Ni Laana! Kitabu cha Marehemu Kim Porter, aliyezaa watoto 3 na Diddy chaanika mazito

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

ความคิดเห็น • 22

  • @matendoa.online803
    @matendoa.online803 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Everyone will come with something, they are taking advantage of the situation. The future will tell…D ana makosa yake ila wana taka sasa kumu angusha. Music industry ina giza nyingi .

  • @Adeen.1
    @Adeen.1 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kim alifariki kwa stress za mahusiano ya Diddy sasa hapo kwenye stress ndo HATUJUI ni zipi

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Kuna mambo ma 2,,,kwanza promo za machoko ziwe ni habari za kawaida na tunapokea bila kujua,,pili uyo didi akitoka ndo ntaamini kweli freemasons wapo dunian

    • @sundawnsmedia6659
      @sundawnsmedia6659 48 นาทีที่ผ่านมา

      Hii ya kwanza hata mimi naamini hivyo, kwa sababu yeye mwenyewe alishawahi kutabiri kukamatwa kwake. Hapa utaona walikuwa wamemwandaa kwa kazi hiyo kwa muda mrefu.

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 45 นาทีที่ผ่านมา

      Kweli yaan dunia inashughulika na huyu mtu ila sns nae kazidi na hizi habari za huyu mtu

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye 37 นาทีที่ผ่านมา

      Ndy maana ya wana habari​@@melanialeonard4031

  • @RonaldoKenya
    @RonaldoKenya ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    N swala la muda 2. Mondy kama kashiriki bora aseme haraka 2jue . Yan jamaa diddy akisomewa 2 mashtaka bas vizibiti vote ataweka kwenye mwanga. Ila didi,kamuua 2pac kafanya mazambi mengi sio bure ana Pelekwa mputa mputa

    • @elishaobadia8829
      @elishaobadia8829 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ujue ili ikusaidie nini!?Acha umbea

  • @JamesWisdomtz
    @JamesWisdomtz 10 นาทีที่ผ่านมา

    Duh mwana mke hapaswi kutangaza hizi mambo za hidi tunakuwa hatuelewi😢😢

  • @daviddeus6437
    @daviddeus6437 18 นาทีที่ผ่านมา

    Kwo diamond,babu tale na lukamba walifirwa na huyu jamaa

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Alafu huyu mtoto wa kiume kafanana sana na baba yake

    • @Nuru9568
      @Nuru9568 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Copy and paste yaan

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂msisau p Diddy alim follow mondi 😂😂 kashinda tuzo

  • @ForexDollar-k9i
    @ForexDollar-k9i ชั่วโมงที่ผ่านมา

    P ddy kachafua hali ya hewa dunia nzima inanuka 😅😅😅😅

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha umaskini, tafuta hela

  • @Abby_Shawn_KE
    @Abby_Shawn_KE ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😂😂😂 DIDDY amekamata trending ya dunia mjuwe, Diamond akifirwa huko anakuja kulipiza na akina RAYVANNY, MBOSSO na HARMONIZE maana kawazidi cheo kwenye himaya hiyo

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 40 นาทีที่ผ่านมา

      Watajua wenyewe cha muhim nj mtu usilale njaa: hii dunia ina mengi kwanza haina usawa

    • @Abby_Shawn_KE
      @Abby_Shawn_KE 37 นาทีที่ผ่านมา

      @@melanialeonard4031 😂😂mimi nina hamaki na vyama hivi vilininyima haki kama chipukizi ila yote sawa sikuwa natafuta hela kwenye muziki

    • @Gersah
      @Gersah 29 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@Abby_Shawn_KE😂😂😂uckate tamaa jaribu wakt ujao

    • @Abby_Shawn_KE
      @Abby_Shawn_KE 26 นาทีที่ผ่านมา

      @@Gersah 😁acha tuone kama wasanii wa ibilisi watashuka waishe na MEDIA zao tuanzishe zetu sie watu wa mwenyezimungu

  • @BryanNassary
    @BryanNassary 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ehhh

  • @GABRIELGEORGE-qq1nj
    @GABRIELGEORGE-qq1nj ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dah!😢