ALINIHARIBU UZAZI | ALINITESA KWA MIAKA 10 | ALINIACHIA MSONGO WA MAWAZO NA NITAMANI KUJIMALIZA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Akiwa na umri wa miaka 19 Rose alikutana na Mzungu wa miaka 57 ambae aliharibu maisha ya Rose na kumfanya Rose aishi kwenye mateso kwa miaka 10.
Thank you Rose for sharing and allowing this to be online
Please subscribe to Rose TH-cam channel
th-cam.com/video/LGupM24hUvM/w-d-xo.htmlsi=H66gCWkoAR4FQn6i
Tiktok yake inaitwaje
Which part of Europe huyu mzungu.?I know Ireland wazungu not good.
Rose is innocent, beautiful and very kind girl...thanks for sharing....I will share with my daughter. You have served many lives...GOD BLESS YOU
My utapata mtoto. Rafiki yangu alitolewa mrija mmoja Mungu ni mwema saa hii ako mtoy. Utapata mtoy
Very interested life story , It is true I have learnt something very important in my life, but let our Almighty Lord bless Rose for this story.
Hii ndio Ile baada ya dhiki faraja.. Pole Sana Rose kwa mitihani yote uliyopitia. Much love from 254
45 has never been this cute🥰.. Mungu akurejeshee vilivyopotea. Ameanza na ujana. You look young Rose
Rose pole mnoo na big congratulations, you are the super woman ever, nakupenda huwa nakufuatilia sana na nkajihoj kama wengne wangekusikia wangesaidika mno, finally TH-cam wanakupata yote
Rose andika kitabu na kitabu kigeuzwe film. Pole sana. Huyo baba mzee alikuwa hafai kabisa
I just watched her last month and she was happy with him. When did this all transpire? 🤔😭
Hyu rose amepitia Mambo pole dada rose mungu Yuko na wewe sana
Rose nilimuona tuko talks na hii story...nikatamani kujua ikawaje after kutoka kwa mzungu baada ya kuteseka saana...
Nimefurahi kusikia kumbe ulipata mzungu mwengine na sasa yupo happy
Had to be a mzungu 😂😂😂🚮
Nice story ya life yako 🌹 nimeisikiza kwa makini wema wako na nia yako nzuri ndio mungu kakuraisishia mambo yako kakupa mtu sahihi kabisa nawatakia wote wawe mfano kwako kwa subra nakua muaminifu
Thank you so much, Shena, for hosting me🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Thank you Rose, you are awesome 🥰🙏
Rose please niambie huyu mzungu aliye kutesa ni kutoka nchi gani?
Jina lako la Instagram or TikTok
Rose hongera sana mungu amekufungulia njia kila la heri mwanangu
Niliona story yake kwa Lynn ngugi show
Best Interview unacheka unalia maisha yanaendelea😂😂❤
Nakupenda sana dada we ni mcheshi sana ❤ leo umemleta huyu rose kanifurahisha ni mkweli mcheshi mungu azidi kuilinda furaha yake ❤😊
Hii interview ni kali sanaaa Shena itunze sana, hii na ile ya yule dada aliyepitia changamoto nyingi sana njiani akitembea kwa miguu mpaka kufika Germany zinafundisha sana sanaaa naweza sema ni interview bora kuliko zote ulizowahi kufanya binafsi nimejifunza vingi mno mnoooo
Na ya yule kijana alieenda US kipitia mwitu kwa mwitu toka Brazil
Sanaaa
Sanaaaa
Sorry hiyonunayoisemea imeandikwaje ili niangalie
Mnitag kwa izo interview nizione pls
Pole rose
Asante kwa story nzuri..
Mungu awatunze
😢😢😢 never giveup mshukuru mungu kwa kila jambo
Story nzuri sana,naamini wadada watajifunza na kuacha kukurupuka
Rose speaks so well, her Swahili is so fluent ni kama aliishi uko Tanzania kiasi
Ana kiswahili kizuri kweli lkn watanzani hawaongei kama yeye. Ni kiswahili cha Kenya lakini anaeleweka vizuri kabisa😊
@@trayfosaharrison9199kweli. Mombasa moja hiyo lakini kimechanganyika kidogo sababu ana asili ya bara
Mombasa kiswahili chetu kisafi na sanifi sawa na tz,chakwenu huko nairobi ndo sheng
Shena ahsante kwa Story hizi ambazo huwa unatuletea hasa hii ya Rose ni mkweli pia ana Mungu yote aliyopitia ni uwepo wake hongera kwa yote na uvumilivu
She's so beautiful 😍 I remember her story.
Rose ni mwanamke wa nguvu
Da haisee pole sana kwa mapito dadangu (hakuna kama watu wenye loho mbaya kama wazungu dunia hii nimekaa nchi zao nyingi nimeona jinsi wanavyo nyanyasa madada zetu waafrica
Yaani dada huyu nimempenda sana,halafu ni mzuri kama jina lake Rose..Kila la heri.❤
❤❤❤🎉
@klotidasusuma2220 very True Ukikaa na waridi laxima unukie Rose kanukia kama jina lake ❤❤
Rose story yako ni nzuri sana na inamafunzo ndani yake Asante sana
Daaaaaaaaaah!me jmn nilimuomb sn mungu huu mwaka nipate mzungu na nifike Zanzibar mungu katimiza kwl ila mzungu niliyepew ni mzee jmn na niko nae hapa Zanzibar naogopa hata kushirk nae ila kwakuwa ninapenda wazungu na ni ndoto pia nilimuomb sn mungu huu mwaka usiiishe najikut navumilia
Hongera mno kipenz,,enda nae sehemu usizozoea,vaa kofia na miwan,fanya namna zote mpaka umzoee lovie ucjal watu hawakup kuishi,nkiongea ntajaza page I hope umenielewa
Tafta mwngn
Wakat ukiendelea nae ukiona huzoei hali, utawajua vzr wazungu na ivyo rahs kumpata mwingine ikibid
@@naombaelsamwel7226 yaaaaan dada ni mtihan Sana
@@naombaelsamwel7226 hapa nawaza kuondok mwz12
Niwapatie maua yenu na ninaendelea kujifunza ingawa kuna mda niliinngiwa na simanzi kubwa kisha nikaangua kicheko,safari ya maisha sio lelemama.
Mashallah shena shukulan Sana mgeni wa Leo amenifulahisha sanaaaaa ni mkweli kaibisa❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimejifunza wazungu wengi wana roho za wanyama, Rose Mwenyezi Mungu atakulipia.
Naogopa sana wazungu
Wazungu ni kama wafrika tuu dawa ni uchague uone ule mutawezana.si ati si ku suffer aliponipeleka Europe but mombasa ilinichanua na mimi sasa ni citizen wa Europe. Maisha si bed of roses 🌹. Weee
Apana. Ni kama sisi. Kuna wema na wabaya.
Pole sana rose usijali mungu bado ana haja nawe umtumikia
Asante sana kwa elimu dada Rose ❤ una moyo mzuri na wa ujasiri 😊
Kwakweli this is a very interesting story,i never heard!
Sister unajua wewe ni mwana fasihi simulizi🙏🙏🙏
Pole sana dada Rose kwa uliyopitia hakika mwenyezi mungu ni muweza wa kila jambo
Interview inaelimisha kwa kweli❤❤❤❤
Hadi nimemkumbuka Mwamposa aliwah kusema hapa duniani kila utakacho kitaka na ukikipata bado hutakuwa vile unavyofikiri ni zaid sana tumpende Mungu ndipo mema yatakapo tujilia,asante Rose sasa yule panya sasa😂😂😂😂
Pole sana rozi mtihani kwelikweli
Rose anavyo ongea raha sana, she speaks from the heart
This is a very true story! Rose you have awakened many young girls!
Pole sana Rose 🌹 usikate tamaa
Pole sana dada uyo muzungu hakuwamwema ulifaza vi zuri kutoka mwisho angeku uwa ame kufunga uzazi pa sipo wewe kujuwa na vilevile ange kumaliza bila wewe kujuwa
Ata mimi nataka,,muzungu ila wananiomba hela sijui nitamupata aje??
Sijawahi mwamini Mzungu kamwe,na nahisi wana ubaguzi sana na watu weusi
Sanaaaa
Kiswahili nzuri sana kama Tz❤
Pole dada rose,mungu akulipe wema
Nmecheka sana leo..Rose ni mcheshi na Tumejifunza pia..be bless shena and Rose
😂😂😂😂😂panya dada rose
Aiseh nimeumia sanaa.
Mungu ni mwaminifu kakufuta machozi. Enjoy life dear.
Endelea kumtukuza Mungu.
Rose nimwanamke mtulivu kwenye ndoa japo alipitiya mtihani
Pole sana R Yani nimeumia kuhusu kizazi wakati yy alikua na njia ya kujizuia yy asizae🥲imeniuma😭
Hapo kwa kutolewa mishiipa ya uzazi moyo umeniuma kha. Pole Rose 😢😢
Rose, mungu akubariki upate watoto . Ninakuombeya hâta mapasa kwa j'inaugure la yesu
Pole Rose nimejisikia uchungu sana japo nimejifunza sana
Rose you are so blessed mydear
Huyu ndio kaeleza tabia za wazungu very toxic
Wanawake wengi hawasemagi Siri za maisha ya kuwa na mzungu
Wazungu wanamambo mengi mno jamani😢
Usiamini hivyo kwani hâta ukisema ukweli wengi hawataamini kabisa ni kama ya kusadikika kumne ni kweli
Ni bahati mbaya tu ukikutana na mtu mbaya au mtu mwenye mastress yake, pia naona apo shida alishakua mtu mzima yani ujana alimaliza na wengine hivo si rahis kumetch
Asilimi 90 wazungu washenzi ni shida tuu ila sio watu.@@atutweve4160
Pole sana Mwanamke mwenzangu! Na huyo Mzungu ametokea Nchi gani ? Anaishi Kenya sawa lakini ametokea Nchi gani? Maana ni mshenzi sana na ana Roho mbaya sana pole sana mdogo wangu Mungu akulinde
Yaani rose kidogo story yako inaendana nayangu nimejisikia vibaya sana
Subhanah Allah dada yangu pole kwa mitihani ya maisha
Pole sana Rose na hongera kwa ujasiri❤
Rose,pole ...umetufunza sana Asante
Asanteni sana❤❤❤❤❤
Shena asante kutuletea huyu dada leo ,story nzuri dada mkweli hapindishi story 😍😍😍
Ulikua unamkimbilia ukidhani utamuua uchukue Mali, ukakuta anajua ku kuliko. Waafrika wengi hufanya hivyo
Dada Rose amenichekesha sana panya WA New York ni noma..
Ila wazungu ni wa swaili mno pole sana rose
Rose nimependa historia yako wow. Mimi naishi Amsterdam Holland
@@abdulsimbarakiye4145 allis goed?.ik won da ok.
Daaaaah hii interview 🙌🔥🔥🔥
Daaa,alimkuta ni binti mdogo yamkini alimbikiri yeye,akamchosha kwa mapenzi ya mdomo hakuridhika akaona amharibu mfumo wake wa uzazi,looo wazungu hapana jaman waafrica tujifunze hapa
Shena umecheka Leo!!!,inaskitisha ila so interesting story
Jamaniiii nimefurahia hii video😂😂😅😂 naona ninge enjoy zaid live mie.
Dadangu amepitia magumu lakini sister yuko roho safi.maisha nimagumu nadio ufaulu mpaka upitie shinda.i love you gal.❤
Namuelewa sana Rose hata huku Africa ukiolewa na mtu mzima huwi mtoto hakutreat kama mtoto anakufanya anavyotaka yeye na ukianza kuridi kwa watoto wenzako hufit wNakuona mama ukirudi kwa wamama wanakuona mtoto sasa mtu pekee anaebaki ni huyo aliekuoa ambae nae anakuwekwa kugumu kwakuwa hana mapenzi tena na wewe uko na mapenzi kwake anaanza kukuwekwa kama mfanyakazi wake na vipigo juu na hata akikununulia nguo anawapa house girl ambae ni hawara zake na watoto mkipata wanakuwa ni wako si wake maana haitaji watoto anahotaji maisha yake yasiyokuwa na muelekeo uko sasa Rose
Hii story iwe nifunzo kwa madada wa kiafrika kuwa maisha na mzungu sio bed of roses kuna wazungu wengine wana akili za kinyama japo siwote na kama hawa wazungu wamewasoma zile mentality za kiafrika kuwa mzungu kwao nimkombozi wa matatizo yao ukiingia kwenye mahusiyano Ingia ukiwa umejipanga
Usiku mwema ❤
Pole sana 😢
Alakini maisha lazima yaendeleye mungu ni mwema🎉
Nimempenda sana huyu dada
😂😂rose anachekesha kwahio story sasa ya panya bana😂😂ila pole san ulipitia magumu dada.
Rose Pole sana kwa yote uliopitia, binafsi kupitia interview hii ndio naelewa ile elimu unayotoa tiktok lkn wengi wamekuwa sio waelewa daah hakika mungu nimkuu yote lkn akakubariki mume mweema hongera sana ww ni shupavu sana
Tiktok anatumia jina gani?
Waah... Rose is such a pure heart. I believe that a good person will always attract good things. I'm glad things are going well for her.
P.s Karma is real... that first marriage guy will regret one day
Rose nakupenda sana ❤❤❤
Atleast nimewachanua.mambo America sinjui but becareful online dating. Enda kenyan Coast wazungu wako kibao. Unaweza pata MZUNGU au family friends wakutengenezee maisha. Enda ukutane na wao face to face.
Dah panya wa new york shikamoo 😮
Rose na mpenda sana kuhusu story yake lakini bahati mbaye amesha olewa
Pole sana Rose
Pole sana dada
UPUMBAVU WA HALI YA JUU!! TATIZO WANAWAKE WENGI WA KIAFRIKA HAWAJIELEWI NA HAWAFAHAMU WAZUNGU VIZURI NA MTAKOMA WAPUUZI NYIE!!
Pole sana mdogo wangu. Kumbe mzungu ni hasara sana.
Panya anataka kupigana 😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻 1:39:46
Hilo zungu lilikua kizunguzungu tu😅😅😅😅😅😅
Pole sana dada angu mungu akulinde
Nimempenda sana huyu na nimecheka sana hapo kwa panya wanataka kukupigana na ww 😅😅😅ila nimempenda interview yote ameingea kiswahili safi kbs ila nashangaa watanzania hapo kiingereza kingetapakaa😅
Nataka kuzugumza na Rose ❤
Amazing lady
Nimewakubali Sana dada zangu
We dada jasili sana jamani MUNGU akulinde❤
Wazungu wanatuzarau sana naju wanawake wa kibongo mnawashobokea sana
Si wazungu wanatuzarau, ukiwa desperate mwanaume yeyote anajua kusense mwanamke desperate, iwe afrika au wapi wanaume wanaofanyia wanawake ubaya wapo achana na kulebo wazungu kuwa ndio wabaya au wanashobokewa
@Oliva_Meela kwani huwa mnaelewa mnafosi ndo mana hamuelimiki
@@YuyuMp-d8ykila rangi ukiwa na bahati mbaya utakutana na watu wa hivyo tena afadhari ufanyiwe na rangi tofati, lakini ikiwa rangi yako ndio yanauma zaidi.watu wabaya wapo kote naogopa mtu anaekutenganisha na marafiki na ndugu.
Rose penzi cha wengi ❤❤❤
Ukiona simba mzee amekwepa Mishale mingi. Hongera na pole dada
Hii story inafundisha sana shena mungu azidi kukusimamia kwenye kila hatua
Duh pole Sana Rose....
Nimefurahi sana mungu akupe maisha marefu 😅😅😅😅
Atakuwa mjerumani uyooo 😅😅
😊
Asante kwa kushare story yako❤
Sorry rose you went to a crazy guy. In New York same places are very beautiful. Where in New York did you stayed?
New York city hiyoo mwanangu Shena😂😂😂😂😂😂😂😂
Dah pole san dada