Asante Baba yetu kwa kusimama imara na unaupeo mkubwa mno. Wewe unasimamia haki wala huyumbi yumbi. Umeshamfuta waziri namsaidizi wake kutoka kwenye ulimwengu wa roho basi tusubiri haya mambo yapite. Na itatokea kulingana na kinywa cha mtumishi wa Mungu.
Dorothy Gwajima kaa kimya, mpambano huo na shemejio , utaumia wewe. Kaa kimya fanya kazi zako Kwa kufuata Sheria , kanuni na taratibu. Acha mihemuko na mipasho. Kazi za mipasho waachie waimba Taarabu. Angalia Sasa namna mnavyoumbuana kiukoo.
This just shows how this human being called Ask Gwajima is good in human intelligence,kwanza anajua kujenga hoja zake pili anajua kuziaminisha/wasilisha kwa watu wake mwisho anatamhua nguvu ya ushaidi....mtu wa aina hii kwny uwanja wa Ujasusi wa Vita anakua amesomea Pychologic warfare... hii ni vita mbaya na nzuri kushinda kulko vita zngne zote koz imefanikiwa kwny matukio meng sana dunian!! ⚡️😉🙌🙌🙌
Majina msiyoyajua msiyasherehekee. Jasusi manaake ni mpelelezi na ukiangalia historia ya baba atu Adam na mama hawa utakuta kua walipokua peponi kulikua na jasusi aliewapeleleza, akawafitinisha kati yao, alietoa taarifa za huku akapeleka huku nae ni IBLIS SHETANI. kwa iyo gwajima anapojiita jasusi la mbinguni manaake yeye ni SHETANI mfuasi wa IBLIS anaewafitinisha watu na Mungu wao, watu na serikali yao. Hatawafikisha isipokua sehemu mbaya.
Sio poa hayo ni maswala ya serekali siyo familia hicho kizee kikae kwa kutulia mwanae afunzwe adabu kwani nani alimsema mwingine vibaya hivyo alitaka asijibiwe kisheria wanafeli eti kanisani hao walokole wanahusika vipi ndo mkawaeleze angeenda bungeni akatoe malalamiko yake hapo ni sawa na kumpigia mbuzi jitaa
Hekima na busara huanzia mbali.Uzuri mie sio shabiki wa Gwajima yeyote.ila Baba angeonekana anabusara na hekima kama alipoitwa madhabahuni angesema nashukuru kwa sababu wote ni wanangu mmoja wa kumzaa mwingine ni mkwe wangu .naahidi haya mambo kuyamaliza kifamilia.lakini alichosema manake kamkana mwanae mume wa Dr na wanae.Mungu naomba busara nisiwe kituko.hapo mpaka watoto wao umeweka nao bifu kukosa busara Mzee Baba kumevunja familia .mzazi kafeli au kisa jamaa anapesa za sadaka ananunua mandege au
Msamehe mzee umri uneenda na Askofu ndio Anamtunza kwahiyo anajiona amemfurahisha sana Askofu kwa maneno yake lakini kiukweli mzee hajatumia busara.. wote wawili hawa wamechemka tena sana...
hamna dini hapa siasa na dini nikama usiku na mchana. siasa ni kutafuta sifa za duniani na dini ni thawabu kutoka kwa mola, ukitaka sifa za dunia hupati thawabu.
Episode hizi zinapatikana Tz pekee, issue za familia zinaamuliwa jukwaani, watu kwakukosa maarifa wanashangilia kama mazuzu. Kesho familia ikipatana wanashangilia tena kuonyesha jinsigan walivyo wazandiki
@@greysonmheni5176 wasikudanganye Kaka ...yesu hakufa kwa kuokoa dhambi za mtu ila yesu kasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe siku hio ikifika.yesu hasemagi uongo kwahio tujitayarishe kubeba mijidhambi yetu na tujitayarishe kujibu masual kwa mmungu.huo ndio ukweli mkitaka msitake.
Usanii tu huo anamsaidia mwanawe haikuhusu kuyaleta kanisani .upuuzi mtupu na kondoo wamo kupiga makofi . shemere imewaingia poleni. askofu hana uwezo wakufanya lolote asiwatishe watu .
Mzee mbona unaongea kama mtu asie jielewa hayo mambo ya kifamilia na wewe ndio tulitegemea usiegamie upande wowote hekima yako ya miaka 80 iko wapi sasa
Huku Askofu amechochora! Yeye kama askofu, na ana Mungu ndani yake, asisukumwe au asilete hisia hasi kama hizi madhabahuni!!! 😟 Hapa amepotoka na anawapotosha waumini wake. Anatakiwa ahubiri upatanisho, sio mafarakano!
Ila na yey ana leta aibu utasemaje mumew akamatw wakat anatetea haki fikir kwanza yey anaongozwa na mungu Wala atumii akili Zak binafsi elew tambua fikir
Ahubiri upatanisho kwan sisi tumegombana na mtu sisi🤔.. mi nazan mnahama kwenye mada. Anapinga chanjo. Na si kingine... Hata mh hayat magufuli alipinga na mlikubali ila leo eti kisa ni mchungaji anapinga mnaona hatumii akili.. huo ndo unafiki sasa
Hapo ndo utajua pesa na mali na Cheo. kinazidi undugu hapo ndo utajua utu wa wanadamu umebaki kama matope tu hakuna heshima kwa kwamba hii ni familia Yangu nikutumia mamulaka tu weka ndani unasahau utu weeeeeeeeh mzee gwajima 👍👍👍👍👍👍 atumie la baba yake mzazi asijitembekeze kwa majina ya baba za wengine
Siku zote niko na Josephat lakini kwahili linaloendelea kwa mm naona sio busara, mwanamke wa ndugu yako ni family yako, ikumbukwe huu ni utumishi wa serikali, huwez kuingiza familia kwenye mambo ya kijamii...... Hata mzee huyu anaendeshwa tu hakuna busara yake hapo, naona ushenzi unalipizwa kwa ushenzi kama sikosei lkn sio sahihi kbsa kwa watu wenye akili kutoana viremba hadharani..... Ok mm cio ukoo wao lkn kwa sisi wangoni, tunajua wasukuma akili zao zilivyo...... Busara wanazo lkn hawazitumiagi kwenye mapambano ya wao na binadamu wenzao, bali huzitumia ktk vita baina yao na ng'ombe 🙄🙄🙄
@@didimhutila8985 yeye serikali.... Uelewe kuwa waziri anawakilisha serikali, ILA mbunge anawakilisha Bunge akiwa Bungeni tu......au pengine kwa maelekezo.
Hatailomboa Tanzania. Anaenda kubaya sana. Hiki anachokifanya anaichanganya nchi kipitia Uaskofu wake. Ameanza ukabila kupitia chanjo. Mbona Askofu hana simile.?
Mungu hudhihirisha mambo ya kiungu kwa wanadamu kupitia vitu mbalimbali kwa janga hili nawe umo.ila busara zikuongoze kama mungu atenavyo kwa sasa.nami nakuombea usikosee.nipo mbele yako na nyuma yako katika kutetea masilai ya tanzania na dunia kwa ujumla.hivyo ndivyo iwe
Nimakosa Sana mambo ya kifamilia kuyaongelea ndugu madhabahuni hii cjaipenda kabis,chuki haitakiwi,mi nampenda Sana mchungaji gwajima lkn Kwa hili hapa umepwaya Sana
Wewe ndo haujaelewa maana tulitukanwa kwamba sisi ni wajinga na wewe humo labda kama umechanjwa watanzania tunaakili Sana na siyo wajinga acha nao waaibishwe
True when you love the Lord B.S. that wants to put money and Corona in her business aende mwenyewe kuabudu shetani... awache watoto wa Mungu wamtumikie Mungu wao!
Watanzania sijui mmelogwa na nani? Watu wamepangana huko nyumbani kwao na nyie mmekaa mnashangilia dili za familia yawatu.. Ngwajima na wenzako bungeni amtokani na wananchi mnatuletea tozo za kila aina kila kukicha.. TUNATAKA KATIBA MPYAA..
@@oleiei434 mzee huyo ni baba wa Askofu Ila Askofu na Mme wa waziri ni binamu baba zao mkubwa na mdogo mzee hana hekima hao wote watoto kwake tena anasema asitumie Jina why ?
😍😍MI sio msukuma ila nawapongeza kwa ajili wa rais wangu magufuli napia huyu baba gwajima nawakubali mpaka nahis kuumwa, na msimamo si zote huleta ukweli
Ukioona hivii ujue askofu gwajima ndo anashikilia uchumi wa familia ..mzee hawezi mtosa ............ukiwa na pesa hata ukiongea uongo unapigiwa makofii
Hakika Mimi maombi yangu Mh Rais afanye kitu hapa kama kuteuliwa kupo nadhani na kutenguliwa kupo hatuwezi kutumia dini kuhubiri maswala ya serikali na kudharirisha viongozi kama hivi
Kanye kwa rais gani aliekosa msimamo Leo hivi kesho vile hyo rais au risasi,, nendeni huko na rais wenu asiyejielewa mfuuuuu rais rais, huyo ni rais jina ila sio rais Halisi
Rais yupi, Wa miamala au tozo? Dini kazi yake ni kuelekeza, kushauri, kukemea na kuonya mambo yote mabaya yahusuyo uchumi, siasa, utamaduni na jamii kwa ujumla. Hapo anaelekeza na kuonya ili mwili wa Kristo Ubaki salama

Kumbe hawa nindugu kweli jamani🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆siabu hizi jamani Mungu asimame mwenyewe jamani kweli mdogo ako alikosea kuoa. Mkumbuke mnawatoto na wazazi wanawatizama jamani. Yule mama aliongea maneno machafu sana. Eti alikuwa na mwanamke sijui nn gaiiii. Kweli anaichafua hii familia
Kwa kweli huyu amekosa hekima kabisaa kudhalilishana na kuaribiana kazi alafu ajiita askofu unaubiria waaumini wako mambo chuki, ushabiki wa kijinga kweli, tena mleta ukabila !!mshindwe na mlegee
kweli kabisa yeye si mke wa ukoo, na hilo tatizo hutokana na mfumo dume, yeye Ana mme wake na hao wawili imeandikwa watawaacha baba zao na mama zao wataambatana wao tu kwa maana baada ya kuoana wao si wawili tena bali ni mwili mmoja, ugomvi wao wa ukoo hauna mamlaka ya kuwatenganisha mke na mme yeyote katika ukoo hana mamlaka ila Mungu peke yake
Hii nchi haina sheria au ndio uhuru wa kusema unavyo tumiwa,, mtu anakashfiwa kwa kuitumikia nchi hii, wanasheria, wabunge muko wapi ..kiongozi kwenye serikali akisema hakusema mtu binafsi ...INASTAHILI MTU HUYO ASHTAKIWE KISHERIA...
Kuna msemo unasema usibisha na.........watashi dwa kuwatofautisha yule ni Mrs au natafiri hiyo kwake pia ngumu anawatukana wanyiramba wote na watu wanashangilia
😂😂😂😂😂 watani zangu wote wanyeramba na akina gwajima oyoooooooooooooooo mtajuana wenyewe watani zangu naenda kulima mie mkipatana naja kuwatania wote
Na mimi nakuja una chura?
@@Pedeshee01 Hahahaha chura sinA
@@sarahmwaluko2480 mbona waniangusha sasa
@@Pedeshee01 ngoja nikamtafute mtoni nitakujuza nikimpata huyu churaaaa
😁 😁 😁 wewe
Askofu Gwajina ni kweli shemeji amekosea ila tukumbuke tumeagizwa upendo..na tuwapende wasiotupenda kwakua upendo huvumilia,hausudu na hautakabali
Amina
Tuwaheshimu mamlaka
Asante Baba yetu kwa kusimama imara na unaupeo mkubwa mno. Wewe unasimamia haki wala huyumbi yumbi.
Umeshamfuta waziri namsaidizi wake kutoka kwenye ulimwengu wa roho basi tusubiri haya mambo yapite. Na itatokea kulingana na kinywa cha mtumishi wa Mungu.
Jamn hawa wanaugomvi wa kifamilia,so wanalipiziana mie niko na waziri wangu mama gwajima 😘🤩😘😘😘😘😘
Dorothy Gwajima kaa kimya, mpambano huo na shemejio , utaumia wewe.
Kaa kimya fanya kazi zako Kwa kufuata Sheria , kanuni na taratibu.
Acha mihemuko na mipasho.
Kazi za mipasho waachie waimba Taarabu.
Angalia Sasa namna mnavyoumbuana kiukoo.
I love this church 🔥🔥🔥🔥
This just shows how this human being called Ask Gwajima is good in human intelligence,kwanza anajua kujenga hoja zake pili anajua kuziaminisha/wasilisha kwa watu wake mwisho anatamhua nguvu ya ushaidi....mtu wa aina hii kwny uwanja wa Ujasusi wa Vita anakua amesomea Pychologic warfare... hii ni vita mbaya na nzuri kushinda kulko vita zngne zote koz imefanikiwa kwny matukio meng sana dunian!! ⚡️😉🙌🙌🙌
Du gwaji boy hadi saivi anaongoza mbili kwa moja
😂
Mtanange ni mkali🔥🔥😂
🤣😂🤣 kweli kabisa
Mh gwajima kumbe wa kwetu jamani baba gwajima babu mungu akulide mashaallah
Hayo mambo yenu ya ndani ya familia....hatuingilii mkielewana msituachie aibu sisi.
Kayamalizeni ndani.
Huuyu ndo baba mzazii,,mzazi mzurii anaesimama kwa wanaeee,,hongearaa baba
Baba mzaa chema mungu akubariki sana
Gwajima mkombozi wa wanyonge tunakufata wewe Baba yetu mzee Gwajima saf Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hifadhi maneno yako, hujauguza wewe kwa hili tatizo na wala halijakugusa,
wewe mchungaji ngani huna hata chembe ya hekima. mambo ya familia yatatuliwe kwenye familia zaindi ya yote wazili anatekeleza maazimio ya serikali.
Gwajima anajua kucheza na akil za watu kama the lite with bite😁
The lite with the bite ahaha
Kumbe Gwajima ni kilaza,hii imekujaje kanisani,kumbe ana lake jambo
Kwamsukuma hiyo hainaga utani imeisha hiyoooooooo najuwa mtakuwa mmeelewa
Tumeelewa
Kweli aisee
Wasukuma ni kiboko😀
Wasukuma tunamsimamo Kama chuma
Hicho ndo mungu akupa ufundishe madhabahuni siku za mwisho w
Gwajima hutumia Akiri sana ktk Vita ya maneno au mapambano hii ni noma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hatariii
Na kupambana nae inabidi uwe na akili nyingiiiii😀😀
Uyu jamaa ni shida uki mchokonoa tu huyu apa Kaja mazima na anakulipua kweli kweli jamani hapana Gwajima 🤣🤣🤣🤣👀
Jamani muulizeni Makonda ilikuwaje? Huyu jamaa mom's sana
Usicheze na mtu mwenye upako wa kiroho hapo ni Mungu ndio anasema nae ndani haongei yeye apo ni nguvu ya roho mtakatifu piga kelele Jesus family
Hongera gwajima mkwe anatetea ugari anataka kuangamiza tz hafai kuwa waziri
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Siri ya Corona imeanikwa Chwaa Askofu Gwajima jasusi la mbingini 🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Gwajima haya majanga sasa mbona anawaumbuaaaa😂😂😂
Yani umekosea kidogo tu ulitakiwa kusema jasusi la MBINGUNI
@@Richforever66 😂😂😂 mutanisamehe itaeleweka🔥🔥🔥🔥💪
tena jandundu la mbinguni 😂😂😂
Majina msiyoyajua msiyasherehekee. Jasusi manaake ni mpelelezi na ukiangalia historia ya baba atu Adam na mama hawa utakuta kua walipokua peponi kulikua na jasusi aliewapeleleza, akawafitinisha kati yao, alietoa taarifa za huku akapeleka huku nae ni IBLIS SHETANI. kwa iyo gwajima anapojiita jasusi la mbinguni manaake yeye ni SHETANI mfuasi wa IBLIS anaewafitinisha watu na Mungu wao, watu na serikali yao. Hatawafikisha isipokua sehemu mbaya.
Mambo yä nyumbani hayo.pia siasa tu.Wayamalize na familia ibaki pamoja
Sio poa hayo ni maswala ya serekali siyo familia hicho kizee kikae kwa kutulia mwanae afunzwe adabu kwani nani alimsema mwingine vibaya hivyo alitaka asijibiwe kisheria wanafeli eti kanisani hao walokole wanahusika vipi ndo mkawaeleze angeenda bungeni akatoe malalamiko yake hapo ni sawa na kumpigia mbuzi jitaa
Cku yangu imeisha vzriii maan nlikuwa naisubir hii ibada jaman dah🥰🥰🥰🙏
Hekima na busara huanzia mbali.Uzuri mie sio shabiki wa Gwajima yeyote.ila Baba angeonekana anabusara na hekima kama alipoitwa madhabahuni angesema nashukuru kwa sababu wote ni wanangu mmoja wa kumzaa mwingine ni mkwe wangu .naahidi haya mambo kuyamaliza kifamilia.lakini alichosema manake kamkana mwanae mume wa Dr na wanae.Mungu naomba busara nisiwe kituko.hapo mpaka watoto wao umeweka nao bifu kukosa busara Mzee Baba kumevunja familia .mzazi kafeli au kisa jamaa anapesa za sadaka ananunua mandege au
Pesa ndiyo shetani No.1
Msamehe mzee umri uneenda na Askofu ndio Anamtunza kwahiyo anajiona amemfurahisha sana Askofu kwa maneno yake lakini kiukweli mzee hajatumia busara.. wote wawili hawa wamechemka tena sana...
Leo nimepata jibu kwann gwajima Hana busara kumbe amerithi.!!!!!!!
@@damianlyimo9266 Umenena karithi .Sikutegemea
Hongera sana Bishop Gwajima,wewe ni Raisi wetu
Raisi wa TZ ni mmoja TU na ni mama Samia Suluhu Hassan.
yaani tutaona mengi mwaka huu ugomvi wa kifamilia unaletwa madhabahuni na watu wanashangilia duh!
nawewe anaongelewa mama gwajima yule wazir wa afya nasio mke wa gwajima
Yajayo yatafrahisha
Ni kitu kibaya Sana hapa sio Mungu ktk hili ni chuki mbaya sana
Wanyiramba leo tumekula talaka kwa wasukuma😁😁😁
Hapo ndipo utakapokubali UISlAM!!!!
@@saidymsabah1880 kajifunze kuandika kwanza, uislam uislam mxewww
@@saidymsabah1880 c ndo unataka chanjo huo uismav wko
@@saidymsabah1880 ndiyo mnataka kutuua eee mungu wangu
@@agnesselibariki833 kwani wewe utaishi milele Muogopa Kufa mpenda kuishi.
Serikali, siasa Familia na dini, washangiriaji 🤣🤣🤣
Mzee noma💪💪💪
@@mdasad2148 🤣🤣
Hatari
@@pendowambura5154 lkn salama
hamna dini hapa siasa na dini nikama usiku na mchana. siasa ni kutafuta sifa za duniani na dini ni thawabu kutoka kwa mola, ukitaka sifa za dunia hupati thawabu.
Nielikuwa mpatanishi kuliko mchonganishaji.
Makeukakasi
Umefikia kanisani.
Ambako yalikuwanimambo
Yakumliza kifamlya.
Mungu baba wasemee.🙏🙏
Episode hizi zinapatikana Tz pekee, issue za familia zinaamuliwa jukwaani, watu kwakukosa maarifa wanashangilia kama mazuzu.
Kesho familia ikipatana wanashangilia tena kuonyesha jinsigan walivyo wazandiki
Yaaani Ni ujinga mtupu na Ni aibu kwa kweli
Mzee mbona umekosa busara
Sikutegemea kama.J Gwajima ni mjinga hivyo sasa hiyo ndio nini.Hujui pa kumalizia matstatizo ya kifamilia!!!?Kumbe unamchokoza makusudi waziri
Ujinga ni ujinga tu hauna jina lingine
Na ww ukikua utaacha.
Baba Ana hasira ya matamshi ya kukamatwa mwanae.ndipo utajua tofauti ya muolewa na anaye oa.(ushauri wangu ni kusamehe)maadamu ujumbe umefika.
Haya Sasa Mambo ya siasa yameingilia kwenye familia Hadi kwenye madhabauni Kuna Cha kujifunza hapa nasio kushabikia maswala ya kifamilia 🤔🤔🤔🤣
Si kaya taka au Huyo bibi ama
Gwajima baba amini kile unacho amini tunakuombea kwa msimamo wako
Shida tupu hiyo familia
Kanisani siyo sehemu ya kuzungumzia maswala ya kifamilia, haya yanafaa kurekebishwa nyumbani kifamilia, mnapotoka.
Like father like son damn!!
Hilo kanisalifungwe
Hilo kanisa lifungwe
Jamani mbona Dorothy yuko kazini?kanisa na ofisi visiingiliane...mmuache Dorothy
Kama ibada zenyewe ndo hizi, wakristo mna kazi kubwa kesho ya kiama, shtukeni mapema, Inawezekanaje ibada ya Mungu ikawa mipasho ya wanafamilia?
Mtihani sheikh wangu dalili hizi ! tutubu tumrudie Allah
Kazi gn wakristo wanayo zaidi ya kumtukuza Kristo mwenyewe aliye tuokoa kwa damu yake ya thamani msalabani
@@greysonmheni5176 kwahiyo apo Anatukuzwa yesu si ndio?😂😂😂
Udini inakusumbua
@@greysonmheni5176 wasikudanganye Kaka ...yesu hakufa kwa kuokoa dhambi za mtu ila yesu kasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe siku hio ikifika.yesu hasemagi uongo kwahio tujitayarishe kubeba mijidhambi yetu na tujitayarishe kujibu masual kwa mmungu.huo ndio ukweli mkitaka msitake.
Huyo mama anaepiga vuvuzela nimemuelewa!,Hahahahaha.
Yani aibu naona mimi ahahahahaj😂
Hahahaa
Nimebarikiwa Sana, Aache kutumia Jina letuuuuuuuuuu..... Safi sana
Usanii tu huo anamsaidia mwanawe haikuhusu kuyaleta kanisani .upuuzi mtupu na kondoo wamo kupiga makofi . shemere imewaingia poleni. askofu hana uwezo wakufanya lolote asiwatishe watu .
Naomba ukachanje tu yaishe
Hongera Mzee Kwa kupata watoto wengi
Mimi ninakuunga mkono Mzee Gwajima. Huyo mama anitumie jna lako
Nimekerwa ,mzee ananyanyasika hapa.
Mzee mbona unaongea kama mtu asie jielewa hayo mambo ya kifamilia na wewe ndio tulitegemea usiegamie upande wowote hekima yako ya miaka 80 iko wapi sasa
Sio makosa yake
Ubaya ubaya tu
Analiabisha jina la ukoo wetu daah 😆😆😆😆😆🙌🙌🙌
Wale wanaojua kubadili majina wakiolewa haya sasa leo yametolewa maneno hayo. Majina ya baba zenu mmeyatupa wapi. Funzo hili
Upo sahihi sana,wanashindwa kupaisha majina ya baba zao wanapaisha majina ya familia ya waoaji mwisho wa ck yanatokea haya mtihani sana kwakweli.
@@kapilimaibra2540 hili ni funzo tosha.
Tanzania kungekuwa na Corona jmn cheki hapo kanisani Oman watu wanakimbiana kwa sababu ya Corona hongera sana mbunge wetu
Eeh Mungu tuhurumie tusamehe tu kama ni madhabahu yako Bwana
Aceni ushabiki nduguzangu gwajima heshimu serikari hata vitabu yva mungu vinasema sunajuwa mwenyewe hata kanisani huwa munawatenga wa umini
Huku Askofu amechochora! Yeye kama askofu, na ana Mungu ndani yake, asisukumwe au asilete hisia hasi kama hizi madhabahuni!!! 😟 Hapa amepotoka na anawapotosha waumini wake. Anatakiwa ahubiri upatanisho, sio mafarakano!
Umeongea point Wala Gwajima hajatumia hekima kama mtumish
Ila na yey ana leta aibu utasemaje mumew akamatw wakat anatetea haki fikir kwanza yey anaongozwa na mungu Wala atumii akili Zak binafsi elew tambua fikir
Ahubiri upatanisho kwan sisi tumegombana na mtu sisi🤔.. mi nazan mnahama kwenye mada. Anapinga chanjo. Na si kingine... Hata mh hayat magufuli alipinga na mlikubali ila leo eti kisa ni mchungaji anapinga mnaona hatumii akili.. huo ndo unafiki sasa
Gwajima babako na kanisa lako machizi
@@happydunstan9631 Achana happy na watu wenye kiburi utajitesa bure dadaangu
Hapo ndo utajua pesa na mali na Cheo. kinazidi undugu hapo ndo utajua utu wa wanadamu umebaki kama matope tu hakuna heshima kwa kwamba hii ni familia Yangu nikutumia mamulaka tu weka ndani unasahau utu weeeeeeeeh mzee gwajima 👍👍👍👍👍👍 atumie la baba yake mzazi asijitembekeze kwa majina ya baba za wengine
Siku zote niko na Josephat lakini kwahili linaloendelea kwa mm naona sio busara, mwanamke wa ndugu yako ni family yako, ikumbukwe huu ni utumishi wa serikali, huwez kuingiza familia kwenye mambo ya kijamii...... Hata mzee huyu anaendeshwa tu hakuna busara yake hapo, naona ushenzi unalipizwa kwa ushenzi kama sikosei lkn sio sahihi kbsa kwa watu wenye akili kutoana viremba hadharani..... Ok mm cio ukoo wao lkn kwa sisi wangoni, tunajua wasukuma akili zao zilivyo...... Busara wanazo lkn hawazitumiagi kwenye mapambano ya wao na binadamu wenzao, bali huzitumia ktk vita baina yao na ng'ombe 🙄🙄🙄
Mupumbavuuu yule!eti anaagiza majeshi yeye nani?
@@didimhutila8985 yeye serikali.... Uelewe kuwa waziri anawakilisha serikali, ILA mbunge anawakilisha Bunge akiwa Bungeni tu......au pengine kwa maelekezo.
Kwa hapa busara na hekima havijatumika.
na hao waumini wanashangiliaga kila kitu hata vya kipuuzi
Mambo ya familia sio vzr kuyazungumzazungumza na kushindana hadharan sio nzr
Gwajima wewe Ni Mkombozi wetu
Hatailomboa Tanzania. Anaenda kubaya sana. Hiki anachokifanya anaichanganya nchi kipitia Uaskofu wake. Ameanza ukabila kupitia chanjo. Mbona Askofu hana simile.?
Ze comedy
@@kelvinmtavangu7701 matako ww
Nimkomboz wako sio mkomboz wetu
Mkombozi ???
Hayo mambo ni kifamilia zaidi kumleta Mzee hapo naona sio Mahala pake halafu mbaya zaidi kusuluhisha hajui kabisa kama mzazi amechemka sana
Ila nilichogundua hapa hii ni kiki tu ya kuzima mambo ya katiba mpiya na mambo ya tozo ili watu wasahau wabakie kwa gwajima na ngwajima
Katiba mpya unaanzia wapi mtu yupo mahabusu
@@sixbertmwakaluwa5665 ndiyo maana walianza hii kiki ili watu wasahau kuulizia mambo pia mbowe hii ilikuwa njia ya kuzima
Familia hii inashida. Mzee hakutakiwa kusema hilo.
Huyu hawezi kuwa kiongozi kabsa
Mungu hudhihirisha mambo ya kiungu kwa wanadamu kupitia vitu mbalimbali kwa janga hili nawe umo.ila busara zikuongoze kama mungu atenavyo kwa sasa.nami nakuombea usikosee.nipo mbele yako na nyuma yako katika kutetea masilai ya tanzania na dunia kwa ujumla.hivyo ndivyo iwe
Roma aliwah kusema "vita ya msambaa ,mbondei usitie miguu"😂🤔🤔
Hahaha
@@dennismrutu7824 hataree😂😂😂
Sijui itakuaje hapo mie mmbondei nishaolewa na msambaa zay from Iraq
@@MohammedAli-rh5si pole ndg🤔
Pambana
Nimakosa Sana mambo ya kifamilia kuyaongelea ndugu madhabahuni hii cjaipenda kabis,chuki haitakiwi,mi nampenda Sana mchungaji gwajima lkn Kwa hili hapa umepwaya Sana
Yaani mtu na babaake wote akili hawana na siamini uwa anaomba kabla ya kuingia madhabahuni Mungu hadhihakiwi.
Wewe ndo haujaelewa maana tulitukanwa kwamba sisi ni wajinga na wewe humo labda kama umechanjwa watanzania tunaakili Sana na siyo wajinga acha nao waaibishwe
Inafurahisha sana!!.
Hayo ni mambo ya kifamilia zaidi sio vizuri kuongelea hadharani hivyo.. Ni kuwakosea heshima wakwe..
Wewe yule bibi gwajima ndio ameyataka mbwa yule, kamtafuta gwajima amepata Sasa mnataka nini
Bibi alimwaga ugali, jembe kamwaga mboga 🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥
@@ilovejesus9303 yes hapo inaitwa sho sho au sio
Kwani yy kusema gwajima akamatwe sio kumkosea heshima
Kwani dorothy aliongelea wapi na ulitaka gwajima aongelee wap?
Yeye si alimtukana hadharan, na Mtumishi lazima amjibu hadharani
Mungu no yuleyule habadiliki
Nawashaangaa wanaosema hili hapana yeye dorothy alilipua tena makubwa duu
Wanyiramba tupo vzur hahahaha
Mpola za ntondo gwuleee!
@@allygunda3616 Nzizaaa🤣🤣🤣
jaman wanyirambaaa Wa iramba kiomboi boman maeneo ya soweto na old kiomboi mpo kweli
Wakwe zangu,ila wako......f
@@kasmirypaschal2228 tupo kiomboi Kijiji tutu
Kazi nzuri sana
Kweli hizi ni nyakati za.mwisho, kanisa liwe uwanja wa siasa? Mambo ya kifamilia yanahusu nini kanisani?
Apo chacha😎
Wachungaji hawajaitw kuhubiri injili tu.. ila kuhubiri kweli.. nazani unaelewa
Maisha na huduma huwezi kutenganisha.
Huwezi kutenganisha Siasa, Familia,na huduma...! Yaan hivi Vitu vinapaswa kuongelewaka kila mahali. Maana ndio maisha halisi
Unafikiri kabisani ni jehanam lazima tufurahi nyumbani mwa Bwana hatuwezi kuletewa chanjo ya kichawi
Mimi yamenishinda jamani naenda zangu huyooooo 🏃🏼♂️🏃🏼♂️🏃🏼♂️🏃🏼♂️🏃🏼♂️
Mmmh,leo Gwaji hujatumia busara hii ni vita yakifamilia mngeitana nyumbani muyamalize
Yeye mbona anamponda peupe
Heee kumbe ni shemeji yake! Mimi nilidhani ni majina ya kisukuma yanafanana..marehemu Dr Magufuli aliwapenda sana kuwaamini.
Yaan walipendelewa sana hawa wakae wapatane tu maaa gwajboy hamuez
Kwakweli serikali isicheke na gwajima ni.mtu hatari kwa jamii ya wa tanzania
Ww unatakaje
Duuuu, pole kumbe bado unaongeaga utopolo tu naww daaaaa okoka ndgu yangu
Toka huko
Mtu atakayeweza kuifikisha kwa gwajima aifikishe kama ilivyo asimjibie maana ana mdomo na mikono ya kujibu. Asanteni.
Mzee pia hana busara kabisaaaa
Gwajima chuma na Nusu😂😂😂
Chuma huyayuka kikawa kama uji.
Chizi hiyo iabila inahusu nini pumbavu mkubwa ana akili majaribu anayo yeye
True when you love the Lord B.S. that wants to put money and Corona in her business aende mwenyewe kuabudu shetani... awache watoto wa Mungu wamtumikie Mungu wao!
Watanzania sijui mmelogwa na nani? Watu wamepangana huko nyumbani kwao na nyie mmekaa mnashangilia dili za familia yawatu.. Ngwajima na wenzako bungeni amtokani na wananchi mnatuletea tozo za kila aina kila kukicha.. TUNATAKA KATIBA MPYAA..
We bwana weee...katiba km haipatikani kirahisi Wacha tuenjoy hii mechi kwanzaaaa
Hahaaa
Wajinga hawa wanashangilia wakati askofu wao kapigilia msumari tozo za miamala na kodi za nyumbani waache kujinusa waumini hao
Hakuna aliyerogwa hapa , ni akili tu zinatofautiana
Nawewe mmoja wapo uliyelogwa maana maana umekalisha kundu lako apo unafatilia mambo yanayoendelea mtandaoni
Hapo umesomeka mzee Gwajima imeisha hiyo
Ukabila huo na unamnyanya paa Waziri wetu unamhusisha
Baba yako kwenye laana
Simon Gwandu, waziri ameyataka mwenyewe amri amri alizozitoa kuagiza polisi wamkamate asikofu
Nenda huko
Weee vipi. Kamsikilize waziri kwanza ndio uje hapa
Wazir hapo chacha Mimi nipo kazini sijalia ndugu wala mtu yoyote Baba mkwe kasema usitumie jina lake 😎😎😎😎😎😎
Huyu mzee hana hekima kabisa huo ugomvi yeye alitakiwa autatue sio ndo achochee, sasa anavyoongea hivyo hafikirii wakwe zake watakuwa wanajisikiaje?
Hata Kidogo bora angekaa kimya
Mzee mwenyewe ni feki. Tumeambiwa kuwa baba yake gwajima alishafariki zamanii! Haya makanisa yana mambo.
@@oleiei434 mzee huyo ni baba wa Askofu Ila Askofu na Mme wa waziri ni binamu baba zao mkubwa na mdogo mzee hana hekima hao wote watoto kwake tena anasema asitumie Jina why ?
Andamanen xx nyote,, kama mna hekhima ninyi mbona hamjatuamkia xx
Dah yamefika mbali. Baba waite nyumbani watoto wako. Na huyu mume wa waziri yuko wapi?
Mambo ya kifamilia yaishie NYUMBANI KWA hili askofu apana
cyo asikofu ni tapeli tu
@@tolumsukuma4850 Amekutapeli nini?
@@tolumsukuma4850 this is too much
Mapepo🙄. Hao mashabiki sasa. Utafikiria wanavichaa kwa wanavyoshangilia upuuzi. 😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
Mashabiki full mavuvuzela.. Kama wapo uwanjan vile.. Daaaaahh ama kweli tutaona mengi mwaka huu
wasukuma OYEEEEEEEEE huwa tunamsimamo
😍😍MI sio msukuma ila nawapongeza kwa ajili wa rais wangu magufuli napia huyu baba gwajima nawakubali mpaka nahis kuumwa, na msimamo si zote huleta ukweli
Mtumishi wa mungu mua he huyo mama Kama alivyo ibilisi kamwiingia kumbuka kusamehe Saba mala saba
Nlipoangalia hii video nmegundua akili ya Gwajima na Baba yake ni Moja yani Hakuna haja ya DNA test hapo maan naona Like a father like a Son 😀🤣
Yaniiiiiii. Kwa kweli baba hana hekima kama mwanae tuu. Kanisa kageuza sehemu yakusutana
@@evalineemmanuel1429 hamna shida ila gwajima ni jembe ya, sio lile libibi lenu lenye sura kama dume mfuuu
Ukioona hivii ujue askofu gwajima ndo anashikilia uchumi wa familia ..mzee hawezi mtosa ............ukiwa na pesa hata ukiongea uongo unapigiwa makofii
Daaaaahh mbavu Zangu mzee Kawa bendera Fata upepo
Sure
Hakika Mimi maombi yangu Mh Rais afanye kitu hapa kama kuteuliwa kupo nadhani na kutenguliwa kupo hatuwezi kutumia dini kuhubiri maswala ya serikali na kudharirisha viongozi kama hivi
Kanye kwa rais gani aliekosa msimamo Leo hivi kesho vile hyo rais au risasi,, nendeni huko na rais wenu asiyejielewa mfuuuuu rais rais, huyo ni rais jina ila sio rais Halisi
Rais yupi, Wa miamala au tozo?
Dini kazi yake ni kuelekeza, kushauri, kukemea na kuonya mambo yote mabaya yahusuyo uchumi, siasa, utamaduni na jamii kwa ujumla.
Hapo anaelekeza na kuonya ili mwili wa Kristo Ubaki salama

@@hadijamagufuli2661 katafute wa kwako aliye halisi
@@yakobokuzenza6837 kanye huna jipya halafu huna haya nyoooooo😈
Kumbe hawa nindugu kweli jamani🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆siabu hizi jamani Mungu asimame mwenyewe jamani kweli mdogo ako alikosea kuoa. Mkumbuke mnawatoto na wazazi wanawatizama jamani. Yule mama aliongea maneno machafu sana. Eti alikuwa na mwanamke sijui nn gaiiii. Kweli anaichafua hii familia
👀
Mambo ya familia mnayaleta madhabahuni mweee! Hili umefeli!!,Endelea kupigania mambo mengine.Usilipe baya kwa baya!
Kwa kweli
Kwa kweli huyu amekosa hekima kabisaa kudhalilishana na kuaribiana kazi alafu ajiita askofu unaubiria waaumini wako mambo chuki, ushabiki wa kijinga kweli, tena mleta ukabila !!mshindwe na mlegee
Ivi kweli tumefikia hatua makanisani pamekuwa sehemu yaugomvi
Dorothy ni MKE wa MTU, sio wa ukoo wa Gwajima! We askofu vipi?
We vipi wewe
kweli kabisa yeye si mke wa ukoo, na hilo tatizo hutokana na mfumo dume, yeye Ana mme wake na hao wawili imeandikwa watawaacha baba zao na mama zao wataambatana wao tu kwa maana baada ya kuoana wao si wawili tena bali ni mwili mmoja, ugomvi wao wa ukoo hauna mamlaka ya kuwatenganisha mke na mme yeyote katika ukoo hana mamlaka ila Mungu peke yake
Kwa hiyo Kama ni mke wa mtu ndo amtukane Kaka w Mme wake
Aitwe Jina lingine
Sawa nimke wa mtu lakin aache kulitumia jina la gwajima
Mzee Naye kumbe akiri Hana...
Hii nchi haina sheria au ndio uhuru wa kusema unavyo tumiwa,, mtu anakashfiwa kwa kuitumikia nchi hii, wanasheria, wabunge muko wapi ..kiongozi kwenye serikali akisema hakusema mtu binafsi ...INASTAHILI MTU HUYO ASHTAKIWE KISHERIA...
Kuna msemo unasema usibisha na.........watashi dwa kuwatofautisha yule ni Mrs au natafiri hiyo kwake pia ngumu anawatukana wanyiramba wote na watu wanashangilia
Kwani haya ya Dorothy Rwajima ndo yamegeuka mahubiri ya kila siku😂😂😂😂😂😂😂
Vita ya kifamilia yaingia serekali na kanisa mwaka huu tutaona mengi
Yaani ni kweli kabisa
Ni ujinga mtupu
Alivyosema hadharani kuwa gwajima kamkamatia mrembo mara kaamsha dude ni vizuri
Bibi alianzisha vita🤣🤣
Hebu njoo hapa mzee gwajima 🤣🤣🤣🤣🤣 duuuuuu
Serikali inasubiri nini kumfungia Josephat Gwajima asifanye kazi za kiroho.
Huu ni uhuni na huyu mtu ni hatari kwa taifa.
Huyooooo Serikali yenyewe inasemaje hahahhaa umefel
Hakika leo umenichekesha Gwajima Boy 😆😆😆😆😆😆Asitumie jina la Gwajima
Mtu na shemeji yakeee Jamani sisi Hayatusu yangoswe Tumwachie ngosweeee
Haswaaaaa
Hao Tumeshawaachia cku nying 2 mbona
Uhuni tu hapa