Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa kunipatia huu ujumbe. Nimebarikiwa,,Nimeguswa sana maishani mwangu,,,nimeonyeka na kurekebishika maishani mwangu.Barikiwa sana.
Mtumishi hili somo ni zito sana,ujumbe umebeba zaidi ht ya headline,Oooh Yesu ni mwema sana,hakika ndani ya Moyo wangu nimejifunza zaidi,nimerudia mara 2 kuangalia somo hili'Mtumishi barikiwa sana
Wah barikiwa mchungaji kwa mafundizo mazuri .tunaerufuka na kusoma mengi .kusapoti kazi ya Mungu mtu akiwa Kenya naweza tumq aje?ama kumbariki mcungaji
Bwana akubariki mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yako. Pia Mungu akubariki kwa kuitumia nembo ya Malaika 3 ambayo ilikuwa imepigwa marufuku.Bwana akubariki sana
God blessing you so much maubili yako uwa inanibariki sana yaaan wakati ninapo sikiza maubiri yako najiona nikama sasa nmefika biguni napenda sana Amen and Amen
Hili limekuwa somo langu la kuanzia siku ya leo. Hakika Bwana anajua mapungufu yangu na kinachonifurahisha anayashughulikia. Hilo somo lilikuwa langu siku ya leo. Asante Yesu kwa mafunuo ya kutumia hii teknolojia ili tufikiwe na Neno lako. Barikiwa Pastor na timu yako.
Nakufuata kutoka DRC mjini Kisangani Pastor,nabarikiwa sana na mahubiri hayo,hivi napenda pia nipate muda wa maongezi nawewe kwa ajili ya maswali ya Kibinafsi kulingana na mafundisho mbalimbali.Ubarikiwe na Bwana milele zote.
Nashukuru sana mchungaji mungu azidi kukuficha maadui wanapo kutafuta wasikuone kupitia kusikiza mahubiri yako njia zangu zimefunguka ni Gladys kutoka Kenya nikiwa Saudia
Nakushiru mutumishi wa mungu kwa mafundisho mutamu nikifunuliwa n'a kujazwa nafundisho hilo ,kazi yangu ilisambazwa lakini kumbe mungu alitafuta Kuni okowa katika mataifa
Mchungaji nashukuru kwa mafundisho hebu Mungu azidi kukulinda. Nina swali na ninaomba unijibu. Je kwa nini kanisa ilibadilisha logo ya ujumbe wa malaika wa tatu na kuweka logo iliyoko kwa sasa?
MNGU MUUMBAJI WAMBINGU NA INCHI AKUBARIKISAANA NAFUATILIA NIKIWA CAPE TOWN.MAFUNDISHO YA MUNGU KUPITIA WEW YANANIBARIKI SAANA NANIMEJIFUNZA MENGI SAANA MUNGU AKUPE NGUVU NA UFUNUO PIA TUENDELEE KUBARIKIWA
Kwa Nini wakrisito wengi tukipatwa na matatizo wanakimbilia Kwa wachungaji na Kwa nn wasijiombee wenyewe nsomba yeyote atakae Iona you anisaidie kujibu tafadhari
Mtumishi wa mungu niombee nijazwe na roho mtakatifu wa kuomba na kuhubiri
Muchungaji napenda mafuzo yako zafi ya kueliwa thanks God bless you for lending us to the path of God AMEN AMEN
Barikiwa sana mtumishi
Amen sana man of God
Asante Yesu umejibu maombi yangu hasa hapo kwenye kujazwa roho,Mungu aendelee kukufunulia maono na mafunuo zaidi ya haya,,,,asante Yesu
Somo hili nzuri sana, nimebarikiwa sana,,,Mungu azidi kukubariki Pr Mmbaga
Nafuu umejua ee yesu kuliko ukajua ee mbaga hahahaha safi sana pastor
Kwa kweli mchungaji,ubarikiwe sana,nimepata majibu ya Mashaka yangu!!Uishi muda mrefu ili tuendelee kubarikiwa kupitia mafundisho yako.
Neno limelala hapo kichwani du.Ubarikiwe
Amina mtumishi wa Mungu masomo yako yananigusa sana. Mungu azidi kukutia nguvu uendelee kutupa somo
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu nabarikiwa Sana mtumishi nakuombea Heri katika Maisha yako
Amina
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU 🙏🙏
AMEN, and thank you for your rare spiritual teachings.
Super my rollmodel unanibariki my teacher MWENYEZI MUNGU na akubaliki sana na tamani kalama hii mara mbili.
Amen 🙏 barikiwa sana mtumishi wa mungu Kwa mafunzo
Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa kunipatia huu ujumbe. Nimebarikiwa,,Nimeguswa sana maishani mwangu,,,nimeonyeka na kurekebishika maishani mwangu.Barikiwa sana.
Amina pr.MUNGU akubariki na azidi kukutumia ktk kazi yake
mtumishi umenibaliki naomba Mungu akumbaliki uwendelee kumtumikia
Tumebarikiwa San mchungaji Mungu akubariki San
Thanks a lot pastor , God is good all the time.
amina pastor
Amen Amen nimejifunza hatua kubwa hapo thanks alot pastor
nmekupata kabisa pastor , mahubiri mazuri yana zidi knijenga hadi na jihisi nko nyumban, barikiwa sana🙏
Mtumishi hili somo ni zito sana,ujumbe umebeba zaidi ht ya headline,Oooh Yesu ni mwema sana,hakika ndani ya Moyo wangu nimejifunza zaidi,nimerudia mara 2 kuangalia somo hili'Mtumishi barikiwa sana
Beatrice Alexander Mungu akubariki sana
Amen Pastor
Beatrice Alexander
Wah barikiwa mchungaji kwa mafundizo mazuri .tunaerufuka na kusoma mengi .kusapoti kazi ya Mungu mtu akiwa Kenya naweza tumq aje?ama kumbariki mcungaji
mungu ni mwema unanijenga sana mtumish wa mung
Amen God bless you pastor
Nabarikiwa pr
asante sana mtu wa mungu
Japo nimekuwa Jambazi kwa Matoleo ZAKA NA SADAKA Mungu anasaidia nishinde huu Wizi
Ahsante mungu kwa mahubiri
Bwana akubariki mtumishi wa Mungu kwa mafundisho yako. Pia Mungu akubariki kwa kuitumia nembo ya Malaika 3 ambayo ilikuwa imepigwa marufuku.Bwana akubariki sana
Amina mtumish unanibarik sana kwa mafundisho yako
Kweli mchungaji ubarikiwe sana umenifungua
mtumishi wa mungu ubalikiwe na mahubil unayo tufundisha yaliyo jaa mafundisho yenye rohomtakatifu
Amina sana pastor somo limenibadilisha Mungu atusaidie
mm ninawasikiliza wahubili wengi ila ww unanibaliki sana mtumishi WA mungu.mungu akulinde kila siku na akupe baraka tere .
Nakupenda sna pastor nataman ufike na hku ngudu maan nabarikiwa sna
God blessing you so much maubili yako uwa inanibariki sana yaaan wakati ninapo sikiza maubiri yako najiona nikama sasa nmefika biguni napenda sana Amen and Amen
Pastor una mahubiri mazuri sana, Mungu aendelee kukutumia katika kumtumikia na kuongoza kondoo wake.
Amina ubarikiwe sana mchungaji 🙏
Tunashkuru Sana Kwa Mahubiri kupitia njia ya Mtandao kwa wale tuliopo mbali, Karibu sana #Mbeya, Ubarikiwe.
MUNGU nakubariki pastor karibu KITUNDA
AMEEN MTUMISHI WA MUNGU KWA MAARIFA HAYA..MUNGU AKUBARIKI
Pastor ubarikiwe na familia yako na mungu akutie nguvu nimejifunza mengi kutoka hapa
Niko Saudi Arabia ambapo hakuna kanisa lakini kupitia mahubiri yako nimempata na kumwona mungu pia kumfahamu, ahsante mungu azidi kua nawe
God bless you Pastor. I appreciate your efforts to reach those of us who are far. This ministry is a blessing.
Angel Nyamisa blessings to you
Amen Pastor.
Hili limekuwa somo langu la kuanzia siku ya leo. Hakika Bwana anajua mapungufu yangu na kinachonifurahisha anayashughulikia. Hilo somo lilikuwa langu siku ya leo. Asante Yesu kwa mafunuo ya kutumia hii teknolojia ili tufikiwe na Neno lako. Barikiwa Pastor na timu yako.
Am so blessed Mtumishi wa Mungu,May the almighty God grant you abundantly
Amen.. may God bless you pastor.
Safiii
Umenisaidia kwa fundisho hili maana nimeelewa Yale yamekua yakinitesa maishani, mungu akubariki pastor mmbaga
Amina BWANA akubariki
Hakuna kitu tunaweza kusema Mungu mwenyewe akumbaliki na sisi atupatiye gufu za kumunjuwa 🙏🙏🙏
Barikiwa mpendwa
Amen Baba 🙏
Asate sana kwa mahuburi yako na barikiwa sana
Watching this from Brisbane God bless you pastor
Very touching poster God bless you..naomba ukisema kitabu rundia mara mbili pls
MUNGU akubariki sana mtumishi akufikishe mbali.
Amen barikiwa pastor❤❤
Amina.mchungaji ubarikiwe sana
Mtumishi nazidi kujifunza mengi na kupanuka kiroho kupitia preach zako Barikiwa sana.
Mungu akutie nguvu mtumishi nimetambua mengi kupitia wewe nashukuru kwamafundisho mazuri
Hakika Mungu azidi kukutumia maana umeziokoa roho zilizokuwa zimepotea,Mungu akubariki.
Nakufuata kutoka DRC mjini Kisangani Pastor,nabarikiwa sana na mahubiri hayo,hivi napenda pia nipate muda wa maongezi nawewe kwa ajili ya maswali ya Kibinafsi kulingana na mafundisho mbalimbali.Ubarikiwe na Bwana milele zote.
Ubarikiwe saaana +255 755 932 283 WhatsApp
njoo Arusha Pastor.umeibuka wapi mbona wewe ni mhubiri mzuri hivo? unabariki watu wengi sana.
Amina😅😅 kumbe nawewe umeona ee
Be blessed pastor
Mungu akuongeze hekima na maisha marefu uendele kutufundisha namna ya kumjua Mungu
MUNGU akubariki sana mchungaji, na akukumbuke ktk ufalme wake.
Vicky Bwire Amen
Nashukuru sana mchungaji mungu azidi kukuficha maadui wanapo kutafuta wasikuone kupitia kusikiza mahubiri yako njia zangu zimefunguka ni Gladys kutoka
Kenya nikiwa
Saudia
Pastor mbaga bwana akubariki sana
Hallelujah! Amen!
Ubalikiwe Sana mtumishi kuna kitu nimejifunza kitu hapo Mungu azidi kukufunulia mtumishi
Utukufu Kwan Baba aliyekuumba
Pastor barikiwa Sana
Amen
2023 naskiliz mahubir y pstr mmbaga nabarikiwa sana❤
good news...
Nabarikiwa sana ktk jina la yesu, MUNGU akutunze mtumishi
Real your bleesed may jesus be with you always.
Amen mungu akumbariki nimekupata mtumishi
Amen nimekupata papa pastor
Hakika somo ni zuri.
Umenigusa sana ila naomba uniombee
Barikiwe
MUNGU anatenda sio nadhalia nimemuona akitenda kwangu
Barikiwa saana mchungaji
Mungu apewe sifa
Mungu hakubariki Mtumishi wa Mungu
Mungu aendelee kukutia nguvu unapoendelea kufanya kazi yake ,maana kupitia ww ninabarkiwa na mm
Barikiwa sana pr
Yesu tufundishe kiombaa
mungu a azindi kulinda na kukupa nguvu ya kutoa neno lake ubarikiwe tuko pamonja
nilichojifunza kwako ni hiki.Niisome Bibilia kweli.maana kila unachokisema uko kama umeimeza Biblia
Nakushiru mutumishi wa mungu kwa mafundisho mutamu nikifunuliwa n'a kujazwa nafundisho hilo ,kazi yangu ilisambazwa lakini kumbe mungu alitafuta Kuni okowa katika mataifa
Nimefurahia mafundisho yenye neema kubwa,
Kutoka Nairobi Kenya 🇰🇪
Amenmungu akubarikiukonawatotogapi
Nikweli mibaraka yote ipoo kuwatendea vzr yatima.wajane na kwenye shida
Mchungaji tafadhali twakukaribisha Nakuru kenya .
hakika nafarijika sana namahubili yako mtumishi
Mimi napenda sana mahubiri yako kwa sababu unaijua biblia vizuri.... Kila fundisho lina reference ya kibiblia na si swaga za uongo
Mchungaji naomba uniombee nifanye kazi ya mungu natamani kuimba natamani kuwa mtoaji mzur kanisani lakini Sina Hela
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu mafundisho yako nimeyafwata mtandaoni nikiwa Mbali sana.Naomba Email Address yako please
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
Kwa ushauri unapatikana wapi?
Mchungaji nashukuru kwa mafundisho hebu
Mungu azidi kukulinda.
Nina swali na ninaomba unijibu.
Je kwa nini kanisa ilibadilisha logo ya ujumbe wa malaika wa tatu na kuweka logo iliyoko kwa sasa?
MNGU MUUMBAJI WAMBINGU NA INCHI AKUBARIKISAANA NAFUATILIA NIKIWA CAPE TOWN.MAFUNDISHO YA MUNGU KUPITIA WEW YANANIBARIKI SAANA NANIMEJIFUNZA MENGI SAANA MUNGU AKUPE NGUVU NA UFUNUO PIA TUENDELEE KUBARIKIWA
Kwa Nini wakrisito wengi tukipatwa na matatizo wanakimbilia Kwa wachungaji na Kwa nn wasijiombee wenyewe nsomba yeyote atakae Iona you anisaidie kujibu tafadhari
picha
picha za ragos