikiwa sana mbaga kwa kazi ya Mungu wetu alie hai

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeelewa kabisa kumbe nimekua nikiila yai ya kuku ya grade ambayo si nzuri nimeyaaja

  • @josephmanase3176
    @josephmanase3176 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana

  • @zenasalum2231
    @zenasalum2231 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa elimu kuhusu chia seeds nitumie gram ngapi Kwa mtoto mmoja

  • @elpidiusezekiel2729
    @elpidiusezekiel2729 ปีที่แล้ว

    Nimfatiliaji sana wa vipindi vyako vyote lakini vya masula ya lishe vimenivusha sana naelekea kuwa dactari ata mimi. Ninashauri baadhi ya vyakula unavyovitaja vioneshwe kwa picha ktka vipindi vyako.

  • @raheemamkambha6013
    @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mchungaji Mungu akubariki

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 2 ปีที่แล้ว

    Mrisha Daudi nahavache mno kwa Somo la kuilinda ubongo.
    Kumbe mayai ya kienyeji hayana shida.
    NAHAVACHE mno.

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 2 ปีที่แล้ว

    Nimeishinda Vita kupitia wewe mchungaji kwenye chakula.asante

  • @josephpaul7447
    @josephpaul7447 4 ปีที่แล้ว

    Amin

  • @naishiyemollel567
    @naishiyemollel567 5 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana. Ooh nitaanza kula mayai. Asante Pr

  • @janethelifamili1210
    @janethelifamili1210 3 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza jambo zuri Sana nitaijenga familia yangu

  • @edwardkitti9958
    @edwardkitti9958 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Pastor . Haya mafuta tunapenda kuyatumia Sana ila yana gharama kubwa. Gharama ya Lita 5 kwa alizeti yanaingia Lita moja kwa olive Na upatikanaji nao mgumu mpaka utafute supermaket kubwa Duh

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @drcboymusiquetv1396
    @drcboymusiquetv1396 2 ปีที่แล้ว

    Ok sasa ukekula mayai yamubichi inamazara

  • @angel-y
    @angel-y 5 ปีที่แล้ว

    God bless you Pastor abundantly.

  • @wordskabadi6421
    @wordskabadi6421 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana pasta

  • @deboraseronga4785
    @deboraseronga4785 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante mchungaji.

  • @jamesswai6583
    @jamesswai6583 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana Pastor!

  • @paulwerema8767
    @paulwerema8767 ปีที่แล้ว

  • @luciatoto2116
    @luciatoto2116 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @barackmaduhu660
    @barackmaduhu660 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pastor

  • @ndetitave9814
    @ndetitave9814 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana nimekuelewa je mayai ya kanga.yanafaa

    • @thegospel17
      @thegospel17 5 ปีที่แล้ว

      Ndeti Tave ni mazuri kama ukitumia olive oil au mafuta ya nazi

  • @graceesiabia5379
    @graceesiabia5379 2 ปีที่แล้ว

    Hi. Can I get the link of seh 1

  • @helenjonsob5718
    @helenjonsob5718 4 ปีที่แล้ว +1

    Kupatikana ni shida

  • @exocyber2147
    @exocyber2147 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Mchungaji.

  • @athanaskitime1484
    @athanaskitime1484 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa

  • @eddahnyongesa9819
    @eddahnyongesa9819 5 ปีที่แล้ว

    God bless you so so much pst

  • @shimwekagwiza2300
    @shimwekagwiza2300 5 ปีที่แล้ว

    Asante pastor nimekuelewa vizuri.., kwahiyo mwenye bp yakupanda akila mayai haina shida??

    • @thegospel17
      @thegospel17 5 ปีที่แล้ว

      Shimwe Kagwiza Lazima sababu ya Bp ijulikane. Lakini kwa manufaa zaidi soma link hii
      www.mayoclinic.org/diseases-conditions/high-blood-cholesterol/expert-answers/cholesterol/faq-20058468

  • @deusmjinja5883
    @deusmjinja5883 5 ปีที่แล้ว

    Amina