Wanatengeza vinjwaji vinaleta watu maradhi watu wangapi wanaugua wanapasuka mishipa ya moyo wazadhani watapata salama mbele ya mungu wanatengeza masumu kuwapa watu ili wapate dunia wakesha pata dunia itawafalia nini
Et kukwepa kodi mbona, bandar,na Tozo, ngorongo,we vp hajaenda shule nn mawazir wanapiga mipira nje Dodoma,luhaga mpina aliwabana kuhusu bajet,we tukurudshe shule,eboo,
IT IS alleged Rostam utajiti wake hakuupata kwa haki. Unjanja wa kujiunga na timu za mpira kuwapumbaza watanzania huku anapiga tenda na kukusanya kodi kutoka kwa watanya biashara wafogo kwa kutuma mizigo yawo kupitia kampuni aliyoibuni. Anapngoza kwa biashara zake kwa kuzuwia compition ili kampuni zake tu zifanikiwe. Wakubwa wote kawashika. Mungu atusaidie
Mzee umefeli sana Mo hampati bakhressa nakwambia kama hujui wacha mjidanganye tu ndio maana umemsikia mkimya haongei kwa kujinasib mwenyewe lkn wengi hamujui mnabahatisha tu, sema nini mnatamani labda sikumoja akuambieni ninapesa kiasi gani kama Mo lkn hilo kwa Mzee bakh ni ngumu sana
Lohh kumbe wanauwezo wa kumpa kila Mtanzania milioni moja moja kurudisha bila riba kwa msaada hasa wasio na uwezo au wafanya biashara wadogo wadogo,wajulikao kama machinga
We jamaaaaa. Mo Dewji ni mwekezaji hana mkataba wa ufadhili wala udhamini Simba, ni mali yake kwa 49%. GSM siyo mwekezaji Yanga, ana mkataba wa udhamini yanga. Ni kit supplier na Yanga inatangaza bidhaa zake
Hivi tajiri wa ng'ombe 6000 siyo tajiri siyo mkubwa? Ebu badili hao mifugo wawe kilo za nyama Kila ng'ombe kilo 200 halafu Kila kilo iuzwe Kwa tsh. 10000 hiyo sawa na bilioni ngapi za tsh.?
Kawaida tu !! Aliemjua Mungu ndie tjri!!!
Kabisa
vipi kwa Lazaro masikini hakuwa anamjua Mungu??
Mo ampati kwa utajiri Bakharesa
Mwanangu umeuwa❤❤❤❤❤❤❤❤
Umuongo tena mkubwa yan rostam azizi ashindwe pesa na diamond ni kitu kilichokuwa hakiwezekan
We fala nni kamtaja Diamond sangap
We hujui tu diamond anamzidi adi mabwana samata
Mashaallah, matajiri wote ni waislamu ❤
Mimi namkubali sana Mo wa Timu yetu ya simba❤❤❤🎉🎉🎉
Wanatengeza vinjwaji vinaleta watu maradhi watu wangapi wanaugua wanapasuka mishipa ya moyo wazadhani watapata salama mbele ya mungu wanatengeza masumu kuwapa watu ili wapate dunia wakesha pata dunia itawafalia nini
Hapo kwenye miyaka
Mohamed dewij namkubali sana ❤❤❤
Izo njaa zako tu nyau wewe! GSM anamiaka 37
Nampenda azizi abudi kasadia sana morogoro kuchimba visima vya maj mungu akulinde baba kwa huruma yako
Hizo ni pesa zenu
😅😅😅@@gracemima5234
Hapo Kwanzaa nchekee abood ana mabasi zaidi ya30
Miaka 37
Uongo kk
afu ivi mo na bakheresa nan mwenye pesa nyingi mbn unashangaza umma ww.
Wabongo eeh😂😂😂
Wameshindwa hata Kujenga Hospital Moja ya Kiislam Kwaajili ya Mama Zetu kwenda kujifungua
Takwimu umezotoa wap? Hivi we unaamini Bakharesa ni wa pili?
Kazi nzuri
Hao wote ni wazanzibari wote wana asili ya huko
Duh
Et kukwepa kodi mbona, bandar,na Tozo, ngorongo,we vp hajaenda shule nn mawazir wanapiga mipira nje Dodoma,luhaga mpina aliwabana kuhusu bajet,we tukurudshe shule,eboo,
HAKUNA MTANZANIA MWEUSI MWENYE PESA NI WATU WA MATAIFA MENGINE WOTE YAANI WATU BILIONI 65 HATUNA TAKIRI WA KITANZANIA HALISI HII NI HATARI SANA
Namkubar xana mo
Deunji❤❤❤
Nc mr poldo boy OG promoter❤🎉🎉🎉
Namkubali saidy salmu bakheresa
Hata haujuiiii
We jamaa muongo kweli. Rostam anahisa tigo sio voda
Mnawasifia ni.I hao wanakopesha bidhaa zao kwa riba kubwa sasa hao kweli waislamu wanakula riba kwa wanyonge bajaji riba zaidi ya milioni 12
IT IS alleged Rostam utajiti wake hakuupata kwa haki. Unjanja wa kujiunga na timu za mpira kuwapumbaza watanzania huku anapiga tenda na kukusanya kodi kutoka kwa watanya biashara wafogo kwa kutuma mizigo yawo kupitia kampuni aliyoibuni. Anapngoza kwa biashara zake kwa kuzuwia compition ili kampuni zake tu zifanikiwe. Wakubwa wote kawashika. Mungu atusaidie
Gsm ana miaka 37 au nimesikia vibaya
Tajiri hana baya ubaya ubwela
Jamani mnaona matajiri wakubwa wote ni waislamu suala jee wanawajibika kwenye zaka
Lazima si Kikwete na Samia wote waislamu? Utajiti unso uona ni fedha za watanzania
Ghalib anazidi miaka 37 wacheni ujinga😂😂😂
Abood ana miaka 62 anaonekana kama ana miaka 37 na GSM ana miaka 37 ana muonekano wa miaka 68 kazi kwenu na records zenu😂😂😂
Mo Dewji anatisha
We mbwa tu baba yako wangapi
Namkubali Sana Gharib said Mohamed anatumia pesa vizuri cyo kama wengine
Miaka 37 hahahahaaa😂😂😂😂😂😂
Mtangazaji kadanganya umri
Mzee umefeli sana Mo hampati bakhressa nakwambia kama hujui wacha mjidanganye tu ndio maana umemsikia mkimya haongei kwa kujinasib mwenyewe lkn wengi hamujui mnabahatisha tu, sema nini mnatamani labda sikumoja akuambieni ninapesa kiasi gani kama Mo lkn hilo kwa Mzee bakh ni ngumu sana
Diamond na sammata wamefata nini kwenye picha hapo
Abood. Anamzidi. GSM pesa😅 aiseeh
Gsm Huyu. Si ni chaka la rais mstafu wa kenya
Mi namkubali msukuma
Bakharesa Ana sheare nyingi yy
Matajiri hao mayatima waonjwa mafukara wananufaika nini wanonufaika vilabu vyamipiri na wapambe ndio wanonufaika
Nyie wahongo sn Abiid ana mabasi 30? Wakata ni zaidi ya mabasi 60
Hakuna Tajiri Tanzania,waliopo ni wezi mali ya umma,na wakwepa kulipa Kodi.Hao ni wezi tu.
Haujui
Simba lazima itambe tukiwa na mohamed dewj mihela ipo
Simba haiendeshwi na mo dewj
Bakresa🎉
Msilete ushabiki wa mpira kwenye takwimu
Acha masikhara. GSM ana miaka 37 ?????
Lohh kumbe wanauwezo wa kumpa kila Mtanzania milioni moja moja kurudisha bila riba kwa msaada hasa wasio na uwezo au wafanya biashara wadogo wadogo,wajulikao kama machinga
Mi msukuma
Mbona Ipp haijazungumziwa au kwavile mengi hayupo
Wewe ujierewi unafananisha diamond na azizi ki
Wote wahindi nakwao hindia natajili ngozi yatuzi nani?
mimi nawazidi wote hawo
Ekisi
Matajiri wanaokwepa kodi na kuwalipa ujira mdogo wafanyakazi wao utajiri wao ni wa kudhulumu Mungu awalaani
Cyo kukwepa kodi wanakula na watu Fulani
Aaa apo uwongo broo izo pesa ulizowapa unazijua lakini au unazitaja tu
Rostam ana hisa ni voda nikwel
Unazungumza ushoti
Tuzidi kupambana
Mtupe utajiri wa KIKWETE mbona nae ni Tajiri mkubwa😂
Kwa nini wakristo ni maskini?
Baba aako anashika nafasi ya ngapi
Mohamed dewij
Hao wengine izo pesa sio zao wamewekwa tu.wengine wamedhurumu watu.hapi GSM nakataa .
Wewe nishoga kaka hujui matajili
Uyu jamaa ni muongo gsm awezi kuwa na miata 37
Muongo sana ww jamaa mo anamiliki pesa za family Acha uongo,
huyu jamaaa muongo Sana eti gsm anamiaka37 engonga
we umevulugwa kwel
Acha kuongelea mashoga utachekwa
Acha ujinga mo hatar bro
Wote waindi wezi mbwa
Sio kweli bahresa ni mzanzibar
MO anatumia pesa za familia
Na wew tumia pesa za familia yenu
Asa umeweka picha ya samata ya nn
Bakresa kiboko bwana we
😅
Ni kwel
Wengine hapo wamewadhulum watoto WA gadaf
We jamaaaaa. Mo Dewji ni mwekezaji hana mkataba wa ufadhili wala udhamini Simba, ni mali yake kwa 49%. GSM siyo mwekezaji Yanga, ana mkataba wa udhamini yanga. Ni kit supplier na Yanga inatangaza bidhaa zake
je babu yangu unaweka wap kenge n
sio galibu ni gharub
😂😂
Mo deuji
Hivi tajiri wa ng'ombe 6000 siyo tajiri siyo mkubwa? Ebu badili hao mifugo wawe kilo za nyama Kila ng'ombe kilo 200 halafu Kila kilo iuzwe Kwa tsh. 10000 hiyo sawa na bilioni ngapi za tsh.?
Billion 1.2 ya Tanzania ni pesa ndogo sana hyo Kina Mo Wanamiliki zaidi ya Trilioni 4 ko bado sana hata kwenye Matajir 1000 wa Tz Hayumo
Acheni uongo
Shida nyinyi
Moo
Acha uongo
picture ya bakhresa sijaielewa
Peleka uwak kule
😮
Wew jamaa ni mumuongo njaa itakuwa mbwa wee
Atafutwe uyu apelekwe kwenye vyombo vya sheria kwa kutoa makala ya uongo mtandaoni.
Aponamba moja ni azamu umekosea takwimuyako
Umekosea mo ndo baba lao
Mo dewj
Mo dewji
Kwan mnejuwaj h wan kias hich Kam ni zaid au nipunguf
ww muongo sana