Tazama balaa la MAKOMANDO Hatari Zaidi na SIFA ZAO mbele ya Rais SAMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 223

  • @OmarKombo-h2j
    @OmarKombo-h2j 5 หลายเดือนก่อน +14

    Hongerani cn maraisi wetu wa tanzania na zanzibar kwa jitihada mnazozichukua katika kulinda na kutetea muungano wetu wa tanzania watakao nuna na wanune kazi iendelee

  • @JacksonCherk
    @JacksonCherk 5 หลายเดือนก่อน +11

    Safi kaka jack saiv umeongezwa nyita hongera mama anafurah akikutazama

  • @Abdul_rhmaniSalum
    @Abdul_rhmaniSalum 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni mko vizuri mungu awape maisha malefu

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 5 หลายเดือนก่อน +10

    Magufuli alifuta hii sherehe akaagiza pesa zilizotengwa zikapanue barabara ya Mwenge to Morocco dar es salaam..RIP Magu.

    • @ayoubmtumishi50
      @ayoubmtumishi50 5 หลายเดือนก่อน

      Ilikuwa uhuru siyo hii 😢

    • @PeterJohn-sg4oe
      @PeterJohn-sg4oe 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe wa wapi? Barabara ya mwenge imejengwa kwa mkopo wa Japani, mlidanganywa tu

    • @mpajibinaisa7238
      @mpajibinaisa7238 4 หลายเดือนก่อน +1

      Huo ni uongo magufuli hakuwahi kuingilia shughuli yoyote ya jwtz hao ndio watu aliowaheshimu na aliwapa shavu sana kama unapinga njoo kwa hoja

    • @seneu.2128
      @seneu.2128 4 หลายเดือนก่อน

      @@mpajibinaisa7238 sikukuu ya Muungano ni ya jwtz? 😂 Kafate ada uliposomea walikuacha ukiwa empty kichwani

  • @enezaelia2343
    @enezaelia2343 2 หลายเดือนก่อน +1

    Onyesho zuriii mungu ibariki Tanzania

  • @ImaniChisunga-d7w
    @ImaniChisunga-d7w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awalinde wajeshi wetu wa Tanzania mpo vizur

  • @YusufuKihongwe
    @YusufuKihongwe 5 หลายเดือนก่อน +2

    Heshima kwa makomando vizuri sana mwenyezimungu awalinde ❤❤❤

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 5 หลายเดือนก่อน +8

    Jaman jaman!!!!
    Siku hizi vita Sio Kutunisha Misuli.
    Bali ni Technically, technology skills.
    Mtu Yupo IRAN ANAPIGA Telaviv

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 5 หลายเดือนก่อน

      HUJUI LOLOTE WEWE. UNADHANI UNAWEZA KUMUHAMISHA ASKARI ALIE SHAMBULIWA UWANJA WA MEDANI KWA DRONE..? AU KUBEBA SUPPLY YA ASKARI ALIE ENDA PATROL NDEFU MSITUNI..? KAANGALOE MAZOEZI YA NAVY SEAL,GREEN BERETS , SPETZNAZ.MARCOS AU JSTF NDO UTAELEWA. BAADA YA YOTE VITA NA MAPIGANO NI BODY PHYSICAL ACTIVITIES. HAO WAIRAN UNAO WASEMA JESHI LAO LINA ASKARI LAKI SITA NA ALAFU UNACOMMENT UPUUZI HAPA. KAMA VIT ANI TECHNOLOGIA WANALIPA HAO WATU WOYE WA NINI C ANGEKUWA ISHIRINI TU NA MAKOMBORA MILIONI..?

    • @DainessJames
      @DainessJames 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa yan unajua nin sa hv vita za ngumi zishapitwa na wakati tuko kwenye technology

    • @RubayitaRukaka
      @RubayitaRukaka 5 หลายเดือนก่อน

      Hiyo misuli imekatwa na wale muliowaita makunguru😂 Hawa na wa South Africa, wa rundi na .ajeshi wa DRC wakawekwa Kwa sufuriya mojaaa

    • @AlanWilliam-oq5qz
      @AlanWilliam-oq5qz 3 หลายเดือนก่อน

      Ao ni combat ready special force we Bata

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 5 หลายเดือนก่อน +1

    😮1980 kizaman sana ..tudili na teknolojia .
    Askari anajifungua kamba dk 3 😊

  • @eradiusdezideri
    @eradiusdezideri 5 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana makomandoo wetu wa TANZANIA

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera JWTZ, tukumbuke kwenda na wakati. Technology na AI , ulinzi nawenye

  • @MauridiJosephMasumbuko
    @MauridiJosephMasumbuko 18 วันที่ผ่านมา

    Nawahomba msijichanganye sikumoja kutakavita yani aaaaaaaa😊 kariba Congo ndipo utajuwa wanavifaa

  • @BarakaJebaNgombo
    @BarakaJebaNgombo 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hakuna chochote hapa, Alshabab wawili tu wanaangamiza Tz nzima

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 5 หลายเดือนก่อน +2

    Jeshi letu liko vizuri,,, lakini tuonyesheni itakuwaje kama tunapigana na nchi ya mbali zaidi.

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 5 หลายเดือนก่อน

      Hkuna hizo vita afrika. vita zote za afrika ni dhidi ya majirani au vikundi vya waasi msituni(ndani ya nchi yako) afrika hakuna nchi ilio wahi kupigana na mtu asie jirani yake kwa sababu ugomvi wetu pekee ni kwa sababu ya mipaka. kama una ushahidi wa nchi yoyote afrika ambayo imewahi kupigana na mtu ambae sio jirani yake tuambie

  • @EugineAngaya-w7b
    @EugineAngaya-w7b 2 หลายเดือนก่อน

    nice job...naitamani sana mm

  • @FrankEdward-u5d
    @FrankEdward-u5d หลายเดือนก่อน

    Hongeren sana kwa ujuz wenu

  • @CharlesmatlePanga
    @CharlesmatlePanga 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu awalinde makamanda wetu TZ

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiona Taifa Liko Na Vita Kila Wakati Usiulize Kwanini Asikari Wao Awako Vizuri Hata Tanzania Tungekuwa Na Jeshi Zaifu Mtambue Tungeishi Kwa Tabu Kubwa Sana Kwakuwa Matukio Ya Uwasi Yangekuwa Yamezaliwa Lakini Kwakua Tuko Na Makamanda Waziri Waasi Wanajua Taifa Alinuswi Kwa Uvamizi

  • @robertmatabalo5454
    @robertmatabalo5454 5 หลายเดือนก่อน +6

    Ufahamu mdogo mnacoment upuuzi. Mwananchi smbae hathamini kitu chake amefilisiks akili

  • @MajambereStephen
    @MajambereStephen 4 หลายเดือนก่อน +1

    Long live Samia

  • @MaulidyMadyo
    @MaulidyMadyo 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mpaka mama samia anaogopa jamani comando anatisha sana

  • @AhmedShaame-f1d
    @AhmedShaame-f1d หลายเดือนก่อน

    God bless Tanzania 🙏

  • @starionwaheron
    @starionwaheron 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jakaya Kikwete aliwadanganya kuenda kupigana rahia wa Congo lakini hamuwezi kushinda vita ya M23

  • @JohnNdoli-i6w
    @JohnNdoli-i6w 5 หลายเดือนก่อน +1

    Congo mtapata shida djameni.Mtoke uko mapema!

  • @DionisEmmanuel
    @DionisEmmanuel 5 หลายเดือนก่อน +5

    Twende mbele turudi nyuma hii mibaba inatisha 😅😅

  • @kiregulichorogladys4422
    @kiregulichorogladys4422 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hio michezo mpeleke DRC kwa M23 itawafundisha kikomando cha ukweli onground.

  • @GabrielPaul-w1j
    @GabrielPaul-w1j 3 หลายเดือนก่อน

    Tunajivunia sana kuwa na watu Kama Hawa nchini❤

  • @AnaelSikay
    @AnaelSikay 27 วันที่ผ่านมา

    hongereni sana

  • @oliviersabushimike1124
    @oliviersabushimike1124 5 หลายเดือนก่อน +5

    Wapeleke Congo waende kupambana na M23 ndio watapata ujuzi zaidi

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 5 หลายเดือนก่อน

      Aswa

    • @ivolinmitambulo312
      @ivolinmitambulo312 5 หลายเดือนก่อน

      Mamaeee😂😂

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 5 หลายเดือนก่อน +1

      WAENDE MARA NGAPI SASA. MBONA HUKO WAPO TANGU 2012 AU HUJUI TANZBAT WEWE..?

    • @jacobsimkoko3096
      @jacobsimkoko3096 หลายเดือนก่อน

      Ndio wanakoshinda huko. Au unaongea tu hujui?

  • @Bulldozer-1993
    @Bulldozer-1993 4 หลายเดือนก่อน

    Kujeni training kenya ,the king of defence

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona helikopta hız za kizaman sana bado tunatumıa hiz
    wwnzetu wa Defiant x ,MD 500,530 NOTAR........
    Hatr sanaaaa

  • @elizabetty-rt7py
    @elizabetty-rt7py 5 หลายเดือนก่อน

    👋👋👋🇹🇿🇹🇿 Tanzania yetu mungu ibaliki, wabaliki viongozi wetu pamoja na majeshi yetu yonte, tunaishi tunaimani tuntembee. Kwa Hulu, watoto wetu mashuleni wanasoma kwa amani, kumbe tuna majeshi imala yanatulinda mungu baba balaki majeshi yatu amen amen

  • @AndrewmngokeMngoke
    @AndrewmngokeMngoke 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kwahyo mnaonyesha sir ya kivita na plan zenu hadharan.
    Hii nchi Uhuru umezdi

  • @DevotaIjumba
    @DevotaIjumba 5 หลายเดือนก่อน

    Mko juu sana Makamado wetu.

  • @CharlesmatlePanga
    @CharlesmatlePanga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Very nice

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali หลายเดือนก่อน

    Subhana llah

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 5 หลายเดือนก่อน

    close-quarters combat 😍😍💥🔥🔥🔥

  • @ManyamaMagesa-ye8zo
    @ManyamaMagesa-ye8zo หลายเดือนก่อน

    Najivunia kuwa mtanzania kwani ulinzi wake ni imara na madhubuti hongera rais wangu mama Samia suluhu Hasan

  • @jonasmbwambo3546
    @jonasmbwambo3546 5 หลายเดือนก่อน

    Hongereni wanajeshi wetu ila wekeni nguvu kubwa kwenye tecnologia ndipo Dunia ilipo sasaivi

  • @dukeonchiri5037
    @dukeonchiri5037 5 หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania shukurani kwa umoja wenu kuilinda nchi yenu..... Kenya tuko pamoja

  • @TeitukKipyegon
    @TeitukKipyegon 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya is far much ahead military

    • @chage97
      @chage97 5 หลายเดือนก่อน +2

      Kenya is far for what CDF anasafiri bila parachuti

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 5 หลายเดือนก่อน

      @@chage97 achan nae huyoo hajitambui . a country which is a far much ahead in military CDF anakufa in Helicopter crush in clear sky..? 🤣🤣🤣 Hii dunia nzima watakucheka. ani watu walio far ahead military pilot wao hawana hata landing skill manuever. hao kama mapilot wa indonesia tu walio gongana kwenye helicopter🤣🤣🤣🤣 ani hata kufany acheck tu ya helicopter before flight hamuwez what a shame.

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 5 หลายเดือนก่อน +1

      in hardware and military gear your far ahead ila in tactics and skills mtasubiri sana kwa TPDF. Hakuna jeshi lolote la East afrika lenye ujuzi na askari wenye weledi wa hali ya juu kuliko la Tanzania

    • @LucasIganze
      @LucasIganze 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@EdwardSamson-uf1ee😂😂😂😂

  • @pascalucircan9079
    @pascalucircan9079 หลายเดือนก่อน

    Mama Raise ana shanga kabisa🎉😂😂

  • @NsavyimanaJonas
    @NsavyimanaJonas หลายเดือนก่อน

    Nimewakubali wabongo muna jeshi kbs

  • @venantrugabela6798
    @venantrugabela6798 5 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaitwa WATAALAMU

  • @MbwaKasala
    @MbwaKasala 5 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana lakini tukae tukijuwa Maisha yamebadilika siku izi vitani hawapigani kwa ngumi

    • @DainessJames
      @DainessJames 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa yan unajua nin sa hv vita inapigwa kwa kutumia technology na kompyuta tu vita za ngumi zishapitwa na wakati asee tuko kwenye technology

    • @enigmachu8983
      @enigmachu8983 4 หลายเดือนก่อน

      Je unahis kila mission ni mtatumia technology mwanzo mwisho???

  • @AfwilileNisaidie
    @AfwilileNisaidie 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi maishani mwangu askari kweli wamejitoa kwaajili ya taifa letu si wengine eti anakuja mwanasiasa 😊

  • @OdangaIsaiah-rh3cm
    @OdangaIsaiah-rh3cm 5 หลายเดือนก่อน

    Tzd is Doing well

  • @mjinjasagamambi7531
    @mjinjasagamambi7531 5 หลายเดือนก่อน +2

    Namuona mdunguaji akinesa kwa umaridadi mkubwa

  • @Pakila711
    @Pakila711 5 หลายเดือนก่อน +3

    Makomando nyumbani sio kwenye uwanja wao vita,

    • @RubayitaRukaka
      @RubayitaRukaka 5 หลายเดือนก่อน

      Ulizeni habari zao hapo DRC😂😂😂

  • @JonhsonMarius-qg4re
    @JonhsonMarius-qg4re 4 หลายเดือนก่อน

    Awatusaidii chochote kila kitu saiv kinaliwa na wazungu wao wapo tu kupga raia mtoe mama madarakan ametuchosha

  • @oneviusonesphory6156
    @oneviusonesphory6156 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni vyombo vyote vya ulinzi

    • @samsonkawiche4471
      @samsonkawiche4471 5 หลายเดือนก่อน

      😂 Mungu ibariki Africa ibariki Tanzania Amina

  • @litimbaify
    @litimbaify 5 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂😂😂kweli ni nchi ya ahadi, sasa maonyesho ya vita inatusaidia nini kwenye nchi yenye changamoto tele za kijamii na uchumi

    • @charlesmaestro1092
      @charlesmaestro1092 5 หลายเดือนก่อน +1

      huna akili na ma imoji yako

    • @litimbaify
      @litimbaify 5 หลายเดือนก่อน +1

      @@charlesmaestro1092 🤣🤣🤣🤣🤣ww ni mbunge wa jimbo la Kufikirika mwenye dhamana ya uwaziri wa sekta ya Ahadi kwenye nchi ya Kusadikika inayoongozwa na rais mteule Juha Ibn Abunuwasi.,,😌😌😌😌😌

    • @OnesmusAkwabi
      @OnesmusAkwabi 5 หลายเดือนก่อน

      @@charlesmaestro1092 wewe mbona uko nyuma hivi.!!!
      Upumbavu wako unapita kikomo. Watu wahapigani kwa misuli siku hizi, Teknologia ni ya Nini.?? Hiyo Serikali ya Tanzania bado mko nyuma saaana. Njooni Kenya muone jinsi technology imenawiri.!!

  • @nivancewali8192
    @nivancewali8192 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera Tanzania ❤❤

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 5 หลายเดือนก่อน

      Akijawaka tungewaona wapo vipi

  • @maishacenter-eastafricatv3976
    @maishacenter-eastafricatv3976 5 หลายเดือนก่อน +3

    Na Rais wa Congo yupo hapo😂

    • @richardrichope3528
      @richardrichope3528 5 หลายเดือนก่อน +1

      sasa ulikua unahitaji aje kwenu nyumbani??

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 5 หลายเดือนก่อน

      @@richardrichope3528 🤣🤣🤣🤣

  • @mathaa719
    @mathaa719 5 หลายเดือนก่อน +1

    This is too much luggage for a person to curry incase the aduwei (enemy) comes how do you run for your self 😂😂😂😂

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 5 หลายเดือนก่อน

    Wako Wengine Wanapigwa Mpaka Na Wake Zao2 Lakini Kwakua Wako Na Simu Uruma Ya Mchina Mtu Aoni Asala Kulaumu Kitu Ambacho Ajui Anafanya Nini

  • @hoseanobocka7140
    @hoseanobocka7140 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa kweli bei za bidhaa zmepanda bei kupindukia wana nchi watakufa kwa njaa

  • @NkeraZozo
    @NkeraZozo 5 หลายเดือนก่อน

    Mumeshindwa DRC, hamuna la kusema na hamutashinda hata kamwe hapo DRC.

  • @3hZakayo
    @3hZakayo 5 หลายเดือนก่อน

    Tupo vzr Tanzania

  • @OnesmusAkwabi
    @OnesmusAkwabi 5 หลายเดือนก่อน

    Wawawawa.... Tanzania kweli mko nyuma.

    • @KhatibSalehKhatib
      @KhatibSalehKhatib 5 หลายเดือนก่อน

      Acha kukejeli ww nenda we pumbavu zako

    • @OnesmusAkwabi
      @OnesmusAkwabi 5 หลายเดือนก่อน

      @@KhatibSalehKhatib hivi vitu mwafanya hapo ukija Kenya ni Grade 4 ndio wafanya hivo wakijifunza Scouting.!!

  • @JacobJoel-cb3ni
    @JacobJoel-cb3ni 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa nilimuona akiuza madafu ile siku rais alivyofutulisha huyo anayeongea

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 5 หลายเดือนก่อน

      Eee huyoo ni muuza madafu🤣🤣🤣

  • @vannydizz1
    @vannydizz1 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu si yule muuza nadafu😅😅😅

  • @ayakoongori4902
    @ayakoongori4902 5 หลายเดือนก่อน

    We need a friendly match na tanzania from Uganda

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 5 หลายเดือนก่อน

    Peleka wote Urusi wakaongezee tena maana bado sn.

  • @Jacklinjohn-cr4vs
    @Jacklinjohn-cr4vs 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nendeni kwenye mafuliko makubwa tuone kma mnaweza

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 5 หลายเดือนก่อน

      🤣🤣🤣 poor mind

    • @Jacklinjohn-cr4vs
      @Jacklinjohn-cr4vs 5 หลายเดือนก่อน

      @@EdwardSamson-uf1ee me or you 😏😏

  • @mamakety
    @mamakety 2 หลายเดือนก่อน

    Mnaonaje tunge ombe mechi ya kirafiki na urisi😅😅😅😅

  • @gegerenne897
    @gegerenne897 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 m23 imewagonga mbaya congo wakakimbiya.awoo bure kaka.waweke vita njoo utajuaa kama hawana ma funzoo ya vita.

  • @josephmwangi5644
    @josephmwangi5644 5 หลายเดือนก่อน

    Hakuna vita wanaezana wakiwa wamebeba mizigo kama hiyo😂😂

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 5 หลายเดือนก่อน

    MBONA HAMJATUONYESHA MAKOMBOLA YA MASAFA AU HAMNA???

  • @SamweliShukuru-li2iy
    @SamweliShukuru-li2iy 3 หลายเดือนก่อน

    Nammi natamani kuwa mwanajeshi

  • @FrolenceJaphety
    @FrolenceJaphety 2 หลายเดือนก่อน

    Lool nikiwahigi kudeti na komando mmoja loool wana nguvu hawa na hizo staili za kikomando mbona utakoma!!

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 5 หลายเดือนก่อน

    HUYO AKIYESHUKA NA KWENYE NDEGE NI KOMANDOO MUUZA MADAFU

  • @abdallahmsham-eb7jz
    @abdallahmsham-eb7jz 3 หลายเดือนก่อน

    haya mawezi makali uchaguzi unakuja mmmm tutasalimika mama usiwalete huku zanzibar tushakomaa basi duuuu

  • @StevenMgassa
    @StevenMgassa 5 หลายเดือนก่อน

    Huyo si alikuwa anauza madafu ikulu jaman macho yangu yananidanganya

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 5 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅 ishi na watu vizuri

  • @emazacharia4455
    @emazacharia4455 5 หลายเดือนก่อน

    Ila twende nyuma turud nyuma SS baado tuko nyuma kabisa maana saiv vita vinapiganiwa ofsn Kwa compyuta ...hiz zet n mazoez ya kupigana na waas wa congo nasio mataifa ya ulaya

  • @TumainiHassan-bd2wj
    @TumainiHassan-bd2wj 3 หลายเดือนก่อน

    Me 😅 mwanajeshiiii mmmmh niwaangalie tu hv kwa tv

  • @ALNAVSINKINDOLE-tr9qs
    @ALNAVSINKINDOLE-tr9qs 5 หลายเดือนก่อน

    Najiona apo mm 😊

  • @kirotostima
    @kirotostima 5 หลายเดือนก่อน

    Congratulations makomandoo wetu

  • @petergakinya1634
    @petergakinya1634 5 หลายเดือนก่อน

    M23 was Congo imewashinda makomando wenu. Ni stori tu!

    • @LUCASSANGARUFU
      @LUCASSANGARUFU 5 หลายเดือนก่อน

      Hawa ndiyo wanasababisha Tanzania iwe nchi ya amani,adui hapati nafasi kupenya kwenye mipaka yetu

    • @anoldpotentin2446
      @anoldpotentin2446 5 หลายเดือนก่อน

      2013 tuliwapiga M23 hadi wakakimbilia Rwanda na Uganda. Sijui unaongelea nini😂

  • @ericmoramagige3407
    @ericmoramagige3407 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo ya kizamani yalisha pitwa na wakati, ndio wanaleta sasahivi watu hawapigani kwa style hii tena, wastage of money and time,
    Nani anapigana vita kwa style hii.

    • @enigmachu8983
      @enigmachu8983 4 หลายเดือนก่อน

      Inaoneka mwenzetu ni muhudhuriaji mzuri wa vita.. 👏🏼👏🏼

  • @w4058
    @w4058 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kama makomando wa kweli waende kuwapigania wenzao Falestine huko

    • @Allynyange-hw9bq
      @Allynyange-hw9bq 5 หลายเดือนก่อน

      Iliiweje sasa

    • @MirajiMiraji-v2j
      @MirajiMiraji-v2j 5 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@Allynyange-hw9bq tuone kama wameiva kweli

    • @Mary-fs4mc
      @Mary-fs4mc 5 หลายเดือนก่อน +1

      Naona umedhamiria kuwaua mazima bila huruma ,Palestine kweliii😂 mbona watakufa kama kuku wakideli.

    • @joachimbaldwin8511
      @joachimbaldwin8511 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😅😊​@@Mary-fs4mc

    • @joachimbaldwin8511
      @joachimbaldwin8511 5 หลายเดือนก่อน

      ​@user-sl8😅😅😂bu3we1m

  • @Daniel-g2f6v
    @Daniel-g2f6v 5 หลายเดือนก่อน

    Naamini hawa makomando wako imara zaidi ya uwanja wa vita kuliko hata hapa

  • @EriclusangaKasongo
    @EriclusangaKasongo 5 หลายเดือนก่อน

    Ni kommando ihi ao ni komedy. Afazali ata Burundi.

  • @KhamisAlawi-dp5zw
    @KhamisAlawi-dp5zw 4 หลายเดือนก่อน

    Mbodi yangumi zakulipwa Tanzania

  • @AhmedSalum-s9m
    @AhmedSalum-s9m 5 หลายเดือนก่อน +2

    Uwo ni Sawa na mchezo warambo

  • @WonderfulPrince-x3c
    @WonderfulPrince-x3c 5 หลายเดือนก่อน

    Urusi ndo wazuri hao wengine ni bure kama samia

  • @lukafbbwebelof3874
    @lukafbbwebelof3874 5 หลายเดือนก่อน

    Hivyo tu kwenye mahonyesho na Congo mnapigwa na waasi M23 . SI muwaonyeshe M23 hizo nguvu zenu?

  • @RubayitaRukaka
    @RubayitaRukaka 5 หลายเดือนก่อน

    Hhhh ma fake commandos wamemalizwa na m23 hapo DRC, hivo wanavyofanya nikama mchezo wa comedians

  • @ConfusedFrog-lc9db
    @ConfusedFrog-lc9db 5 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @michaelstephano9058
    @michaelstephano9058 5 หลายเดือนก่อน

    Kujifanya muuza madafu huku wewe ni komando nikuwatia uchoro tu wa uzamadafu 😂😂

  • @LawrenceLucas-ue9gp
    @LawrenceLucas-ue9gp 3 หลายเดือนก่อน

    Turekebishe jeshi retu twende dunia inapokwenda sikuiz askar angiki na azabu ya namna hii jeshi liende kisasa tuajir wataram wa kutengeneza vyombo vya kisasa

  • @safeprint9418
    @safeprint9418 5 หลายเดือนก่อน

    huu ni upuzi mtupu tembea russia ama us uone mambo yanavyostahili kua

  • @benalex4960
    @benalex4960 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa wanauawa na allshababu watatu tu

    • @Saikalyasi
      @Saikalyasi 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 daaah ila we jamaa

  • @criminalminds7723
    @criminalminds7723 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa si muombe vita za kirafiki jamani ?

  • @iddihussein526
    @iddihussein526 5 หลายเดือนก่อน

    Nimemuona muuza madafu ikulu , kumbe nae nikomando

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 5 หลายเดือนก่อน

    Iyo mizigo ata makuli wanabeba mizigo zaidi ya kilo200

    • @moviedipdozen550
      @moviedipdozen550 5 หลายเดือนก่อน

      Those are killing machines

  • @obedingilisho
    @obedingilisho 5 หลายเดือนก่อน

    Ipo. Siku ntakua raisi pia

  • @meddyally4416
    @meddyally4416 5 หลายเดือนก่อน +1

    Madafu yapo wapi kaka

  • @JaisuriaPidas
    @JaisuriaPidas 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kutuonyesha makomando haina maana kwa sisi wana nchi, punguza bei vyakula tukusifie mama,

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 Nan kakuambia uangalie

    • @MirajiMiraji-v2j
      @MirajiMiraji-v2j 5 หลายเดือนก่อน

      Kalime

    • @JaisuriaPidas
      @JaisuriaPidas 5 หลายเดือนก่อน

      Kwa mtazamo wako unaona ilikua na haja yoyote??? Me naona ni upuuzi tu, wana nchi tunateswa na bidhaa zote kupanda bei, hio mm naona ilikua haina haja

    • @MirajiMiraji-v2j
      @MirajiMiraji-v2j 5 หลายเดือนก่อน

      @@JaisuriaPidas hapo ndo umeongea sasa tofauti na mwanzo ulivyokua umesema make ulilenga chakula tu bila kutazama mafuta na bidhaa zingine zilivyo juu .

  • @georgeouma-kenya1619
    @georgeouma-kenya1619 5 หลายเดือนก่อน

    Vita si mchezo hapo hakuna kitu