I don't knw how much naweza kusema but only tears in my face . Pole Barnaba pole kakangu hutampata km yy but yupo he will wipe ur tears just belv only. R. I. P Ruge
SAUTI YA MTOTO FOUNDATION NI TAASISI INAYOTETEA HAKI ZA WATOTO TANZANIA BARA..SISI SOTE WAZAZI,AU WAZAZI WA BAADAE ..ILI KUTAMBUA MALEZI BORA YA WATOTO NA CHANGAMOTO ZAO ZINAKUAJE KATIKA UKUAJI ..TAFADHALI SUBSCRIBE SASA..ITAKUSAIDIA SANA KUJIFUNZA NA UTAWASAIDIA WENGINE,NDUGU JAMAA NA MARAFI ..SUBSCRIBE SASA TWENDE PAMOJA..#sautiyamtotofoundation

Wasanii wote mlio pita THT (Tanzania House of Talent) Poleni sana. Endelezeni yale mazuri mliyo jifunza na kuendeleza vipaji vyenu kwa wengine kama Ruge alivyo fanya kwenu, RIP Ruge
Nimelia kwakweli, pole barnaba, pole tht, pole familia ya clouds, pole familia ya ruge, ruge mwenyezi Mungu akuweke pema peponi hii ni safari ya kila binadamu.
Life ni swala pana sana tujue kutumia wakati tulionao sasa zaidi ni kutenda mema tu yani duh inasikitisha uyu mtu mmoja kugusa maisha ya watu kiasi hiki
Tukiwa namaumivu makubwa pia tutambue Boss Ruge hajafa ila kashinda mbio katutangulia kwenye mstari wa ushindi ambao wote tunaukimbilia. Kila nafsi itaonja mauti

@@wittyjamanidarmura9141 SAUTI YA MTOTO FOUNDATION NI TAASISI INAYOTETEA HAKI ZA WATOTO TANZANIA BARA..SISI SOTE WAZAZI,AU WAZAZI WA BAADAE ..ILI KUTAMBUA MALEZI BORA YA WATOTO NA CHANGAMOTO ZAO ZINAKUAJE KATIKA UKUAJI ..TAFADHALI SUBSCRIBE SASA..ITAKUSAIDIA SANA KUJIFUNZA NA UTAWASAIDIA WENGINE,NDUGU JAMAA NA MARAFI ..SUBSCRIBE SASA TWENDE PAMOJA..
Pole xana mungu akutie nguvu barnaba akuvushe kwenye hili litapita inshaallah nimeumia sana najikuta nashindwa kuzuia machoz i yangu
Nikiona nalia sana kweli alikuwa baba kweli pole mungu hakupe nguvu
pole sana barnaba polen sana wafiwa ndugu na jamaa mwenyez mungu awatie nguvu ktk kipind hiki kigumu
pole sana Barbara boy, maneno yako yamenitoa machoz.najua wakat unaopitia kwa sasa Mwenyez Mungu mfariji wakweli akupe faraja baba pole sana
Duuuh Pole. Sana Barnaba zote njia yetu ni moja
Barnabas umeniliza du nenda ruge mungu akupe pumziko
pole Sana my brother Mwenyezi Mungu akupe moyo wa imani
I don't knw how much naweza kusema but only tears in my face . Pole Barnaba pole kakangu hutampata km yy but yupo he will wipe ur tears just belv only. R. I. P Ruge
Pole sana mdogo wang Barnaba, mwenyez mungu akupe nguvu.
Daah....... more than pain pole barnaba.
SAUTI YA MTOTO FOUNDATION NI TAASISI INAYOTETEA HAKI ZA WATOTO TANZANIA BARA..SISI SOTE WAZAZI,AU WAZAZI WA BAADAE ..ILI KUTAMBUA MALEZI BORA YA WATOTO NA CHANGAMOTO ZAO ZINAKUAJE KATIKA UKUAJI ..TAFADHALI SUBSCRIBE SASA..ITAKUSAIDIA SANA KUJIFUNZA NA UTAWASAIDIA WENGINE,NDUGU JAMAA NA MARAFI ..SUBSCRIBE SASA TWENDE PAMOJA..#sautiyamtotofoundation
pole sana barnaba mungu akutangulie ktk maisha yko
Barnaba ameniliza jaman yaan hii 2021 ni kama taarifa ya leo! Rest in Peace Boss Ruge, Rest in Peace Kibonde Dunia Mapito!
pole sana barnaba mungu akutangulie ktk maisha yako!
Pole sana
Barnabas u make me cry again ....pole saana
SAUTI YA MTOTO FOUNDATION NI TAASISI INAYOTETEA HAKI ZA WATOTO TANZANIA BARA..SISI SOTE WAZAZI,AU WAZAZI WA BAADAE ..ILI KUTAMBUA MALEZI BORA YA WATOTO NA CHANGAMOTO ZAO ZINAKUAJE KATIKA UKUAJI ..TAFADHALI SUBSCRIBE SASA..ITAKUSAIDIA SANA KUJIFUNZA NA UTAWASAIDIA WENGINE,NDUGU JAMAA NA MARAFI ..SUBSCRIBE SASA TWENDE PAMOJA..#sautiyamtotofoundation
Jamn anaeangalia 2020 mwez 8 nabado ameliaa kwauchungu kam taarifa kazipat saiz tujuane
We
🙏🙏🙏🙏🙏
❤
Mungu awape ujasiri na ustahamilivu familia ya marehemu
Pole barnaba mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu. R. I. P RUGE MTAHABA Mungu haiweke roho ya marehemu mahali pema peponi Amina.
Poleee
Mmmmm ya mungu ni makubwa Pumzika kibonde Pumzika luge
Dahh. Barnaba ! Pole sana mdogo wangu, imenigusa sana
Pole barnaba mungu akutie nguvu sana.
R.l.p ruge
Mungu kaipumzishe roho ya boss ruge mahali pema peponi
Pole sanaa barnaba jipe moyo mungu akupe nguvu
Duh!! Nimelia kweli
Pole barnaba na tasnia nzima ya sanaa kwa kumpoteza mtu muhimu rip ruge
Pole sana barnaba najua umeumia kweli kweli jmn r.i.p ruge mtahaba
pow
May god bless ruge
Pole barinaba mwebee baba
Am watching this again in 2020 but still nalia bcoz of barnaba
pole sana barnaba kwa msiba wa ruge
Usiumie sanaaa kifo kimepagwa kwa kila binafam yeye ametangulia sisi tuko nyuma
Wasanii wote mlio pita THT (Tanzania House of Talent) Poleni sana. Endelezeni yale mazuri mliyo jifunza na kuendeleza vipaji vyenu kwa wengine kama Ruge alivyo fanya kwenu, RIP Ruge
Nimelia sana ee mungu umenigusa banana mungu amtangulie
Mungu ailaze roho ya marehem pema pepon
pumzika kwa amani Brather mungu ametoa na Mungu ametwaa RIP Ruge
Nimelia kwakweli, pole barnaba, pole tht, pole familia ya clouds, pole familia ya ruge, ruge mwenyezi Mungu akuweke pema peponi hii ni safari ya kila binadamu.
Dah pole barnaba nimemwaga machozi, Mungu akutie nguvu
Pore barinaba kwa msiba
Uyo kaka ameguswa kweli 😭🙏
pole sana Barnaba na THT 😭😭😭kazi ya Mungu haina makosa.
inauma sanaaa
Pole barnaba nimelia umenikumbusha nilivyofiwa na mzazi angu
Life ni swala pana sana tujue kutumia wakati tulionao sasa zaidi ni kutenda mema tu yani duh inasikitisha uyu mtu mmoja kugusa maisha ya watu kiasi hiki
👏🏻
Kabisa bro
Pole saaaana kaka,,, Mungu akutie nguvu
Pole sana barnaba Mungu akutunze.
Pole sana Barnaba, pumzika kwa aman Ruge
Daaa pole sana
Yaan nimelia barnaba pole sana kaka angu mungu akutie nguvu
Duh! Pole sana Barnaba. Sote ni wa kupita tu
Pole Sana bro barnaba
Nimeumia barnaba hapo aliposema mama yk amefariki Ruge ndy baba na ndy mama nimekumbuka wazazi wng mungu awarehemu amiin😭😭
pole sana
Kama, mwanamke, kulialia, 2,msengeeee,kmaaaaa
@@asumanmoshi1642 matusi yanakujaje kwenye coment yng?
Jamaniii😩😩😩
Nimelia aise
Barnab be strong and go through counselling
Pole barinaba kwa msiba wa baba Yoko ruge .
I found ma self crying.R.I.P Ruge mungu awatie nguvu wote
Hakuna ajuae kesho.
Huwez amin kama huyo mc tayar katutoka.
R IP Ruge.
R I P Kibonde
R i p ruge poleni sana familia nzima ya ruge na watu wote wa karibu
Ulipo sema wakufungulie umuone baba,,,dah! I just missed my dad kila siku nalia hata sielewi
Wallahi nmelia kupitia barnaba kweli ameelezea kiuhasilia ...I.r.p Ruge
Daah pole sana barnabas
pole sana
Pole ya woteee
May the Almighty God give you strength during this typing moment Barnaba.You will be strong.
So sad barnabas all also in tears here and i dont him just had him on media mungu awape nguvu
Ruge RIP umekuwa funzo kwa wengi.
Barnaba pole sana mwanangu hiyo ndio dunia usiache kumuomba mungu
mungu akutie nguvu barnaba
It's xo xad rext in peace Ruge u have left unforgettable legacy much rexpect 2 Allah coz he ix only one knows everyone's destiny
pole sana familia ya ruge pole sana Barnabas MUNGU awape wepes jaman
Nambambika sana naomba mbira za kenya
Pole sana barnabas maneno yako nahistoria vimenigusa sana mimi ni mgumu sana kulia lakini nimelia alijitoa kwa moyo wote R.I.P Ruge
mweee jaman mbona amenikumbusha mbali banarba nimeanzaje kuingia humu...? duuuuh.
Duh!!😭😭inahuzunisha kweli RIP Ruge
dah polen sana barnaba jaman Mungu akutie nguvu najua maumivu uliyonayo sasa hivi
Niliapaaa sitokaa nilie tenaaa maana watu wa muhimu wote nishawalilia nashangaaa najikuta nalia Ilaa jamani kunawaume wanamaumivu daah 😭😭😭😭😢
Inauma sana
Inatia urum
Awww barnaba baba yako pole sana
Jamnani anaeangalia 2021
Inauma sana
Tukiwa namaumivu makubwa pia tutambue Boss Ruge hajafa ila kashinda mbio katutangulia kwenye mstari wa ushindi ambao wote tunaukimbilia. Kila nafsi itaonja mauti
Kweli nimelia kwa uchungu sana polen mungu awatie nguvu
Daaahh😭😭😭 lia tu kaka huna haki ya kulia moyo unaumaa '' 'Ruge rest and peace baba
So sad poleni sana
Woiye may he Rip..from kenya poleni sana
Poleni sana wana ndugu wa Ruge
Pole sana Barnabas hujawa mnafiki kama wengne
Kabisaaa
Duh! unaniliza sana
SAUTI YA MTOTO FOUNDATION NI TAASISI INAYOTETEA HAKI ZA WATOTO TANZANIA BARA..SISI SOTE WAZAZI,AU WAZAZI WA BAADAE ..ILI KUTAMBUA MALEZI BORA YA WATOTO NA CHANGAMOTO ZAO ZINAKUAJE KATIKA UKUAJI ..TAFADHALI SUBSCRIBE SASA..ITAKUSAIDIA SANA KUJIFUNZA NA UTAWASAIDIA WENGINE,NDUGU JAMAA NA MARAFI ..SUBSCRIBE SASA TWENDE PAMOJA..#sautiyamtotofoundation
Marry Tarimo kabisaaaa ametia uruma xnaaa
@@wittyjamanidarmura9141 SAUTI YA MTOTO FOUNDATION NI TAASISI INAYOTETEA HAKI ZA WATOTO TANZANIA BARA..SISI SOTE WAZAZI,AU WAZAZI WA BAADAE ..ILI KUTAMBUA MALEZI BORA YA WATOTO NA CHANGAMOTO ZAO ZINAKUAJE KATIKA UKUAJI ..TAFADHALI SUBSCRIBE SASA..ITAKUSAIDIA SANA KUJIFUNZA NA UTAWASAIDIA WENGINE,NDUGU JAMAA NA MARAFI ..SUBSCRIBE SASA TWENDE PAMOJA..
pole ndgu yngu. Barnaba na Tanzania kwa ujumla...
Poleni kwa msiba
Pole Sanaaa barnaba
Pole saana barnaba nimeumia sanna
naumiya paka leo ruge mungu akulaze mahali pema
😭😭😭😭😭😭😭😭pole sana barnaba
2022 ruge bdo sjaachakusiliza dah ntakukmbka nilikua na ndoto zakukuona live lkni ndo ivo tena r.i.p ruge
Daah naumia mie 😥😥😥😥rest in peace legend
Pole Sana barnaba pole Tanzania
Poleni saana wa tanzania
This is so emotional 😭😭
Poleni Tanzania...Rip sir
poleni sana mungu ametenda
pole sana Barnaba,,,R.I.P Ruge
Daaa inauma sana
pole sana hata sisi tumeumea sana
dah nimelia kama mtoto mimi jaman...Duh rugeee pole barnaba
unalia nn mzee baba muombee2 kwa m'mungu aende salama
FM Kibonde hatuko na ww tena sasa da!!! R.I.P RUGE ,,,,,R.I.P KIBONDE......
Inauma sana ruge mbele yako nyuma yetu
Pole mpenzi Barnaba jaman
Pole barnaba
Pole sana broo inauma sana
pole barnaba unaniliza kila nikiangalie you tube
Pole mdogo angu barnaba
Dah huzuni sana mpka nimelia