- 19
- 122 370
Kizani
เข้าร่วมเมื่อ 21 ต.ค. 2022
Siri, elimu na maelezo kuhusu maficho ya dunia
Uchambuzi wa Vitabu 5 Vilivyopigwa Marufuku Duniani
Bila ya shaka vitabu hivi ni vizito na vimewekwa nyuma ya pazia, ila kizani leo inakuekea
Mezani na kukufunulia kurasa zake, kukuchambulia pia kukupa njia ya kuvisoma ukiwa una
ujasiri huo.
#uchawi #tanzania #elimu #mystery #siri #kenya #vitabu #daressalaam #meditation #thirdeye #uganda #southafrica #rwandatoday #burundi #storybook #uchawi #kiswahili #astral #uchawi #eastafrica
Asante kwa kutazama na kuwa sehemu ya Kizani!”
Mezani na kukufunulia kurasa zake, kukuchambulia pia kukupa njia ya kuvisoma ukiwa una
ujasiri huo.
#uchawi #tanzania #elimu #mystery #siri #kenya #vitabu #daressalaam #meditation #thirdeye #uganda #southafrica #rwandatoday #burundi #storybook #uchawi #kiswahili #astral #uchawi #eastafrica
Asante kwa kutazama na kuwa sehemu ya Kizani!”
มุมมอง: 4 849
วีดีโอ
Uchambuzi:Vitabu 5 vya Kudhibiti Akili
มุมมอง 10K14 วันที่ผ่านมา
Fikiria umekuwa na uwezo wa kudhibiti kila mtu-bosi wako, wenzako, hata wageni. Fikiria ukiingia chumbani na kuwa na nguvu ya kuongoza maamuzi ya kila mtu aliye ndani. Je, ningekuambia kuwa siri ya nguvu hii iko kwenye vitabu fulani ambavyo wengi hawajui? Ila kua makini juu ya namna gani unatumia elimu hii. #uchawi #tanzania #elimu #mystery #siri #kenya #vitabu #daressalaam #meditation #thirdey...
Uchambuzi wa Behold a Pale Horse: Sehemu ya Pili
มุมมอง 60221 วันที่ผ่านมา
Leo, Tunaendeleza safari ya kusisimua ya kuchunguza moja ya vitabu vya kushangaza na vyenye utata zaidi kuwahi kuandikwa: kitabu hichi ni Behold a Pale Horse kilichoandikwa na William Cooper. Hiki kitabu kinadai kua ni onyo, ni ufunuo, na labda ni mwangaza wa giza linaloendesha maisha yetu. #tanzania #elimu #mystery #siri #kenya #vitabu #daressalaam #meditation #thirdeye #uganda #southafrica #r...
Uchambuzi wa Behold a Pale Horse: Sehemu ya Kwanza
มุมมอง 1Kหลายเดือนก่อน
NAMBA YA SIMU : 255 692 315 293 Leo, tunaanza safari ya kusisimua ya kuchunguza moja ya vitabu vya kushangaza na vyenye utata zaidi kuwahi kuandikwa: kitabu hichi ni Behold a Pale Horse kilichoandikwa na William Cooper. Hichi kitabu kinadai kua ni onyo, ni ufunuo, na labda ni mwangaza wa giza linaloendesha maisha yetu. #tanzania #elimu #mystery #siri #kenya #vitabu #daressalaam #meditation #thi...
Uchambuzi wa The Kybalion: Elimu ya Hermeticism
มุมมอง 1.5Kหลายเดือนก่อน
NAMBA YA SIMU : 255 692 315 293 Karibu katika video hii, ambapo tutachunguza elimu ya Hermeticism kupitia moja ya vitabu vya kale. Kitabu hiki kinaitwa The Kybalion, na ni chanzo kikubwa cha elimu hii. Elimu hii ni ya zamani sana, na inadai kuwa na uwezo wa kufunua ukweli kuhusu ulimwengu, maisha na roho. #tanzania #elimu #mystery #siri #kenya #vitabu #daressalaam #meditation #thirdeye #uganda ...
Ukweli Kuhusu Astral Projection (Hatua Kwa Hatua)
มุมมอง 727หลายเดือนก่อน
NAMBA YA SIMU : 255 692 315 293 Leo tunachunguza ulimwengu wa ajabu wa astral projection-dhana inayohusishwa na kutoka kiroho au kusafiri nje ya mwili. Astral projection ni zaidi ya mchakato wa kiroho; ni mlango wa kugundua mandhari ya ajabu, ambapo mipaka ya kimwili inatoweka na uwezekano unakuwa usio na kikomo. #tanzania #elimu #mystery #siri #kenya #vitabu #daressalaam #meditation #thirdeye ...
Uchambuzi wa Jicho la Tatu na Meditation
มุมมอง 4.2K7 หลายเดือนก่อน
NAMBA YA SIMU : 255 692 315 293 "Je, umewahi kujiuliza juu ya unavyoelewa Kuhusu mindfulness meditaion na jicho la tatu kama ni ukweli au tungo tu za wazungumzaji? Pia Hivi unajua siri zilizofichika katika Elimu hizi ambazo zinaweza kubadilisha maisha yako? Katika video hii, tutachunguza mada hizi mbili kwa kina, mindfulness pamoja na jicho la tatu kwa lengo la kuondoa ukungu na uongo kisha kuk...
Uchambuzi wa The Rosicrucian Order
มุมมอง 3K7 หลายเดือนก่อน
NAMBA YA SIMU : 255 692 315 293 Karibu kwenye video nyingine ya Kizani! Leo tunaingia kwenye ulimwengu wa siri na nguvu za Rosicrucians, jamii ambayo wengine wanaamini ina nguvu zaidi ya Freemasons au Illuminati. Katika video hii, tutachunguza historia yao, mafundisho yao ya kiroho kama Alchemy, Kabala, na Hermeticism, na jinsi wanavyohusiana na jamii zingine za siri. Tutamwangalia mwanzilishi ...
Uchambuzi wa Vitabu 5 za vya Uchawi
มุมมอง 3K8 หลายเดือนก่อน
NAMBA YA SIMU : 255 692 315 293 Karibuni katika video hii ambapo tutazama kina cha siri na maarifa yaliyofichwa katika vitabu vya kale vya uchawi. Tutafunua ukweli wa vitabu vitano vilivyo na siri nzito na Elimu za kutisha-kama vile 'The Long-Lost Friend' hadi Vitabu vizito zaidi kama 'LEMEGETON.' Je, hii ni Elimu ya wachache Watakaoweza kuipokea, au ni milango ya hatari isiyopaswa kufunguliwa ...
Uchambuzi wa 48 Laws of Power
มุมมอง 3.2Kปีที่แล้ว
Subscribe and Comment #tanzania #kenya #storybook #maajabu #simulizizamaisha #hadith #historia #kitabu #zambia
Uchunguzi wa Elimu inayosemekana kufichwa Duniani
มุมมอง 12Kปีที่แล้ว
Katika Video hii kuna maelezo kuhusu moja kati ya elimu muhimu sana, ambayo imefichwa kwa mda mrefu, sasa inaanza kuvuja na una paswa kuijua. SUBSCRIBE LIKE & COMMENT Kama unahitaji kitabu nitafute whatsap kwa namba hiyo 0692315293 #kenya #tanzania #maajabu #storybook #hadith #historia #simulizizamaisha #uchawi #kitabu #zambia #elimu
Elewa Nguvu Za Meditation
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Meditaion ni jambo lililoenea sana hivi sasa na kila mtu anaonekana Kutaka kulielewa, meditation sio uchawi bali ni zoezi linalotumika kuleta faida nyingi sana, ili kuzielewa faida hizo naomba utizame hiyo video. Kama unahitaji kitabu kilicho lugha ya kiswahili nitafute kwa namba hiyo 0692315293 Usisahau kulike kucomment na kusubscribe #kenya #tanzania #storybook #simulizizamaisha #kitabu #medi...
Uchambuzi wa Shams al-Ma'arif: Elimu nzito
มุมมอง 29K2 ปีที่แล้ว
Subsribe like and Comment #historia #kenya #maajabu #hadith #tanzania #storybook #simulizizamaisha #uchawi #sayansi #kitabu #maktaba #zambia #morogoro #southafrica #dar #mombasa #nigeria #bongo #malawi #moshi #burundi #congo #kariakoo #tumewasha #tanzaniaunforgettable #daresalam #daresalaam #daressalaamtanzania # #zanzibar #zanzibarisland #ghana #nairobi #rwanda #uganda #mwanza #arusha
Vitabu 5 Bora Vya Elimu Ya Kusoma Watu
มุมมอง 8K2 ปีที่แล้ว
Subscribe ulike na Ushare.. #historia #tanzania #maajabu #hadith #kenya #storybook #books LINKS ZA VITABU: 1. What Every Body is Saying www.pdfdrive.com/what-every-body-is-saying-e33409507.html 2. The Charisma Myth www.pdfdrive.com/the-charisma-myth-how-anyone-can-master-the-art-and-science-of-personal-magnetism-e156831340.html 3. The phsycology of Persuasion www.pdfdrive.com/influence-the-psyc...
Uchambuzi wa Vitabu 5 Vinodaiwa kua na Uchawi
มุมมอง 30K2 ปีที่แล้ว
Uchambuzi wa Vitabu 5 Vinodaiwa kua na Uchawi
kitabu
namba zako naitaj kitabu
0692315293
Ahsate kizani Kwa ujumbe mzuri kujifunza
Naomba hicho kitabu cha mwisho
nicheki whatsap 0692315293
Upo wap
Tatizo ni jinsi mtu atakavyochukulia na pia historia ya msomaji kama alishapitia madhila anaweza kutumia habari zilizopo kwenye vitabu hivi vibaya, hivyo ili kuondoa taharuki kwa kuwa ni vigumu kujua emotions za kila msomaji bora viendelee kuwa kwenye custody
Asnte3ee
Nahitaji kujuwa zaidi ya hapo
Mi nimekipenda cha kwanza
Nitafute Whatsap 0692315293
Napenda munijuze
Mwl.muendelezo wa hiyo greater arkana
Tunategemea kuuleta ndugu
Duuuu hili ni somoo kwelikweli
Yatembee kwan n mhim
Ujumbe mzuri sana kutoka kitani
Shekh. Hivho kitabu kinafunfishwa hapo egpt misiri na hicho kipo hata usa 🇺🇸 kimebadishwa sana sasa hivi
Nakitaka hicho cha mwisho
Nitafute whatsap 0692315293
Hiko kitabu kipo kweli
Big up mkuu
Syllabus ni ileile mpaka watuelewe hapa KIZANI, maana walifichwa Kwa mrefu hii jamii yetu na wasijue chochote, na hivi sasa haya maarifa na sisi yanatufikia, hakuna Siri tenaaaaaa. Twende kazi MR KIZANI watatuelewa tu.
Kabisa ndugu
Kwenye whasp sikuoni mzee nataka the confidence
Haya mambo ni kweli kabisa me nimeshasoma baadhi yake Hivyo jua vitabu vimebeba maarifa yatakayokufanya uine Dunia kwa namna tofauti kabisa
I like these things a lot🇺🇬🇺🇬 Mentor I didn't find you on WhatsApp may b you direct m how to
We jamaa haya mambo ni kweli? Nahitaji kusom hivi vitabu kwa lugha ya kiswahili
Nitafute Whatsap Ndugu 0693282992
Elimu yako mkuu nimeielewa ivi
Bei ya kila kitabu ni shilingi za kitanzania ngapi na je soft copy au hard copy
Nitafute whatsap 0693282992
❤❤❤
Hicho kitabu umekitofasiri kwa kiswahili
Sahihi
@darkknowledge4860 nakihitaji boss
ahsante
ahsante kwa elimu
ahsante kwa elimu
😢 tutapata jee vitabu na sisi tuko congo
Mbona katajwa Papa!duh hii ni siri nzito
Sasa ivyo vitabu ili mtu avipate unaweza kutumiya jiya ngani ili uwe navyo bro
nicheki whatsao 0692315293
Uyo cio sheh ban,mschangany wat
Asante sana kwa elimu hii ya maana
Gaslighting is the best
Asante maalim
I have Safi ppp
Poaa kizani Kwa ujumbe mzuri sana
Toa bei ya kila kitabu, bro!
Njoo whatsaap 0693282992
Mm nataka kukisoma
Kama kinapatikana kwa lugha ya kiswahili .sh ngap maana kiarabu mtihan
Zinatoka kwa majini hz elimu
Good sana
😮
imefika kwa joji west
Hiki kitabu nitakipata vp?
Nitafute whtsaap 0692315293
malipo yake yana kuwa je kama mtu aki hitaji kitabu kimoja
jamani nitakutafuta nivione tu
Navitaka hivyo vitabu