ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Rest in peace rafiki yangu Salum Jongo. Nnakumbukaa saaana tupo garage kondoa hyoo ulipendaa saaaaana kuimba kibwagizo hcho cha usinione mzembe kupata ni majaliwa lololoooo lolooololoo
😭😭😭😭😭😭dunia sio yetu
tunapita
😢
Pole sana
Pole kaka, tujiandae nasi
Nyimbo Kali sana tutakukumbuka 2024
Usinione mzembe kupata ni majaliwa🎉🎉🎉
Yaani. Kwaukweri izi nyimbo. Azichuji. Jamani. NapendaKuskiliza. Tu. Kila. Nnapokaa. DuuhNakmbukaKindi.kilee.tnaishi.kuleTemekeMikoroshini.maeneno.ya.kna.omar.omar.😭😭Ttanawakmbuka. Wote. Waliotangulia. Mbere. Za. Aki. Nawakumbuka. Omar. Omari. Godfrey. Kupa. Omari. Mwanyiro.
watoto wa 2000 hawawezi elewa hizi ngoma
2024, mziki mzuri asili yetu waswahili
Pancho Pancho Panchooo... Mungu awarehemu sana Omary Omary na Pancho
Dah ama kweli hizi zama hazitajirudia tena, kilichobaki ni kumuomba tu Mungu atupe mwisho mwema, Rest easy Omary Omary
Namkumbuka mdgoake na musini tukiwa sehemu moja iv panaitwa mzombe dah alikuwa lafikiangu sana jamaa anaitwa abduli cjui uku dar yupo wap jmn
2024 Ndevu amekosa ng'ombe lakini mbuzi kapewa. Rest easy Omary Omary
Hakika
Mnanda kama mnanda a.k.a mchiriku hàaaaaaa haàaaaaaa haaaaa
Mziki mzur ambao unaishi mpk leo RIP king omary😢
Mwamba alitisha sana
27 may 2023, namkumbuka the late mama, 😊 wish she would have been here.
Kwel mchanga unameza jmn😭😭😭😭😭pumzika kaka nyimbo zko bdo zinaishi
NA WAKUMBUKA MZEE OMAR OMAR MUNGU AKULEEMU.UKO ULIKO TULIKUWA WOTE TUKIVAA PENSI ZA JINSI ZA KUKATA MR LISASI MR NIGH MR ROBOCOP AMINAAMINA MAMA ALI BENJ MR AMAD COMANDO JUMA DAA INANIPA KUMSHUKRU MUNGU MPAKA LEO NIPO TUMEPITIA MENGI
Hii ngoma nasikia lilikuwa dongo kwa dogo Mfaume hivi ni kweli
Hii ndiyo singeli sasa❤ RIP king Omari Omari...
Mnanda huu
Nyimbo Iko vizuri sana yanikumbusha mwaka 2009
Nyimbo yazamani lakini haichuji
2024tunaisikiliza
2024 gather here 😊
Hili dude kali mpka kesho.... R.i.p mwambaaaaa
On fire 2023🎉
Hongera kwako omari kwa mashairi mbashara ulale salama bro
Jamaniii ❤ naupenda sn,mbele yake.nyuma cc .tmk.
Alikuwa na wimbo wa mafunzo sana,
DA TEMEKE MIKOLOSHI KIWALANI TAZARA TUJUANE SASA TUMEZEEKA NA BADO TUNABAMBA. DA
2023 Bado hii nyimbo ni kali sanaa R.I.P legend
Yeah up 2021 one of the most amazing MCHIRIKU!?
Thanks ndg
Bado tupo nayoo 2024.
Nice nyimbo nakumbuka kwetu
2022 Tupo pamoja
Kwakweli nataka simulizi nzuuuuuri za mapenzi mikasa mbalimbali true story ushauri ingia kwangu
Usinione Mzembe kupata ni MajaliwaKwani mm napenda kuwa hiv kila siku?
Nyimbo nzur sana 2023
Mm bado na enjoy na nyimbo za kale
Zingatia ngoma iyo kichua kinafunguka na akili zinatulia
♥️♥️♥️jamani nyimbo mzr sana
Namukubwli sana
01/06/2024 still Hit
🔥🔥🔥2024
Nmetafuta audio yake sijapata jaman
Ninayo
Nice songs ❤❤❤❤❤❤❤
Sijawahi juta kuusikiliza
Swahili
tutakukumbuka xan kaka
Heshima kwako legend..R.I.P..
💔🤦🏿♀️Long time ago,!? still 😋
Mwanangu Salim Issa Kumbi 2024💯🎉🚀 @salimissa71
Ndio ndiooo 😂
Wimbo mzuri sana
Duuuuh!
Ngoma imesimama
Love this song
duuuuuuu
ndo leo wanaita singeli
Calton Ludovick ishi nayooo
Safi safi
2023 ...😮
R I P omary na pacho latino
Heshima kwake r ,I,p mkubwa
2023🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
2023 tupo pamoja
Kitambo xana
2024
Vzr hvidumu
❤
T
R I P
Rip
Izinyimbo kwann azipgwikwenye midiazet,
Hawazipigi sababu wanataka ushabiki sio maana na mafunzo
😘😘🇹🇿💪
R I p Omar
😢😢😢😢
Rest in peace rafiki yangu Salum Jongo. Nnakumbukaa saaana tupo garage kondoa hyoo ulipendaa saaaaana kuimba kibwagizo hcho cha usinione mzembe kupata ni majaliwa lololoooo lolooololoo
😭😭😭😭😭😭dunia sio yetu
tunapita
😢
Pole sana
Pole kaka, tujiandae nasi
Nyimbo Kali sana tutakukumbuka 2024
Usinione mzembe kupata ni majaliwa🎉🎉🎉
Yaani. Kwaukweri izi nyimbo. Azichuji. Jamani. Napenda
Kuskiliza. Tu. Kila. Nnapokaa. Duuh
Nakmbuka
Kindi.kilee.tnaishi.kule
Temeke
Mikoroshini.maeneno.ya.kna.omar.omar.😭😭Ttanawakmbuka. Wote. Waliotangulia. Mbere. Za. Aki. Nawakumbuka. Omar. Omari. Godfrey. Kupa. Omari. Mwanyiro.
watoto wa 2000 hawawezi elewa hizi ngoma
2024, mziki mzuri asili yetu waswahili
Pancho Pancho Panchooo... Mungu awarehemu sana Omary Omary na Pancho
Dah ama kweli hizi zama hazitajirudia tena, kilichobaki ni kumuomba tu Mungu atupe mwisho mwema, Rest easy Omary Omary
Namkumbuka mdgoake na musini tukiwa sehemu moja iv panaitwa mzombe dah alikuwa lafikiangu sana jamaa anaitwa abduli cjui uku dar yupo wap jmn
2024 Ndevu amekosa ng'ombe lakini mbuzi kapewa. Rest easy Omary Omary
Hakika
Mnanda kama mnanda a.k.a mchiriku hàaaaaaa haàaaaaaa haaaaa
Mziki mzur ambao unaishi mpk leo RIP king omary😢
Mwamba alitisha sana
27 may 2023, namkumbuka the late mama, 😊 wish she would have been here.
Kwel mchanga unameza jmn😭😭😭😭😭pumzika kaka nyimbo zko bdo zinaishi
NA WAKUMBUKA MZEE OMAR OMAR MUNGU AKULEEMU.UKO ULIKO TULIKUWA WOTE TUKIVAA PENSI ZA JINSI ZA KUKATA MR LISASI MR NIGH MR ROBOCOP AMINAAMINA MAMA ALI BENJ MR AMAD COMANDO JUMA DAA INANIPA KUMSHUKRU MUNGU MPAKA LEO NIPO TUMEPITIA MENGI
Hii ngoma nasikia lilikuwa dongo kwa dogo Mfaume hivi ni kweli
Hii ndiyo singeli sasa❤ RIP king Omari Omari...
Mnanda huu
Nyimbo Iko vizuri sana yanikumbusha mwaka 2009
Nyimbo yazamani lakini haichuji
2024tunaisikiliza
2024 gather here 😊
Hili dude kali mpka kesho.... R.i.p mwambaaaaa
On fire 2023🎉
Hongera kwako omari kwa mashairi mbashara ulale salama bro
Jamaniii ❤ naupenda sn,mbele yake.nyuma cc .tmk.
Alikuwa na wimbo wa mafunzo sana,
DA TEMEKE MIKOLOSHI KIWALANI TAZARA TUJUANE SASA TUMEZEEKA NA BADO TUNABAMBA. DA
2023 Bado hii nyimbo ni kali sanaa R.I.P legend
Yeah up 2021 one of the most amazing MCHIRIKU!?
Thanks ndg
Bado tupo nayoo 2024.
Nice nyimbo nakumbuka kwetu
2022 Tupo pamoja
Kwakweli nataka simulizi nzuuuuuri za mapenzi mikasa mbalimbali true story ushauri ingia kwangu
Usinione Mzembe kupata ni Majaliwa
Kwani mm napenda kuwa hiv kila siku?