Joseph Kusaga: Ruge aliniambia siku nikiwatoka, tafadhali msilie

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 68

  • @nyanzalakaporo2504
    @nyanzalakaporo2504 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani kumbe uyu RUGE amefanya mambo mengi ivi, Adi kwa kweli, kweli Brother kazi ulio itiwa umeimaliza, Unawasifu mzuri sana umefanya vingi sana, Rest in paradise BROTHER

  • @maureensyuma6343
    @maureensyuma6343 5 ปีที่แล้ว +5

    Rest in Peace Ruge from 254 i never knew you personally but i sincerely loved your deeds rest with the Angels

  • @jamesomungo
    @jamesomungo 5 ปีที่แล้ว +9

    Poleni sana familia, Clouds Media Group na Tanzania kwa ujumla. Rest in peace Ruge.

  • @swafiajuma9053
    @swafiajuma9053 5 ปีที่แล้ว +3

    RIP Ruge. Tumuombe ALLAH atupatie wakina Ruge wengine

  • @phineruge3480
    @phineruge3480 5 ปีที่แล้ว +3

    Bwana alitoa na Bwana Ametwaa Jina lake libarikiwe "Amina

  • @asajilejohnmwakapinga1065
    @asajilejohnmwakapinga1065 5 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana kusaga

  • @ayubukayanda9167
    @ayubukayanda9167 5 ปีที่แล้ว +4

    Pumzika kwa amani boss ruge

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 5 ปีที่แล้ว +2

    kifo kifo kifo hakina mwenzake... kifo niuchungu kwa walio bakia.. Bt kwa mwenda zake ni furaha tuu.. Rip ndugu salimia huko home kwetu.... sisi sote tuko nyuma...

  • @agnessjosephath4330
    @agnessjosephath4330 5 ปีที่แล้ว +2

    Pumzika kwa amani RUGE tumeumia sana lakini kazi ya Mungu haina makosa

  • @robertmhikwa8174
    @robertmhikwa8174 5 ปีที่แล้ว +4

    Very attractive story

  • @TheGame-nz7um
    @TheGame-nz7um 5 ปีที่แล้ว +6

    Kusaga kusaga kusaga.... Mtu alieingia na mitutu ya bunduki kwenye biashara yko una mpa special recognition aiseee emb acha hizo bhana.

  • @wemakalam3233
    @wemakalam3233 5 ปีที่แล้ว +3

    Ruge mutahaba may your soul rest in peace but majibu tutayaona hapa hapa duniani kama nasi tungaliwazima kama kunakitu behide the scene god knows about everything bado manenoyako hayana mashiko boss unanichanganya bit njia yakila mja hakuna kitakochobakia masalama

  • @luludaniel796
    @luludaniel796 5 ปีที่แล้ว +3

    Rest in peace Ruge Mutahaba

  • @hadijapazia684
    @hadijapazia684 5 ปีที่แล้ว +6

    Mmmh!!!
    So sad !!!!

  • @jacklinevosevwa9859
    @jacklinevosevwa9859 5 ปีที่แล้ว

    Mtu akiwa mzima watu wansmuongea mabaya wanatupia matusi lakini mtu akifa unaanza kusikia ooo alikuwa mzury ooo alikuwa rafiki wangu ooo alikuwa mwenye heshima aaah jamani wsnadamu badilisheni tabia ruge rest in peace bro pele zetu kwa watanzania wakenya🇰🇪🇰🇪 mpo leteni pole zenyu kwa watanzania wetu

  • @josej9888
    @josej9888 5 ปีที่แล้ว +15

    Mboni yavijana wenye vipaji imetoweka, rest in peace Boss Ruge.

  • @mecinjmedia4899
    @mecinjmedia4899 5 ปีที่แล้ว +2

    RIP Ruge RIP Kibonde

  • @mosesmkoma6882
    @mosesmkoma6882 5 ปีที่แล้ว +3

    Rest in paradise ruge

  • @wilfrednzumi1150
    @wilfrednzumi1150 5 ปีที่แล้ว +2

    akiwa mzima

  • @fredmatonange5806
    @fredmatonange5806 5 ปีที่แล้ว +5

    So Sad Rest In Peace Ruge Mtahaba tutaonana badae.

  • @جميلةجميلة-ع5ن1ق
    @جميلةجميلة-ع5ن1ق 5 ปีที่แล้ว +4

    Kifo jamani mbona hushibi innalilahi waina illahi rajiuon

  • @samsonkusupa6809
    @samsonkusupa6809 5 ปีที่แล้ว +2

    rip jemedali

  • @enonmwanza5736
    @enonmwanza5736 5 ปีที่แล้ว +1

    Leo hii diamond hajui samani ya ruge? duuh kweli

  • @frankshihulya5999
    @frankshihulya5999 5 ปีที่แล้ว +4

    r.i.p RUGE no one like u

  • @yohanansimba3422
    @yohanansimba3422 5 ปีที่แล้ว +4

    R.I.P ruge

  • @boscojohn4120
    @boscojohn4120 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika huu ni msiba wa Taifa

  • @wilfrednzumi1150
    @wilfrednzumi1150 5 ปีที่แล้ว +2

    mgeeleza akiwa kimya

  • @nbanba7138
    @nbanba7138 5 ปีที่แล้ว +2

    🙏

  • @chechemoto
    @chechemoto 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyu Makonda ndo yule aliovamia Clouds na Mitutu au mwingine ?

  • @doriceumeimbaauumeongeaall7026
    @doriceumeimbaauumeongeaall7026 5 ปีที่แล้ว +7

    Na mkubali marehemu ruge ila mradi wa malaria ulikua wa suku,r.ip.ruge jemedari

  • @nrecords7222
    @nrecords7222 5 ปีที่แล้ว +5

    Du! Inauma jamn

    • @happyissa4526
      @happyissa4526 5 ปีที่แล้ว +1

      aiseee

    • @happyissa4526
      @happyissa4526 5 ปีที่แล้ว +1

      nawaza naumia nalia nashindwa kujizua uwwh kifo hiki kifo Mungu wangu mimi daah

  • @agneskumburu1509
    @agneskumburu1509 5 ปีที่แล้ว +4

    pumzk kwa amn baba

  • @saydbarakismailiya1515
    @saydbarakismailiya1515 5 ปีที่แล้ว +5

    Pumzika salama ruge

  • @pauloloo1987
    @pauloloo1987 3 ปีที่แล้ว

    May the legend rest in peace

  • @julessebintu6525
    @julessebintu6525 5 ปีที่แล้ว +3

    Bahaya barikuwa zamani ni warundi wakabila ya wa tutsi. Njomana Ruge MUTAHABA alikuwa na hakiri. Wa tutsi niwatu wa hakiri sana tena hawapende kusemasema. Buha ilikuwa burundi

    • @smarty1064
      @smarty1064 5 ปีที่แล้ว +1

      jules Sebintu ndo maana mnauana na hakuna amani huko kwenu sababu hamjui thamani ya utu, ukishajiweka wewe mbele na kujiona una akili nyingi wakati wapo wenye akili na wenye mioyo misafi na mizuri kuliko wewe mwisho wake ndo mnaishia kuwa wakatili na wauwaji !! pumbavu zako wewe unayejifanya una akili wakati hata kufagia uwanja wako au kutandika kitanda chako kiwe safi unashindwa !! Ng'ombe we

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 5 ปีที่แล้ว

      Nyie mna BAHATI, tungewaoa tukapata, wa Pemba,waNgoni,na wazaramo ndio mgepata AKILI. MHAYA anaweza kuwa Dr, Professor na PHD Kibao, lakini hujiona MTANZANIA kwanza.

    • @mgishajafali9904
      @mgishajafali9904 5 ปีที่แล้ว

      Duh

  • @uwimanarodriguez2615
    @uwimanarodriguez2615 5 ปีที่แล้ว +2

    Rip ruge

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 5 ปีที่แล้ว +6

    Bonyeza picha hii yangu kushoto kwako kisha bonyeza neno subscribe uone mwanzo mwisho aslay akizimia msibani

  • @neymarsuleyman8602
    @neymarsuleyman8602 5 ปีที่แล้ว +1

    Kusagaaaaa, hata kupretend sauti mzee??? Au ndo kwasabab uliambiwa msherehekee akichomoka??

  • @oman11oman79
    @oman11oman79 5 ปีที่แล้ว

    Akuana kama uyo na atotokea
    Waliopo ni tamaa tu rushwaa mbelee

  • @lucujulius1186
    @lucujulius1186 5 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P Ruge

  • @ernestngalu3533
    @ernestngalu3533 5 ปีที่แล้ว +1

    R. I. P ruge