Best tutorial ever... leo ilikuwa ya siku yangu ya kwanza kupika na i expected zitoke ngumu ama shapeless but by following your instructions zimetoka poa👌.... thanks tina 😗
Good job guys,namini nitajifunza Na mimi hapa kutengeneza chapati.kwasababu kila nikitengeneza Mimi uwa zina kauka tena nikizikunja azikunjiki JAMANI ivi ni kwanini muniongoze wa limu🙏
My aunt taught me another way of making chapatis where you add,milk,eggs,carrots,onions,and green pepper this is one of the best ways I have ever eaten a chapati its really perfect
I've come across chapos with some of these ingredients you're talking about here and was actually very surprised at how good they were. Those who're making fun here haven't had one yet.
Pole! Ukikanda unga wako vizuri na kuuacha kwamda kidogo unakuwa mrahisi kusukuma unaku una stretch Ila ukikanda nakusukuma hapo hapo unakuwa unarudi yaani ukisukuma unarudi.
Sasa juu nimeona hii nikaskia tama, mate imekata kuisha kwenye mdomo.. Na vile mimi ni mvivu kupika😢😢 can you do another ya leo unialike i do the eating.. Please
BONYEZA HAPA KUTAZAMA VIDEO MPYA YA CHAPATI
th-cam.com/video/RZy5JCxkFb4/w-d-xo.html
Nice
6q
Nxuri mpaka mate yanadondoka
Mim pia ni mpisha
So
S
A
A
A
Z
X
D
D
F
P??
?
?
??lllllllkmjko
Shukrni saiv na mm nisha juw kupik chapt lain mashallh mashallh❤❤❤
Mbarikiwe Sana na Mwenyezi Mungu awazidishie siku za kuishi.
Na kizr zaidi hujatumia mafuta mob kbsa..this is soo gud
Asante kwa mafunzo jinzi kupika chapati tamu na laini. Ubarikiwe dadangu
Best tutorial ever... leo ilikuwa ya siku yangu ya kwanza kupika na i expected zitoke ngumu ama shapeless but by following your instructions zimetoka poa👌.... thanks tina 😗
I’m pleased to note that! Thanks so much 🙏
Mashalllah chapati hizi nazikubali nzuri sanaaaa very soft zinaonyeshaa...
asante ,tried your way and they were awesome for a first trial.
waoooh!! Asante jmn kwakutufunza vyema mungu awabark
Hgyenic principle's utakiwi kuvaa rings wakati wa kuandaa vyakula.chapati ni nzuri hongera.
Hongeleni sana
Mashaaalah Asante kwa kutufunzaa chapati zakoo lain jmn
Nilifwata maagizo na matokeo yalikuwa mazuri sana. Asanteni sana.
Jaman mbona me nilijaribu lak zikawa ngumu nafeli wap??
Asante sana dada Eli yako nimepika zimetoka vizuri sikutegemea nitaendelea kujifunza zaidi 😊
🙏🙏
Good job guys,namini nitajifunza Na mimi hapa kutengeneza chapati.kwasababu kila nikitengeneza Mimi uwa zina kauka tena nikizikunja azikunjiki JAMANI ivi ni kwanini muniongoze wa limu🙏
Tuko wengi😅🤣🤣🤣
Usikande na maji baridi
Ata mm ivoivo zina kuwa ngum
thanx much,leo nimepika chapat nzur sana kwakufuata process zako
Tina hongera sana nafuatilia vipindi vyako na nimejifunza sana kupika vitu mbalimbali .. tunashukuru kwa kutupa mafunzo haya. Be blessed
Felista Lyamuya Asante my dear!🙏
Asante
Felista Lyamuya hivyo vikombe nane vikoje au ndio unga kiasi gan
nice
Asante San Dada nimejifunza kesho nitajaribu
raha ya kushuudia hii kazi ni upewe moja ung'ate .mimi mate nje nje
Hongera San nami nataman kujifunza kutoka kwako
Unajua s vyema mume kula chapat nje ko ntajitahid dad we n Bora san
U taught me how to cook chapati very well... Iv even watched an advert till the end just as a sign of appreciation. Keep up!
Okay very very Nice
Nimefurahi kupata ujuz dada hongera kwa Kaz nzur
Thanks xo much now l know how to cook chapatis may Allah bless u!!!!!!!!!!
Yaah
Asante sana dada Ang Kwa mafundisho Yako mazur
Thanks 😀This is a perfect way to make Chapati and i will follow your recipe from now on 👍
mashaallah asnte kwa kutufunza
Asante sana nimejifunza chapati kuwa laini
Fatuma Lupim 🙏
Asanten kwa fundisho.... I did it, it was awesome, easy, delicious!!
I luv coocking chapati ,thankz to utalii college for the skills
Nimependa sana utengenezaji wenu wa chapati asanteni ❤
Nilijaribu hivyo jana.Yani nilitoa chapati soft sana. Asante sana mungu akubariki
Mercy Faith 🙏
Wow nice cooking
Mi nitashindwa kuelewa mwanaume au mwanamke atashindwa kupika chakula cha kawaida kama hiki, TH-cam inatufundisha mengi sana asante dadaTina...
Mercy Faith mmmmh
@@qadinacci ikiwa huoni unaweza pika vipi ? Wengi wa nashindwa sana mimi nimeisha myaka 40 hivi njo nalewa pika chapati kupitia chanel hiyi
Yani nimeangalia Mara moja jamani chapati zimetoka pambe sio poa ❤😊
Asante sana dada kwa somo
Wow! Nimeipenda na nimejaribu nikawezaaaa so kwa kitafunwa asubuhi, Dukani hawanioni tenaaa
Daaah mim cjuw huwa nakosea WAP sio kwa ugum ule Kama kaukau
Yes kunahatua ambazo huwa nazikosea katika uwandaaji nimesha fahamu thengs my sister
A
Asante Kwa ku2fundisha mungu akubaliki
Amen 🙏
Beautiful nimependa sana
Hongera sana chapati zinaonekana tamu
Wonderful...just cooked my first chapatis with this video . Thank you so much
Napendasana.capati
Ahsante mefurah kuona mapishi Yako nahtaj sana kujifunzaa❤❤❤❤
sah ukikandia maziwa y unga inakua nzuri zaido
asanti Mungu akubariki sana ukiendelea kutufunza upishi ,,twakungoja apa na recipes zingine kama meat stew
Thanks
Chapati nzuri jaribuni kuweka nido, nazi ya unga ghee na butter utamu utaongezeka zaidi
Shania Twilka kweli kabisa
mambo hiyo nido unatia unga wa nido ktk ngano au unaweka unga wa nido na maji? vip nikikandia Nazi ya kawaida tui zito
mambo hiyo nido unatia unga wa nido ktk ngano au unaweka unga wa nido na maji? vip nikikandia Nazi ya kawaida tui zito
Shania Twilka njoo unipikie japo mala moja I think nitapenda
em nielekeze nikiwashe kwangu apa
Asante sana kwa kunisaidia..sai najivunia kuweza kupika chapati laini kabisa...Mwenyezi Mungu akujalie zaidi
Wawooo mash Allah shukren saan kwa ufundi hakika nimefaham kukanda unga wa chapat maan me huwa nakanda lakin chapat zatoka kaa cd 😂😂😂😂
aminah Tanzania Asante 🙏
hahaaaa CD tena usinivunje mbav mm
aminah Tanzania pls kabisa but afya muimu pete or rings kindly zivue.
i from ken
aminah Tanzania nimecheka sana
Ahsante kwa somo nzuri, nimeelewa vema.
nyc method ill try it to cook fr my famiy
I knew how to make chapoo but skua kaacha unga wala hizo dough,,, kweli umenipa bonge ya idea thnx love
Miriam Awadhi Asante my dear 🙏
Awesome! Am the new chapati chef in the house. Thank you. This was helpful.
Me too am going to try this😂
Same😉
Asante sana endelea kubolesha zaid weka maziwa au mayai
Hua zinafaa kuweka mayai kumbe wakati unakanda au
My aunt taught me another way of making chapatis where you add,milk,eggs,carrots,onions,and green pepper this is one of the best ways I have ever eaten a chapati its really perfect
Antonia Keza lahaula! Ni pizza hiyo ya aunty yako au ni chapati mix
Antonia Keza Hehehehehe onions and green pepper kwa chapo eeiiish like seriously I can't 😁😁😁
Ongeza na tomato jamani basi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!
I've come across chapos with some of these ingredients you're talking about here and was actually very surprised at how good they were. Those who're making fun here haven't had one yet.
Sounds like omelette
Asante sana kwa kukupa vipimo na kutuonyesha tangu mwanza mpaka mwisho. Ubarikiwe
Nellie Muganda Asante pia
tatizo langu m kusukuma tu nd kunanishinda😁ila nashukur kwa kuangalia hii clip nmejifunza vingi ,i thnk next tym nitatengeneza km wew ivyo
Pole! Ukikanda unga wako vizuri na kuuacha kwamda kidogo unakuwa mrahisi kusukuma unaku una stretch Ila ukikanda nakusukuma hapo hapo unakuwa unarudi yaani ukisukuma unarudi.
Hahaha me na ww tunalo tatizo moja
@@cookingwithtina8186naomb unieleweshe mpendwa vikombe 8 n sawa na unga kiasi gan?
ooooooh hakika chapati zinaoneka ni tamu mno barikiwa kwa kutufundisha mapishi hongera mno.
TECKLA GODWIN SEIYA 🙏🙏
Chapati my favourite food💪💪💪
shantel shawty
me too
Really? 😂
Uko vizuri nimejifunza asante Sana
Thomas Temu Asante pia
I yunisha am trying it in my house in east legon, so nice
Isha Abdulai a
Nilikuwa sijui sasa nimejua ahsanteni
umeeleza vizuri sanaa. shukran kwa funzo hili.
gemkachar Asante pia 🙏
duff ffbvh
duff ffbvh
duff ffbvh
duff ffbvh
Nimependa jamn upo vzr Mungu akubariki hauna choyo
Mmmmmm mate kanidodoka jameni Na hata sijaojako hata hadogo mashallah
wawuuu capati zauwezo wetu kabisa.asate kwakutuonesha na sisi wadogo kama tunaweza tumikacapati bila biuongo bingi👏👏
Evelyne Simbagoye Asante 🙏
Your chapos are soooo good. So round and they cook evenly na hazikuchomeka. This is the perfect recipe.!
Anulisa Claire Thank you
Anulisa Claire Thank you
Mafuta yanakuwa barid au moto
Thanks Tina because of you know how to cook chapati
Thank you for sharing Tina! I will try this recipe on my channel with wheat 🌾 flour.
Shida yangu ni kuisukuma chapati iwe round hapo ndio changamoto yangu
@@berthamwaja4416😂😂😂😂me kusukuma now Iko sawa bt natamani zitoke soft sana bt now najaribu
Asante sana nijua kupitia ihi video
Next ijaza will try this!
hongera sana Dada Tina najifunza mengi kupitia mapishi yako, chapati ni nzur sana. ila jack kanifurahisha yupo vizuri
Adverah Gabriel Asante! 😊
😝Naomba moja jaman dahh!!. Nimeipenda hiyo mpo vizuri sanaa. Namm nitapika zangu sasa maana nilikua napika mifuniko ya ndoo! hazifai kung'ata. hahahah
Ramadhan Kimomwe
Thanks so much 🙏
Wahaoo ni nzur sana
Mpo vizur wadada
Happy Sitayo thanks sis 🙏
Ramadhan Kimomwe hahaha eti mifuniko ya ndoo umejua kunichekesha
Asante sana dada napenda mno chapati sema kuandaa ndo nilikuwa sijui
Thanks for the awesome video. I have actually experimented with the art of cooking chapos from this video.
Erickson Thanks so much! 🙏
@@cookingwithtina8186 daaaa saf sana daaa
I am very thankful that I grew up from a very difficult past
Amazing i won't be cooking hard stuff ever again
Asanteni sana nimeelewa
Zinaonekana nzuri,
Sauti ya mziki ni kubwa ina ziba masikio
Umm Omania next time nitaweka sauti ndogo!
Yami wow lke it
thank you ,
Beautiful. I love the tips. Will definitely try this
mohs cooking Thanks for your support
aiseee kumbe chapati htuwek amira n baking powder asante dada tina
I would really love to taste this 😁
Hongeren sana mashaAllah lkn km hauna mume me naitaj uje kunipikia nyumbn ❤❤
chapati nzuri sana asante
Chapt nzurii Ukipkiaa jiko la Mka jamn
Thank you for the tutorial. It really worked and my chapatis improvedzhey were soft and tasty.
Maji ni moto kabisa ama just warm.Alafu kikombe size gani ya kupimia unga?
Is the water warm or cold ?
We sasa umepatia hongera saaana ubarikiwe
Thanks 🙏
🤔🤔MAKES A LOT OF SENSE -
Yeah..but I am not talking time and my chapati very soft ❤
Shukrani saaan nimeona ni wapi nilikua nakosea...nitajaribu
Unga 8cups,sugar 2teaspoonful,salt1spoonful cooking oil hot quarter cup lastly water 2cups
Shizzle mreal wow tomorrow ill try too
Nice
Water ni moto ama baridi
Kikombe cha chai mumetumia gani?
Maji moto
🎉unakipaji sana mungu akuzidishe maisha marefu cheif cook
🙏🙏
mmmh jack umekua noma shogaangu njoo tu huku unifundishe na Mimi Si kwa kunitamanisha huko
Adverah Gabriel
Asante kwa mafunzo ya upishi
🙏
This was so helpful.Thank you so much.They turned out perfect .
Nazneen Bala Thank you so much too 🙏
Kali
Asante zimetoka vizuri sana,lakini zinachukua mda kua tayari,
Sasa juu nimeona hii nikaskia tama, mate imekata kuisha kwenye mdomo.. Na vile mimi ni mvivu kupika😢😢 can you do another ya leo unialike i do the eating.. Please
Emmie wilsone karibu sana my dea and thanks for watching
Kwakweli nimejaribu chapati zilikuwa nzuri Sana 🥰🥰 Mungu akubariki
SCOVIA MATHIAS Asante sana 🙏🥰
Hello Tina,
I do not speak Swahili. Can you please tell me the measurements of each ingredient used.
Thank you
8cups flour
2 tsp sugar
1tsp salt
2cups hot but not boiling water
Oil 1/4 cup
@@sonimuthoni9200 what does it mean when you say 8 cups. How many kgs or which cups are those? Thank you in advance
@@rosadatheodothburetha6334 8cup of wheat flour
Tea cups
Hatarii safi dada
I wish you would show is more of the movements of how she squeezed the daugh,maana ukifanya vibaya waweza end up making bad chapos
Unaelekeza vizuri .I like it
Thanks
I want to cook chapatti for my pregnant wife I hope this will help me
Adnan Adow Mohamed of course it will bro
Wow you are so sweet. Bless you
Adnan Adow asante sana
I like the hygiene👌,,naenda kupika chapati sasa hv
Nimeweza bwana,,sema nmesukuma ikawa nene sana🙄
Thanks my