MANABII NA WACHUGAJI WA UONGO WAUMBULIWA VIBAYA NA DUDU BAYA KAWAPELEKEA MOTO WATAJUTA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @nathandigital
    @nathandigital 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nimeipenda kuona roho mtakatifu anaongea ndani ya Dudubaya...

  • @ToivoJase
    @ToivoJase หลายเดือนก่อน

    Konki,salute

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 หลายเดือนก่อน +6

    Mpaka.lrene Uyoea mchunhaji

  • @athumanikajembe4585
    @athumanikajembe4585 หลายเดือนก่อน +1

    Wengine wanarogana

  • @user-yz3zi6ht3j
    @user-yz3zi6ht3j หลายเดือนก่อน

    Mhmm...Itakuwa mwamposa anakukatia donge nono

  • @djumadjumbe6907
    @djumadjumbe6907 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kubwabwaja ww
    Ng'ombe mzee alie zeeka
    Ingekua ata ulisha fika inchi zilizo endelea usinge isemea ata iyo Roma uwanja wamashoga

  • @nicolauselias9084
    @nicolauselias9084 หลายเดือนก่อน +1

    Duh ni ukweli mtupu kbs

  • @Alpha-ff5sf
    @Alpha-ff5sf หลายเดือนก่อน

    Tamka vizuri maneno'we live our life'

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 2 หลายเดือนก่อน +1

    Igeni mfano WA Kanisa takatifu Catholic la mitume Hakuna mambo ya vita tuna umoja saana

  • @JeniphaEdward
    @JeniphaEdward หลายเดือนก่อน

    Oil chafuta 🎉😂

  • @jimymacha6985
    @jimymacha6985 หลายเดือนก่อน

    Hakuna wa kunizima! Ndio maana huwa najizima na kujiwasha mwenyewe! Konki konki

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz หลายเดือนก่อน

    Ww dudu baya kua pastor basi coz naona dini imekuingia kweli 😂

  • @kalengalukozi9242
    @kalengalukozi9242 หลายเดือนก่อน

    Dudu baya umejaliwa kujuwa ukweli siyo kwa uwezo wako bali ni Mungu wako

  • @shukranisibale1739
    @shukranisibale1739 หลายเดือนก่อน

    "Machizi kamateni microphone muziki hauna bingwa ili tuwini maishani" Dudubaya ndani ya Safari njema akiwa na Comlex FA Professor

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 หลายเดือนก่อน

    Kuna mtu nimegonjwa ameambukiza.wote asife oeke yake

  • @RichardKinvunvu-qn1or
    @RichardKinvunvu-qn1or 2 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi dudu baya anaongea fact tupu tunaomba mkamuulize kuhusu mkuu wa mkoa wa dar es salaam maana alisema anakuja kumuona VP alikuja kumuona na kumtembelea,waliongea nini baada ya kuonana❤

  • @silvoclassicofficial959
    @silvoclassicofficial959 หลายเดือนก่อน

    Ndugu dudu baya ayo maneno yako aiwezi kutufikisha maala pasipo kuzibitisha kwenye biblia usizani Upo saihi maana hekima ya mwana Damu ni upumbavu mbele za mungu

    • @athumanikajembe4585
      @athumanikajembe4585 หลายเดือนก่อน +1

      Dudu baya anaongea kweli manabii wengi ni waongo zindua akili yako.

  • @tomsijohni
    @tomsijohni หลายเดือนก่อน

    hao wote wanaoitwa nabii ni wafanya biashara kwa kupitia dini ili wakue matajili

  • @selemanimsangi7805
    @selemanimsangi7805 หลายเดือนก่อน +1

    Dudubaya wewe mwenyewe mshirikina tuu Huna uchamungu wowote siyo wewe nilikuona kwa mganga kule bariadi unataka dawa ya kukubalika

  • @revocatusawadhi6550
    @revocatusawadhi6550 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 หลายเดือนก่อน

    🏳️‍🌈💪

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba dudu baya Putin konki konki konkii oili chafu😂

  • @elgringo8592
    @elgringo8592 หลายเดือนก่อน

    Kuwajua wa uongo ni kuwapima kupitia biblia tu wakisema maneno unangalia biblia inasema nini