This style is facilitative of brains to conceptualize, hearts to unfold, and physical bodies to sense. Thus, increased levels of understanding in national public interersts, stimulation of true African Brotherhood, and a balanced proportion of the last effect, between what is publicly known, specifically heard, and individually discerned by an ordinary citizen. What a message in stylistics !!! God bless Tanzania
Aiseee Kuna bonge ya massage sikutegemea Kama angesema huyu Makongolo leo tumemuona Nyerere ndani ya Makongolo. Faraja maduhu 🤔kwa kuwa na wewe umeliona hilo na wewe Ni critical thinker on a right Moment' big up 🤒
Huyu mwamba amemwaga madini ya kutosha sana,kua tunapo pata nafasi ya kuwa kiongozi tujitahidi kuacha matunda yaliyo mema kwa manufaa ya unao waacha siku mungu akikuchukua 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😀😀😀👏👏👏✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅💯💯💯💯💯💯
Tumemaliza kujichunguza Mtangazaji tutoe uhai👍tunajitesa Bure na Mambo Yao ... Mungu wa TB Joshua yupo Kwa TV yako tunataka Kufa waishi muda mrefu wenyewe🔥🔥 your Food
Rais wetu SAMIA hapa umepata Mkuu wa Mkoa .Baba Huyu ana Makuu yaan safi sana. Watu wengine ukiwachagua kuwapa Uongozi wanajisikia sana ,lakini Huyu baba tunamkubali sana Makongoro hoyoooooo.
Mbona Majaliwa huyo amechanja na kuhamasisha chanjo kama wengine? Tofauti yake na wengine iko wapi? Hiyo ni Serikali mmoja, mwelekeo mmoja, hamna utofauti...
Makongoro kama Nyerere.... uko sawa.... mema yapo mabaya yapo... Namuona Nyerere katika malezi bora ya kifamilia..... hivi mtu mcheshi mpenda utani hivi utakosana naye vipi... watoto wa viongozi wetu waliotangulia jifunzeni kwa familia ya Mwl.... nchi wakiitaka wataichukua... lakini wanayo maadili mema...ni wanyenyekevu....
Kweli ulibaki mtoto wa Mwl na so mtoto wa Rais. Umeeleweka vizuri. Pengine ungebaki mtoto wa Rais ungekuta Saa hizi nawe ni Uhuru Mwigai Kenyatta ama Gideon Moi nk. Makongoro una saikolojia ya juu asiyekuelewa vizuri atakuchukulia poa. Unachekesha lakini ndani Kuna vijimambo.
Huyu makongoro anafaa kuwa rais tz,kwanza anaupendo,na pia anafuata nyayo za baba yake hata mitano tu inatosha heshima kwa baba wa taifa letu.Anajiamini sana,anauwezo mkubwa wa kuongea na anaupendo na Tanzania yuko vizuri huyu jk nyerere junior .pia anatambua michango ya viongozi waliopita katika taifa mfano mzee wetu magufuli nimempenda sana njinsi alivyo.
Then akarudi kumuelezea Mwalimu Nyerere,pale alipoishia,yupo vizuri kwenye speech,yaani hotuba yake imetokana na speech za wazee,waliohutubia before,yeye ajapewa nafasi
@@augustinokahinda3939 mwenyewe mimi PCB, lakini kuna jumbe nyingi kwa hotuba yake... hata baada ya babake (JK_Nyerere) kufariki..yeye ndo anakata anga kwa mialiko kupokea tuzo za mzee, hakuna deal chafu mzee wake anahusishwa(viongozi wengine kila deals chafu chafu wapo hata baadaya kustaafu...rushwa,mikataba ya dhulma, mihadarati nk), familia nyingine wanaogopa baada ya mzazi kustaafu maisha yatakuaje
Tumemaliza kujichunguza Mtangazaji tutoe uhai👍tunajitesa Bure na Mambo Yao ... Mungu wa TB Joshua yupo Kwa TV yako tunataka Kufa waishi muda mrefu wenyewe🔥🔥 your Food
Amini nakwambia, kumuelewa huyu jamaa alichokuwa anaongea hapo sio kwa Mtu wa kawaida. Ukiona umeelewa huyu jamaa alichokuwa anaongea hapo basi uelewa wako ni Mkubwa sana.
Makongoro Nyerere ni very unique, furaha, ucheshi ulionao Ni tunu, bravo comrade.
Hongera sana Makongoro wewe si mnafiki umeweza kumsifia Magufuli hadhalani sio kama wengine wanaomkejeli
This style is facilitative of brains to conceptualize, hearts to unfold, and physical bodies to sense. Thus, increased levels of understanding in national public interersts, stimulation of true African Brotherhood, and a balanced proportion of the last effect, between what is publicly known, specifically heard, and individually discerned by an ordinary citizen.
What a message in stylistics !!!
God bless Tanzania
Aiseee Kuna bonge ya massage sikutegemea Kama angesema huyu Makongolo leo tumemuona Nyerere ndani ya Makongolo. Faraja maduhu 🤔kwa kuwa na wewe umeliona hilo na wewe Ni critical thinker on a right Moment' big up 🤒
Kingreza daaah... Kiswahili kwani kina shida gani@
Nimemuona mama yangu, rafiki yangu Getrude Mongella😍😍 Mungu azidi kukutunza mama.
Viongozi wetu ni vzr sana napenda hiyo,sio kila mda serious uwepo mda kidogo wa jocking,maisha yenyewe haya haya raha jipe mwenyewe
Maisha mafupi, ukinuna kila wakati utakufa mapema.
Mungu akuzidishishe hekima mashaallah
God bless Makongoro
Huyu mwamba amemwaga madini ya kutosha sana,kua tunapo pata nafasi ya kuwa kiongozi tujitahidi kuacha matunda yaliyo mema kwa manufaa ya unao waacha siku mungu akikuchukua 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😀😀😀👏👏👏✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅💯💯💯💯💯💯
Kabisa kabisa Mwaga.
Ucheshi na utani na UALIMU WA Mwl.Nyerere unaonekana ndani ya kijana wake
Nampenda sana huyu kiongozi...Makongoro.
Ni kati ya viongozi wanaonibariki, ana amani muda wote na mimi huwa namuelewaga...😍
Tumemaliza kujichunguza Mtangazaji tutoe uhai👍tunajitesa Bure na Mambo Yao ... Mungu wa TB Joshua yupo Kwa TV yako tunataka Kufa waishi muda mrefu wenyewe🔥🔥 your Food
Makongoro keep fine
Makongoro mcheshi sanaa mungu akulinde mzee wetu
Love you Makongoro... you are a typical version of Him. Japonica hamuwezi kufanana. But I love Makongoro. I love the fun side of you.
Maisha ni Haya haya Comedy kidogo
inapendeza 😁😁😁😁😁
Makongoro upo poa Mkuu
Mkuu wetu wa mkoa wa manyara yuko vizuri sana
Makongoro uko vizuri Sana, hata kwenye Uongozi wako mku wa mkoa.
Rais wetu SAMIA hapa umepata Mkuu wa Mkoa .Baba Huyu ana Makuu yaan safi sana. Watu wengine ukiwachagua kuwapa Uongozi wanajisikia sana ,lakini Huyu baba tunamkubali sana Makongoro hoyoooooo.
Jamaa smart sana kw ucheshi wake.
👍🏼
Big up kijana wa mwl wa 😁😁😁❤❤
Nice speech brother@Makongoro
IT'S THE STRONG SMS🇹🇿. FOR GOOD VISION 🇹🇿💪🇹🇿💪
yaah nakupongeza kwa kuona hilo' i.e he proud to be birth from good father.🥰 What about Msoga father 🤭
Makongoro Bravo kichwa Kama Cha Baba wa taifa
Makongoro 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
namkubali sana majaliwa barakoa havai kabisa hao wengine kama vile wamefunga nazo ndoa bhana
Majaliwa pia sio mnafiki wala hapendi kiki
Mbona Majaliwa huyo amechanja na kuhamasisha chanjo kama wengine? Tofauti yake na wengine iko wapi? Hiyo ni Serikali mmoja, mwelekeo mmoja, hamna utofauti...
🤣🤣🤣🙌
@@j.c.maxima816 😂😂😂😂😂😂😂😂
Makongoro ni hatar aletwe bungen asee🥰🥰🥰
Safi
Makongolo ni mcheshi I like him
👏👏👏👏
Big Mind
Makongoro kama Nyerere....
uko sawa.... mema yapo mabaya yapo...
Namuona Nyerere katika malezi bora ya kifamilia..... hivi mtu mcheshi mpenda utani hivi utakosana naye vipi...
watoto wa viongozi wetu waliotangulia jifunzeni kwa familia ya Mwl.... nchi wakiitaka wataichukua... lakini wanayo maadili mema...ni wanyenyekevu....
Ungejua amegusa pakubwa Sana leo' wataogopa kumualika tena' ucheshi kapotezea tu Massage yake Ni nzito balaa Kuna watu kagusa direct
Makongoro nyerere ni funny kutoka moyoni yani hana mawaa kabisaa ..
Nakupenda boss
Genius +
Kweli ulibaki mtoto wa Mwl na so mtoto wa Rais. Umeeleweka vizuri. Pengine ungebaki mtoto wa Rais ungekuta Saa hizi nawe ni Uhuru Mwigai Kenyatta ama Gideon Moi nk. Makongoro una saikolojia ya juu asiyekuelewa vizuri atakuchukulia poa. Unachekesha lakini ndani Kuna vijimambo.
Wakati wa anko Magu mama Samia alikua havai barakoa ila sasa ndio full hata corona tushaisahau
Kwani hizi Barakao ndio zinafanya mipango yako isiende..?
Hakuna cha mipango wala mapango,unafik full baraza zima watu walijing'atua wenyewe sahii wamerudi tena
Barakoa sio fashion, ndugu! Corona ipo. Sasa barakoa ya kujikinga na ugonjwa huu ina uhusiano upi na Jomba lako?
Kwani yy kuvaa barakoa ww, unasumbuka na Nini? Si kila mtu anaishi maisha yake?
@@ewardnestory258 👍👍👍👍👍👍
Huyu ndo kameza flush ya ucheshi ya Mwl Nyerere.
Ha ha ha
Hapo vip😆😆😆😆🙏
MAKONGORO NAMPENDA SANA
Sijawai kupita clip zako yaan nainjoi mnooo
Huyu makongoro anafaa kuwa rais tz,kwanza anaupendo,na pia anafuata nyayo za baba yake hata mitano tu inatosha heshima kwa baba wa taifa letu.Anajiamini sana,anauwezo mkubwa wa kuongea na anaupendo na Tanzania yuko vizuri huyu jk nyerere junior .pia anatambua michango ya viongozi waliopita katika taifa mfano mzee wetu magufuli nimempenda sana njinsi alivyo.
Kachanganya maendeleo ya Mh Rais na jitihada za Mwalimu Nyerere Kwa wanawake.hotuba mbili tofauti,very technical.
Then akarudi kumuelezea Mwalimu Nyerere,pale alipoishia,yupo vizuri kwenye speech,yaani hotuba yake imetokana na speech za wazee,waliohutubia before,yeye ajapewa nafasi
Continue to Rest in eternal peace Nyerere😭🙏🙏🙏🙏🙏
Hahaaaaaaa yaani huyu baba ni baba kwelikweli
Umeongea kiaina flan hv saf sana
Ujumbe umewafikia wasaliti wote.
@@elizabethpetro1258
Kwel kwa ss wachambuz tunajua alichomanisha😆
Jamani hamjaelewa nini hapo tuwasaidie?
Huhuhuhuhu😅😂
Raisi wetu mpedwa wetu Magufuli...umeongea vyema Mako
Yaaan sipend kusikia nawasalim kw jina la jamuhur y muungno w Tnznis
A true leader
Sijui huyu mama aliliokota wapi hilo neno 😅😅
Alikwepa kulitaja jina la Yesu Kristo
Kwani alivunja Katiba?! Wewe ungelazimishwa kumtaja Mohamed ungekubali?! Kila mtu na imani yake! Na bahati nzuri Nchi yetu haina dini!
Soo wewe peke yako unesikia Italian hiyo?
Hapo vipi?
Huyu mwamba nilikuwa simjui ana spich tam sana
Hakika CCM mmetudanganya vya kutosha je Maisha ya NZANZIBAR yapo juu kama huku BARA?
Anacheka km babaake
Sauti pia inaanza kuendana na mwalimu
"Nitaitoa! Hamuogopi...!" Sirro katoa macho kuna watu wanaishi Kwa uoga sana
Mako ameamua kujilipua.....wataalam wa fasihi karibuni.
Kwa Mimi wa PCM kamaanisha Kwan jmn
@@augustinokahinda3939 mwenyewe mimi PCB, lakini kuna jumbe nyingi kwa hotuba yake... hata baada ya babake (JK_Nyerere) kufariki..yeye ndo anakata anga kwa mialiko kupokea tuzo za mzee, hakuna deal chafu mzee wake anahusishwa(viongozi wengine kila deals chafu chafu wapo hata baadaya kustaafu...rushwa,mikataba ya dhulma, mihadarati nk), familia nyingine wanaogopa baada ya mzazi kustaafu maisha yatakuaje
Huyu jamaa ni typical Julius Nyerere hachoshi kumsikiliza uwe mkuwa uwe mdogo
Kweli watanzania wanapenda Sana kiki
MUNGU ATUHURUMIE TUSIPENDE MADARAKA TU TUJIFIKILIE TUNAYAPATAJE NA TUNATENDAJE NA MADHARA KWA VIZAZI VYETU.
Nimeisikiliza hii hotuba mara nyingi sana
Mama ujakosea kuumteuwa uyu makongoro kiongozi kiongozi mcheshi
Uwezi choka kumsikiliza
Hiv mama yake jpm anaendeleaje kiafya
Ni wakati mahususi sasa familia ya Baba wa Taifa wakumbukwe kushika nafasi ya Rais wa JMT baada ya Mama 2030 au kabla km hatogombea
Tumemaliza kujichunguza Mtangazaji tutoe uhai👍tunajitesa Bure na Mambo Yao ... Mungu wa TB Joshua yupo Kwa TV yako tunataka Kufa waishi muda mrefu wenyewe🔥🔥 your Food
Et A.k.a nchi ameiweza.. hapo hapana ila ni nchi imemshinda
Hadi raha uchoki kumsikliza
Mh.ungetoa na nguo kabisa kuonyesha msistizo
Amini nakwambia, kumuelewa huyu jamaa alichokuwa anaongea hapo sio kwa Mtu wa kawaida. Ukiona umeelewa huyu jamaa alichokuwa anaongea hapo basi uelewa wako ni Mkubwa sana.
Kabisa
Hapo kaupiga Mwingi kuliko Samia.
Ni kweli
Sure bro
TULIO MUELEWA TUNA PASSWORD
Nkimpa huyu mmmammma mi5 tena sio mm
Natamani kukuona kwenye comed ukiwa na masanja mkandamizaji
Umebugi kumtaja jpm thats why umepigwa beep hahahahaaaa
Makongoro genius
Huyu Jamaa hajawahigi kuwa Serious kabisaa.
Ukitumia akili kidogo utajua yuko serious kiasi gani....sikiliza content
Hpo ndipo ninapochoka
😂😂😂
Mwl.alijalii ubinadamu
.
Is makongolo a comedian?
Wewe unaongea ujinga tu
Nchi imewashida
Wanao barakoa wacha wavae mpk ziwauwe
nampenda cna Makongoro
Even me nkpendaa anachkesha
Anaongeaga Point Sana Huyu Mtu
th-cam.com/video/VGnBdSB4GVk/w-d-xo.html
Anabaitisha
Unafikili ATA ukimtaja Nyerere never Atutomsahau JPM Alietuonyesha maendereo
Kila Rais kafanya yake kwa uwezo wake acha kashfa
Ulimbukeni
Kazi gani uyo Bibi Samia anayofanya pumbavu zako
Acha wivu na matusi.basi....!
Raisi wetu mpedwa wetu Magufuli...umeongea vyema Mako