Utacheka! Maneno ya Makongoro Nyerere mbele ya Rais Samia | amsimamisha Kikwete "Watoto wa Rais..."

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 30

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY ปีที่แล้ว +3

    Safi sana kaka yetu makongoro
    mtoto wa mzee #juriusnyerere
    muasisi wa taifa letu la tanzania 🇹🇿

  • @patrobamatiku9203
    @patrobamatiku9203 ปีที่แล้ว +2

    Makongoro kuwa serious unapopata fursa ya kuongea mbele ya mheshiwa Rais wa nchi. Vitu unavyoongea haviendani na nafasi uliyonayo kama mkuu wa mkoa. Unapoteza muda kuongea vitu ambavyo havina maana kwa wanachi unao waongoza. Unatumia muda wako mwingi kwenye utambulisho, kusifu na kufanya usanii badala ya kuzungumzia matatizo ya wananchi. BADILIKA TAFADHALI!!

  • @samsonhaule3647
    @samsonhaule3647 ปีที่แล้ว +1

    Huyu hafai kuwa kiongozi Masifa mengi.

  • @mrjaula7769
    @mrjaula7769 ปีที่แล้ว +1

    Hawa special hii nchi Ngumu Sana

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 ปีที่แล้ว

    Kama ulitega shule huwezi kuambulia kitu kutoka kwa huyu mwamba, alicho kiongea ni kitu muhimu Sana kuwa kwenye nchi za watu wengine raisi akisha staff huwa wana kimbia nchi zao ila kwakua Tanzania uhuru upo ndio maana mpaka na watoto wa maraisi Bado wanaendelea kushika madaraka 🙌🙌👏👏👏😄😃

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka kwa furaha... unajua kukaribisha wageni mheshimiwa... Tz raha sana... hata kama umenuna utacheka.😂😂

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 ปีที่แล้ว +4

    Nchi imepoteza mvuto siasa nyingi matendo 0 msilushe kila habari maana viongozi wanakosa hata maadili katika kuongea hii ni aibu sana

    • @championboy7
      @championboy7 ปีที่แล้ว

      "Aahiii! Aaahaaaa!"

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 ปีที่แล้ว +1

      Kaka Salum unahitaji like ngapi ???
      Maana tumechoka vituko vya jinsi wanasifiana tu wao kw wao. Wakati uku wananchi tunapigika

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 ปีที่แล้ว

      Kwani mwanzo wakati wa magu ndio misifa ilizidi zaidi madaraja flyover yalifanywa kama ndio siasa nimejenga nimejenga mambo ya ajabu sana..!

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 ปีที่แล้ว

      @@hassanmfaume4522
      Tafauti Ya mwanzo na sasa ni kwasabu Magufuli alisifiwa na wananchi wakupato cha chini maana aliwaunga mkono moja kwa moja mfano kuwatengenezeya mazingira rahisi Ya kufanya kazi machinga, mama lishe na kadhalika ila tofauti Ya sasa utawala unasifiwa na MATAJIRI, MAKAMPUNI, ULAYA NA MAREKANI. Kama na wewe ni tajiri sana basi ruksa kusifiya. Mie mkubwa wangu alikuwa anafanya biashara Ya Machinga na ndio alikua akinilipia ada Ya chuo na pia kutuma pesa Ya matumizi kijijini kumsaidia bibi.

  • @c75923
    @c75923 ปีที่แล้ว

    Inasikitisha!

  • @Tanznia2000s
    @Tanznia2000s 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu anafaa kuwa KIONGOZI kwasababu KIONGOZI anapaswa kuwa karibu na jamii.

  • @brother_majesty
    @brother_majesty ปีที่แล้ว

    Haya buana

  • @kidagodbless6001
    @kidagodbless6001 ปีที่แล้ว +1

    Alicho zungumza apa ni zero plus

  • @athumanmbululo3980
    @athumanmbululo3980 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mzeee asiwe anaongea,,manake ni pumba nyingi sana

  • @happykipeya8516
    @happykipeya8516 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😁😁

  • @ramadhanmgaya1775
    @ramadhanmgaya1775 ปีที่แล้ว

    Nonsense

  • @husseinhkitambi1701
    @husseinhkitambi1701 ปีที่แล้ว +1

    Watu wachachee

  • @lubungaetienealmasi1059
    @lubungaetienealmasi1059 ปีที่แล้ว

    Hii ndo tatizo kuweka mkuu wamkoa aliye toka katika familia za kishua yeye hajali ata wakimwambia acha kazi laiti agekua mkuu wamkoa aliye toka katika familia nduni agechukua mda uho kusema matatizo ya wananchi.

  • @zainabubakari4156
    @zainabubakari4156 ปีที่แล้ว

    Mungu Akutunze😘😘😘

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 ปีที่แล้ว

    Wewe acha kumsafisha huyo jamaa, baba yake ana tumaliza watanganyika, hii Awamu ya sita ufisadi uendelee tanzanie

  • @didasseveline9013
    @didasseveline9013 ปีที่แล้ว

    Makongoro nimekuelewa! Pale ulipotaja kuwa Marais wastaafu kukimbia nchi na familia zao

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 ปีที่แล้ว

    babaake mzazi mwalim nyerere,mwinyi,mkapa,kikwete na magufuli"waliahajua huyu hafai kuwa kiongozi na ndo maana hakupewa nafasi katika uongozi"ni huruma tu za mh.samia

    • @philbertwaluse9126
      @philbertwaluse9126 ปีที่แล้ว

      Chini ya Utawala wa kikwete alikua mbunge wa bunge la Africa Mashariki.

  • @kibaelipateli2924
    @kibaelipateli2924 ปีที่แล้ว

    🥺🥺🥺Mzee kichwa kikubwa alaf unaongea pumba 😏umenikera

  • @jajomc6445
    @jajomc6445 ปีที่แล้ว

    Dawa ya deni.
    th-cam.com/video/uU3ff3MXIHU/w-d-xo.html

  • @zinjibaryetu8451
    @zinjibaryetu8451 ปีที่แล้ว

    Dah jinsi viongozi wa ccm walivokua mazuzu hata mazungumzo yao ni ya kijinga jinga tu

  • @athumanmbululo3980
    @athumanmbululo3980 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa pumba