Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amtaka Mkurugenzi wa NIS Noordin Haji Ajiuzulu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 26

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kabla Hajji ajiunzulu unatakiwa uanze wewe na huyo ruto wako mpeleke sura ngumu za kunyanyasa wake uko ushagoo

  • @gasparmpoma3860
    @gasparmpoma3860 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nadhani Hii imefuatia Baada ya picha za Ramani ya Ikulu ya R aisi Kuvuja mtandanoni. Hii ni hatari kwa Kenya hata baada ya maandamano na Vuguvugu hili kuisha, Maadai wengine wanao uwezo kutumia ramani kufanya Chochote.

  • @gasperswai6963
    @gasperswai6963 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hata yeye makamunwa Rais hana sifa ya kuwa na hiyo safari alishindwaje kumshauru boss wake,tena yeye ndiyoe shida kubwq saana katika uongozi wa ruto

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 หลายเดือนก่อน +4

    Wakujiuzulu ni wewe mwenyewe na Rutopolo mwenzio mnaweka kodi hadi kwenye kucheka na kuliya 😂😢

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hakuna naibu wa raisi anaropoka Ivo huyu hafai kua naibu raisi

  • @noelmarapachi1808
    @noelmarapachi1808 3 หลายเดือนก่อน +1

    The name is Pronounced 'Gashagwa'.
    Other wise mnafanya kazi nzuri

  • @Muzammil99p
    @Muzammil99p 3 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu Dp na boss wake ndio wametuangusha vibaya sana brother sky jama ni mpumbavu sana na akona elimu ndogo sana

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 3 หลายเดือนก่อน +4

    huyo mzee Gashagwa kwanza hajui kazi yake..yeye mwenyewe alisema hakuamini wakati kuchaguliwa kama naibu wa raisi..yeye ndio ajiuzulu kwa kutomshauri kiongozi wake🇰🇪🇰🇪💪

    • @eleven-in5qw
      @eleven-in5qw 3 หลายเดือนก่อน

      Siasa zina mipangilio mswada wa fetha hausishwi na naibu wake kivyovyote vile. Naibu huufuata msimamo wa rais

  • @Zenny89
    @Zenny89 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ila Wakenya wamenifurahisha sana…Kuna MP wenye vitambi walikuwa wanatoka mbioo🤣🤣 Sikujua Kama kinawatu wanaweza kuweka mitumbo Yao juu ya kichwa na kukimbia vile🤣🤣

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 3 หลายเดือนก่อน +2

    Gachagua anafikiria na matako nowdays he shud leave hajji alone

  • @Chrispinewangole
    @Chrispinewangole 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani mkurugenzi wa NIS ndio kapitisha mswada wa finencial bill.
    Wanasiasa ni watu wa kuwaogopa sana hawaishi vigeugeu.

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mshauri wa kwanza wa rais ni mteule wake namba moja yaani makamu wa rais......anajua ila anafikiria siasa hadi kwenye mambo ya msingi

  • @WonderfulPrince-x3c
    @WonderfulPrince-x3c 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wakati wajaluo walikua wakiuliwa ulikua wapy

  • @alibinali_
    @alibinali_ 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wote wamoja sahi wana jitetea

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 หลายเดือนก่อน

    Mmmhh iyo inaitwa ivi kaka sky acha mvua inyeshe Ili tuone panapovuja ndo iyo kaka sky...inamana hawakujuwa kwamba wanachofanya wanawaumiza wananchi?? Au walikuwa wanawajalibu Ili waone watapokeaje?? U have to be serious bwana..maisha ni magumu no ajira zakutosha watu sio waadilifu alafu unawalaumu watu wengine wakati nawengine wamehusika kuchokonoa machungu na mahasira ya wananchi watu hawana furaha za maisha kabisa...unajua siku zote alieshiba kamwe hamjui mwenye njaa..

  • @jumaramadhan5903
    @jumaramadhan5903 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hawo ni wasomali na hawana roho nzuri na wakenya waodoeni ma office ni

    • @aminaanab1071
      @aminaanab1071 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio unaroho mbaya unawajulia wapi wasomali????😢😢😢

  • @vincej9275
    @vincej9275 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yeye Gathagua na Ruto wote kitu moja tuu !! Yeye alikua wapi watu wanapo pigwa risasi Kenya !!!

  • @AdrusHassan-c5m
    @AdrusHassan-c5m 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tamaa zao wenyewe wanatafuta wa kumtupia lawama

  • @beckamuziki2785
    @beckamuziki2785 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wote Wanajua Kinacho Endelea

  • @roselynealima3618
    @roselynealima3618 3 หลายเดือนก่อน

    Pronounce Gashangua not Gachangua 😊kuandika ndio unaandika Gachangua

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tunatupiana lawama sasa

  • @fahadalismaili6546
    @fahadalismaili6546 3 หลายเดือนก่อน

    Mwambie rais amteuwe dada yako

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shati lake Sasa🔥🔥

  • @StevenTaylorx
    @StevenTaylorx 3 หลายเดือนก่อน

    Propaganda!!