Assalam Alleykhum ◾Asante sana kipenzi kwa kunitembelea video yetu ya Leo nikuhusu singo lakumpokea mume... ◾Hatakama wewe ndio unampokea lazima tayari uwe unanukia vilivyo yaani uwe ushajisinga sehemu unazoweza,ndio mume akifika asikie unanukiaaaaaaaa balaaa sijui tuko pamoja?? Kama wewe unanukia basi na yeye hatakataa wewe kumsinga. ◾Nini Maana ya kusinga?Kusinga nikama kumfanyia scrub ama kumsafisha mwili wake wote sio na scrub yakawaida bali nihivi nilivyotaja..nitawaletea aina ya singo zingine InshaaAllah 😍 ◾ Unanukia kama aroosa vileee💦💦 ◾Ipokeeni vizuri nyingi zifuate naomba mushee😍 ◾kama haujaelewa niandikie kwa comments. ◾Subscribe nina hakika utaenjoy. ◾Asante sana.
Assalam Alleykhum
◾Asante sana kipenzi kwa kunitembelea video yetu ya Leo nikuhusu singo lakumpokea mume...
◾Hatakama wewe ndio unampokea lazima tayari uwe unanukia vilivyo yaani uwe ushajisinga sehemu unazoweza,ndio mume akifika asikie unanukiaaaaaaaa balaaa sijui tuko pamoja?? Kama wewe unanukia basi na yeye hatakataa wewe kumsinga.
◾Nini Maana ya kusinga?Kusinga nikama kumfanyia scrub ama kumsafisha mwili wake wote sio na scrub yakawaida bali nihivi nilivyotaja..nitawaletea aina ya singo zingine InshaaAllah 😍
◾ Unanukia kama aroosa vileee💦💦
◾Ipokeeni vizuri nyingi zifuate naomba mushee😍
◾kama haujaelewa niandikie kwa comments.
◾Subscribe nina hakika utaenjoy.
◾Asante sana.
Waleykum salam mzima dear inshallah
Uko vizuri sana dadaa
Asante dear
Hapo nakubali dida nilikua sijui🤣🤣🤣🤣najifnza kitu tnx
Tunajifunza sote kila siku mpenzi shukran
Mawaidha mazuri sana
Another one thanks alot for the nice content❤
Mafuta mazito kama yapi hapo ndo sijaelewa mfano mafuta gani
yanihusu sana
Nice sharing my frnd stay in tch ❤️
Maa sha ALLAH
Plz dada nielekeze kutengeneza ya karafuu
Nioneshe kwa video
ok
Santa Dida😘
Subscribe Usipitweee
Nshafanya hivyo kitambo dada
Saw
Tuonyeshe viungp
sawa next tym
Ki ukweli now umeni impresses ku subscribe nlikua naipita tu hii channel kumbe nlikua nakosa vingi vizuri wallah😂 now we are together
Asante kipenzi❤❤
@@HadijaSheban mafuta mazito ni nini kipenzi yaan ni ya nini Oliver au nifahamishe my
Kipenzi wenye tuko single tunakaa tent gani?😅. I'm learning.
Tent ya yellow😂😂😂
Ws so unasaga roses asmini,na vilua den unachanganya na mafuta mazito na ya nazi sio
Sisi tuko single tunakaaa wapi 😃😅😅😅😅😅
Kwa tent ya yellow😂😂😂
Ay mafut mazito ndo yep jmn
Ukienda duka la perfume yaulizie love
Aki c mama Asma utaniuwa umekuwa bi msafwari
Siezi mfikia😂😂😂
Nitapata wapi wa kunifanyia hayo...😅
Lazima upate mlete classes na 1500 tu😂😂😂😂😂😂
Yanaitwaje hay mafuta mazito please
Yako kila aina mpenzi itategemea utakayopata bora useme hivyo uskize harufu nzuri
@@HadijaSheban dada naomba nitajie jina la ayo mafuta siyajui mana
Mafuta mazito kma yap mamaa
hapo kwa asmini nileteee nrb hakuna
Okey mpenzi nitakutwalia😍😍😍
Mafuta mazito ni gan vilua n nn
Nitafanya video yakuvioneshabone dat