Uchambuzi wa Behold a Pale Horse: Sehemu ya Pili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Leo, Tunaendeleza safari ya kusisimua ya kuchunguza moja ya vitabu vya kushangaza na vyenye utata zaidi kuwahi kuandikwa: kitabu hichi ni Behold a Pale Horse kilichoandikwa na William Cooper. Hiki kitabu kinadai kua ni onyo, ni ufunuo, na labda ni mwangaza wa giza linaloendesha maisha yetu.
    #tanzania #elimu #mystery #siri #kenya #vitabu #daressalaam #meditation #thirdeye #uganda #southafrica #rwandatoday #burundi #storybook #uchawi #kiswahili #astral #uchawi #eastafrica
    Asante kwa kutazama na kuwa sehemu ya Kizani!”

ความคิดเห็น • 12

  • @AyishaAyu
    @AyishaAyu 23 วันที่ผ่านมา +1

    Tuwendelee broo❤

  • @DamsonySetty
    @DamsonySetty 23 วันที่ผ่านมา

    Unyama sana bro

  • @Melimeli7719
    @Melimeli7719 23 วันที่ผ่านมา

    Sawa miuu.
    Tupo pamoja

  • @mtengwadj9390
    @mtengwadj9390 11 วันที่ผ่านมา

    ahsante kwa elimu

  • @HagaiPaul-b8i
    @HagaiPaul-b8i 22 วันที่ผ่านมา

    Safi Kaka upo vizur

  • @severinimchuka3155
    @severinimchuka3155 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kitabu

  • @mkarawizemtasher4897
    @mkarawizemtasher4897 23 วันที่ผ่านมา

    Moto mwanzo mwisho, lete madini Mr Kizani haina kulala, ni mwendo wa wiki mara moja au mbili.

  • @DeusRobart
    @DeusRobart 20 วันที่ผ่านมา

    Tumepigwa na kitu kizito

  • @mohammedabdulshakur8162
    @mohammedabdulshakur8162 23 วันที่ผ่านมา

    Tumefurahi umerudi hewani back to normal

  • @Rajabu-mv5gq
    @Rajabu-mv5gq 17 วันที่ผ่านมา

    Kwa nin marekan mbona roma haipo na tuna hakika roma ndo katawala mataifa yote ya ulaya

  • @severinimchuka3155
    @severinimchuka3155 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    namba zako naitaj kitabu