Saidi Dabani - Omary Omary

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • Miaka yetu ya 90 mwishoni tena! Leo hii tena na yeye hayupo tena kama alivyomwimbia mwenzie!
    -Video Upload powered by www.TunesToTub...

ความคิดเห็น • 199

  • @NasrySuleiman-ke5ie
    @NasrySuleiman-ke5ie 4 หลายเดือนก่อน +3

    Nmejkuta natokwa na machozi juu ya hii nyimbo,na nyingne nying zlizoimbwa na Omari Omari,
    Kitambo hyo nipo lkwiriri rufji naptianyakati ngumu sana kwa mama wa kambo,
    ...😭😭😭

    • @SMCTRADER-b4t
      @SMCTRADER-b4t 26 วันที่ผ่านมา

      Pole sana ndugu tupo pamoja

  • @MathiasMchiz
    @MathiasMchiz หลายเดือนก่อน +1

    nakumbuka ktambo sana , alikua jlan yangu mama ally mungu amuweke maali pema , msafiri chiba r.i.p, salehe bangila na wote walio tangulia mbele za haki

  • @themichael8055
    @themichael8055 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyez mungu awalaze wote waliotangulia mbele za haki, Omari, juma mpogo, John kidijo, Fred nyanje, Noel nyanje, Jofley mwakyaja, mama yang mpendwa

  • @salehkippy5339
    @salehkippy5339 2 ปีที่แล้ว +9

    Wakuja mtupishe enzi izi mjini wenyewe wazawa...

  • @allykuyawa4832
    @allykuyawa4832 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nakumbuka enzi hizo npo Keko Omary Omary anaevaa miwani aina kioo

  • @rommyshabby3959
    @rommyshabby3959 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dah hii Ngoma naisikia now kipindi hiko nipo mbagala kiburugwa now nipo Canada dah maisha haya salute kwa wana wote waliomaliza shule ya msingi mbagala langu 3 2024 baharia nipo mbele now

    • @georgempuya9343
      @georgempuya9343 4 หลายเดือนก่อน +2

      Kaka cku hizi huku nyumbani vijana wanatuimbia nyimbo za matusi TU!!!! Yaani huwezi kusikiliza hata na watoto wako ni balaa sana kk 😮

    • @chandeyusufu9570
      @chandeyusufu9570 3 หลายเดือนก่อน

      Nyimbo izo inafundisha sio za matusi nakumbuka kitambo hicho nipo manzese midizini​@@georgempuya9343

  • @asmasalum675
    @asmasalum675 2 ปีที่แล้ว +5

    Daah. Nakumbuka. Mbali. Sana. Mimi
    Kipindi. Kire.tnaishi.mikoroshini..jamani.kwenye.nyumba.ya.kna.mwanyiro daah 😭😭pumzika. Kwaamani. Kaka. Mwanyiro. Na. Jirani. Yangu. Omar omari 😭😭 nawakumbuka. Sana. Saidi. Ndiga.nawengineo

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 9 หลายเดือนก่อน

      Mwanyiro nae pia amekufa.!?

    • @fadhilngaona3685
      @fadhilngaona3685 5 หลายเดือนก่อน

      Asma wa mikoroshini mwenzangu Mimi nilikuwa nakaa mitaa duka la kona

    • @swabialli8542
      @swabialli8542 3 หลายเดือนก่อน

      Hivii ule wimbo wake wa mv bukoba unaitwaje. Nimejaribu kuutafuta ila bila bila

  • @aishakhamis714
    @aishakhamis714 4 ปีที่แล้ว +11

    Dah hii nyimbo nakumbuka mbaali saana 😭 Pili Mama Ally nae ametutoka juzi tu 😭 Allah awape kaul thabit🙏

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 ปีที่แล้ว +9

    Daaah nyimbo hizi nakumbuka nilikua primary yaan nazipenda sana R.I.P kwa wote waliotangulia

    • @omarymodrick4068
      @omarymodrick4068 3 ปีที่แล้ว +1

      Dah omari omari wajina tangulia sana mzee

  • @salmafrancis6689
    @salmafrancis6689 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huuiii naenjoy jamani wao 💃💃💃💃💃💃💃💃💃

    • @SMCTRADER-b4t
      @SMCTRADER-b4t 26 วันที่ผ่านมา

      Nipo tunainjoi wote dadiii

  • @zairaisaid6389
    @zairaisaid6389 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka wakati huo nilikuwa nakaa Vingunguti alafu kila wiki Vingunguti palikuwa panapigwa mchiriku enzi hizo tulikuwa tukienda mimi na kaka yangu ambaye kwa sasa ayupo tena duniani na yeye ila yeye bloo baadaye akawa msela msela ivii kabla ya kifo chake Mungu amueke pema peponi amini

  • @JosephChoga
    @JosephChoga 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka siku moja Hassan chuna alikuwa na show yake , omari we Omarion akaomba apige kidogo chuna akagoma mwenye shughuri akarusu omari alivyopanda akaanza kuimba wimbo nilivyokuwa nakula nawe nilizania rafiki kumbe wewe adui yangu shughuri iliisha hapo hapi

  • @josephabel7654
    @josephabel7654 3 ปีที่แล้ว +3

    Nyimbo imebeba hisia kali sana Mwenyezi Mungu awarehemu marehemu wote

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kipindii ikooo nakumbukaaa gommssi kwaa mama muachee maseraaa Maseraaa Kweri kinaa vandamee dotooo seraaa kwenaaa sswekaa kuvaaa mjinii mjini Kweri waunii Kweri unakabwa ataaa mmchana temekee mikoroshini Atari apooo

    • @mnandamchirikutv5399
      @mnandamchirikutv5399 4 หลายเดือนก่อน

      doto seraa bado yupo kuna bendi inaitwa pentagon maeneo ya vikindu mkuranga, bendi yao ina muunganiko na seven savaiva

    • @AllySalum-j9y
      @AllySalum-j9y 4 หลายเดือนก่อน

      @@mnandamchirikutv5399 OK inapigaaa kiraaa njumaaa ngap mazoeziiii nimemisiiii atariii mmnandaaa kaka

  • @saidmzezele4702
    @saidmzezele4702 3 ปีที่แล้ว +6

    Enzi hizo kitaa kwa Mnyamani tulienda kuishangaa hii ajali pale Buguruni mataa wakati tupo wadogo

  • @JosephChoga
    @JosephChoga 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kazikwa wapi pili mama Alli mrembo wetu kitambo hicho

    • @SMCTRADER-b4t
      @SMCTRADER-b4t 26 วันที่ผ่านมา

      Nipo apa nangoja watuambie wapi amezikwa uyu mama ally😢😢

  • @YUSUPHMAKOMBE
    @YUSUPHMAKOMBE หลายเดือนก่อน

    Hizi ngoma zinanikumbusha miaka ya 1995 na 1996,

  • @salmafrancis6689
    @salmafrancis6689 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nakumbuka maputo kipindi cho bado nipo kimwali 🥰🥰

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  5 หลายเดือนก่อน

      Kumbe wewe ni mtoto wa Maputo? Tandika moja! Aisee. Hapo kulikuwa na ndugu zangu wanaishi Maputo baada ya kuvuka reli. Wanaitwa akina Matimbwa. Dada yangu ni Mariam Matimbwa.

    • @abduyussuf8345
      @abduyussuf8345 3 หลายเดือนก่อน

      Mi ni wa Maputo, Mtaa wa Nansio

  • @jerrjamary2649
    @jerrjamary2649 2 ปีที่แล้ว +1

    Omari omari daah!! hii story au wimbo unauzunisha Sana imezungumzia ajali imetokea buguruni na nipo buguruni rozana najikita nimechoka Tu 😢😢😰😰

  • @meyou-zz8mj
    @meyou-zz8mj 6 ปีที่แล้ว +13

    Ndio mkali enzi ukikisikia mwenge unajuwa mwananyamala kumbe kitu kinapigwa mburahati au kigogo

  • @Project1986p
    @Project1986p 4 ปีที่แล้ว +2

    Daaah..aisee hii noma leo nipo sweden 🇸🇪 ..enzi hizo nipo kitaa mburahati kwa jongo msikiti wa ngamia;)duka la kwa bungu;)huna hili wala lille;)..unaskiza tu mnanda kutoka dukani;)maisha ni mungu ndo ana jua next;)..shukrani sana kwa hili goma..rest in Peace masela wote kutoka mburahati kwa jongo..

    • @husseinremmyjohn2350
      @husseinremmyjohn2350 4 ปีที่แล้ว

      Oyo mburahati kwa bubu tupo pamoja mwanangu

    • @benjaminedward8582
      @benjaminedward8582 4 ปีที่แล้ว

      Dah wanikumbusha mbali sana

    • @JumaMabera-es7xj
      @JumaMabera-es7xj ปีที่แล้ว

      Dah kitambo sana by j mabera mburahat

    • @hamisijaffari3241
      @hamisijaffari3241 6 หลายเดือนก่อน

      Mimi nipo South Africa kipindi hicho nipo Muungano Primary School nakaa Manzese Midizini wee acha enzi hizo zilikuwa ndo nyimbo na zilikuwa na message nzuri

    • @kafirsantana8631
      @kafirsantana8631 29 วันที่ผ่านมา +1

      Kitambo sana hiyo watoto wa Mburahati na Manzese Midizini... Santa Mijibwa hapaa.

  • @fadhilirovel3782
    @fadhilirovel3782 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimbo nakumbuka class mate wangu ambae Sasa ni marehemu matiko John baba yake ndiye mwenye batotosi ya abiola yombo alipenda Sana kuiimba nami ndio nikaifahamu

  • @mwakasegeshukuru3720
    @mwakasegeshukuru3720 4 ปีที่แล้ว +3

    Daah!umenikumbusha mbali sn,enz za baba asha akulinda sungusungu

    • @hamisijaffari3241
      @hamisijaffari3241 6 หลายเดือนก่อน

      Eee bwana Baba Asha akulinda sungu sungu unanikumbusha nipo Muungano Primary school nilikuwa na rafiki yangu Idi Ali alitokea kuupenda sana huo wimbo

  • @adammuki2831
    @adammuki2831 5 ปีที่แล้ว +5

    Hizi ndio zetu sasa sarute mzazi

  • @asmasalum675
    @asmasalum675 2 ปีที่แล้ว +1

    Wapumzike. Kwa. Amani. Wote
    Waliotangulia. Mbereza. Aki. 😭😭😭

  • @rashidmohamedi1495
    @rashidmohamedi1495 5 ปีที่แล้ว +1

    Kitambooooooo dah enzi hizo bado Kula Kula kwa mama na baba dah mungu ampumzishe my mam kwa Aman kipindi hi nyimbo inaimbwa mama Yu hai dah

    • @musaumakusa4698
      @musaumakusa4698 4 ปีที่แล้ว +1

      Pole Sana isee mm ni Kama ww Mungu awalaze pema Mama zetu tunawapeda tunawaombea tutapatana nao tena

    • @abdallahfunga6076
      @abdallahfunga6076 4 ปีที่แล้ว

      Amina

  • @kudramzee1475
    @kudramzee1475 6 ปีที่แล้ว +4

    Tutafutie nyimbo za urahibu night star, eleven Star ,dar nyota,

  • @hassanmalota9661
    @hassanmalota9661 3 ปีที่แล้ว +1

    Tulikua tunaenjoy sana nyimbo mwazo mwisho ujumbe

  • @hunterrashid5251
    @hunterrashid5251 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama itawezekana ipandishe nimetoa idhini aolewe binti yangu mana nyingi zilizopo zimeandikwa hivyo lakini ukiplay unakuta ni nyimbo tofauti natafuta sana hiyo nyimbo

    • @allyungando9439
      @allyungando9439 4 ปีที่แล้ว

      Andika uchungu wa mwana

    • @hamisijaffari3241
      @hamisijaffari3241 6 หลายเดือนก่อน

      Mimi mwenyewe nautafuta huo wimbo sana sijaupata

  • @babaaste7919
    @babaaste7919 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakumbuka enzi zile pale Uponera na kina Daudi luhala,casto Kawera,Erasto mgwiri,Husein Mbumi,mood Mbumi,mzigizigi ,Juma ngongo,Agnes julu,,Daudi julu,Deo lundera,ostack kisesa,Magdalena shiraga,Damian lyuu (Afande),Christian lyavu,Athuman LYUU,Gud matale,JOHN BOSCO MANDITI,Getu manditi,Evance msanga,Zuena Saidi, daaah maisha haya

  • @tariqkondo509
    @tariqkondo509 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilikuwa mdogo sana nipo na mzee tunatoka kinondoni B tunaelekea mwananyamala.

    • @nurdinmzuzuri1383
      @nurdinmzuzuri1383 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kaka hata mimi nakumbuka mbali sana

  • @ismailabdallah7853
    @ismailabdallah7853 ปีที่แล้ว

    mimi nakumbuka mbali sana kipindi hicho yana mbaka uwa natakaga kulia nikisikiliza hii

  • @omarimakwajila8916
    @omarimakwajila8916 3 ปีที่แล้ว

    Omary Omary nyimbo isikupate shughuli kakae chini ya muembe...siipati

  • @JumaMabera-es7xj
    @JumaMabera-es7xj ปีที่แล้ว +1

    Dah nakumbuka commando yoso

  • @kafirsantana8631
    @kafirsantana8631 29 วันที่ผ่านมา

    Said Dabani alitoka kupora cheni maeneo ya Buguruni, kipindi anakimbia akagongwa na gari wakati anavuka barabara.

  • @sharfakhalfan1110
    @sharfakhalfan1110 5 ปีที่แล้ว +3

    Rest in peace makamanda pande za ughaibun nawapata

  • @antoniazizi7630
    @antoniazizi7630 6 ปีที่แล้ว +6

    Daaa saidi dabani km namuona alikuwa fundi sana wa kupiga ndole vetenary

    • @swalehemrombo9301
      @swalehemrombo9301 9 หลายเดือนก่อน

      Basi mi nikajua ni stori tu tu katunga kumbe ni kisa Cha kweli alikuwa mtu kweli huyo Said daban

  • @nassorolikoko9191
    @nassorolikoko9191 5 ปีที่แล้ว +3

    Enock wa mbeya na magoma wanalia...!!!

    • @mansamussa9071
      @mansamussa9071 5 ปีที่แล้ว +3

      Kaka nimetokwa na machozi Enock wa mbeya na magoma wanalia

    • @nassorolikoko9191
      @nassorolikoko9191 5 ปีที่แล้ว +2

      @@mansamussa9071 Binafsi nilimpenda sana double ommy kwa nyimbo zake nyingi zenye ujumbe wa kufundisha jamii

  • @kibajetihassan6218
    @kibajetihassan6218 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkunguni fresh chama Chini ya uongozi wa popa diki for for two

  • @kakamdogokamdogo9647
    @kakamdogokamdogo9647 7 ปีที่แล้ว +5

    Mudy tutafutie albamu yote ya baba asha 1&2. Asante sana kwa hii Kazi

    • @abdallahfunga6076
      @abdallahfunga6076 4 ปีที่แล้ว

      Haina noma

    • @swabialli8542
      @swabialli8542 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdallahfunga6076 mkuu tupandishie wimbo wa double omy wa mv bukoba. Au kama unajua ule wimbo unaitwaje

  • @HabasiMangosongo
    @HabasiMangosongo 6 หลายเดือนก่อน

    Dah atali mungu awalehem wababe awa co poa

  • @husseinjuma7653
    @husseinjuma7653 4 ปีที่แล้ว +3

    Dash kiukweli dunia imepita watu.

  • @twahamtumbi7823
    @twahamtumbi7823 ปีที่แล้ว

    Kipindi kile full mchakamchaka wahuni. Waendao walienda kujipakia mitumbwi na kudondoka mtoni

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 6 ปีที่แล้ว +3

    Kumbuka na ile ndala y'a rangi y'a njano sky way kanunua Nani Kama so Mimi, kibaka mdudu, sielewei Kitu

    • @tatotato506
      @tatotato506 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @saidiomary8886
    @saidiomary8886 6 ปีที่แล้ว +10

    Mfungwa achagui gereza bro itupie kma vp

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  5 ปีที่แล้ว

      Nadhani ninayo hiyo... Ngoja niangalie ustaarabu kaka!

    • @nasororajik2389
      @nasororajik2389 4 ปีที่แล้ว

      Dah hivi bro zipolali unao??

    • @shamshulhayel1741
      @shamshulhayel1741 4 ปีที่แล้ว

      Naomba mfungwa hachagui Gereza kama ipo naomba utupie

    • @okejapan7643
      @okejapan7643 3 ปีที่แล้ว

      @@TamuzaKale muddy vp mbn hadi leo haujaturushia mfungwa hachagui gereza

    • @kafirsantana8631
      @kafirsantana8631 29 วันที่ผ่านมา

      Hiyo ngoma ina bonge la funzo

  • @shabanikidu2101
    @shabanikidu2101 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwana naomba tuwekee ile mfungwa hachagui gereza

  • @ibrahimmakame7272
    @ibrahimmakame7272 3 ปีที่แล้ว +1

    Sielewi kitugani Mapaka kutaka kunitoa macho mwana wa mwenzio kwani ujue dhaabu kupata wala sitabu ila ulonitende ndio naona ajabu kama ulikua uzitaki kwavile elen za bati ungelenambia ingelikua poa

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  3 ปีที่แล้ว

      Hahahaahaha

    • @peaceandrew8637
      @peaceandrew8637 2 ปีที่แล้ว +1

      Hyo sielewi ni kitu gan,marehem dog mfaume aliirudia fresh kabisaaa

    • @btanzanite
      @btanzanite 6 หลายเดือนก่อน

      Huu msumari ulikuwa 🔥🔥🔥

  • @okejapan7643
    @okejapan7643 3 ปีที่แล้ว +1

    Mudi tutafutie mfungwa hachagui gereza ya Omary Omary

  • @yussyfdaud8068
    @yussyfdaud8068 6 ปีที่แล้ว +4

    Ninakumba zamani nikishi tandika omari mkari sana kwa nyimbo za mchiriku

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  6 ปีที่แล้ว

      Wala si uwongo kaka!

    • @gooddeeds162
      @gooddeeds162 5 ปีที่แล้ว +2

      Muddyb Mwanaharakati Kaka Muddyb mwanao nimerudi tena kuulizia ngoma nyingine japo jina silijui na muimbaji pia simjui ila ni aina ya wimbo kama ngoma hii hapa juu ila wimbo huu unaenda hivi “ Kukaa kidogo kaja mtu kaja anatuuliza Eti kipara kafa saa ngapi watu wote tukashangaa kwani tulikua hatuna habari ah Alhamdullilah Si yeye peke yake Safari yetu wote ila yeye ametangulia ila ipo siku tutakwenda tu... ni hiyo Kaka kama unayo au una Idea ni ya nani tafadhaLi tufanyie mambo mzee.
      Heri ya mwaka mpya

    • @mohammednewton8533
      @mohammednewton8533 5 ปีที่แล้ว

      Anamzid juma mpogo

    • @mariamabdullah489
      @mariamabdullah489 ปีที่แล้ว

      @@gooddeeds162 ngoma inaitwa kipaka kaka, ilitoka 1995

    • @fadhilngaona3685
      @fadhilngaona3685 5 หลายเดือนก่อน

      Mbona ipo humu inaitwa Saidi dabani

  • @saidiomary8886
    @saidiomary8886 7 ปีที่แล้ว +10

    Duh amna mtu mwenye ngoma ya atomic band mzee kipaka kafa saa ngapi omary omary alikuwepo kwenye hlo kundi

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  7 ปีที่แล้ว +2

      Nalikumbuka.. Ngoja niangalie maktaba yangu!

    • @saidiomary8886
      @saidiomary8886 7 ปีที่แล้ว +1

      Muddyb Blast shukrani bro, ukipata ata za juma mpogo pia kma ajari kibada wamenitoka usije mjini na n.k jagwa maneno saidi misape n.k

    • @iddisalumaliduchi639
      @iddisalumaliduchi639 7 ปีที่แล้ว +6

      SAIDI OMARY tulikuwa maskani maskani buzakanari kukaa kidogo kaja mtu kaja anatuuliza kipaka kafa saa ngapi tulikuwa hatuna habari kwenda kuuliza kumbe kweli.sio yeye peke yake safari yetu zote yeye ametangulia hata beka wa pwimbi utakufa tu.

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  7 ปีที่แล้ว +1

      Iddi Salum Ali Duchi duh!

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  7 ปีที่แล้ว +1

      Iddi Salum Ali Duchi maskani Famagusta!

  • @shahkassim4276
    @shahkassim4276 7 ปีที่แล้ว +4

    Tutafutie ngoma ya atomic radhia

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 ปีที่แล้ว

    Hasa kwa mzaz mwenzie😢😢

  • @dedkalambo7625
    @dedkalambo7625 6 ปีที่แล้ว +1

    sema baba msalimie juma mpogo fundi was mnanda

  • @erickphillipo8694
    @erickphillipo8694 5 ปีที่แล้ว +1

    ebana kuna ngoma waliiamba wauni wangu omari omari ft dogo mfaume pamoja na easy man inaitwa akiri ya madawa naitafuta kinyama kama ipo kaka tupia

  • @mateoamrima8386
    @mateoamrima8386 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka mbali sana

  • @meyou-zz8mj
    @meyou-zz8mj 7 ปีที่แล้ว +5

    Mungu amrehemu

  • @sangachrispin400
    @sangachrispin400 3 ปีที่แล้ว +2

    Said daban alikuwa mwizi sana

    • @maulidmnukwa3171
      @maulidmnukwa3171 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu amsamehe makosa yake

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 6 ปีที่แล้ว +1

    Balaa sana baba asha nazo

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 7 ปีที่แล้ว +4

    Swadakta mkubwa wa kazi....Kunta...Kinte.

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  7 ปีที่แล้ว +3

      Webster Sinje vyombo vyako hivi. Kunta Kinte.

  • @yusufurajabuomari647
    @yusufurajabuomari647 4 ปีที่แล้ว +2

    Umeenda wapi huu muziki hakika tumeumisi

    • @kahenekojr214
      @kahenekojr214 4 ปีที่แล้ว +1

      wanauita SINGELI sasa yani wameharibu

  • @ashirimakomao7463
    @ashirimakomao7463 6 ปีที่แล้ว +3

    said dabani

  • @hamiskuchepa2132
    @hamiskuchepa2132 6 ปีที่แล้ว +1

    We kichaa tupia kitu cha Jerry

  • @MohamedMnolela
    @MohamedMnolela 10 หลายเดือนก่อน

    Sadakta mkuu

  • @mengiuswege3654
    @mengiuswege3654 3 ปีที่แล้ว

    Vingunguti Miami kabla ya faru jeuri

  • @maundumwingizi8027
    @maundumwingizi8027 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaah kitaaambo sana

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  4 ปีที่แล้ว +1

      Mpwaaa! Usije-lia tu!

    • @maundumwingizi8027
      @maundumwingizi8027 4 ปีที่แล้ว

      @@TamuzaKale kwakweli...leo kumbukumbu zangu zimefika mbali sana mpwa. Ahsante kwa kutuwekea madini haya

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  4 ปีที่แล้ว +1

      @@maundumwingizi8027 Daah! Msala sana!

  • @husseinshaban2382
    @husseinshaban2382 5 ปีที่แล้ว +1

    Tokyo kono la shetani tutafutie ngoma zake

    • @mariamabdullah489
      @mariamabdullah489 5 ปีที่แล้ว

      hiyo longi kweli tokyo ngoma hatari dondosha tokyo

    • @baiaaa2809
      @baiaaa2809 3 ปีที่แล้ว

      Enzi hizo nilikuwa mdogo

    • @baiaaa2809
      @baiaaa2809 3 ปีที่แล้ว

      Dunia mapito

  • @MohamedIbrahim-wp3mv
    @MohamedIbrahim-wp3mv ปีที่แล้ว

    Ndio kipindi ambapo nilipaanza kuitwa.mudi. kandinga

  • @abdallahyahaya9760
    @abdallahyahaya9760 4 ปีที่แล้ว +1

    Music was tanzania

  • @musaumukusa7676
    @musaumukusa7676 5 ปีที่แล้ว

    Kitambo sana migo migo kota tupia na ya jerry

  • @nassorolikoko9191
    @nassorolikoko9191 5 ปีที่แล้ว +1

    Sauti ya utawala.

  • @lucasjacob6245
    @lucasjacob6245 6 ปีที่แล้ว +1

    jamani nataka nyimbo ya gari kubwa naludi nyumbani

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  6 ปีที่แล้ว +1

      Ipo kwangu.. Sachi GARI KUBWA NARUDI NYUMBANI

    • @allymbega8540
      @allymbega8540 4 ปีที่แล้ว

      @@TamuzaKale Mudi,naomba mawasiliano yako.Mimi ni mdau mkukwa wa mziki huu lakini kuna manyimbo mengi san natayatafuta,namba yangu ni 0713963812.

    • @allymbega8540
      @allymbega8540 4 ปีที่แล้ว

      Mwenye kuweza kunisaidia nitampa posho(tip) ya kiushikaji,kuna nyimbo na bendi nazisaka namba yangu ni 0713963812

  • @hajiadam6418
    @hajiadam6418 2 ปีที่แล้ว

    Nani anajua hizo

  • @kfastak
    @kfastak 6 ปีที่แล้ว +1

    Noumaa sana

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 5 ปีที่แล้ว

    Daah dunia ni ua

  • @MohamedIbrahim-wp3mv
    @MohamedIbrahim-wp3mv ปีที่แล้ว

    SI mchezo kitambo

  • @shabanimagembe3227
    @shabanimagembe3227 5 ปีที่แล้ว +1

    safi sana

  • @salehhemed9388
    @salehhemed9388 4 ปีที่แล้ว

    Iko wapi ile ya Machemba?

  • @khamisgoda9969
    @khamisgoda9969 5 ปีที่แล้ว

    tokyo ngoma vp zinapatikana

    • @allymbega8540
      @allymbega8540 4 ปีที่แล้ว

      Bendi zingine kuzipata imekua ngumu mno,mfano hiyo Tokyo ngoma,Kombora ya Hassan Chuna zote imekua tabu

    • @benjaminedward8582
      @benjaminedward8582 3 ปีที่แล้ว

      Nakumbuka enzi ya tops milembe tmk mikoroshini

  • @twilakambangwa5952
    @twilakambangwa5952 6 ปีที่แล้ว +3

    Urahibu wazee wa mitapa bw issa kihange. Dondosha Miami beat kina zamkwezi

    • @abdallahcooper7174
      @abdallahcooper7174 6 ปีที่แล้ว +1

      Hahahaaa,
      Inakubidi uwe Mtu wa Kinanda hasa ili ujue maana ya maneno kama MITAPA au KINANG'ULA!

    • @mariamabdullah489
      @mariamabdullah489 2 ปีที่แล้ว

      @@abdallahcooper7174 kweli kabisa

    • @btanzanite
      @btanzanite 6 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu issa kihange..ni wa mzee Yahaya msikitini kule!? yu hai kweli nae

  • @saidymalinga4078
    @saidymalinga4078 2 ปีที่แล้ว

    Sai

  • @mbarakaselemani7804
    @mbarakaselemani7804 5 ปีที่แล้ว

    Enzi hizo nipo shule ya msingi

  • @jumasundaymtabazi4876
    @jumasundaymtabazi4876 3 ปีที่แล้ว

    Omi

  • @allywayvideoclips9000
    @allywayvideoclips9000 6 ปีที่แล้ว

    naitafuta Sana aisee fanya kuni0677288198 nakubali Sana ii kitu

  • @ramadhaniashibae1193
    @ramadhaniashibae1193 7 ปีที่แล้ว

    du long time

  • @hamiskipengele5929
    @hamiskipengele5929 7 ปีที่แล้ว

    мкulugenzi Gulam temino WiFi cochi baba vitengo aoooo pamoja sana weka loliondo limkx

    • @johnvedasto7718
      @johnvedasto7718 6 ปีที่แล้ว +1

      mm mzawa wa Tmk kipindi hicho Tmk kuna urwahibu,umorali,ziporali nilishawai kutoka Tmk mwsh hd machine ya maji No 5 kufika pl jau nakisikia tena mbali na mwanangu Side Boy hd kufika saa 5 Usk tuligeuza tunafika hm tunakisikia kota yaani htr sn

    • @allymamba3397
      @allymamba3397 6 ปีที่แล้ว +1

      nasisi izo enzi zetu maana wkt huo uyo alikua namba mbili WA kwanza alikuwa Clinton mungu awalaze mahari pema peponi amin

  • @belloroma8040
    @belloroma8040 3 ปีที่แล้ว

    @. Tu
    Mchlriku

  • @omanoman4313
    @omanoman4313 2 ปีที่แล้ว

    .tupia.baba.asha

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale  2 ปีที่แล้ว +1

      Kwani hakuna? Ngoja nitazame!