We hujui tu, mh. Gwajima ndo muumini mkubwa wa hayo anayosema jesca, ila sema anafuata maelekezo ya mh. Rais, ila moyo wake hauko huko kabisa, jaribu kufuatilia hotuba mbalimbali alizowahi kuongea utagundua hili.
Asante sana Mh mbunge Hawa ndo wabunge Sasa kwenye jamii, mbunge anaongea hadi unasikia hisia kweli mtu kaongea. Na kweli Tunakoelekea kutakuwa hakuna kuolewa au kuoa maana wanaume tumetekwa madaraka na wanawake, ni lazima tuweke usawa kwa jinsia zote mbili.
Yaani mheshiiwa pokea mauwa yako.Watoto wa kiume wamekuwa na msongo wa mawazo Hawajielewi sana.Kwasababu wamenyanyapaliwa kila sehemu.Si kwenye Elimu si kwenye ajira.Wasichana wanajengewa mabweni ili wasibakwe,lakini wanaume !!!!!!😂😂😂Umenisemea Mungu akubariki maana mimi nina watoto wa kiume tuuuu jamani Pokea mauwa yako.
Mama jesca Toka nilipokuwa iringa ukawa unapiga kampeni nilikuona wamaana adi leo nkukubli mama wa iringa ongera kwa kupewa upeo kama uo unaongea vtu fact sana salute kwako
Mama msavatavangu ni kweli kbsa kwa sababu tunateswa sana na wanawake wanapewa kipaumbele Sana kuliko sisi ata ukipenda polisi ukiwa hauna kosa ila utagandamizwa na mwanamke kutetewa sana
My dear upo juu mno!mawinguni!!yaani kama kungekuwa na usajili mimi ningekusajili uwe mbunge wetu..yaani wewe ni mwakilishi wa watu na unamuogopa mungu..hizi sera za dunia za kishetani zinamtenga mwanaume kwa makusudi kumshoofisha mwanaume ambae ndie aliepewa mamlaka ktk dunia hii ...na ndio maana mambo ya hovyo yanazidi kusambaa ikiwemo ushoga na usagaji...lakini pia kutengeneza wanaume tegemezi kwa mijimama halafu tunalia lia
Duuuh kumbe kuna wanawake wenye mawazomazuri kiasi hiki. Tatizo ni kwamba wako wachache sana. Hongera sana mama, wewe ni wa pekee, uelewa wako uko juu sana
Huyu mama yuko sahihi kabisa kunamuda watu wanapaswa kufanya uchunguzi watakubaliana na maneno ya huyu mama Asante mama nyie ndio wabunge mnao stahili kwenye bunge letu
Siku zote Wana Iringa wanakuwa na ufahamu mkubwa.Hongera Sana Mbunge Msambatavangu Mimi niliwahi kuacha kupiga kura kwa sababu hii Ni Serikali ya Wanawake watoto na wasiojiweza wanaume hatumo yaani sisi wanaume hatuna haki katika manufaa ya raslimali za nchi yetu?!😢
Yani huyo mweshimiwa kaona mbari san selikali haijawahi kungundua hiloooo kabisa wanadili na wamama tu ajabu kabi. Wanaume walio kabizuwa dunia hawapo poreni wanaotaka 50,50 sheria ya magaribi wamerizi tz poren sana nawataka babunge wenye akili kama huyo mama wako wapi ?
Halafu wabunge wakiume mmekaa tuu huyu mama ameongea point sana
Hongera Sanaa mama umeongea maneno ya ukweli kabisaa
You are perfect Mama,Mrs:Gwajima has been showing weaknesses all along
We hujui tu, mh. Gwajima ndo muumini mkubwa wa hayo anayosema jesca, ila sema anafuata maelekezo ya mh. Rais, ila moyo wake hauko huko kabisa, jaribu kufuatilia hotuba mbalimbali alizowahi kuongea utagundua hili.
Ngoja sasa aambiwe ukweli
anamuogopa mama
@@amosibilingi4299 uUko sahihi sana. hizi ofisimzina mambo mengi sana
Mmmmmmh!!!
Wabunge wa Iringa Mjini ni fire tulikua na Msigwa sasa Msambatavangu mwendo ni huu 🔥
Asante sana Mh mbunge Hawa ndo wabunge Sasa kwenye jamii, mbunge anaongea hadi unasikia hisia kweli mtu kaongea. Na kweli Tunakoelekea kutakuwa hakuna kuolewa au kuoa maana wanaume tumetekwa madaraka na wanawake, ni lazima tuweke usawa kwa jinsia zote mbili.
Mama uko vizuri. Hao wapumbavu wamepewa hela na wazungu ndo wanapanga mambo ya upuuzi.
Safi sana Mama...na Mungu wa Mbinguni Akubarik
Mungu wa mbinguni akubariki kwa viwango vikubwa kwa msaada wako wa TAIFA
Wabunge kama hawa hata wasipofanya kampeni Warudisheni Bungeni mtakuja kunishukur💝💐💐💐🙏
Kwqhy wakamtunza nakumtunza pesa ameongea pointi sanaaa ni kweli❤❤❤😂😂😂😅
Safi sana Msambatwa siyo hiyo kenge kigwangala,huenda ni shoga
Safi mh tusemee mama!!
Haaa haaaa aiseee kigwangala
Hongera Msavanga
Hakika iringa inapata watu sahihi Sana yaani huyu mama na Msingwa wako sawa kabisa hongera Sana Mama Mungu akubariki
We mama unaakili nyingisana kuliko mama mkuu
Msambtavangu,hongera sana! Una akili timamu hasaa !
Yaani mheshiiwa pokea mauwa yako.Watoto wa kiume wamekuwa na msongo wa mawazo Hawajielewi sana.Kwasababu wamenyanyapaliwa kila sehemu.Si kwenye Elimu si kwenye ajira.Wasichana wanajengewa mabweni ili wasibakwe,lakini wanaume !!!!!!😂😂😂Umenisemea Mungu akubariki maana mimi nina watoto wa kiume tuuuu jamani Pokea mauwa yako.
Hongera sana
Mama nimekuelewa chkua maua mama,
Mama jesca Toka nilipokuwa iringa ukawa unapiga kampeni nilikuona wamaana adi leo nkukubli mama wa iringa ongera kwa kupewa upeo kama uo unaongea vtu fact sana salute kwako
Mama msavatavangu ni kweli kbsa kwa sababu tunateswa sana na wanawake wanapewa kipaumbele Sana kuliko sisi ata ukipenda polisi ukiwa hauna kosa ila utagandamizwa na mwanamke kutetewa sana
Asante sana mama Mungu akubaliki sana
Point 100%
Wemama mungu akuengeze siku za kuishi
Asante Sana we mama,,,,,hakika umesema jambo la maana sana
Safi sana mamaaa umeongea jambo muhimusanaaa
Hongera sana mheshimiwa MUNGU akubarik san haki saw
Safi safi
Salute Sana Mhe Jesca, hii kigwangala itakuwa inatafunwa sio bure
Safi sana tunata wabunge kama hawa
Safi sana mbunge makin
Kwa hapo nakupa zote
Tanzania tunapotea sana, ukiwaacha wanaume hakuna jamii hapo
POINT KUBWA SANA MAMA
Yaani provider anaachwa kwenye mambo ya uchumii ... alafu watu wake wanakuzinguaa ukishindwa lea watoto unashikwaa
Nakupenda sanaaaa wewe Mbunge unafanya kazi sana huko Bungeni na upate Ubunge kila wakati Jessica
Aliyetoa taarifa ka senge hivi. Yaani mama anaongea point yeye anakuja na usimba na uyanga
Daaaah..!!! Huyuu MAMA, Mh M'bunge Ameongea Vizuri Sana.
My dear upo juu mno!mawinguni!!yaani kama kungekuwa na usajili mimi ningekusajili uwe mbunge wetu..yaani wewe ni mwakilishi wa watu na unamuogopa mungu..hizi sera za dunia za kishetani zinamtenga mwanaume kwa makusudi kumshoofisha mwanaume ambae ndie aliepewa mamlaka ktk dunia hii ...na ndio maana mambo ya hovyo yanazidi kusambaa ikiwemo ushoga na usagaji...lakini pia kutengeneza wanaume tegemezi kwa mijimama halafu tunalia lia
Well said... congratulations
You are perfect hivi watoto wa kiume kwanini wametengwa
Kuzaliwa mwanaume ndio utengwe mambo ya ajabu sanaa .
Sana na ndo hapo shetani alipo tupiga bao tukakumbatia watoto wa kike,tukasahau wakiume matokeo yake ushoga umeshamiri kuliko maelezo.
Mama hongera kutambua umhim wa wanaume katikati jamii majanaume yametulia TU Wala haya semi chochote
Ahsante sna maam
Msambatangu we SuperWOMAN asante kwakuwatetea watoto wetu wa kiume
Huyu mama kaongea kwa uchungu🙌🙌 kiukweli ameongea uhalisia🎉🎉
Duuuh kumbe kuna wanawake wenye mawazomazuri kiasi hiki.
Tatizo ni kwamba wako wachache sana.
Hongera sana mama, wewe ni wa pekee, uelewa wako uko juu sana
Hongera mama
JAMANI TUMCHANGIE BEI GANII HUYUUUU MADAM
HIKI CHUMAAA NOMAAAAA❤❤❤
Hoja bora sana
Kigwangara pumba kabsa
Asante mama vizuri
Huyu mama kwanini asipewe wizara ya wanaume kabisa. Inaonekana ana vitu vizuri mno.
Nimekupenda sana mama. Yaani sijui nikupe mau kiasi gani.
Mama hongera sana Roho wa Mungu amekutumia kwa viwango vya juu sana
Big up mama Jesca strong statement delivery , shame on you Kigwangala
Huyu mama yuko sahihi kabisa kunamuda watu wanapaswa kufanya uchunguzi watakubaliana na maneno ya huyu mama Asante mama nyie ndio wabunge mnao stahili kwenye bunge letu
Uko vizuri kabisa kwa Asilimia 100 %
Safi sana mama
Hongera sana Mama kulizungumzia hili tatizo ambalo limeshika mizizi sasa katika kila sekta hapa nchini.
Tangu umekuwa mbunge leo umeongea point❤
Ni mbunge wangu huyu ,,, hadi nimeshangaa katoa wapi point
Sawa mama
Yes nimekuelewa sana Mbunge wetu....
Big up mama loveeeeeeee moreeee
Yess yes momy
Jembe sanaaa Msambatavangu
Asante sana mbunge wetu utaishi hata baada ya kufa
Hongela kiongoz uchumi kwa vijana nitatizo lakini pia selikali Ina changia kuto walinda vijana namambo yasitalehe haswa kamali ichi inateketea 🇹🇿😭😭😭
Mama Shikamoo
Huyu Mama hanaga kazi Chafu. Ni spana tuu, sio akina Babutale machawa
Mungu akubariki kwa kuongea ukweli wa kuliponya taifa
Uposahihi kadisa
Vizuri sana Mbunge natamani upate mdamrefu zaidi wa kuwa bungeni
Hongera Mbunge
Nakuombea kwa Mungu uwe Waziri wa Wizara hiyo.
Nashangaa taarifa imetoka kwa mwanaume alafu dakatari😂
Perfect
Kweli mama
😂😂😂😂😂 Afu Dr
Kigwangala ni mpuuzi sana
wasagaji ni wengi sna cku izi
Msambatavangu gooood
God bless you mama
💯
Mungu akubariki mama
Iringa mitano tena namaua Yako hayo🎉🎉🎉🎉🎉
Kingwangwala hapo umechemka
Daaah huyu dada anaakili sana aisee hii ni sababu kubwa ya ushoga na single mother
Huyu Mama ni mbunge wa wapiii!?? She is so smart❤
Mbunge wa iringa mjini...
She replaced peter Msigwa.
Siku zote Wana Iringa wanakuwa na ufahamu mkubwa.Hongera Sana Mbunge Msambatavangu Mimi niliwahi kuacha kupiga kura kwa sababu hii Ni Serikali ya Wanawake watoto na wasiojiweza wanaume hatumo yaani sisi wanaume hatuna haki katika manufaa ya raslimali za nchi yetu?!😢
Umeongea kwa hisia sana 🤝🤝
Mhe.Uko sahihi mno,Mungu akubariki! unaujua UKWELI,wewe ni mama halisi,wakati mibaba imekaa kimya eti!
Mpeni mauwa yake
Yani huyo mweshimiwa kaona mbari san selikali haijawahi kungundua hiloooo kabisa wanadili na wamama tu ajabu kabi. Wanaume walio kabizuwa dunia hawapo poreni wanaotaka 50,50 sheria ya magaribi wamerizi tz poren sana nawataka babunge wenye akili kama huyo mama wako wapi ?
🙏🙏🙏
Wewe ndio unafa kua wazili raisi alone mungu akubaliki
Confused
safi sana mama MUNGU akubariki
ni kweli kabisa mama mtoto wa kiume anasaaulika sana
Nafikiri huyu mama anastahiri kuikalia nafasi ya huyo gwajima anastahiri😮😮😮
Nikuite nani hakika wewe ni mtetesi wetu, Asante Asante Asante hongera mp
Dr. Kigwangala umezingua sana yaani, think twice and deep.
N kweli
❤❤❤❤❤