MAGOLI: Yanga yaipiga Dodoma Jiji 4-0; Aziz Ki afikisha 17; NBC PL 22/05/2024
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ค. 2024
- Stephane Aziz Ki amefunga magoli mawili na kufikisha magoli 17 katika mbio za ufungaji bora, Yanga ikiibugiza Dodoma Jiji mabao 4-0 kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma.
Ni mchezo wa #NBCPremierLeague uliofunguliwa na goli la Clement Mzize dakika ya 10 kabla ya Aziz kufunga mawili dakika ya 45+3 kwa penati na dakika ya 51, na kisha Maxi Nzengeli akafunga kazi kwa goli la nne dakika ya 78.
Magoli yote manne haya hapa.... - กีฬา
Kama umefrahi Leo azizi ki kufunga gonga. Like apa
Me pia nimefurahi Sana aziz k kufunga Kama naww numefurahia gonga hapa like za kutosha
Nampongeza mzize kwa kumpa pasi ya goli azizi ki❤❤❤
Nimependa clement alivyompa pasi azizi afungule hongera yake moyo saf kabisa
Huondy uungwana
Mzize Mungu akubariki
Ata Mimi nampongeza clement Kwa kumpa Aziz ki mpira sio mchoyo
Amazing performance for my team and congratulations KI AZIZ for doubling goals today and thus you have gone into a lead over Feisal., Magnificent 💛💚💛💚💛💚
Mzize ukopw brooo minimekwelewa nini umemanisha
Wewe ni mimi...
Yupo poa yhn
Waoooooh nimefurai Sana jaman 💚💚💚💚💚💚💚💚💚
Mimi ni YANGA 👌💚💛
Yanga africa like hap love sana
Yangga ni sisi tu kila kitu kwetu jmn yanga rahaaa
Rahaaaaaaaaaaa
Golden buti ya aziz ilee
Mikolobwanje Ileeee imenuna 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Top score 👌 tunae wananchi😂😂😂
Yanga mtatuua mashabiki wenu kwaraha aziz ki wapedozi hao watoto❤❤❤❤❤
Tunakila sababu ya kufurahia sisi kama Wananchi kwa hii misimu 3 mfululizo na mingine inayokuja MUNGU akipenda pia.. viongozi msiumize sana kichwa sisi kama mashabiki tutajitaidi kujisajiri ili kuwezesha mapato kwa timu yetu lakini pia msimlazimishe azizi kubaki ingali hatuna uwezo wa kumlipa Hela anayotaka japo tunampenda kama tulivyompenda mayele na sio kwa ubaya ni suala la kawaida sana kumuacha mchezaji kama mmeshindwa kumlipa anachotaka...na sisi mashabiki tusiwe wajinga wa kubeza viongozi kisa wachezaji wazuri wanaondoka badala yake yujisajiri kwa wingi na tuangalie ni watu gani wanakuja mbadala wa wanaoondoka YANGA,ninauamini saaaaaana uongozi wangu wa timu yangu pendwa ya YANGA.🔥🔥🔥🔥❤❤
Yaaan nikimuona Alajiga namkumbuka2 mzee Said😂😂
😂😂😂
Umenikumbusha mbali sana
Vile alivyosema alajga anahangaliaga miguu ya aziz ki leo nmekubali
😂😂😂 hata mm
🎉🎉 Aziz ki akishinda ndio Raha yetu wananchi
Saaafiiiiiiii kabisaaaa
YANGA 💛💚 TEAM OUR HAPPINESS
💚💚💚💚💚💚💚
Oya kuna nyimbo mpya ya yanga +ushindi mtaaamuuu basi inakua humu tu humu tu😅😅😅
😂😂😂😂
Mungu ni mwema asante Kwa ushindi
Goli la Max 👌
Raha sana jamani Yangaaaaa❤❤❤❤
Max ilitakiwa ampe aziz kiii
Azam mnafanya uzembe sana,mechi imeisha mda mrefu sana halafu highlight mnakuja kuweka sasa hiv
Quality yenyewe mbayaaa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉bravoooooo
Nasikiaa rahaa chama lang yangaa asante mungu 😂😂😂😂🙏
❤❤ ki azizi
Daah max angemtupia aziz pale mwana amalize biashara mapema
Hii ndyoo yangaaaa
Yanga hii raha sanaaa,
Nawapenda Sana chama langu❤❤❤
Max ungefanya Kama mzize...😮😮
Mbinausi max 😢😢😢😮
Aziz k anama goli 17 kwa Sasa Bado anamche mbili mkononi
Niame yanga me niumize kichwa
Na alikua na nafasi ya kufunga tena clear goal
Humu tuu🔥🔥🔥💛💚
Kongole kwa Young Africans chama langu
Alaf kuna wengin et wanasema max angemp Aziz yani yey aletewe mipila t bil kutokwa jasho hachani mambo ya hovyooooooooo
Kiwanja hicho, na ukubwa wa ligi haviendani Ni aibu😢
Maendeleo hayana chama inakubidi tu 😂🤔😂🤔💚💚💚💛💛💛💛
Farasi wa vita,Guu lake la kushoto ni kama gobole anataka kuua temba,ila Azizi😂
💚💛💚💛💪💪💪
Lengo mama la msimu huu limeisha, ujumbe kwa viongozi ni kubakiza nyota wakubwa na kuongeza vipanga vingine🖤💚💛
Kolo😂😂😂
Sio kwa mateso hayaaaa
Ubingwa
Kiatu
Mchezaji bora
Kipa bora
Kiungo bora
Mshambuliaji Bora
Beki bora
Kocha bora
Timu bora
Mashabiki bora
Jezi bora
Tabasamu bora 😂😂😂
Da umesahau Mzee mpili Bora 😂😂
Hongereni watani
Hivi mla ugari na sukari ana ma goal mangapi?
16
Anateseka huko ariko
Fei goli 16
16
16
❤❤❤
Operation bila gazi😂😂😂
Haya ndio magoli sio yale ya mchongo ya nafasi ya pili Fc, na hata hio yapili hamuipatiiii
Kama Ligi ina improve then kwanini viwanja viko ovyo!?......TFF mnabidi muangalie hili....Aibu
Yeah japo nataman fei mtt w boo ila azz k n bora zaid anastaili
Sasa magoli manne ya nini? Tumetosheka na magoli labda Aziz pekee afunge💙💚💛
😂😅😂😅
😂😂😂😂😂
Hzi ni sifa tu wanatakiwa wakiingia uwanjani wamtengenezee aziz ki nafasi za magoli akishafunga matatu basi waaache wapinzani nao wafurahi
💚💛🗝️🔑🔥💪🙏
Good
Mfugaj Bora
Wanin?
Rahaaa tuuu
Okra hana furaha kabisa hata kumshangilia mwenzake
Golikipa wa dodoma jiji 💔 nijau sana
Nimefrah Mzize alivyompa pass kiii
Noma sana
Nice guy
Ki n noma
🔥🔥😂
This is second striker
Mimi nimefurahi mpira umefuhi❤❤❤❤❤❤❤
🧡💛💚💛🧡🧡💛💛👏👏👏🔥🔥
😂😂😂
Aziz ki si mbinafsi anafunga kwa ajili ya timu n si kwa ajili yake tu
move ya goli la Nzengeli licha ya kuomba mpira n kutopewa baada ya Nzengeli kuona kakaa kwenye nafasi nzuri ya kujaribu kushuti n akafunga
Lkn unaona uso wake umejawa n furaha n anakuwa wa kwanza kwenda kucelebrate nae
Kwayanga hii
Safisana
Ss ndo yanga
Dodoma wanacheza km team yng ya simba ujinga uji6
😢😂😂😂😂
Hii ndio yanga bwana
yanga tuna keraaaaaaa
Mechi ya ndugu😅😅😅
Bado hujasema
Mpaka useme
Nabaado.
😂😂😂Utu tu mwaka huu ndo utatumika ila ingekua inaeezekana tuzo zote zilikua zinatakiwa kua za dar yanga afrika 💛💚💚🇹🇿 atutaki kuacha kitu ata za majin watupe 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Point sana 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 jmn Raha zimezidi
@@ZenaMsumagilo we timu gn 💛💚🖤
@@JastinAlphonce mimi Yanga naipenda mpaka inanilevya
@@ZenaMsumagilo ahahaa gud sasa
Oooooooooooooooooiiii
Stephano aziz ki
❤❤❤
🇹🇿
😂😂😂😂
Kyanite.wewe.ukowap
Fei toto ni mtoto TU,asubiri wakati wake bado
Dah Yang raha cio poa
lazima tuwakere...
Kumbe magol yenyewe ya butua butua ivo
yakweñu ambayo sio ya butu butu yakoap
@@user-gj5uj8xm6z angalia ya Jana ufurai
@@user-gj5uj8xm6z mwambie Anitha haon vizuri 😂😂😂
Msuuuuu Hanna timu wala Aziz ki hamn mchezaj ety mnamsifia goli LA hak inatakiwa utokwe jasho kupewa Moira gorin na kumalizia alaf mnamsifia mm nam laumu mzize kwanin asinge shinda mwenyewe aone faid ya jash lake😅😅😅😅
We njaaa
Penalty ya mchongo kwa Aziz Domo😮
Bado hujasema
Na mpaka useme
Kolo kama kolo
Hongera ww uloumbwa na domo zuri
Wewe unauwakika 😮😮😮😢😢😅😅😅😅😅😅😅