Mkuu wa Majeshi Atolea ufafanuzi Sababu za Padre Rimisho kuwa KOMANDO wa Jeshi/Akiri mambo haya wazi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania Generali Venance Salvatory Mabeyo katika Harambee ya ya ujenzi wa kanisa la Kawe jimbo kuu katoliki la Dar Es Salaam alipata nafasi ya kumzungumzia walau kwa Ufupi Padre Henry Rimisho ambaye ni mhandisi wa majengo na mwenye Mafunzo ya kijeshi
    #BreezOnlineTv​​​​​​​​​​​​​ #Kawe
    S.L.P 38655
    Dar Es Salaam Tanzania
    Phone No: +255 756494796
    Barua pepe: izackbreez11@gmail.com
    Mitandao Mingine ya Kijamii:
    Facebook: breez online Tv
    Facebook Link: / breez-online. .
    Instagram:Breez Online Tv

ความคิดเห็น • 95

  • @nmatuja2191
    @nmatuja2191 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimeipenda sana hiyo kwaya. Mungu kwanza mengine baadae. Mbarikiwe waimbaji wote na viongozi wenu. Amen.

  • @festinakataga2740
    @festinakataga2740 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze baba akulinde Sana katika utume wako.

  • @josephlango5591
    @josephlango5591 2 ปีที่แล้ว +4

    Baraka kwenu wapiganaji wetu na walinzi wa amani. Mtukuzeni Mungu daima katika maisha yenu nanyi muwaone vitukuu vyenu

  • @livinusmugisha5469
    @livinusmugisha5469 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana tuendelee kumtukuza Mungu na yeye atatuongoza

  • @mariethamasika9125
    @mariethamasika9125 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera sana padri na mwalim wangu wa Architecture

  • @DorothyvenanceItambu-vh3wc
    @DorothyvenanceItambu-vh3wc ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze Baba Rimisho.

  • @innocentludovick4724
    @innocentludovick4724 2 ปีที่แล้ว +5

    Hakika Mungu wetu ni Mungu wa majeshi.

  • @user-tf7ck5kq9o
    @user-tf7ck5kq9o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Heshima yako baba mungu akubaliki sana

  • @lemakhalfan8564
    @lemakhalfan8564 2 ปีที่แล้ว +1

    Inapendeza sana aise TUMSIFU YESU KIRISTO

  • @dyno4tz
    @dyno4tz 2 ปีที่แล้ว +1

    Great!

  • @epifaniamzena9593
    @epifaniamzena9593 2 ปีที่แล้ว +2

    Raha sana. Mungu awabariki

  • @ludovicktairo2850
    @ludovicktairo2850 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki baba

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 2 ปีที่แล้ว +1

    By professional asanteee

  • @eliasmhagama4978
    @eliasmhagama4978 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Afande CDF, Hakika Tanzania tunajivunia kuwa na CDF mzalendo wa kweli, mcha MUNGU, asiye na makuu (asiyejikweza), mwenye hofu ya MUNGU, mwenye upendo kwa watu wote, na aliyejaa imani na matendo ya huruma na utoaji.
    Wewe ni tunu na hazina kubwa kwa Taifa letu na Kanisa la MUNGU.
    MUNGU azidi kukubariki, akulinde/akuepushe na mitego ya waovu, akujalie maisha marefu na afya njema Afande CDF Gen Mabeyo.
    Pastor Elias Mhagama, Sensei.

  • @mlangiralameck9158
    @mlangiralameck9158 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana CDF Kwa moyo wako WA majitoleo na baraka nyingi kwenu wanakwaya wetu.

  • @josephgregory9843
    @josephgregory9843 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri kamanda,unamjua mungu ndomna kazi yako iko safi kabsa

  • @bennykaselle5996
    @bennykaselle5996 2 ปีที่แล้ว

    Asanteni na hongerah JWTZ peace makers kwa kazi njema ,Imani,upendo na matumaini .mumetoa funzo kubwa sana kwa wakristu Tanzania .Kumbe tunaweza tusitegemee mjomba je sisi hatuwezi kufanya kitu. tunaweza wakatoriki tunaweza asanteni makamanda watanzia kweli waafrika kweli,makomando kweli wpaiganaji kweli wazrendo kweli ambapo mumeonyesha kwa vitendo nini maana ya utamadunisho hapa Tanzania .Mumeenda kongo kutimiza upendo kwa jirani mkafanya umisonary kijeshi na kiroho mkajenga amani na kanisa na sio kanisa tu na msikiti .Mungu kwa kupitia kwenu nina sema mmeendereza mapambano ya yesu zidi ya utumwa washetani kwa vitendo na mmeshukuru kwa vitendo kwa kuwapereka salama na kuwarudisha salama na kuwarinda huko kongo .wangapi wamerudi bira uhai ,Aluta continua mapambano bado yanenderea kupiga shetani.

  • @dunstangeorge3263
    @dunstangeorge3263 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana baba Mabeho

  • @majaliwaphilipo8277
    @majaliwaphilipo8277 2 ปีที่แล้ว

    Safiiiiii Sana Mbarikiwe Sana na Kazi yenu MUNGU Aibariki

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 2 ปีที่แล้ว

    Nimefurahi sana kuona Mungu akitukuzwa na viongozi wa nchi tena wa Jeshi

  • @ashajackson8269
    @ashajackson8269 2 ปีที่แล้ว

    safi sana mkuu wetu wa majeshi very nice army

  • @victoriamwiyanda9149
    @victoriamwiyanda9149 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda hii

  • @annandunguru2678
    @annandunguru2678 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @kamarajoshua8719
    @kamarajoshua8719 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU AKUTUMZE NAFAMRYA YAKO daima

  • @dafrosamsonge2007
    @dafrosamsonge2007 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Baba, mlezi wetu wa Karismatic

  • @dominicmushi9582
    @dominicmushi9582 ปีที่แล้ว

    Upendo wako ni wa ajabu sana mkuu,wetu wa majeshi

  • @mthiaspaul
    @mthiaspaul 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli Mungu akufanyie Mema Chief wewe ni kiongozi.

  • @fortunatafelician5625
    @fortunatafelician5625 2 ปีที่แล้ว

    Cong.father

  • @geroldjacob9845
    @geroldjacob9845 2 ปีที่แล้ว +1

    Venance mabeyo mku wa jeshi la tz nakupenda bab kwa kumtanguliza mung kweny mamb yak yote bil kujar cheo

  • @raymondmsingwa4524
    @raymondmsingwa4524 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwakweli nimeamini wanajeshi Wana Imani ndiomaana Wanajeshi niwasitarabu Ila jeshi la Polisi wengi ni vibaka

    • @jonathanntare4787
      @jonathanntare4787 2 ปีที่แล้ว +1

      Barikiwa sana kwa Comment nzuri sana.

    • @theosaimon6933
      @theosaimon6933 2 ปีที่แล้ว +1

      Thanx sana for the appreciation 🙏

    • @amenaameeena3317
      @amenaameeena3317 2 ปีที่แล้ว +2

      Polis yaani utazani kazi ya shetani wanavyobambikia watu kesi nakutesa

    • @votafrica1
      @votafrica1 2 ปีที่แล้ว +1

      yaan umeeongea fact 🔥🔥🔥🔥

    • @livinusmugisha5469
      @livinusmugisha5469 2 ปีที่แล้ว +1

      Umeongea fact

  • @dominicmushi9582
    @dominicmushi9582 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe,maisha marefu sana baba,mabeyo wewe ni mfano wa kuigwa sana nikiangaria video zako hadi natoa machozi

  • @patrickmsekwa7773
    @patrickmsekwa7773 2 ปีที่แล้ว +1

    Saaaaaafiiiiiiii saaaaanaaaa

  • @wilfredmmbando689
    @wilfredmmbando689 ปีที่แล้ว

    😊

  • @bakarithegeoinformatician7406
    @bakarithegeoinformatician7406 2 ปีที่แล้ว

    Hatari sana
    Hapa tunapata funzo kumbe kule sudani ni mission za imani flani kuondoa utawwla flani!

    • @mtaninjegere6060
      @mtaninjegere6060 2 ปีที่แล้ว

      Bakari mbona una short mind ndugu yangu? Ukichunguza sana kuna mashehe watakuwa nao makomandoo kwenye misheni hizi hizi. Serikali hizi xiache tu. Ila usitizame kwa mrengo wa kidini

    • @bakarithegeoinformatician7406
      @bakarithegeoinformatician7406 2 ปีที่แล้ว

      @@mtaninjegere6060
      Wewe umeelewa nn?

    • @mtaninjegere6060
      @mtaninjegere6060 2 ปีที่แล้ว

      Nimeelewa huyu alienda kutoa huduma ya kiroho kwa walinda amani wakatoliki. Naamini itakuwa hivyo pia kwa muslims hasa hizi dini kubwa. Kuna mashehe watakuwa kwenye misheni hizi na wamefanya haya mafunzo ya ukomandoo

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 2 ปีที่แล้ว

      @@mtaninjegere6060 wew ukionekana unasoma quran tu lazima utoe maelezo😀😀

  • @godfreynoya6670
    @godfreynoya6670 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika jicho la bwana li kwa wale wamchao

  • @frankmnale1900
    @frankmnale1900 2 ปีที่แล้ว +1

    Congratuation Mabeyo ila umepungukiwa kitu kimoja tu ubatizo wa kunyunyiza siku ukiamua kubatizwa kwa JINA LA YESU KRISTO na Kwa maji mengi hakika utauona ukuu wa KRISTO YESU na mji ule mtakatifu

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 2 ปีที่แล้ว +1

      Endelea kujidanganya hivyo hivyo

    • @frankmnale1900
      @frankmnale1900 2 ปีที่แล้ว

      @@josephlango5591 hutoelewa nilichokimaanisha kwa maana jina lako halimo ila wale ambao majina yao yamo wanaelewa nilicho kimaanisha.....pole yako.

    • @frankmnale1900
      @frankmnale1900 2 ปีที่แล้ว

      @@josephlango5591 ngoja niendelee kupanda mbegu zitakazoangukia kwenye udongo mzuri hizo ndizo zilizo amliwa katika mji ule mtakatifu siku ile arudipo BWANA wa mavuno anaezimwagilia na kukuza ambaye ndiye mvunaji pia.
      Kama ungeuliza kwa kutaka kuelewa hakika ningekuelekeza kwa ufafanuzi zaidi katika kitabu kitakatifu ili upasome utoke kwenye hilo giza kuu.

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 2 ปีที่แล้ว +1

      @@frankmnale1900 nimekuelewa sana tu. Unaposema ubatizo wa maji mengi na ubatizo wa kunyunyiza inaeleweka unachomaanisha. Kwa kukusaidia tu, CDF hajapungukiwa chochote na baraka zote za kimbingu zi pamoja naye. Alibatizwa katika Utatu Mtakatifu na ni askari hodari sana wa Kristu. Huo upungufu unaounena kwake baki nao tu ukusaidie mwenyewe

    • @frankmnale1900
      @frankmnale1900 2 ปีที่แล้ว

      @@josephlango5591 akati ukifika utaelewa ninacho kimaanisha kama utakuwa niwa kule juu ila kama niwakushuka shimoni kamwe hautonielewa labda kwa kuwa ntapita napiga kerere uenda ukabaatika kusikiliza maubiri yangu labda utafumbuliwa macho.

  • @raphaelkajubili5416
    @raphaelkajubili5416 2 ปีที่แล้ว

    Ya

  • @queenlaiza56
    @queenlaiza56 ปีที่แล้ว

    💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @josephgregory9843
    @josephgregory9843 2 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤

  • @ramadhanimbulu4941
    @ramadhanimbulu4941 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah! nchi ngumu sana hii.

    • @teresiapetro2548
      @teresiapetro2548 2 ปีที่แล้ว

      Kwanini

    • @ramadhanimbulu4941
      @ramadhanimbulu4941 2 ปีที่แล้ว

      @@teresiapetro2548 unaweza kuta hata yule kichaa wa pale mtaani kwetu ni MTU mwenye cheo kikubwa kwenye vyombo vyetu vya ulinzi.

    • @teresiapetro2548
      @teresiapetro2548 2 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanimbulu4941 hahahaa

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 2 ปีที่แล้ว

      Sasa kuwa shekhe halafu uwe comando 😁😁

    • @salminabuhudhaifa4273
      @salminabuhudhaifa4273 2 ปีที่แล้ว

      @@adamhashim3352 🥱

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 2 ปีที่แล้ว +5

    Heri yako ww unayemwabudu MUNGU. Kuna viumbe vingine vikipata madaraka havina muda na MUNGU!
    Vinajitukuza vyenyewe tu!

  • @dominicmushi9582
    @dominicmushi9582 ปีที่แล้ว

    Natamani ningepata namba yako,baba nina kitu kikubwa sana ambacho ningeweza kuongea na wewe baba yng venanc mabeyo

  • @elishamollel9146
    @elishamollel9146 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze CDF wetu mtangulizeni Mungu daima

    • @chrysopaluku1791
      @chrysopaluku1791 2 ปีที่แล้ว

      Raisi wetu Magufuli alizoea sema: tumtangulize Mungu ktk yote. Hongereni sana wana kwaya wetu.

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli katoliki wanayo hazina kubwa.

  • @samsonmwakikuti5318
    @samsonmwakikuti5318 2 ปีที่แล้ว +2

    Endelea kumtukuza MUNGU wetu aliye hai CDF wetu!!!!!

  • @mabinapascal3798
    @mabinapascal3798 2 ปีที่แล้ว +1

    Maguful

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 ปีที่แล้ว +1

    Ishu.cyo.nyumbayaibada.kuwanzuli.ishu.ni.waumini kuwana.matendoyamungu.namakatazoyake.

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 2 ปีที่แล้ว

      Bw Msomi unachanganya mada

    • @dyno4tz
      @dyno4tz 2 ปีที่แล้ว

      Hilo neno

    • @josephinekessy1994
      @josephinekessy1994 ปีที่แล้ว

      Kajifunze kwanza kuandika. Maana kuandika yenyewe ni shida.

  • @iamnormal8648
    @iamnormal8648 2 ปีที่แล้ว

    Kwaya ya Jeshi inaimba nyimbo za Yesu tena? Huo ni udini katika taasisi ya serikali.

    • @josephsolwe7804
      @josephsolwe7804 2 ปีที่แล้ว +1

      Hao ni wanakwaya walikuwa wakiimba hizo nyimbo katika ibada wakiwa katika ulinzi wa amani. Kuna shida gani wakiimba hapo. Na sio katoliki tu yapo hata madhehebu mengine na dini nyingine katika ulinzi wa amani wana majengo ya ibada na wanafanya ibada vilevile.

    • @josephlango5591
      @josephlango5591 2 ปีที่แล้ว +1

      @@josephsolwe7804 inaonekana huyo unayemjibu haelewi mambo sawasawa

    • @mersianantibakazi8474
      @mersianantibakazi8474 2 ปีที่แล้ว

      Uliambiwa mwanajeshi hana dini?mungu awabariki wanakwaya

    • @JemsiMelkiadi
      @JemsiMelkiadi ปีที่แล้ว

      we mshamba kweri njooo jeshin ujionee mwananchi ni binadamu alie zaliwa kwaajiri ya kumtumikia mungu kurinda amani ni utume tosha

    • @andrewkissavah8272
      @andrewkissavah8272 ปีที่แล้ว

      Kwani taasisi za serikali hazimjui Mungu?

  • @mttanzaniamalimilo6657
    @mttanzaniamalimilo6657 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli nchi ngumu sana hii

  • @goldenboy7504
    @goldenboy7504 2 ปีที่แล้ว +1

    Na Mashekhe komando si wapo tuonesheni basi musitukuze dini yenu tu Mwisho wa dunia Uislamu juuu

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 2 ปีที่แล้ว

      Kwanza ukionekana unasoma qurani lazima ukatoe maelezo we ni nani😁😁

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 ปีที่แล้ว

    Hyu.kwasasa.naonakama.anakengeuka?lalasalama.hukouliko.jpm.w etu.ulituacha.salamababayetu

  • @wilfredmmbando689
    @wilfredmmbando689 ปีที่แล้ว

    😊