Daah nakumbuka 2000 kipindi nipo Drs la sita, natoka upanga mtaa wa maweni naenda shule. Magomeni mwembechai shule ya msingi makurumla sasa mwalimu Nyerere. Nilikua nawakuta t.o.t wanampimgia kampeni raisi mstaafu mh. Benjamin mkapa sio Siri nilikua nachelewa sana shule sababu ya banza stone, mungu ampe kauli thabiti huko haliko love brh nyimbo zake mpaka Leo zinaishi.
R.I.P Banza hakika unanikumbusha mbali sana nikiwa darasa la 4. Mlikuwa mnatoa nyimbo zakuelimisha sio saizi wanamzuki wa kizazi kipya wamekuwa wehu na mavazi yao ya ukichaa2024
Sa hivi tuko haniiiiii hani haniiiiiii hani...Rest in eternal bliss Banza. I now understand why God took you for himself. I am told he likes songs. Hope you have an eternal opportunity to sing for him and , no offense you can even sing this one to him.
Wimbo ni mzuri lakini siyo kweli ukose Mali upate akiri, wakati pesa inaweza nunua wenye elimu wakakutumikia mwenye Mali, wakati msomi hawezi ajiri tajiri hivyo pesa ndio Kila kitu au mnaonaje wadau
Kila nikisikia sauti ya Banza huwa najikuta naghadhibika mara dufu kuhusu unga. Hii kitu imetuchukulia watu wengi wa maana sana. Alikiwa kijana aliyejaaliwa sauti haswaa na nyimbo zake zilikuwa za kusikilizwa na yeyote, mbele ya yeyote. Hakika sotetuna dhamana ya kupinga hii biashara kwa nguvu zetu zote. May his soul rest in peace
Listening in 2024 much respect 🫡 Banza and Twanga Pepeta ya Asha Baraka’s
Ilikua ni TOT Achimenengule.. Banza Stone alitransform TOT Band toka kwenye kienyeji kuwa TOT Plus..😅😅😅 alikimbiza sana Ali choki na twanga yao..
Jaman mara ya kwanza kuutia masikioni huu wimbo nilikuwa darasa la 5 mwaka 2004 miaka inaenda sana jamn na leo may 20 2024
2024 listening good music
Namuomba M/Mungu amuondoshee adhabu za kaburini Banza Stone na amlaze pema peponi. Amin
Ameeeeen
Ameen
Ameen
Amina
Amiin
Daaah jamani enzi zetu izo, dongo kwa ally choki ilo mzee wa farasi🤣🤣🤣
Daah nakumbuka 2000 kipindi nipo Drs la sita, natoka upanga mtaa wa maweni naenda shule. Magomeni mwembechai shule ya msingi makurumla sasa mwalimu Nyerere. Nilikua nawakuta t.o.t wanampimgia kampeni raisi mstaafu mh. Benjamin mkapa sio Siri nilikua nachelewa sana shule sababu ya banza stone, mungu ampe kauli thabiti huko haliko love brh nyimbo zake mpaka Leo zinaishi.
Mwenyez Mungu akuondolee adhabu ya kabur, akupe pumziko la milele banza
Mwenyezi mungu akusamehe makosa yako upumzike kwa amani 😭😭😭😭😭 zamani mlikuwa kiboko Ila siku hizi hovyo kabisa old is gold
Ni kweli kabisa,yaani saizi nyimbo sizipendi kabisa
Siku hizi ni hovyo very hoples kabis😢😢😢
Damn🔥 Banza alikua mbele ya muda sana🙌🏻 Allah Marehemu
daaaa sijui huu mziki ulipotelea wapi aisee tungekuwa mbali sana kwa mziki huu sasa ona tuko kwa bongo fleva mara Amapiano
R.I.P Banza hakika unanikumbusha mbali sana nikiwa darasa la 4. Mlikuwa mnatoa nyimbo zakuelimisha sio saizi wanamzuki wa kizazi kipya wamekuwa wehu na mavazi yao ya ukichaa2024
Ulikuwa mwaka gani ndugu maana me mwenyewe nilikuwa la tano mwaka 2004
R. I. P Banza Stone, tungo zako bado tunazienzi
Nakubali sana aisee Miaka ya elf 3 ikiimba redio mtu atoe ni noma hatar
Hii nyimbo ni nzuri sana napenda kuisikiliza everytime
Kitambo Sana jaman mmmmhhh naupenda huu wimbo atali
Ardhi imehifafhi wamba wengi sana... R.I.P BANZA ,BAMDOGO WANGU. MAREHEMU PIA ALIKUA RAFIKI YAKO FIDELIS FELICIAN,
Yes Mi Napenda kumuita The shoka banza stone Mungu akupungizie hazabu za kabuli 😭
Dah! RIP jenerali Banza Jiwe, mzee wa supu ya kuku wa kienyeji. Vocal ya pesa nyingi.
This songs never gets old 😢😢😢❤❤❤❤❤
Tutawakumbuka daima
Real old is gold,Rest in peace our brother Banza Stone
Mungu Akuwekee Mahali Pema peponi AMINA 🤲
Sa hivi tuko haniiiiii hani haniiiiiii hani...Rest in eternal bliss Banza. I now understand why God took you for himself. I am told he likes songs. Hope you have an eternal opportunity to sing for him and , no offense you can even sing this one to him.
Hakika namuombea kwa MWENYEZI MUNGU KAMA ADHABU ITOKE KAMA YAWEZEKANA HAKIKA ALIKUWA BURUDANI KWETU ..Amiiin
Asante kwa ujumbe mzuri wenye mafundisho mazuri yasiyochuja. Pumzika kwa amani. Mungu ailaze mahali pema peponi. Amina
Zilikuwa na ujumbe mzuri sana
Ni wimbo wenye ujumbe mzito. RIP Banza Stone
Bado hamjasema watoa comment mtasema yote leoo 😂😂😂
Kusema nini?
Mm nilikua ata cjazaliwa jmn lakini nimekua nausikiaa
Pumzka kwa amani banza stone ❤❤🎉🎉
Mwamba umetangulia,ulikuwa mwimbaji haswaaa,nakumbuka sana hii ngoma 2000 class six
Sizani kama itakaa itokee kichwa kama banza,I .R. P jembe😭😭😭tutakuenzi daima
Sawa kaka ukovizuri sana nirijuwa mm nikopekeyangu ninayoyaonahuku sawa tajiri bamboo kamabamboo
R.I.P banza hakika tungo zako zitaendelea kusikika kila iitwapo leo
Nakubaliana na we S. Huyu Banza alifundisha kweli kweli
Ujumbe mzur 👉🙏🙏
mwanga wa milele ukuangazie Banza,( masanja)
Nyimbo ambazo zinaishi.....sahv tunafokewa sana
😂😂😂😂😂😂😂😂much respect mkuu
RIP BANZA SITOKUSAHAU SIKU ULOKUJA MGAHANI KWANGU BABATI UKIWA NA HADIJA KOPA ALLY STAR MWANAAMIRI MTAMA MKIWA NA TOT PALE BABATI
Pumzika kwa amani kaka
Mungu hapangiwi lakini twakuomba waja wako mpokee kiumbe huyu ktk Pepo yako
15/01/2024 like pls
Pumzika kwa usalama Mr banza MUNGU WETU akuondolee maumivu ya kaburi
Banza stoni tutakukumbukka milele mungu adhabu ya milele akupushe Kwa amani
Banza Stone 🙌🙌🙌
Allahumma ufilahu warhamahuu wamaskanahu filjannaa 🤲🤲
2023
Jamani Sina Cha kusema maana njia ni moja
Working on an interview on this guy, had to Google and listen to his music and my oh my! He's got a really good voice. It's sad that he's no more.
Hellow
R i p banza
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
😊😊
Rest IN PEACE 🎉 THE GOLDEN VOICE
Hakika kabisa
Da!!! Sina usemi
ToT plus upande huu na Mchinga sounds upande ule!,Palikuwa hapatoshi!
Nice music of my child wood I was 12years old at that time
Your child what?????
I was seven. Shikamoo. 😂😂
Endelea kupumzika kwa amani Ramadhan Masanja ( Banza Stone)
Rest in peace banza stone, one of your great ever song.
Daah ulitembea na gepu
Du hatuna namna mungu anavuna vyake
Zilepedwa 👏👍🏾
R.i.p mwamba nyimbo zako zinaishi
Bora kukosa mali upate akili kwakweli .
General. R.i.p
Respect Banza Stone Rip mwamba
Kweli wema awaishi
Hani Hani Hani ndo saizi sisi tuliinjoe
Rest in peace Banza Stone , you will always be Remembered and Celebrated💕💕
Sihitaj😅
2002 was released this song, from Banza stone 🇹🇿🎧🎧👍🔥👊.
Much respect banza stone rest in peace
Pumzika kwa amani Banza Stone ng'wana masanja
R.l.p Mungu akupunguzie adhabu za kaburi
Nilikubali.sana
Wajingawengi kwe sanakweduniahiiiii,
Leo novemba 2023 naangalia video asee❤❤❤❤
Mauti yanatugawanyisha
Boraukosemari upatehlakiriiii bambokamabambooo
Mganda mbinga
Wimbo ni mzuri lakini siyo kweli ukose Mali upate akiri, wakati pesa inaweza nunua wenye elimu wakakutumikia mwenye Mali, wakati msomi hawezi ajiri tajiri hivyo pesa ndio Kila kitu au mnaonaje wadau
usomi sio akili.
Sio kweli bro!
Ukishapata Mali hiyo akili utatoa wapi ya kuajiri watu mi naona wapo sawa
Hiyo Mali utaipataje bila akili, vinginevyo hata Ng"ombe angekuwa na mali!
Lakini alishaimba MWENYE PESA SIYO MWENZIO
Jamani mungu mkali
naomba utuweke video ya chozi la mnyonge na binadamu kidedea kutoka kwa fm academia ndanda cosovo
TOT Plus Enzi hiyo 2000's 🤌
jamaa alikufa na kipaji chake
Allah ampe kaull dhabit
Keep resting in eternal peace Banza stone
Unga 😢😢😢
pumzka kwa aman mung akupunguze adhabu ya kaburi pacha wa baba angu
elimu bora
Rest in peace
R,i,p,banza,,stone
Du kwanini humziki haupigwi kwenyemidia
Asanté wa himbizi ... Y..
R.i.p mwamba
R .I.P banza stone
Nice🎶🎵🎼
Kila nikisikia sauti ya Banza huwa najikuta naghadhibika mara dufu kuhusu unga. Hii kitu imetuchukulia watu wengi wa maana sana. Alikiwa kijana aliyejaaliwa sauti haswaa na nyimbo zake zilikuwa za kusikilizwa na yeyote, mbele ya yeyote. Hakika sotetuna dhamana ya kupinga hii biashara kwa nguvu zetu zote. May his soul rest in peace
Lakini si aliacha kitambo
Wwweee
Nice song 👍👍
Amuondoshee azabu ya kaburi
6:48 Hii staili ya Achimenengule ni balaa
Ys
❤❤
RIP regend