Wote mnao comment kupinga naona ni waislamu! sisi wakristo tuna imani zetu tunaomba mziheshimu mana kila mtu asimame na imani yake na kile anacho kiamini tusilazimishane imani 😏
Quran 2:256 hakuna kulazimisha katika Dini kwani Uongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Sister unapomuona Muislam analazimisha asie kua Muislam kua Muislam bado hajaisoma Quran vizur akaielewa. Halaf UISLAMU inatufundisha kutotukana Dini zengine. Shukran Sister Mungu akubariki sana!
Yaani mtu yupo mbele ya hukumu ya Mungu na anahojiwa juu ya yale aliyoyafanya aidha mazur au mabaya wewe unampa habari za mpira au chama? Someni vitabu sana na mtaona hekima ya Mungu na mtajua kuwa mwili unapoachana na roho, roho inaenda wapi na lini itarudishwa na wakat wa ufufuo kipi kitaanza kutoa ndipo roho irudishiwe. Kwa ufupi muombeeni marehemu, mtoleeni sadaka kwa wingi hasa kuwapa wasiojiweza maskini, mayatima na wengne waliokwenye matatizo mbalmbal..hayo ndio yatakayomfariji huko alipo na si mengne
Kila mtu na amali yake msijifanye nye mnamjua sana mungu hao ni wakristu na wana amini kwa Ruge anawasikia kama we ni mwislamu na huamini hivyo basi kaa tulia usiwajaji watu na imani zao ni kukosa hekima
Hawajawahi kufiwa na wanaowahusu ,,,hayo yalikuwapo toka enzi za mababu,ila Haya madhehebu yaliyoingia miaka hii ndo yanatoka nje ya mistari,kumuombea ni lzm ,Wanajua kufiwa hao kweli?
Kufiwa kuskie mnaweza waona Hawa Hawa move on lkn kuondokewa na mtu muhim kunachukuwa mda Sana kusahau bado wanamaumivu Sana pole ombi langu msahau tu na mpate amani
Khaaa sasa nyie mnakoelekea ni kubaya ndo maana Musa aliwaficha waisrael kaburi lake alijua wataliabudu tuu sasa nyie mnaanza kwenda mbali na kiukweli mnapotea
Kama namuona Ruge akitamani kumtuma mtu aje duniani awaambie kinachoendele hakipendi Na anajibiwa msipowasikia wa huku duniani na hata akija wa juu hamtamuelewa
Hii kuchanganyikiwa kuongea na marehemu alie kaburini hapa kitu kinachohitajika ni neema ya Mungu kulijua Neno la Mungu na kusali kwa kumaanisha huku mkimtukuza Mungu nakuomba faraja mioyoni mwenu maana zaidi yahapo mtajikuta ndio mnaabudu marehemu.naelewa maumivu yakufiwa na mtu anaependwa ila sio kwa kiasi hicho usiongee na kaburi haina tofauti nakutambikia mizimu.
Kkkkkkk wtu wme data jmani basi wee dada uende wewe jmaa arudi basi mnke unkuwa kma unpinga yeye kufa kafa Michael Jackson watu wamemsahau eee hatariii
Kaaaah!, hii nayo ni kali marehemu kusikia akiwa kaburini hahahhahahha kamwelekeze kuwa na Liverpool kapigwa triple wewe unataka awadondokee malaika kwa preshaaa
@@susanruo8087 hakuna chochote kile ni upuuzi tuu huwez kwenda ktk kaburi la mtu ukamweleze mambo ya Dunia mwenzio yupo Akhera...hii ni wazi kweli (WALIO KUFURU hawana AKILI..)
Hiyo ndio athari ya kuuiga uzungu hadi kupitiliza,unasherehekea siku ya kuzaliwa mtu ambaye hayupo ameshazikwa na kuongea nae juu ya kabur lake,msijidanganye ameshatangulia na hana tena habar ya kinachoendelea duniani usitudanganye Koku, hata hivyo RIP Ruge
alieona dada wa ruge kapandisha mkono wake wa pete za sliva harafu akajiongeza akaushusha akajuwa kabisa mtandaoni hawachelewi kuchamba tupia like hapa twende sawa, ila poleni sana family ya ruge na jamaa zake wa karibu mungu ampunguzie azabu za kabri
Waislamu anawashinda wakristo?? Hata aibu hamuoni, mtaingia motoni. Mungu hawezi kukaa na watu mwenye kuabu wafu (( muhubiri 9:1-12; Torati 18:9-19)) tumieni hiyo mda ya kwenda kuongea na wafu kumwomba Mungu awafungue macho muone ukuu wake. Hmmmmmm!!!! Hakika shetani ni mbaya sana, mbona mmeshindwa kumwamini Mungu alie hai na kumwamini aliekufa, ambae hata hakusikia kabisa?. Na hiyo roho chafu iwatoke kwajina la yesu kristo ali hai.
Kutojielewa tu nafasi ya mtu duniani yeye mwenyewe itafika muda atakufa. Mnajua mnakoseaga saana misiba mnaifanya kama kunawengine walistahili kuishi milele duniani? Hakunamtu atabaki tujipange tu kwa makazi ya akhera.
Hhhhhh 😂 😂 😂 haa anasema eti hata ugonjwa wa korona kamwambia kamwambia pia bukoba mvua nyingi kamwambia pia team yake ya mpira alikuwa anaipenda imefungwa hhhhhhhh 😂 😂 😂 wanakufuru kweli. Lakini tusilaum Sana dini yake I naamini kama anasikia kila kitu anachomwambia
Wote mnao comment kupinga naona ni waislamu! sisi wakristo tuna imani zetu tunaomba mziheshimu mana kila mtu asimame na imani yake na kile anacho kiamini tusilazimishane imani 😏
Quran 2:256 hakuna kulazimisha katika Dini kwani Uongofu umekwisha pambanuka na upotofu.
Sister unapomuona Muislam analazimisha asie kua Muislam kua Muislam bado hajaisoma Quran vizur akaielewa.
Halaf UISLAMU inatufundisha kutotukana Dini zengine.
Shukran Sister Mungu akubariki sana!
Kabisa yaani umeongea point sana chukua Pepsi baridi nakuja kulipa kila MTU abaki na imani yake na sisi ndio tunaamini vile wasitupangie
Tina Tina nikweli kabisa kila mtu asimame kwenye imani yake
Kweli wakaepembeni
Lile neno la kwetu pazuri ndio nimeanza kulielewa .........YES KWAO NI PAZURI SANAAAA R.I.P Broooo😢
Yaani mtu yupo mbele ya hukumu ya Mungu na anahojiwa juu ya yale aliyoyafanya aidha mazur au mabaya wewe unampa habari za mpira au chama?
Someni vitabu sana na mtaona hekima ya Mungu na mtajua kuwa mwili unapoachana na roho, roho inaenda wapi na lini itarudishwa na wakat wa ufufuo kipi kitaanza kutoa ndipo roho irudishiwe.
Kwa ufupi muombeeni marehemu, mtoleeni sadaka kwa wingi hasa kuwapa wasiojiweza maskini, mayatima na wengne waliokwenye matatizo mbalmbal..hayo ndio yatakayomfariji huko alipo na si mengne
Poleni sana mungu awatie nguvu R.i.p Ruge
Kila mtu na amali yake msijifanye nye mnamjua sana mungu hao ni wakristu na wana amini kwa Ruge anawasikia kama we ni mwislamu na huamini hivyo basi kaa tulia usiwajaji watu na imani zao ni kukosa hekima
Hawajawahi kufiwa na wanaowahusu ,,,hayo yalikuwapo toka enzi za mababu,ila Haya madhehebu yaliyoingia miaka hii ndo yanatoka nje ya mistari,kumuombea ni lzm ,Wanajua kufiwa hao kweli?
Hamida Hamdani Umeongea vyema.
Tuheshimu imani za wengine
Daaah polen Sanaa's Dada yetuu rest in peace Kop mwenzetu Ruge mutahaba
Poleni sana, kumsahau ndugu yenu sio rahisi kubwa kimuombea 🙏🤲 apumzike kwa amani
Huyu dada koku kafanana na zamalad kweli ❤
Inauma san yan 🤦🏻♂️🤦🏻♂️😢😢
Pole sana mpe pole baba.
Mwabudu mungu acha umbwege
Kufiwa kuskie mnaweza waona Hawa Hawa move on lkn kuondokewa na mtu muhim kunachukuwa mda Sana kusahau bado wanamaumivu Sana pole ombi langu msahau tu na mpate amani
As long as inampa amani acheni aongee nae nyie mnaumia na nini enyi waja kufuru ipo wapi hapo mnajaji mpaka maua ya kaburini loh
Dada ameniliza kwel rest in peace Ruge Mtahaba
Kufa ni wajibu kufa ni amri ya Allah msiwe mda wote mnalalamika tu sasa mtamkosea Allah mana yeye ndio alotoa amri yake na sote tutakufa
Akifa mwingine mnasikitika ukiambiwa ufe wewe yeye arudi utaruka mita 5000 jmaa Kesha kwenda inbdi msahau tu duuuuuuuh
Mungu azidi kuwatia nguvu
Duh hiii kali
Wewe Dada unahitaji wokovu hutaendeleza huo ujinga Mungu niwawalio hai sio waliokufa
Nanukkuu"kama unavyoumwa ukasema na mungu anakusikia basi tunaamini na ruge anatusikia" weeeeew dada unamfanishaje mungu na ruge????
Mulichomzikia hapo lengo si mumkumbukekumbuke au,basi poleni
Wahaya bhana!
Ni imani yenu lakin je huwa mnafanya hivyo na kwa wengine waliotangulia katika ukoo wenu?au ye ni mtu special sana kuliko wengine?Muombeeni sana
Mhubiri 9:5 wafu hawajui neno lolote
Duhhhh hatariii ni kukaa kimnya tu mana ukiongea lawama za wanazengwe kwenye reply zitaongozana
Mmmh innalilah waina la ilah illaj hun
RIP Ruge
Koku uko Itawa, Kabale mvua inanyesha? Ruge alikuwa ni mtoto wa mama wengi na mimi ni mmoja wao .
R.I.P.
RUGE WETU🙏🏼😭
Mtu akifa hauji jambo lolote cha msingi sisi tulio hai ni kukabidhi maisha yetu kwa Mungu
Kwaza mnakuja HP makaburini wakati chini hakunatn llt mauwa yann hy
Khaaa sasa nyie mnakoelekea ni kubaya ndo maana Musa aliwaficha waisrael kaburi lake alijua wataliabudu tuu sasa nyie mnaanza kwenda mbali na kiukweli mnapotea
Kama namuona Ruge akitamani kumtuma mtu aje duniani awaambie kinachoendele hakipendi Na anajibiwa msipowasikia wa huku duniani na hata akija wa juu hamtamuelewa
Hmmmmmm!!!!! Hakika jehanam inakuhusu! Hakika jehanam inakuhusu!!!! Jehanam inakuhusu. Wala usiseme Mungu anakusikia, someni biblia nyinyi, kizazi kilichopotoka. Hakika msipobadilika, mtaingia motoni. Mtaingia motoni
Mtangazaj wa bukoba kwaubora wake yaan saut kama kameza ndz kigoma
Gibsony Shadrack 😂😂😂😂🙌
R.I.P Ruge.
Polen san
Hii kuchanganyikiwa kuongea na marehemu alie kaburini hapa kitu kinachohitajika ni neema ya Mungu kulijua Neno la Mungu na kusali kwa kumaanisha huku mkimtukuza Mungu nakuomba faraja mioyoni mwenu maana zaidi yahapo mtajikuta ndio mnaabudu marehemu.naelewa maumivu yakufiwa na mtu anaependwa ila sio kwa kiasi hicho usiongee na kaburi haina tofauti nakutambikia mizimu.
Innalilahi.wainnaialyrajiuon😭😭😭😭😭😭😭😭
Kkkkkkk wtu wme data jmani basi wee dada uende wewe jmaa arudi basi mnke unkuwa kma unpinga yeye kufa kafa Michael Jackson watu wamemsahau eee hatariii
Rest in peace🙏
Kaaaah!, hii nayo ni kali marehemu kusikia akiwa kaburini hahahhahahha kamwelekeze kuwa na Liverpool kapigwa triple wewe unataka awadondokee malaika kwa preshaaa
Tafadhali heshima imani ya watu...mwacheni Mungu awe hakima mkuu
@@susanruo8087 hakuna chochote kile ni upuuzi tuu huwez kwenda ktk kaburi la mtu ukamweleze mambo ya Dunia mwenzio yupo Akhera...hii ni wazi kweli (WALIO KUFURU hawana AKILI..)
Achane na watu wewe,!!!!
@@susanruo8087 nahisi bado hujanielewa sijamaanisha hicho unachofikiri soma vizuri comment yangu....
😂😂😂😂🤔
Mkaimba nyimbo zake alokua anazipenda kwani anazisikia?
Yes anasikia
Hasikii ila tunatuana moyo tu sisi tuliobaki
🤣🤣
Hiyo ndio athari ya kuuiga uzungu hadi kupitiliza,unasherehekea siku ya kuzaliwa mtu ambaye hayupo ameshazikwa na kuongea nae juu ya kabur lake,msijidanganye ameshatangulia na hana tena habar ya kinachoendelea duniani usitudanganye Koku, hata hivyo RIP Ruge
Kila mtu anaiman yake
@@stelamwita3643, ni kweli stela kila mtu na iman yake ila si kwa imani hiyo tunayoiyona hapo kweny TV
Muombeeni tu na mtende mema kwa niaba yake lkn nafsi ikishaenda imeenda
alieona dada wa ruge kapandisha mkono wake wa pete za sliva harafu akajiongeza akaushusha akajuwa kabisa mtandaoni hawachelewi kuchamba tupia like hapa twende sawa, ila poleni sana family ya ruge na jamaa zake wa karibu mungu ampunguzie azabu za kabri
Huyu dada copy ya ruge kabisa
Apumzike kwa aman..
kabisa yaan wamefanana mpka meno"😢
Waislamu anawashinda wakristo?? Hata aibu hamuoni, mtaingia motoni. Mungu hawezi kukaa na watu mwenye kuabu wafu (( muhubiri 9:1-12; Torati 18:9-19)) tumieni hiyo mda ya kwenda kuongea na wafu kumwomba Mungu awafungue macho muone ukuu wake.
Hmmmmmm!!!! Hakika shetani ni mbaya sana, mbona mmeshindwa kumwamini Mungu alie hai na kumwamini aliekufa, ambae hata hakusikia kabisa?. Na hiyo roho chafu iwatoke kwajina la yesu kristo ali hai.
Amina.
9
Kutojielewa tu nafasi ya mtu duniani yeye mwenyewe itafika muda atakufa.
Mnajua mnakoseaga saana misiba mnaifanya kama kunawengine walistahili kuishi milele duniani? Hakunamtu atabaki tujipange tu kwa makazi ya akhera.
Kufa ni wajibu kufa ni amri ya Allah msiwe mda wote mnalalamika tu sasa mtamkosea Allah mana yeye ndio alotoa amri yake na sote tutakufa
Mkaimba nyimbo zake alokua anazipenda kwani anazisikia?
😁😁😁😁😭😭😭😭😳😳😳😳
Hhhhhh 😂 😂 😂 haa anasema eti hata ugonjwa wa korona kamwambia kamwambia pia bukoba mvua nyingi kamwambia pia team yake ya mpira alikuwa anaipenda imefungwa hhhhhhhh 😂 😂 😂 wanakufuru kweli. Lakini tusilaum Sana dini yake I naamini kama anasikia kila kitu anachomwambia
@@zuweinaalhabsya8773 hatari sana
😂😂😂😂Hiyo kali jamani