Mungu akuzidishie, busara, hekima, uvumilivu, lakini pia na ujasiri mkubwa. Binafsi sitapenda mheshimiwa Mwambukusi upotee mazima. Mungu akubariki sana..❤️🙏
Mwambukusi Mungu akubariki sana na elimu unayoitoa kwa sisi jamii imenijengea kujiamini kuwa mimi Mtanganyika sitakiwi kutishwa tishwa hapa Tanganyika tumebaki kutetemekea CCM ati sisi tunabaki kuitikia utumwa. Usiogope Tunakuaminia na tunakupenda sana
Mwabukusi' waliyo kupa onyo ni CCM na sio mawakili Na hatahivyo' unapewa onyo kwalipi baya ulilotenda'!? Mwabukusi ukosahihi kabisa kwakutetea Nchi yetu na raslimali za Nchi yetu Tanzanian
Huyu jamaa huwa ananifurahisha sana ...ni miongoni mwa watanzania wachache sana wanaotupa tumaini kwamba Tanzania inaweza kupata viongozi wazuri....watu wa Busokelo msifanye makosa hakikisheni Mwabukusi anakwenda Bungeni 2025 halafu menine yatajulikana
Usijisahau sana bro, pamoja na kwamba unafanya harakati zako. Ila chunga sana baadhi ya maneno. Ni ushauri wangu kama mdogo wko. I STAND TO BE CORRECTED🤝
Huyo anakuanbia kutathimini maneno ni wachawa tu kwa sababu hujatumia maneno yaliyo ya kutukana na yasiyo ya ustarabu. Je hawaoni yanayo fanywa na watawala wa CCM? KWA KWELI SISI WANAINCHI TUMEBAKI NA WEWE NA WACHACHE WANAO ONA WATANGANYIKA WATU. KEEP IT UP.
Watawala wa CCM wataenda wanako kwenda na matendo yao maovu yattangulia mbele watashangaa yote wanafanya yatawashuhudia mbele za Mungu ni watu Wabaya sana na wametufanya watumwa muda mrefu kiasi kwamba watanganyika hawajielewi mpaka wanafurahiwa na utumwa sasa kiasi kwamba ukiwauliza wanasema ee tusije tuasikika tukaleta. Nyerere mwenyewe angekuwa mwoga kiasi hicho Mpaka leo tungekuwa na Waingereza wakitutwala bado. Watu mfano wa Mwambukusi tunawaitaji ili watu wapate kujiamini tena Inchi kwetu Tanganyika. Ndiyo sababu wazika Tanganyika na sisi tunawachekea na kusema saw ati wanaogopa kuuwa kwani wao Mungu?
Yeah right! Jina lako linaotujuza unakoelekea. Ukweli ni Ukweli tu hauna kuupuliza kuupoza. Unatakiwa uwe jasiri au muoga. Unatakiwa uwe unatazama pande zote mbili kwa usawa. La sivyo wapoteza muda wako na kujiaibisha ndugu yangu. Mwambukusu yuko sawa na anasema kweli. Huo uwongo wake tujulishe basi nasi tujue. Usijifiche nyuma ya maneno ya jumla jumla eh bro😊
KAA KARIBU NA MICROPHON USIKEKE PUMBAVU WEWE UMEZOWEA KUWAPOTOSHA WA TANZANIA " UKIENDELEA KUWAPOTOSHA WA TZ SHERIA HAIJAENDA LIKIZO" TUTADILI NA WEWE TUU HAKUNA NAMNA NYENGINE.
Kuendelea kuwalinda wasipotoshwe kwa hoja dhaifu ni udhaifu pia. Wanakula na kushiba huwaona raia wengine ni nusu watu au waliumbwa na Mungu mdogo. Binadamu wote sawa tunaelewa kama wewe. Labda wale wachache waliodumaa. Wengi wetu tumijifunza kutumaini tu Ipo siku tutachazana fimbo kwa tabia ya kudharau. Anatupotosha sisi hatuna akili? Hûwa tunatafakari kila jambo ndugu kwa akima sana. Ni bora useme kakupotosha wewe. Utawala hautetewi kwa akili nyepesi kiasi hicho.
Mwizi anaitwa Mwizi! Jambazi anaitwa jambazi! Fisadi anaitwa Fisadi! Mchawi anaitwa mchawi! Chawa ni chawa tu! Je wewe unataka akosoe vipi! Awaiteje hao watu! Wanufaika wa huu mfumo kandamizi wa mafisadi hawawezi kumkubali wala kumwelewa Mwabukusi! Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!
wanaojua makosa ya inchi hii wasomi wakiwemo wanasheria wa kujitegemea ndio wanaotetea wanainchi sisi watanzania tuko na nyie musichoke maana wanasheria serikali ni ccm ndio maana hata mabaya ya viongozi wao wanayabariki
Nafikrii ukiibiwa au mwanao kubaka nafikiri mbakaji utamuomba mzungumze kwa heshima maana mbakaji kwako anastahili heshima kuliko dhambi ya ubakaji aliotenda
Tunaweza kushugulikiana sisi kwa sisi, ila nyuma ya pazia umaskini unatushukia wote.magonjwa yanayotibika yanatumaliza, vifo vya ajali vinatumaliza, rasilimali zinaporwa, ujenzi wa barabara kandarasi wanagenga wageni! Rushwa,wizi, uzembe CAG kila mwaka anatuonyesha.unatumia nguvu kubwa kushugulikiana? Haya nayo maendeleo? Au ni woga wa mtu aliye panda mgongoni mwa siba? Anaogopa kushika? Dhana kushugulikiana ni kikwazo cha maendeleo yetu. Uadui kila mahari utadhani tutaishi milele. Ajabu tunakomoana Kwa hasara ya uzao wetu wenyewe.
Unapambana kukosoa mapungufu ya baadhi ya mambo LKN KASORO YAKO ni namna ya KUWASILISHA ndipo unakosa hekma na BUSARA na MWISHO WA SIKU HATA hayo unayoyasema yanaonekana ni UTUMBO Kwa baadhi ya watu
Mheshimiwa Mwabukusi ! Tunakuomba UMSHUKURU MwenyeziMungu. Hakuna anaekutisha wenzio wanakupenda ndiyo maana wamekusii ukae kimya. Kama kashindwa Jaji Mkuu Nyalali !wewe ni nani ? kama Jaji kissanga , Jaji Samatta hawa wote ni weledi wa sheria ! wewe nani ? Tunakuomba nenda jimboni kagombee ubunge au urais ili ukapiganie hayo unayoyataka. wameshindwa manguli wa sheria itakuwa hawa wa Leo. Matatizo ya nchi hii yslianza pale waasisi wa uhuru walipoenguliwa kwa dhulma wengi wao walikuwa waislam ndiyo maana dhambi ile inatafuna nchi mpaka na kesho. dhulma mwisho mbaya. wazee wetu walitafuta uhuru ili watu wote tupate haki lakini matokeo yake wakabaguliwa baada ya uhuru kupatikana . msimtafute mchawi ! wachawi wanajulikana hao ndiyo wametufikisha hapa. Mheshimiwa usilaumu tulipo angukia ukasahau tulipo jikwaa. Aksante
Mungu akuzidishie, busara, hekima, uvumilivu, lakini pia na ujasiri mkubwa. Binafsi sitapenda mheshimiwa Mwambukusi upotee mazima. Mungu akubariki sana..❤️🙏
Mwenyezi Mungu akubariki sana Mh. Rais wa Tls Boniface Mwabukusi
Mungu yuko nawe brother mzalendo wa kweli . Ubarikiwe sana
Mwambukusi Mungu akubariki sana na elimu unayoitoa kwa sisi jamii imenijengea kujiamini kuwa mimi Mtanganyika sitakiwi kutishwa tishwa hapa Tanganyika tumebaki kutetemekea CCM ati sisi tunabaki kuitikia utumwa. Usiogope Tunakuaminia na tunakupenda sana
Dhahabu "HUPIMWA KWA MOTO"Nakupongeza sana Mhs: Adv.Mwabukusi...watetesi mpo wachache...Ubarikiwe sana
Asante mwabukusiiiiiiiiiiii🎉🎉🎉❤
🙏🙏Haina shida mzee wetu sisi tuko pamoja wewe hao machizi pigania haki za watu wanao oonewa mungu akubaliki
Big up kaka Mungu yupo pamoja nawe.ukweli mara nyingi hushinda.
Mwabukusi' waliyo kupa onyo ni CCM na sio mawakili
Na hatahivyo' unapewa onyo kwalipi baya ulilotenda'!? Mwabukusi ukosahihi kabisa kwakutetea Nchi yetu na raslimali za Nchi yetu Tanzanian
Nakupongeza Kaka yangu tukopamoja🙏
MSHUKURU RAIS SAMIA.ANA HURUMA.ACHA KIHELEHELE
Mkundu wako jinga wewe.
Ndiyo nyie mkijazwa mimba mna mshukuru Samia.
Hovyoooo !!!
😳😳😳😳
Wakati magufuli kafuta mikutano na kubinya democracy akujitokeza alikuwa wapi kama siyo unafiki
Kiongozi tunakuelewa sana na tunakuombea sana Mungu azidi kukutetea katika majukumu yako siku zote, Ameni
This is my guy Mr mwabukusi I will stand with you sir mungu utuamshe sisi watanganyika kwa kweli barikiwa baba 👏👏👏
Huyu jamaa huwa ananifurahisha sana ...ni miongoni mwa watanzania wachache sana wanaotupa tumaini kwamba Tanzania inaweza kupata viongozi wazuri....watu wa Busokelo msifanye makosa hakikisheni Mwabukusi anakwenda Bungeni 2025 halafu menine yatajulikana
Baba tipo pamoja, Mungu akiwa dereva wako moja kieleweke. Usiwaogope mafisadi hão wasiyo na haya
Usijisahau sana bro, pamoja na kwamba unafanya harakati zako. Ila chunga sana baadhi ya maneno. Ni ushauri wangu kama mdogo wko.
I STAND TO BE CORRECTED🤝
Sjajua kwani kakosea wapi ndugu yangu kama wewe unakubaliana na mifumo sawa ila ukweli usemwe jamaa kasema ukweli
Huyo anakuanbia kutathimini maneno ni wachawa tu kwa sababu hujatumia maneno yaliyo ya kutukana na yasiyo ya ustarabu. Je hawaoni yanayo fanywa na watawala wa CCM? KWA KWELI SISI WANAINCHI TUMEBAKI NA WEWE NA WACHACHE WANAO ONA WATANGANYIKA WATU. KEEP IT UP.
MUNGU ni mwenye haki, huwa siachi kukuombea mtumishi wa kweli wa BWANA.
TUNAZIDI KUKUOMBEA WAKILI MAHIRI SANA BWANA BONIFACE MWABUKUSI
Daud alimuangusha goliati na ww amni tuko nyuma yako my brother
Hongera sana
Smart guy ..lazima ujue gharama ya nafasi yako..
Kazi ya wakili Ni ya Mungu
Ukikosea utahukumiwa na Mungu
Lazima mtende haki na kusimamia haki
Mungu akubariki sana, tunakuelewa sana Wakili Msomi
Amen.
Ubarikiwe sana
Boniphas Mwabukusi , Musa uliyetumwa kuwakomboa wana wa israel(watanganyika) kutoka utumwani misiri(ccm) Viva walkili
Eeh! Watanganyika kutoka utumwani wapi....? Watu mnafikiria mbali!
Kichaa ni were hayawani makubwa mnaoimeza nacho yeti. Namwimba Mungu azine Koo lako
HAYO TUME YASIKIA WOTE NA TUKO PAMOJA KAMA UKINYAMAZISHWA MAWE NA ARIDHI YA NCHI HII YATA SEMA NA KULIA NA MUNGU ATASIKIA NA KUJIBU
Watawala wa CCM wataenda wanako kwenda na matendo yao maovu yattangulia mbele watashangaa yote wanafanya yatawashuhudia mbele za Mungu ni watu Wabaya sana na wametufanya watumwa muda mrefu kiasi kwamba watanganyika hawajielewi mpaka wanafurahiwa na utumwa sasa kiasi kwamba ukiwauliza wanasema ee tusije tuasikika tukaleta. Nyerere mwenyewe angekuwa mwoga kiasi hicho Mpaka leo tungekuwa na Waingereza wakitutwala bado. Watu mfano wa Mwambukusi tunawaitaji ili watu wapate kujiamini tena Inchi kwetu Tanganyika. Ndiyo sababu wazika Tanganyika na sisi tunawachekea na kusema saw ati wanaogopa kuuwa kwani wao Mungu?
Professional misconduct!!..I like it!
Salute to
Nilikuwa nimekumiss Nondo zako Wakili Mwambukusi nilikuwa nafuatilia mitandao karimbia wiki moja hivi. Mungu mwema.
Haya mafisadi wanataka wanganyika wote tuwe machawa, wa ufisadi wao,pongezi kwako wakili
Damu ya Yesu ikufunike na kukukinga nahila zao hawa wasio na haya wala soni Mungu akubariki na kukulinda ndugu yangu
Fanya mazoez bro, tunakutegemea sana
Tunatakiwa tukubali lolote litutokee hatakama nikutoa uhai wetu. Sisi laia wavuja jasho ndiyo nguvu yahao wanao ongea ukweli. Siyo kusifia nakuwaombea mungu...
Stay blessed lawyer Boniface Mwabukusu.
Wewe ungekuwa mkweli ingekuwa vizuri sana lakini ubaya wako mengi unayoyasema si ya kweli kwahiyo jirekebishe
Yeah right! Jina lako linaotujuza unakoelekea. Ukweli ni Ukweli tu hauna kuupuliza kuupoza. Unatakiwa uwe jasiri au muoga. Unatakiwa uwe unatazama pande zote mbili kwa usawa. La sivyo wapoteza muda wako na kujiaibisha ndugu yangu. Mwambukusu yuko sawa na anasema kweli. Huo uwongo wake tujulishe basi nasi tujue. Usijifiche nyuma ya maneno ya jumla jumla eh bro😊
Ana chuki tu alikuwa wapi wakati magufuli anawapiga pini kina lisu mpaka wakakimbia nchi
KAA KARIBU NA MICROPHON USIKEKE PUMBAVU WEWE UMEZOWEA KUWAPOTOSHA WA TANZANIA " UKIENDELEA KUWAPOTOSHA WA TZ SHERIA HAIJAENDA LIKIZO" TUTADILI NA WEWE TUU HAKUNA NAMNA NYENGINE.
Ivi wewe na yeye mpumbavu ni nani?
@@nabimanyafesto5014Nashangaa eti hamna namna "nyengine"😊 .Lione kwanza ya Mchambawima anataka kuhamishia kwa wasomi. Nyooo!!!
We shoga nin mavi wewe
Nilijua shetani yuko kuzimu kumbe upo duniani? Acha ujinga jifunze kwa mwanasheria mwenye utu na mtetezi wa watz wetu.
Kuendelea kuwalinda wasipotoshwe kwa hoja dhaifu ni udhaifu pia. Wanakula na kushiba huwaona raia wengine ni nusu watu au waliumbwa na Mungu mdogo. Binadamu wote sawa tunaelewa kama wewe. Labda wale wachache waliodumaa. Wengi wetu tumijifunza kutumaini tu
Ipo siku tutachazana fimbo kwa tabia ya kudharau. Anatupotosha sisi hatuna akili? Hûwa tunatafakari kila jambo ndugu kwa akima sana. Ni bora useme kakupotosha wewe. Utawala hautetewi kwa akili nyepesi kiasi hicho.
Namkubali sana Wakili msomi mwabukusi tupo pamoja sana kaka
Nakubali sana
🙏🏾🙏🏾
hao ni machawa achana nao piga kazi kamanda tupo pamoja
Barikiwa sana wakili msomi
Tukikosa watu kama Mwabukusi, basi ujue Tanganyika nzima ni kusanyiko la Matahiira .
🙏🙏
nchi yetu haiongozwi kwa mujibu wa Sheria Tanzania is a banana republic
Tuko pamoja
Welldone wakili mwabukusi. ✌️👏🙏
👇🏿
#katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿
Sauti ya mungu unajua wewe siungekuwa mchungaji njaa tu kiboko yenu makonda
Sauti ya MUNGU si lazima uwe mchungaji: Kuna wachungaji wachumia tumbo
Ulitete ubinafisaji bandari I lengo kutetea wapigaji ww uko kimasilahi Kwa wapigaji
Uoga ni dhambi kubwa, maana hata sauti ya Mungu akitaka kufanya jambo juu ya mtu wake alituma Malaika usiogope.
Hawatakuweza jeova hameshakuweka katika mioyo ya watu hachana na matumbo ya tamaa Kuna siku tu yatanyauka si kitambo
Amini
Tunakuamin wakili wetu wewe ndo msomi
Wewe na makonda na lisu mko sawa kuwa viongozi wa juuuu
Stand up with justice being witnesses for GOD. And then even if it is against your own people. (Quran 4:135)
Respect
Kauli ilijazwa kwa jazba kubwa mno, maneno Yako vema, mawakili wenzako mbona wapo mbali kwa jambo hili?
Malcom X.
HAKINA ANAE KATAA KUKOSOLEA ILA INATEGEMEANA UNAMKOSOA KWA NJIA GAN UKIKOSIA KWA KUTUKANA HATUNA ATAKAE KUKALIA KIMYA KO REKEBISHA UONGEAJ WAKO
Mwizi anaitwa Mwizi! Jambazi anaitwa jambazi! Fisadi anaitwa Fisadi! Mchawi anaitwa mchawi! Chawa ni chawa tu! Je wewe unataka akosoe vipi! Awaiteje hao watu! Wanufaika wa huu mfumo kandamizi wa mafisadi hawawezi kumkubali wala kumwelewa Mwabukusi! Tunataka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi!
How
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
Verified sentences I missed u
Mungu anapenda watu wajasiri ,serikali inapenda wenye hofu je wewe mwenzangu utakuwa upande gani ?
Pambana tupo nyuma yako
wanaojua makosa ya inchi hii wasomi wakiwemo wanasheria wa kujitegemea ndio wanaotetea wanainchi sisi watanzania tuko na nyie musichoke maana wanasheria serikali ni ccm ndio maana hata mabaya ya viongozi wao wanayabariki
ALAFU BAADHI YA WADAU KUKUPA SIFA ZISIZOFAA PIA WANAPITILIZA...WEWE HUWEZI KUWA SAUTI YA MUNGU NI BINADAMU WA KAWAIDA HUO NI UPUUZI TU
HATUPING KAZ YAKO ILA NA WEW UMEONESHA MADHAI KIBAO KWENYE KUONGEA NA KUTUKANA VIONGOZ WETU HUNA HAJA YA KUTUKANA VIONGOZ WAKOSOE KWA HESHIMA
Mwizi ni Mwizi tu
Hakuna kupaka mafuta kwamgongo wachupa
Nafikrii ukiibiwa au mwanao kubaka nafikiri mbakaji utamuomba mzungumze kwa heshima maana mbakaji kwako anastahili heshima kuliko dhambi ya ubakaji aliotenda
Ww ni sauti ya mungu kama hutojali no yako ya cm muheshimiwa pls
Hamna lolote huyu mpotezaji watu
Huyu Kichaaa afutiwe usajili Hana adabu wa code of conduct Anachnganya uwakili na Siasa Futa certification yake akalime Mahindi
Pumbavu kalime wewee,bwege mkubwa
Punguani weye umeishia la pili unataka nawe uonekane mtu😊
Pumbavu msukule wewe
Tunaweza kushugulikiana sisi kwa sisi, ila nyuma ya pazia umaskini unatushukia wote.magonjwa yanayotibika yanatumaliza, vifo vya ajali vinatumaliza, rasilimali zinaporwa, ujenzi wa barabara kandarasi wanagenga wageni! Rushwa,wizi, uzembe CAG kila mwaka anatuonyesha.unatumia nguvu kubwa kushugulikiana? Haya nayo maendeleo? Au ni woga wa mtu aliye panda mgongoni mwa siba? Anaogopa kushika? Dhana kushugulikiana ni kikwazo cha maendeleo yetu. Uadui kila mahari utadhani tutaishi milele. Ajabu tunakomoana Kwa hasara ya uzao wetu wenyewe.
Msukule kabisa.kwanza kazi ya uwakili ni mtetea mtu yeyote aliye onewa hata kama siyo mahakamani
Gombea ubunge ccm
Unapambana kukosoa mapungufu ya baadhi ya mambo LKN KASORO YAKO ni namna ya KUWASILISHA ndipo unakosa hekma na BUSARA na MWISHO WA SIKU HATA hayo unayoyasema yanaonekana ni UTUMBO Kwa baadhi ya watu
Hekima ipi ?? Watu wengine ni kwasabb hata wivu wa Mungu hamuujui. Hizo ni hekima za wizi mnazo zitaka anyway.
Mtu yeyote akikosea anambiwatu hata kutukanwa sawatu haijalishi ninani.
Mheshimiwa Mwabukusi !
Tunakuomba UMSHUKURU MwenyeziMungu.
Hakuna anaekutisha wenzio wanakupenda ndiyo maana wamekusii ukae kimya.
Kama kashindwa Jaji Mkuu Nyalali !wewe ni nani ? kama Jaji kissanga , Jaji Samatta hawa wote ni weledi wa sheria ! wewe nani ?
Tunakuomba nenda jimboni kagombee ubunge au urais ili ukapiganie hayo unayoyataka.
wameshindwa manguli wa sheria itakuwa hawa wa Leo.
Matatizo ya nchi hii yslianza pale waasisi wa uhuru walipoenguliwa kwa dhulma wengi wao walikuwa waislam ndiyo maana dhambi ile inatafuna nchi mpaka na kesho.
dhulma mwisho mbaya.
wazee wetu walitafuta uhuru ili watu wote tupate haki lakini matokeo yake wakabaguliwa baada ya uhuru kupatikana . msimtafute mchawi ! wachawi wanajulikana hao ndiyo wametufikisha hapa. Mheshimiwa usilaumu tulipo angukia ukasahau tulipo jikwaa. Aksante