Mtoto wa Ruge: Tumewasamehe wote waliomkosea Ruge, na mtusamehe tuliowakosea

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 209

  • @davisasamwel3281
    @davisasamwel3281 5 ปีที่แล้ว +46

    hongera sana kijana kwaujasiri wakuweza kusoma wasifu wa baba yako nijambo la kishujaa sana wachache sana wanao weza kufanya hivyo R.I.P Ruge

    • @zulfaissa1720
      @zulfaissa1720 5 ปีที่แล้ว

      Inalilah wainalilah rajaun yaraabi amjarie mwisho mwema apumzike kwaaman napenda kutoa pole kubwa kwawanafamily ya ruge mtahaba pia nawaomba waendelee kua namoyo wasubira naiman kwass lazima watakutana nakila khari yamisusuko yakinadam kunawatakao wpa pole nakunawanao dhihaki lakin lamhim waendelee kumuombea dua apate pumziko jema ishallah

    • @vannymwakalinga5199
      @vannymwakalinga5199 5 ปีที่แล้ว

      Davisa samwel nawapa por san wenye family ya luge mutahaba mungu amulaze mahar pema peponi

    • @neemamaiko9021
      @neemamaiko9021 5 ปีที่แล้ว

      Davisa samwel L,R p rugee pumzik kwaaman umewachia machungu famiryia yako

  • @leutnatmisana5164
    @leutnatmisana5164 5 ปีที่แล้ว +12

    Mungu amevuna mti mzuri alioupenda, Hakuna mtu hawezae kuzuia roho pindi Mungu akiita, R.I.P Ruge Mutahaba

  • @andrewsailen7628
    @andrewsailen7628 5 ปีที่แล้ว +16

    Pole sana Mwachi....rest easy RUGE

  • @martingiroy3717
    @martingiroy3717 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimekusikia mwacha mm sina cha kusema ndugu yangu we cha kufanya shika kijiti ngawa baba ameshakabidhi wengi vijiti kaka angu mm nasemea upande wa family yako mwacha pambana kaka naendelea kuomba mungu akupe hekima ,busara,elimu, na pia shima ili uwezee kuongoza family yako mwancha mm nitakuombea sana kaka angu mm najua maumivu ya kuondokewa na baba najua haswaa so fight brother u can do it stil but above all pray harder brother Thank you may God be with you foverver and ever

  • @hamisiomary5339
    @hamisiomary5339 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulaze mahala pema Ruge

  • @clqudiaemmanuel7740
    @clqudiaemmanuel7740 5 ปีที่แล้ว +5

    Pole totoe jamani Mungu akusimamie katika kipindi hiki kigumu Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe

  • @saidechokozasaidechokoza3371
    @saidechokozasaidechokoza3371 5 ปีที่แล้ว

    Poleni sana familia yote kiujumla mungu awape subra kwa kipindi hk kigumu mlicho nacho nas twasema tupo pamoja na wana familia wote wa ruge mutahaba mungu ametoa na mungu ametwaa litukuzwe jina la mungu amiin amiin amiin

  • @benjaminulanga6749
    @benjaminulanga6749 5 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana kaka na Hongera kwa kujikaza kuongea mbele ya Hadhara juu ya wasifu wa Baba

  • @andrewleonard9557
    @andrewleonard9557 5 ปีที่แล้ว +6

    "Mambo n mengi lakin muda n mchache" muumba wa vyote kakupenda zaid#tangulia bro

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 5 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana kijana,Mungu awatie nguvu jaman

  • @judithlucas2793
    @judithlucas2793 5 ปีที่แล้ว +15

    Poleni sana familia Mungu wetu awape faraja

  • @latefaafreca5486
    @latefaafreca5486 5 ปีที่แล้ว

    Hongera Mwache kwamoyo waujasili namungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu kwako nakwataifa la tzn R.I.P RUGE

  • @jescamasanja6237
    @jescamasanja6237 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana wafiwa mungu atie nguvu

  • @josophatngeme4456
    @josophatngeme4456 5 ปีที่แล้ว +1

    Poleni wanafamilia wa ruge, pia kwa watanxnia ote tuloguswa na msiba huu bwana ametowa bwana ametwaa

  • @bernadethacornel5056
    @bernadethacornel5056 5 ปีที่แล้ว +1

    hongera kwa ujasiri mkubwa mungu awape wepesi familia ya ruge RIP Ruge

  • @sabinashabani9742
    @sabinashabani9742 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kijana pumzika ruge kwaaman

  • @angelntandu4648
    @angelntandu4648 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana dogo mungu akupe ulinzi na Manyang'au.rip baba mwachi

  • @tumajuma6917
    @tumajuma6917 5 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Ruge mahali pema peponi🙏

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana kwa family na marafiki wake wote

  • @shakiramwenye1683
    @shakiramwenye1683 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awape nguvu, na hao wasiojua kusamehe bas waish milele wasife kama mungu ni wao

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 5 ปีที่แล้ว +1

    Polenii Jamani 🙏🙏🙏

  • @zaituniintiaz8431
    @zaituniintiaz8431 5 ปีที่แล้ว

    Pole Sana Mipango ya mungu

  • @edwardnia7537
    @edwardnia7537 5 ปีที่แล้ว

    mungu atamchagulia pakumuweka sawasawa na kazi yk

  • @stellaloves9879
    @stellaloves9879 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole Sana kijana Mungu atakupa nguvu

  • @evancezacharia864
    @evancezacharia864 5 ปีที่แล้ว +6

    R.I.P ruge mbele yako nyuma yetu..

  • @hadijamkanda1824
    @hadijamkanda1824 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @latifaathumani1306
    @latifaathumani1306 5 ปีที่แล้ว +2

    poleni wanafamilia

  • @crispinmkonyi
    @crispinmkonyi 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana kjana kwa msiba wa baba yako kpenz rest in paradise#ruge

  • @frenkprotazi3588
    @frenkprotazi3588 5 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana jamani wanafamilia mungu azidi kuwatia nguvu najua nijambo kubwa ila inawabidi kujitaidi

  • @liliannchimbi6416
    @liliannchimbi6416 5 ปีที่แล้ว

    Rip ruge wetu bwana ametoa bwana ametwaaa jina LA bwana libarikiwe aminaa

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 5 ปีที่แล้ว

    mungu ailaze roho ya marehemu mahalipema

  • @pilihashim.3162
    @pilihashim.3162 5 ปีที่แล้ว +7

    Inauma sana jamani poleni na tupoe kwa sote kwani hata na umbali huu ila mimeshindwa kujizuiya kwa kutazama hiki kilochokuwa kikiendelea familia mungu atawatia nguvu kwa wakati huu kikubwa msimame naye katika sala niwatakie muendelezo mwema mpaka mtapo fikia tamati

  • @ramadhanzmlay1331
    @ramadhanzmlay1331 5 ปีที่แล้ว +1

    pole Sana bro mungu akutie nguvu

  • @dorinjonh8055
    @dorinjonh8055 5 ปีที่แล้ว +1

    Polen sana familia mungu awatie nguvu

  • @user-jn9rc3oj2k
    @user-jn9rc3oj2k 5 ปีที่แล้ว +31

    Kumbe alikua na mtoto mkubwa#RIP ruge

    • @shirimacostantine5106
      @shirimacostantine5106 5 ปีที่แล้ว +1

      Kumbe dudubaya wewe ndie hauna nithamu kama wimbowako ulioimba

    • @shirimacostantine5106
      @shirimacostantine5106 5 ปีที่แล้ว +4

      Anamtoto alie fanana nae hadi raha

    • @aishamabiruhatar5932
      @aishamabiruhatar5932 5 ปีที่แล้ว +1

      @@shirimacostantine5106 ndomana alikuwa hawajibu matus yao angepoteza heshima yake ona alivoZikwa kwaheshima zote

    • @lovehawala2979
      @lovehawala2979 5 ปีที่แล้ว

      @@aishamabiruhatar5932 .

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 5 ปีที่แล้ว

      Mungu amekutia nguvu ya kusimama na Mungu aenderee kuwatia nguvu wafiwa wote

  • @nejanejazeneck6283
    @nejanejazeneck6283 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akujalie kwa Yale mema uliyoyatenda hapa duniani ,R.I.P ruge

  • @oman11oman79
    @oman11oman79 5 ปีที่แล้ว

    Mashaallah ana mtoto mkubwa
    Ruge ni mtu wawatu kwakwer

  • @magrethenos1906
    @magrethenos1906 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah inauma sana jamani R.I.P Ruge njia yetu sote

  • @maggiehaule4615
    @maggiehaule4615 5 ปีที่แล้ว

    Pole mdg wangu Mwachi

  • @francismsagati578
    @francismsagati578 5 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu awape nguvu jamani

  • @aishamohamed4412
    @aishamohamed4412 5 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana famila na tanzania kwa ujumla ewe mola wetu ipe faraja familia yake aamina

  • @omarymwigura328
    @omarymwigura328 5 ปีที่แล้ว

    Pole kijana kufiwa kunauma Sana

  • @zjuniorofficial2464
    @zjuniorofficial2464 5 ปีที่แล้ว

    God bless you kijana

  • @daudhenry8909
    @daudhenry8909 5 ปีที่แล้ว

    Pole sana kijana ni maumivu makali sana

  • @ayububabu1761
    @ayububabu1761 5 ปีที่แล้ว +3

    Pole sana kijana Allah awatie nguvu wana family kwakipindi hiki kigumu

  • @sarahbright42
    @sarahbright42 5 ปีที่แล้ว

    Mungu watie nguvu familia hii

  • @jacklinemakalangamakalanga4504
    @jacklinemakalangamakalanga4504 5 ปีที่แล้ว

    Poleni

  • @annamarylyakurwa3212
    @annamarylyakurwa3212 5 ปีที่แล้ว +10

    So sad I can’t stop crying

    • @neemamaiko9021
      @neemamaiko9021 5 ปีที่แล้ว

      annamary lyakurwa pore sana mtoto waruge mungu akufunge mkanda kwakipindi hiki kigum

  • @lenfridachanga1482
    @lenfridachanga1482 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awe mfariji wenu

  • @salimakanik2805
    @salimakanik2805 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana Kaka kwani mungu ndiy mjuwaji 😭😭😭

  • @lazarondejembi7462
    @lazarondejembi7462 5 ปีที่แล้ว

    R.I.P, ruge tutakumbuka daima na mungu akuhifadhi mahali salama,

  • @carolinesembe1729
    @carolinesembe1729 5 ปีที่แล้ว +16

    Kamanda pumzika kwa amani. Mbele yetu nyuma yako.

  • @maureenmwimano1973
    @maureenmwimano1973 5 ปีที่แล้ว +1

    poleni sana kwa family

  • @maggiehaule4615
    @maggiehaule4615 5 ปีที่แล้ว

    Nimekumba mbaliii sanaaa.....RIP uncle RIP mdg Beza🙏

  • @juliusmashauri9121
    @juliusmashauri9121 5 ปีที่แล้ว

    He is courageous man

  • @matiusalfread436
    @matiusalfread436 5 ปีที่แล้ว

    polen sanaaa

  • @emmanuelnzyuna8907
    @emmanuelnzyuna8907 5 ปีที่แล้ว +3

    lala salama ruge

  • @evanciaernest515
    @evanciaernest515 5 ปีที่แล้ว +20

    Chozi limenitoka Jaman uwekwe unapostahili Ruge

    • @nurumajaliwa8435
      @nurumajaliwa8435 5 ปีที่แล้ว

      Evancia Ernest pole sana dogo yote maisha

  • @nicksonelisante8350
    @nicksonelisante8350 5 ปีที่แล้ว +1

    uyu mwachi ana mvutoo

  • @حليمهال-غ1ظ
    @حليمهال-غ1ظ 5 ปีที่แล้ว +8

    Maskini kufiwa jamani. Yasikieni tu. Poleni sana wafiwa

  • @Gabonfreeman
    @Gabonfreeman 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe ruge sio mtanzania Ni black American 😢

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 5 ปีที่แล้ว

    Poleni San jamani

  • @orestawilson7912
    @orestawilson7912 5 ปีที่แล้ว +3

    Haki nimelia pole sana mdogo wangu rip ruge

  • @richjohwcbwcb262
    @richjohwcbwcb262 5 ปีที่แล้ว +2

    Polen sana wanafamilia dunia mapito tu r.I.p ruge

  • @petermalebo4956
    @petermalebo4956 5 ปีที่แล้ว +2

    Kifo ni desturi pole kijana furahia alichokifanya mzee wetu hapa duniani uwepo wake ulikuwa unafaida kwa watanzania wote R.I.P Ruge

  • @shekhekhandereizer559
    @shekhekhandereizer559 5 ปีที่แล้ว +2

    Daaa nataman sana kijana aende na yeye kwny ofisi ya baba ake akajalibu kupunguza machungu ya baba ake kinakusaga wajalibu kushilikiana nae ili asimamie nayy daaaa inaumaaaa sana

  • @kanjenjetheswaggakanjenje5584
    @kanjenjetheswaggakanjenje5584 5 ปีที่แล้ว

    Poleni family ya malehemu

  • @levinamwaila7847
    @levinamwaila7847 5 ปีที่แล้ว +2

    My deepest condolence from dubai😭

  • @zakaboy1305
    @zakaboy1305 5 ปีที่แล้ว

    mungu akupe ujasili sana kijana

  • @devdmrema7859
    @devdmrema7859 5 ปีที่แล้ว

    Dah pole sana brooo mungu yu nawe

  • @georgiamasangu773
    @georgiamasangu773 5 ปีที่แล้ว +1

    Ni wkt mgumu sana mlionao kama wtt wake hasa mwachi ukiwa kama mkubwa familia yake baba na mama na wdg zake lkn pia wtz kwa ujumla tumeumia tumejeruhiwa pumzika baba pumzika shujaa pumzika mpambanaji.too sad

  • @florahemmanuel8323
    @florahemmanuel8323 5 ปีที่แล้ว

    Mwachi my young brother
    Najua ni maumivu gani unayoyapata kuondokana na kipezi babako na rafiki yako.jipe moyo,baba amemaliza safari yake,fight kuyaenzi mazuri zaidi ya aliyofanya baba kwa family na Taifa.Bwana ametoa,na Bwana ametwaa Jina lake na Lihimidiwe

  • @busungumhoja4334
    @busungumhoja4334 5 ปีที่แล้ว +14

    R,I,P Ruge tutakukumbuka daima kwa ushujaa wako

  • @irinemacha2951
    @irinemacha2951 5 ปีที่แล้ว +5

    Kafanana Sana na baba yake

    • @zamdaliuka5452
      @zamdaliuka5452 5 ปีที่แล้ว

      pole br mng awape subra na amlaze mahala pema pepon amen

  • @Jaymedia16Tz
    @Jaymedia16Tz 5 ปีที่แล้ว +2

    so sad kwa kwel n majnz mpumzishe kwa aman Ruge wetu kwan hakuna aliyekamilika kwa kila jambo kila mwanadam ana mapungufu yake

  • @isakarafaeriisakarafaeri9797
    @isakarafaeriisakarafaeri9797 5 ปีที่แล้ว +2

    Pumuzika kwa amani ruge ila tunaimani umetuachia matunda yalo iva R.I.P.ruge

  • @augustinomwamasinga2200
    @augustinomwamasinga2200 5 ปีที่แล้ว

    RIP regend of music,,'ll remember everlastly!! Ever!!

  • @jenipherchristopher2230
    @jenipherchristopher2230 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimejikuta nalia. pumzika kwa amani ruge

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 5 ปีที่แล้ว +1

    We kweli mwanaume mungu sendelee kukupa nguvu🙏

    • @fatmamajuu5255
      @fatmamajuu5255 5 ปีที่แล้ว

      @@abs3online726 fungua humo youtube tafuta alipoongea josephu kusaga utajua kwanini wanamlilia sana hata me mwanzo nilikua najiuliza kama wewe laki baada ya kutazama istoria aliyoisoma josephu kusaga nimejua

    • @dorcasjoseph5149
      @dorcasjoseph5149 5 ปีที่แล้ว +1

      Ongera kwa ujasil huo wa kusoma wasifu wa baba yako Mungu Ailaze roh ya marehem Ruge mahal pem peponi Ameee

  • @pascalpembamoto8172
    @pascalpembamoto8172 5 ปีที่แล้ว

    KWELI DUNIANI HUWEZI KUFRAHISHA WATU WOTE HATA YESU ALIDHIHAKIWA NA BAADHI YA WATU PAMOJA NA KUWAHUBIRIA HABALI NJEMA.

  • @estabaro6538
    @estabaro6538 5 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana wafiwa 😥 roho inauma sana r.I.p ruge

  • @peninahmueni6121
    @peninahmueni6121 5 ปีที่แล้ว

    RIP ruge wakenya tu nanyi

  • @jumaramadhan6299
    @jumaramadhan6299 5 ปีที่แล้ว

    Lala mahala pema peponi RIP Ruge

  • @leahkparsino481
    @leahkparsino481 5 ปีที่แล้ว

    uwii msiba huu unauma sana

  • @mahonashile3533
    @mahonashile3533 5 ปีที่แล้ว +1

    pôle sana Kaka ôté tuko njiamoj

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 5 ปีที่แล้ว +1

    pole sana kijana kwa kumpoteza baba yako hata maneno ni machungu moyo unauma pole MUNGU ata kupa nguvu hakika kifo hakina uruma jamani ruge pumzika kwa hamani inauma sana tena sana😭😭😭😭😭😭

    • @hensongunman1680
      @hensongunman1680 5 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana mwaas yani nilikuwasjaona hhii creap jamani like father like son

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 5 ปีที่แล้ว

      Henson Gunman kweli kabisa

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 ปีที่แล้ว

    Daaa poleni sana familia ,wasaniii na watanzania wote kwa ujumla Mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki cha majonzi R.I.P Ruge.

  • @subiransasi8029
    @subiransasi8029 5 ปีที่แล้ว +2

    poleni sana daa umeniliza kijana

  • @salomekambanga4351
    @salomekambanga4351 5 ปีที่แล้ว +1

    Jaman pole wanafamilia wote🙆🙆😭😭😭

  • @asmabintikiwasha13
    @asmabintikiwasha13 5 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @jpstanzania3633
    @jpstanzania3633 5 ปีที่แล้ว

    Huu utaratibu wa kuchagua mtu wa karibu zaidi aliyefiwa ubadirishwe! Mnafahamu kabisa mtu ana huzuni nyingi na majonzi kutokana na msiba halafu unamchukua asome wasifu wa marehemu ambaye ni mzazi wake au ndugu wa karibu zaidi, hapo unategemea nini kama siyo kuongeza maumivu makali zaidi ambayo ni sawa na kuchoma moyo kwa sindano ya moto! Mtu akidondoka akazirai au naye akafa palepale unafikiri nani wa kulaumiwa hapo! Naona hiki kitendo watu hawakiangalii kwa umakini sijui ni kwa nini! Wahusika inabidi mfikirie mbali zaidi kwenye hilo suala kabla matatizo hayajajitokeza! Nashauri awe anachukuliwa ndugu, jamaa au rafiki ili awe anasoma wasifu ili lengo liwe linatimizwa kama lilivyokusudiwa kuliko hivyo maana inaweza kusababisha mtu asimalize kusoma huo wasifu! Inauma sana jamani!

  • @josephajosephat8370
    @josephajosephat8370 5 ปีที่แล้ว +3

    Pumzika kwa aman Ruge

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 5 ปีที่แล้ว

    wew sasa umeongea kwa hekima kurko wangine kwasababu una jua baba yako arsha wakosea wa2 nahata wa2 pia washa mkosea baba yako Uko sawa p

  • @getruderlubawa2936
    @getruderlubawa2936 5 ปีที่แล้ว +4

    hakika tumepoteza shujaa kijana tanzania .....R.I.P SHUJAA RUGE

    • @asteriambwei95
      @asteriambwei95 5 ปีที่แล้ว

      Pole mtoto mungu atawatia nguvu r i p ruge

    • @richardsteve9655
      @richardsteve9655 5 ปีที่แล้ว

      poleni sana ndugu zaguni

  • @zawadisimoni1294
    @zawadisimoni1294 5 ปีที่แล้ว

    R.I.P...kibonde

  • @sebastianpeter4135
    @sebastianpeter4135 5 ปีที่แล้ว +5

    Kazi ya mungu haina makosa jina la bwana lihimidiwe

    • @aminasanga7154
      @aminasanga7154 5 ปีที่แล้ว

      Kazi ya mungu aina makosa apumzike kwa amani ameni

    • @rukiamziwanda7458
      @rukiamziwanda7458 5 ปีที่แล้ว

      ruge alikuwa na damu kali

  • @sharifachacha978
    @sharifachacha978 5 ปีที่แล้ว

    pole

  • @lindasophia1288
    @lindasophia1288 5 ปีที่แล้ว +2

    Rip Ruge 🙏😭

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 ปีที่แล้ว +4

    Sasa Tunaandika Vipi Maoni Wakati Mtandao Unasua Sua Airtel Bwana Sijui Wameajili Wafanyakazi Wa Kutoka Nchi Gani Ambao Awaoni Tatizo Kwao Wakiona Intaneti Kimeo Wao Wanakula Mshaala Tu

  • @faridaabdallah7620
    @faridaabdallah7620 5 ปีที่แล้ว +2

    Polesana tanzania