moresweet official
moresweet official
  • 3
  • 105 913
Omary omary kupata ni majaliwa
Omary omary kupata ni majaliwa Official
มุมมอง: 104 923

วีดีโอ

Moresweet Simba Official Music audio
มุมมอง 2365 ปีที่แล้ว
nashukuru Mungu kwa baraka zake.
Moresweet mwambie official music video
มุมมอง 7975 ปีที่แล้ว
Subscribe my TH-cam channel

ความคิดเห็น

  • @PedlowMkuu
    @PedlowMkuu 8 วันที่ผ่านมา

    Usinione mzembe kupata ni majaliwa,ngombe hana ndevu lakini mbuzi kapewa

  • @LenardMwakyelu
    @LenardMwakyelu 9 วันที่ผ่านมา

    2009 djaro Harungu wa TBC FM kama namuona

  • @TwahaAliMtumbi
    @TwahaAliMtumbi 9 วันที่ผ่านมา

    Streika Double Omi. Kwa Sandali mikoroshini mwisho wanyodo.. Twila guy hapa Suez Canal Kipawa ya mwaka 1992. Rest in Power Omar, Majojo, Dingubita, Camel, Kindundusi, Gaudence mpanyu, waido, Galito, chuma mengwa, Side Boy, nega boy, said msham, sister Shida, Asha kikono, Asha Dudu, Idaya Ugogolo, Sud mpanyu. Kaltan Mpanyu, Da Mwema, sikitiko poko, kiwembe, tulikuwa pamoja tukienjoy leo hampo mola awarehemu, na mliobaki mola awaongoze vyema. Mama muache Goms

  • @MrBlack_og
    @MrBlack_og 15 วันที่ผ่านมา

    2024

  • @allykuyawa4832
    @allykuyawa4832 20 วันที่ผ่านมา

    Yan hii nyimbo siku unatoka ilikuwa hatari kila nyumba unasikia huu tu

  • @SubiraRashidi-e1i
    @SubiraRashidi-e1i 20 วันที่ผ่านมา

    Watoto wa 2000 hawawezi kujua omari anachokinena

  • @GidolaxGido
    @GidolaxGido 21 วันที่ผ่านมา

    Nyimbo kali yan kama imetoka leo rip omar omar

  • @JonathanKaganda
    @JonathanKaganda หลายเดือนก่อน

    RIP omy gay

  • @HarunaMuslim-w9m
    @HarunaMuslim-w9m หลายเดือนก่อน

    R I P Omary omary

  • @MichaelJohn-lb6uu
    @MichaelJohn-lb6uu หลายเดือนก่อน

    Haikuwa ngoma ya kizembe nipo tena 20-10-2024

  • @MultiPhill90
    @MultiPhill90 2 หลายเดือนก่อน

    Pancho Pancho Panchooo . RIP Omy Omy, RIP Pancho. 2024 Bado tunawakumbuka

  • @HadijaMishili
    @HadijaMishili 3 หลายเดือนก่อน

    Wajina omari

  • @givenmsigwa9978
    @givenmsigwa9978 3 หลายเดือนก่อน

    Mwamba alitisha sana

  • @zuwenaMalesa
    @zuwenaMalesa 3 หลายเดือนก่อน

    2024tunaisikiliza

  • @mpokiibrahim8926
    @mpokiibrahim8926 3 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥2024

  • @simulizizakwelinamikasa
    @simulizizakwelinamikasa 4 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli nataka simulizi nzuuuuuri za mapenzi mikasa mbalimbali true story ushauri ingia kwangu

  • @MgwenerSefue
    @MgwenerSefue 4 หลายเดือนก่อน

    Swahili

  • @salimkumbi9618
    @salimkumbi9618 4 หลายเดือนก่อน

    Calton Ludovick ishi nayooo

  • @carltoneltons2475
    @carltoneltons2475 4 หลายเดือนก่อน

    Mwanangu Salim Issa Kumbi 2024💯🎉🚀 @salimissa71

    • @salimkumbi9618
      @salimkumbi9618 4 หลายเดือนก่อน

      Ndio ndiooo 😂

  • @AbduBadru-ch1uw
    @AbduBadru-ch1uw 5 หลายเดือนก่อน

    watoto wa 2000 hawawezi elewa hizi ngoma

  • @willybroadkwavava6098
    @willybroadkwavava6098 5 หลายเดือนก่อน

    Usinione Mzembe kupata ni Majaliwa Kwani mm napenda kuwa hiv kila siku?

  • @JosephNyamba-l3b
    @JosephNyamba-l3b 5 หลายเดือนก่อน

    Namkumbuka mdgoake na musini tukiwa sehemu moja iv panaitwa mzombe dah alikuwa lafikiangu sana jamaa anaitwa abduli cjui uku dar yupo wap jmn

  • @AllyAthuman-yz3cq
    @AllyAthuman-yz3cq 6 หลายเดือนก่อน

    Nice nyimbo nakumbuka kwetu

  • @allykhan7537
    @allykhan7537 6 หลายเดือนก่อน

    01/06/2024 still Hit

  • @hazarikipingu2865
    @hazarikipingu2865 7 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo Kali sana tutakukumbuka 2024

  • @allidehunter3223
    @allidehunter3223 7 หลายเดือนก่อน

    Bado tupo nayoo 2024.

  • @makonyamakonya7329
    @makonyamakonya7329 7 หลายเดือนก่อน

    Alikuwa na wimbo wa mafunzo sana,

  • @fadhiliakida8609
    @fadhiliakida8609 8 หลายเดือนก่อน

    Dah ama kweli hizi zama hazitajirudia tena, kilichobaki ni kumuomba tu Mungu atupe mwisho mwema, Rest easy Omary Omary

  • @fatumakweka5182
    @fatumakweka5182 8 หลายเดือนก่อน

    2024

  • @IddiOmar-h3p
    @IddiOmar-h3p 8 หลายเดือนก่อน

    Namukubwli sana

  • @AngerusLijuja-bg6sb
    @AngerusLijuja-bg6sb 9 หลายเดือนก่อน

    NA WAKUMBUKA MZEE OMAR OMAR MUNGU AKULEEMU.UKO ULIKO TULIKUWA WOTE TUKIVAA PENSI ZA JINSI ZA KUKATA MR LISASI MR NIGH MR ROBOCOP AMINAAMINA MAMA ALI BENJ MR AMAD COMANDO JUMA DAA INANIPA KUMSHUKRU MUNGU MPAKA LEO NIPO TUMEPITIA MENGI

    • @alphanlukombe3774
      @alphanlukombe3774 6 หลายเดือนก่อน

      Hii ngoma nasikia lilikuwa dongo kwa dogo Mfaume hivi ni kweli

  • @AngerusLijuja-bg6sb
    @AngerusLijuja-bg6sb 9 หลายเดือนก่อน

    DA TEMEKE MIKOLOSHI KIWALANI TAZARA TUJUANE SASA TUMEZEEKA NA BADO TUNABAMBA. DA

  • @lelomellowtz
    @lelomellowtz 9 หลายเดือนก่อน

    2024, mziki mzuri asili yetu waswahili

    • @MultiPhill90
      @MultiPhill90 7 หลายเดือนก่อน

      Pancho Pancho Panchooo... Mungu awarehemu sana Omary Omary na Pancho

  • @andreaclever9087
    @andreaclever9087 9 หลายเดือนก่อน

    2024 Ndevu amekosa ng'ombe lakini mbuzi kapewa. Rest easy Omary Omary

  • @VairethPonela
    @VairethPonela 9 หลายเดือนก่อน

    Usinione mzembe kupata ni majaliwa🎉🎉🎉

  • @emanueldanstan8904
    @emanueldanstan8904 9 หลายเดือนก่อน

    2024 gather here 😊

  • @ibrahlusinga5720
    @ibrahlusinga5720 9 หลายเดือนก่อน

    R I P

  • @RamsoMalon
    @RamsoMalon 10 หลายเดือนก่อน

  • @ZidaneAbasi-lx3cn
    @ZidaneAbasi-lx3cn 11 หลายเดือนก่อน

    Vzr hvidumu

  • @JackZulaDaJaime
    @JackZulaDaJaime 11 หลายเดือนก่อน

    Zingatia ngoma iyo kichua kinafunguka na akili zinatulia

  • @salmamohamedi5405
    @salmamohamedi5405 11 หลายเดือนก่อน

    Nice songs ❤❤❤❤❤❤❤

  • @gohimtv2504
    @gohimtv2504 11 หลายเดือนก่อน

    Hili dude kali mpka kesho.... R.i.p mwambaaaaa

  • @tonyjohn8158
    @tonyjohn8158 ปีที่แล้ว

    R I P omary na pacho latino

  • @adamicrichard122
    @adamicrichard122 ปีที่แล้ว

    R I p Omar

  • @jumalihumbo5314
    @jumalihumbo5314 ปีที่แล้ว

    Mziki mzur ambao unaishi mpk leo RIP king omary😢

  • @mohamedomary8892
    @mohamedomary8892 ปีที่แล้ว

    Nyimbo Iko vizuri sana yanikumbusha mwaka 2009

  • @ShahidShemdoe
    @ShahidShemdoe ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana

  • @vitusytindwa7069
    @vitusytindwa7069 ปีที่แล้ว

    tutakukumbuka xan kaka

  • @crizeyaden6158
    @crizeyaden6158 ปีที่แล้ว

    2023 Bado hii nyimbo ni kali sanaa R.I.P legend

  • @latifagogola1863
    @latifagogola1863 ปีที่แล้ว

    Mnanda kama mnanda a.k.a mchiriku hàaaaaaa haàaaaaaa haaaaa