MELI VITA KUBWA TATU ZA JESHI LA CHINA ZATINGA DSM, INA SILAHA NZITO, MIZINGA, HELIKOPTA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 109

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 3 หลายเดือนก่อน +21

    Asante sana amiri jeshi mkuu mama samia na mkuu wa majeshi yetu yote hapa yanzania kwa kuichagua china ambao hawana tuhuma za ushoga waje na urusi na korea kaskazini na irani

  • @habarizadunia
    @habarizadunia 2 หลายเดือนก่อน +7

    safi kabisa tanzania inatakiwa ishirikiane na china na urusu sio hao. mashoga

  • @shufwaaofficialtv1306
    @shufwaaofficialtv1306 2 หลายเดือนก่อน +7

    Watanzania wanene mashallah yaan hapo anasalimiana na mwenzie anafinyia tumbo kwa ndani

  • @ms123ru
    @ms123ru 3 หลายเดือนก่อน +15

    Jeshi linabidii lianzishe bandar yake

  • @joycerichard9274
    @joycerichard9274 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa hili safi sana

  • @JosefuJosia
    @JosefuJosia 3 หลายเดือนก่อน +13

    Hakika Uchina na Tanzania ni marafiki wa Jadi
    Mwalimu & Mao

  • @MirajiWaziri-hl2hc
    @MirajiWaziri-hl2hc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana rais wetu kwa kuichagua China marekani hatuwataki

  • @GilbertKhitambala
    @GilbertKhitambala 2 หลายเดือนก่อน

    Vizuri Sana, huo ni uhusiano wenye afya

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nimefurahi Leo Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 URAAAAAA 🎉🎉🎉🎉

  • @josephjulio6112
    @josephjulio6112 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hii sawa nimemeipenda

  • @allysimu6856
    @allysimu6856 2 หลายเดือนก่อน +4

    Tuwache ulasimu tuwe wazalendo wakweli tujenge bandari ya kaole tuzidi kujitanua zaidi

  • @0783144B
    @0783144B 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waleteni huku kwa ground bhana wasicheze kenye maji tuu

  • @judithfrancey7068
    @judithfrancey7068 3 หลายเดือนก่อน +8

    Wamefikia wapi kwanza? Mje muwalete kwenye airbnb yangu kawe beach wengine watalala kwenye garden tuna garden kubwa tu

  • @habarizadunia
    @habarizadunia 2 หลายเดือนก่อน +1

    na warusi lini waje warus ndio baba.lao

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 3 หลายเดือนก่อน +14

    Hawa ndio tunao wataka waje watufundishie askari wetu sio majeshi ya mashoga

    • @leonardjohnson2058
      @leonardjohnson2058 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona mashoga hata huku kwetu wapo tu

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mwafrika mtumwa peke yake ndo anaweza kumchukia marekani na kumuita mchina ndugu

    • @tekashisixtynin9threewithd727
      @tekashisixtynin9threewithd727 3 หลายเดือนก่อน

      @@ladislausngoyinde4384umeongea fact

    • @daysjohn2013
      @daysjohn2013 3 หลายเดือนก่อน

      Uku wakiwa na ndoto ya kwenda marekani kuliko China ​@@ladislausngoyinde4384

    • @ototek8037
      @ototek8037 2 หลายเดือนก่อน

      @@ladislausngoyinde4384 kapime mkojo au cable za dishi

  • @thrivehappy9610
    @thrivehappy9610 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama nchi hii inafanyika kazi matakwa ya wananchi tunaomba watu kama China! Urusi! Irani! Nk sio wazungu! Wala Americans

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mama namkubali sana, sina shaka naye.

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 3 หลายเดือนก่อน +6

    Na sisi Tanzania tupeleke ma meli yetu ya kivita huko kwao china

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 3 หลายเดือนก่อน

      Peleka za baba yko

    • @mugishamajeba9628
      @mugishamajeba9628 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😂😂

    • @zahornassor5420
      @zahornassor5420 3 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂 kwani tz tuna Meli za kivita😅

    • @mwemezieladius5261
      @mwemezieladius5261 2 หลายเดือนก่อน

      😄😄😄😄😄 labda mpeleke mitumbwi

    • @MustaphaManole
      @MustaphaManole 2 หลายเดือนก่อน

      @@zebedayokatamaduni9676 unazo

  • @khamishaji6689
    @khamishaji6689 หลายเดือนก่อน

    Natumai kuna siku nisikie meli vita ya tanzania yawasili chini kufanya maxoez ya pamoja

  • @abrownmaarifa
    @abrownmaarifa 2 หลายเดือนก่อน

    Amna chochote kitu

  • @BetramDachi
    @BetramDachi 2 หลายเดือนก่อน

    Amn k2 Apo wapeni

  • @tidomilinga3750
    @tidomilinga3750 2 หลายเดือนก่อน

    Mnamtishia marekani hamuogopi vikwazo

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 2 หลายเดือนก่อน

    Natoa rahi.UMAKINI UNAITAJIKA

  • @hamisimwinzagu6624
    @hamisimwinzagu6624 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna cha kujifunza apo vita sasa ivi inapigana Kwa technology sio kujificha kwenye msitu na kuviziana iyo haipo Karne hii mboni awakuchukua na drone za makombora

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hata hao wazungu na waarabu walikuja hivyo hivyo mwishowe tukatawaliwa na kuuzwa kama watumwa

    • @MustaphaManole
      @MustaphaManole 2 หลายเดือนก่อน

      Umeshawah kuskia China au urusi zna record ya mauaji au unyonyaji au kupora nchi nyngne na km uwezo wanao lkn hawana ubinafc huo urus Ina mafuta gas na nishat nyngne umewahi kuskia wamepora kutoka kwa wengine? Wanachokifanya China na urusi na washirika wao ni kufany reshape ya dunia ili kila m2 awe na Uhuru na Mali zake siasa zake na mipaka yake pia fuatilia siasa za ulimwenguni ujifunze

    • @CholoFaizaan
      @CholoFaizaan 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂mvutuo tena ng'gande

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tpdf oyeeee

  • @marisink8849
    @marisink8849 2 หลายเดือนก่อน

    This exercises seem to dwarf USA's Justified Accord in kenya

  • @AmirJuma-p5j
    @AmirJuma-p5j 3 หลายเดือนก่อน +4

    Watz tumechagua ukomunisti na kuacha ubepari

    • @CantonaKunona
      @CantonaKunona 2 หลายเดือนก่อน +1

      C amin chochote hapoo ile meli ya matibabu na wawas nayo watoto huku wanaibiwa wanapungua ile meli imeondoka na viungoo hawa wachina wana jeshi wameleta madubu ya kamali 😂 ndy wachinjajiii😅

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 2 หลายเดือนก่อน

      Hayo maneno ndg mdomo

  • @dogodogo595
    @dogodogo595 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanini jeshi lisijenge bandari yake? Kama pale Bagamoyo pazuri kabisa

    • @mwemezieladius5261
      @mwemezieladius5261 2 หลายเดือนก่อน

      Lijenge Bandari alafu waweke nn hapo kweny bandari wakati hawana meli 😅😅😅😅😅

  • @TUMAINIKimario-s2q
    @TUMAINIKimario-s2q 2 หลายเดือนก่อน

    Tusiwaamini kupita kias maana hizo silaa walizobeba wanaweza chukua tanzania na msiongee chochote😢

  • @BetramDachi
    @BetramDachi 2 หลายเดือนก่อน

    Iyo mzuli lakin mama umeshakua rais atuna budi kukukubari,

  • @BigMan-f1v
    @BigMan-f1v 2 หลายเดือนก่อน +2

    inabidi watuachie meli moja sio kuja kuonyesha tu! Tuwe na meli ya Kivita hta moja vifaru haviwezi kuingia baharini😂😂

    • @paschalbenito9783
      @paschalbenito9783 2 หลายเดือนก่อน

      Vipo

    • @MusaMoleli-t3k
      @MusaMoleli-t3k 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊

    • @allymayaitembere3505
      @allymayaitembere3505 2 หลายเดือนก่อน

      @@paschalbenito9783 hakna meli ya kivta

  • @josephmshandetex5720
    @josephmshandetex5720 2 หลายเดือนก่อน

    Kamanda anasauti kama ya eriud cheka tu

  • @johnmajondokitulla
    @johnmajondokitulla 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba pia Jeshi la Urusi Rais PUTIN tunakuomba sana Mwamba imara ulete jeshi lako Baba...Mama yetu SAMIA tuwaombe waje tuwe pamoja tunawapenda sana Warusi ni marafiki wetu wema sana

    • @xnider2482
      @xnider2482 2 หลายเดือนก่อน

      Unadhania putin anasoma comment ako😂

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tunachokitafuta tutakipata😂😂😂😂😂

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 3 หลายเดือนก่อน +2

      Toka taahira ww

    • @FredySemkiwa-or7kn
      @FredySemkiwa-or7kn 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kipi hiko bora hawa jamaa

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 3 หลายเดือนก่อน +2

      Biden wako maji ya shingo wewe mama alitaka kushindana na Urusi wakati Urusi ni liidude likubwaaaa 😂😂

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 3 หลายเดือนก่อน

      @@twalibulomy-cd4zd sawa 😂😂😂🙏🙏

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 3 หลายเดือนก่อน

      @@FredySemkiwa-or7kn hawa ndoo wahuniii hawafaiii

  • @allytv1714
    @allytv1714 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nyie jichanganyeni at wakoloni waliingia ivo taratibu mshawaruhusu waingize silaa

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 2 หลายเดือนก่อน

    Walitwambia kwamba kuna madktari kutoka china watatoa huduma kwa wananchi lakini sasa huduma yao ilikuwa magumashi

  • @mwemezieladius5261
    @mwemezieladius5261 2 หลายเดือนก่อน

    Mtanunua lini zenu km hizi , mnakaa kila mwaka kupokea meli za wenzenu uku nyie mkiwa hamna meli km hizi

  • @shabanimwinyikhery1174
    @shabanimwinyikhery1174 2 หลายเดือนก่อน

    Si watugaie moja

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 2 หลายเดือนก่อน

    Miaka 60 mnafundishwa hamuelewi acheni ujinga ,wenzenu wanatonoa nyie mnapewa matango pori

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 2 หลายเดือนก่อน

    Ngoj Wamarekani nao wafanye mazoezi hapo Kenya. Kupanga nikuchagua

  • @KikwaleRashid
    @KikwaleRashid 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wana fata nini kwetu huku kwetu hatuna vitaa bwana

    • @JohnCage-we6tp
      @JohnCage-we6tp 3 หลายเดือนก่อน

      Kuja kuimarisha ulizi na kupat mafunzo kwa wanajeshi wetu pia kuimarisha uhusiano

    • @Aminimalewa
      @Aminimalewa 3 หลายเดือนก่อน

      Kwann majesh yetu yasiende uko kwao wajifunzie huko huko​@@JohnCage-we6tp

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa nyie mna kipi cha kujifunza kutoka kwa china?nyie mnazo hizo meli?au nyie ni mikia

  • @frankbujiku9496
    @frankbujiku9496 2 หลายเดือนก่อน

    Shida kubwa ni bundi na ngedere 😂😂😂

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 3 หลายเดือนก่อน +2

    Miaka 60 ya ushirikiano,
    Wenzetu wanapiga hatua kubwa za maendeleo,sisi ni tunanuka shida na wizi wa kutisha,
    Nb:Ikumbukwe tz ni moja ya nchi ambayo ilipiga kura ya ndio ya kuomba CHINA apewe uanachama wa UN

  • @YasiniJuma-qp1jh
    @YasiniJuma-qp1jh 2 หลายเดือนก่อน

    Meli imekuja2 nakuondoka ety kutowa uduma ya matibabu😂😂

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 2 หลายเดือนก่อน

    🇹🇿❤🇨🇳🤲🔥

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 2 หลายเดือนก่อน

    😅mbona wamekuja karibu na uchanguzi msifanye mazoezi afumnakuja kumalizia kwetu mpigane we yew

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 2 หลายเดือนก่อน

    Mtego huo

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania si kisiwa...hatuhitaji tu marekan na washirika wake ila Urusi, China, Iran, Parestine, korea kaskazin..Karibun san Tanzania...Ata mkitaka vijana wa kupgan njoon mtupe train tu tuingizane..Tutaziruka ktk uwanja vita atar...Hasa mie waniweke ile section ya sniper ni kakae ktk miti, milima na majengo marefu ni dunguo adui atar😂😂😂

    • @zahornassor5420
      @zahornassor5420 3 หลายเดือนก่อน

      Unapigwa kabla hujapanda babu😂

  • @IsackIsack-x7e
    @IsackIsack-x7e 2 หลายเดือนก่อน

    Mhmmm

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o 3 หลายเดือนก่อน

    Aya mazoezi sina imani nayo

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje 2 หลายเดือนก่อน

    Si watugaiye kila mtu bunduki yake jamani tumtafute makonda wetu

  • @storytownTv
    @storytownTv 3 หลายเดือนก่อน +3

    MAGUFULI alishawahi kusema ukiona jirani anakujali sana ,,jiulize sana kunamahali kwako panavuja jiran anajisogeza kuja kukinga kwa akili wala sio swala la upendo

  • @matikowambura7657
    @matikowambura7657 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tz mda c mrefu inaenda kua shamba la makaburi ila kuna wajinga hum wanashangilia china na mareka ndo uwanja wao wa mapambano

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 2 หลายเดือนก่อน

      Kwa nn unasema hvo broo imeona nn

  • @johnjoseph1106
    @johnjoseph1106 3 หลายเดือนก่อน +1

    Isije ikawa mtego pindi NATO ikianza kupigana na Urusi na washirika wake watake kutuhusisha na sisi,maana jirani yeye yuko upande wa Nato na sasa sio siri hawa watu wanatafuta washirika Kwa werevu

  • @robertswai2962
    @robertswai2962 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wouh

  • @roberttarimo4956
    @roberttarimo4956 3 หลายเดือนก่อน

    Tanzania haina meli za kivita za aina hiyo hizo drill zinasaidia nini? Kama hawana meli kama hizo

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

      Kila kitu wakuoneshe ww ujue kama zipo au waropokwa hujui kinachoendelea

    • @roberttarimo4956
      @roberttarimo4956 2 หลายเดือนก่อน

      Sorry kama unajisi naropoka, hakunaga kisicho julikana

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 หลายเดือนก่อน

      @@roberttarimo4956 mambo mengine ni siri ya nchi sikila kitu utakijuwa ww au watu wakijue

  • @masoudkhamis8916
    @masoudkhamis8916 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbn znz hawajaja

    • @ProsperUlungi
      @ProsperUlungi 3 หลายเดือนก่อน

      Zanzibar ni mkoa wa tanzania 😂😂

    • @personpeter2221
      @personpeter2221 2 หลายเดือนก่อน

      Kwan Zanzibar ni wap ??

    • @MariamBenedicto-tz3yj
      @MariamBenedicto-tz3yj 2 หลายเดือนก่อน

      An Katika coment zote nimeona coment ya mtu mmoja mwenye akili kama ya magufuli maana hao watu wanavyokuja hapa Tanzania wameshatusoma Tanzania jins tulivyo tunapenda kusaidia saidiwa Jaman msishangilie hapo kuna vita hayo mnaoshangilia na huyo bibi yenu

    • @MariamBenedicto-tz3yj
      @MariamBenedicto-tz3yj 2 หลายเดือนก่อน

      @@ProsperUlungi Zanzibar ni bara ndugu yangu

    • @MariamBenedicto-tz3yj
      @MariamBenedicto-tz3yj 2 หลายเดือนก่อน

      @@MkisiStylish acha utani