The Story Book: EL CHAPO ‘Gwiji la Mauaji na Madawa Ya Kulevya’ PART 2
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- The Story Book: EL CHAPO ‘Gwiji la Mauaji na Madawa Ya Kulevya’ PART 2
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
UKITAKA KUJUA UKUU WA MUNGU MWANGALIE HUYO JAMAA KWA YOTE ALIYOFANYA LAKINI BADO MUNGU ALIMPA NAFASI YA KUTUBU,KUWA HAI MUNGU ALIKUWA ANAMWAMBIA TUBU MJA WANGU NAKUPA UHAI HUU UTUBU,KAMA UNA AMINI MWENYEZI MUNGU WETU NI WA HURUMA SEMA AMEEN🙏🙏🙏🙏😪
Haswa
Amen
Amen
Ameni
❤
Tunaomba the story book kuhusu Idd Amin Dada tafadhali
Kisa cha mwisho kina ujumbe mzito sana kwa wenye mazingatio. Allah atujalie mwisho mwema
Tuliokubali Huu Muendelezo Wa Guzman “El Chapo” Kutoka Kwa Professor Jamal April Tujuane Hapa Kwa Likes Nyingi👍🏿
Jamaa ni noma sana aisee. Kupata movie review za watu hatari kama kina El-Chapo usisite kucheck channel yetu ya vibanda umiza.
Kakaa talent nzuri san endelea kutuletea story nyingine
The story book ya leo ikoo na mafunzo makubwa kuhusu maisha,Asante sana prof Jamal.
Dear professor, I have never put a comment juu hizi kazi zako nzuri,, na si kwamba sizipendi,, ninavutiwa nazo sana, ila nimekaa kujishauri kwa muda mrefu ni lini nitakueleza,, leo nimeona ni vyema,, please bro, prepare English subtitles for these good videos you make, it is much meaningful coz I hope you’ve got a lot of fans out there,, sio wote wataelewa Kiswahili. Ni ushauri tu. Much love from 🇹🇿🇹🇿
no asiweke english inaweza leta makubwa baadae kwa usalama wake , stori hizi ziishie kwetu wa africa tu wanao helewa kishwaili ili tukawaadisie wale ngugu zetu wasio helewa swahili ni ngumu kunielewa
Kuwekwa English ni kuharibu kazi haitakuwa na mvuto bhana kiswahili ndo Lugha yetu East Africa
The story book hii iko 🔥nmejifunz kty really!!!.. Solute to Profesor jamal .. Tunatamn the stry book yako ihus maisha yko naww skumoja, i preciate you san profesor🤘
Nakutolea kofia,ni furaha nyingi kufuata na kusikiliza story zako.Maneno 3 yalinigusa,MDA HUU UTAPITA.Asant prof
Daaaah!!! kumbe 2015-2019 sisi tunahangaika na mange kimambi mara bashite kumbe huko mambele kuna myamba inapindua meza kizembe..... safi sana
😂😂😂😂😂
Kazi nzul sana pande hii za Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Shukurani sana kaka Jamal
*SALUTE KWA EL CHAPO*
Ww ni bro ya Ali kiba professor mnafanana sana
Professor Jamal April. You are really making good stories that the whole continent should know. I'm very much grateful. Please do mzee jomo Kenyatta of Kenya and also jaramogi odinga don't forget J.M Kariuki both from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
👍 true 👍
Professor u so talented..nipo ughaibuni abroad,bt one's day nikidondoka hapo tz, ntakutafuta.
Kazi nzuri sana Professor
Always waiting, From KENYA 🇰🇪
Jamaaaaaaaalllly 🙌🏻
Kutoka Kenya............ Marvelous from you Jamal
Mashaallah nilikua naisubiri kwahamu
Nakukubali sana kwastor aswa zakijambazi
Pamoja sana pr0fessor jamal April
you are my mentor jamal april i love your work men am also doing the same lkni bado mi ni mdogo kwa industry🥰🥰🥰🥰🥰
Kiswahili kizuri chenye mvuto wa thamami nikiwa Kenya 🇰🇪 ninapenda sana kusikia simulizi lako
Shukran sana kwa ujumbe Prof Jamal
Always waiting for the story book! Kenya iko love.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hatimae umeweka Asante Sana kwa part 2
Aiseee uyu mzee ni mwamba
Duuh huyu pimbi kbbbk nomaaaaa real hustle
Jamal April u really make me happy through your story may God protect and fight for u day and night 🇰🇪🇰🇪 from kenya i really salute you
Kate de castillo...my favorite actress ,kapiga movie moja kali inaitwa La Reina Del sur ya ki mexico iyo zipo season 5
Nyingine inaitwa Engobernable
Jamal professor heshima kwako, kwa hakika wewe ni mpambanuzi mwenye kipaji cha usimuliaji.
I think El chapo was a man with goals💯
A man with vision
Proud of you Jamal
Jamal napenda sana michapo yako 🇹🇿🇬🇷⚓
Thank you prophesa.story hii iko na mafunzo mengi sanaa🔥🔥🔥🔥🇰🇪🙌
Duuh hadi huruma jamn maisha haya tunapita tu🥺
I humbly salute you, for candid and very informative story, research is key. am a big fun of your story
From Kenya I enjoyed it alot... Nisimulie kuhusu Osama bilnaden kidogo nijue kumhusu professor
Ipo itafute utaipata kaiandaa yeye kasimulia mwingine kabla ajaanza kusimulia yeye
Professor u are really talented 👏
This story made me cry 😢😭
One of the best words that has touched me a lot is that "MUDA HUU UTAPITA"
It really touches my heart
In life u can do whatever u want to ur fellow human beings but u mustn't forget that all what u doin' will pass😭😭
Thank you for the great story
Keep it up bro 💪
Amazing
Nice story ❤❤❤🔥🔥🔥🔥
The story book ibaki milele...!!
Salute to professor
Also salute to Elchapo for teach us a lesson to avoid darkbusness
😃😃😃😃😃
Wow I love the story book🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Professor 🤩🤩
Usishangae huko napo siku moja akaja kutoroka tu😄😄
Especially this the best story telling site.. Awesome #ProfessorJAMAL KEEP IT UP👑🕊
Waiting for the next chapter of El Chapo, that is not the end, trust me!
Hahaha
Wow was waiting for this
I salute you Jamal
COOL😎
fanya moja ya Iddi Amin dada
Great Mind So for the Part2 Thanks
Professor... Good job 👌
Salute to you professor
Shukran jamal from this side 🇰🇪🇰🇪
My best story so far🔥
Very best jamal
😄😄😄dah kuna watu wabishi duniani duh!!
Keep up professor 💯💯💯
Re profesor🙌
Mi nahis atatoroka tena huyo pimbi 😀😀😀
Ni Noma Sana Uyu Jamaa
Another time with professor 🔥
Daah huyu kweli chafu moja
Hatariiii😶😶😶
Jina lake nilisha mpa mwanangu kama kumuenzi mwamba huyu
Daaah😃😃
Umemaliza unyama sana prof
Duh ww ni Zaid ya profess🙏🙏
Uku mexico tumekupata pia 😎
Hatari kabisa mtu mbadd😮
Jamal April hongera kwako kwa story ya el chapo
Noma sana
Unajua professor
Exactly your de best
30 times nikisikiliza hii na kujifunza mengi sana😢😢😊
Jamaa aliamua kweli duh
Chumaa kamandaa kabisa 🔥🔥💪😎
Profesa professional hatari unasisimuaa
Much respect bro
Mwamba amejua kuyaishi maisha yake, kichwa kimoja kuisumbua Serikali sio jambo dogo.
Oyaaa acha tu miaka yote hiyo aseme huyu ni mwambaa
Ningependa professor utuletee na story ya visiwa vya vaadhoo na Maldives vyenye Fukwe zake Wakati wa usiku maji yanakuwa na rangi ya blue na nyeupe
''MUDA HUU UTAPITA'' Maneno matatu mazito yenye ujumbe mzito mmmmno
Jamaa kashindikana🙌
Always waiting
Fire
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾elchapo
Kaz nzur broo big up sn
Jamal April, I love this channel🍓🍓🍓🇰🇪🇰🇪🇰🇪
mapusha wa Tanzania wanaposikia habari ya mtu uyu nahis wanajiona ni WACHUMBA
😂😂😂
Oya😃😃😂😂😂
Kafanana na kocha wa simba
Huyu msumbufu sana aisee
I appreciate sana bro ✌
Kuna watu Wana bara duniani hapa
🔥🔥🔥
Jamaa hatari
I want to be like him 💪💪
Uuze unga au
Kwa tz yety utakamatwa ufe hata hujawa tajri 🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂@@omarysaidy5524
I see mapusha wakimskilaza professor!