KIMENUKA! MCH.SIMBA ULANGA AMLIPUA DR SULLE ALIVYOKUWA AKIGEUZA VIFUNGO VYA BIBLIA WAKRISTO WASLIMU

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 199

  • @doreenarbogast4597
    @doreenarbogast4597 13 วันที่ผ่านมา +1

    Barikiwa sana mchungaji mtumishi wa Mungu. Hata mimi nimejifunza mengi niliyokuwa siyajui. Yesu ambaye ni Mungu mkuu asifuwe milele yote.

  • @RenardShelembi
    @RenardShelembi 2 วันที่ผ่านมา

    Ubalikiwe sana baba kwa kuisema kweli ya Mungu

  • @elimikasasa643
    @elimikasasa643 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Mzee alifanya kazi kubwa sana! Mungu aendelee kumpa nguvu! Barikiwa Mzee nilikusikiliza kipindi hicho!

  • @barakampunga8121
    @barakampunga8121 หลายเดือนก่อน +1

    Duh Mungu wetu ni mkuu akupe afya njema uendelee kuupigania Uksrtu barikiwa sana kumbe elimu imeletwa na wakritu Aminaa

  • @frankmugomba3484
    @frankmugomba3484 หลายเดือนก่อน +1

    Mzeee Safi sana Asante kwa Kazi njema kazi Nyoofu sana ilitufungua wengi na inafanya vyema sasa kufungua Macho

  • @williamuphilipo2120
    @williamuphilipo2120 หลายเดือนก่อน +4

    Mtu wa maana kabisa ❤❤

  • @EusebioEduardoAntonio
    @EusebioEduardoAntonio หลายเดือนก่อน +1

    abali babá mchungaji Simba ivyo vitabu nitavipataje?🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi หลายเดือนก่อน +4

    Naaam mtu mkuu wa Mungu

  • @josphinenduta2011
    @josphinenduta2011 หลายเดือนก่อน +6

    Kama mwarabu hawezi geuza mkristo, sulleh hawezi ng'o

    • @nomar3708
      @nomar3708 หลายเดือนก่อน +1

      Wenzenu wazungu wanakuwa waislamu kwa makundi. Mumebakia nyie tu waafrika kufuata upuuzi wa biblia iliyobadishwa. Mnafata maneno ya Paulo

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 หลายเดือนก่อน

      ​@@nomar3708hao wazungu wanaosilimu hawajielewi. Wewe unayesema biblia ni upuzi pia hujielewi. Nguzo za imani ya kiislamu zipo sita unazijua? Mojawapo ni kwa kila muislamu kuwajibika kuamini vitabu ( siyo kitabu kimoja) vya Mwenyezi Mungu. Sasa ukiwauliza waislamu wavitaje watasema ni Taurat, Zabur Injil na Kur'ani. Biblia ni neno la kigiriki maana yake vitabu. Sasa vitabu vilivyopo ndani ya biblia ndio hivyo hapo ila Kur'ani haipo ndani ya biblia! Sasa ni wazi kuwa kila muislamu anawajibika kuamini Biblia pamoja na Kur'ani na siyo Kur'ani pekee. Sasa hapo nani mpuuzi kati ya biblia na wewe uliyesema biblia ni upuuzi?

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi หลายเดือนก่อน +3

    Kazi njema sana sana,

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaa!!!!umezeeka baba yangu chuma cha hoja,Mungu akupatie uzee mwema

  • @user-dk6lz5yu4c
    @user-dk6lz5yu4c หลายเดือนก่อน +1

    Karibuni tarehe 22 Mwezi huu 6 kuwa na Mdaharo Ukumbi wa Wapo Mission. Kuhusu uungu wa Yesu kutakuwa na pande mbili wanao pinga au wanao kubali

    • @MaksMedia1
      @MaksMedia1  หลายเดือนก่อน

      Ok

    • @Jumaamsagaty
      @Jumaamsagaty หลายเดือนก่อน

      Natamani kushiriki upo maeneo gani

    • @MaksMedia1
      @MaksMedia1  หลายเดือนก่อน

      Endelea kufatilia Maks media utajua siku yenyewe

    • @amoschacha2885
      @amoschacha2885 หลายเดือนก่อน

      Je waislam watakuepo?

  • @JamesKabodo
    @JamesKabodo 19 วันที่ผ่านมา

    Barkiwa baba

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 หลายเดือนก่อน +1

    Ukweli Yesu atashinda na apate kushinda Ni Mkuu wa Mataifa na ni Mwokozi ajaye Jina la Bwana libarikiwe

  • @user-uj8zc3xr6m
    @user-uj8zc3xr6m หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki wewe na timu yako kwa huduma hii. NINAOMBA NINAVIPATAJE VITABU HIVYO?na bei zake

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 หลายเดือนก่อน +1

    Wakristo someni kiibrania Yesu anaitwa nani msilazwe tu kikondookondoo bila ujuzi

  • @universitylink
    @universitylink หลายเดือนก่อน +1

    Mzee simba ulanga ulikuwa inafanya vurugu Mazinge akiogea mnaongea baada yake kuvuruga mawaidha na saa zingne mlikuwa mnaita polisi kwa kusema kuwa mmefanyiwa vurugu.
    Nilikuwa nashuhudia pale msasani Mazinge alifanya kazi kubwa sana

    • @user-ib2ns8kf9h
      @user-ib2ns8kf9h หลายเดือนก่อน

      Mazinge hamuezi huyu mwamba

  • @mdidiomari7351
    @mdidiomari7351 หลายเดือนก่อน +2

    Kiboko yake Mazinge

  • @jamalmanishi7282
    @jamalmanishi7282 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie badala yakuuliza uhalali wamtu kufundisha dini huku akiwa nimganga wajadi anaetumiwa namajini mnaka kusifiana harafu mnataka nasisi tuje tufanywe misukule nahao waganga watumishi wadini yenu eMungu okoa watu wako wajulishe kuwa anaeokoa niyesu na sio dini wala zehebu maana wanatambia majina yadinizao lkn hata wavotoa mawazo yao vinywa vimejamaneno machafu namatusi nabado wanaona wakosalama 😂😂😂😂😂😂😂

  • @jamalmanishi7282
    @jamalmanishi7282 หลายเดือนก่อน

    Kwa mtu aliefungwa akili na majini Yani mashetani hawezi kukuelewa nahasa hao wanaosemakwamba Yako mashetani mabaya na mazuri lkn unaeleweka sana tu mtu wa maana sana kazi Yako sio bure pambana Ili umalize vema tuko mwishoni barikiwa Mzee wetu

  • @crisantisindani3830
    @crisantisindani3830 15 วันที่ผ่านมา

    Mpaka Leo Bado wakristo mkoa wa rukwa (w) ya nkasi kule Kilando . Wananchinja wao nakuuza katika bucha za wakristo. Mdahalo mwingine ulifanyika sumbawanga mjini pale msakila alikuwepo kinyogoli shafii na mazinge Simbaulanga nikidume kweli😁😁😁😁🤣

  • @charlesmwasi7646
    @charlesmwasi7646 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa dini hizi mbili ni tofauti

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 หลายเดือนก่อน +1

    Mwandishi mjinga sana unashindwa kuamkia unasema heshima Yako

    • @user-sm1zu2mo4b
      @user-sm1zu2mo4b หลายเดือนก่อน

      Unjua maana ya shikamoo?au malhaba?

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo หลายเดือนก่อน

    Nawezaje kuvipata hivyo vitabu ,,, Asante pastor Simba ulanga

    • @MaksMedia1
      @MaksMedia1  หลายเดือนก่อน

      Ipo no ya media hapo pia video inayofata Kuna no yake

  • @meshackthomas1341
    @meshackthomas1341 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi wa Mungu ubalikiwe na Mungu wa viumbe vyote

  • @nomamatata754
    @nomamatata754 หลายเดือนก่อน

    Ukristo sio dini ni imani hapo tu kwanza tunashangaa wanavyo lazimisha kuwa ni dini. Wao kama wana dini sawa ila sisi ni YESU mkuu wa imani hii MUNGU ALIYE HAI

  • @Motheking-ps2tl
    @Motheking-ps2tl หลายเดือนก่อน +2

    Yesu ni hapa tu east africa issa ni dunia nzima.

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 หลายเดือนก่อน +9

    Waislamu wanalazimisha eti ISSA awe Yeshua , Yesu , thubutuuuuuu....wako tofauti kabisaaaa😂

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi หลายเดือนก่อน

      Wewe umechanganyikiwa,kwani Waislamu tukisema Yesu ni Issa tunapata faida gani?Au Wewe ukisema Issa sio Yesu unapata faida gani?Sisi hatusemi Yesu ndiyo Issa kwa akili zetu wala matamanio yetu bali ni Vitabu ndivyo vinasema Yesu ni nani?SOMA QURAN 3:50-51/SOMA QURAN 19:30-34 Na Habari za Yesu na ukoo wake yako kwenye Quran kwa wazi kabisa soma Surat Ali Imran.Huyu Mzee nae amechanganyikiwa hetu Mwokozi;sasa Mtu hawezi kuwa Mwokozi?Jeshi la zima moto haliokoi?Labda atuoneshe ayah isemayo Yesu ni Mungu na aliumba viumbe sisi hapo ndiyo tutakubari lakini anapiga porojo tu haoni aibu kufa akiwa hajitambui?Swala la kuchinja sio matakwa ya Wakristo wala Waislamu tu Wenyewe bali ni sheria ya Mwenyezi Mungu :-QURAN6:118 Kama Mzee Simba Uranga unachinja nyama kwa ajili yako hakuna shida lakini kama unachinja kwa ajili kuwauzia Waislamu hiyo sheria hauna,Waislamu tunakula nyama inayochinjwa kwa Majina ya Mwenyezi Mungu sio Nyama inayochinjwa kwa jina la Mtume Yesu na Wanyama halali na vyakula halali kwa mujibu wa Quran:Soma Surat Al Maaidah aya ya 5 na kinachokufanya utumie nguvu nyingi kutunga vitabu vyako ni nini?Jibu ni kwamba unalazimisha kuisemea Bibilia maneno ambayo haikuyasema kwa mapenzi yako sasa Mimi ninakwambia hivi Quran haiitaji kusemewa na mtu kwa maneno yake ya pembeni:Quran sheiria zote zimo kwahiyo ndiyo ujue kuwa dini sahihi kwako Wewe Mzee na watu wote ni Uislamu sio vinginevyo!

    • @halidimgonza5945
      @halidimgonza5945 หลายเดือนก่อน

      kila asiye na akil atawaza km ww kw7bu kuna UKAFIRI ndan yko

    • @profs.a5412
      @profs.a5412 หลายเดือนก่อน +1

      @@halidimgonza5945 hata mkasirike na mpasuke , Isa hawez kuwa Yesu kamwe😅😅 soma biblia ya kiarabu utakutana na Yesoo Al Masih, na sio Isa ..huyo Isa wa kwenu nyieeee. Ila kwakuwa hata kusoma huwa hamsomagi mnasubiri mazinge ndio awasomee basii endelea kuwa hivyo hvyo

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr หลายเดือนก่อน

      Shidaa nikuwa waislamu wengii wanaamin commedy za mazinge hawataki kushughulishaa Akili zao kusoma maandiko

    • @halidimgonza5945
      @halidimgonza5945 หลายเดือนก่อน +1

      @@0badiaMwasongwe-rt1wr ww ndo umepotea kbs waislam tunafuata Qur-an na mafundisho ya mtume na mazinge ni muhadhir wetu anayekubalika kw7bu anawafundisha nyie MAKAFIRI na kuwatoka ktk kiza kuingia ktk dini ya kwel y kiislamu izo ni chuki tuu kw prof. Mazinge, soma vitabu uelewe usifuate mkumbo

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 หลายเดือนก่อน

    Waislamu wanamuogopa sana huyu mzee

  • @charlesmwasi7646
    @charlesmwasi7646 หลายเดือนก่อน

    Yesu na ISSA ni watu wawili tofauti, biblia haijawahi kumuandika issa, kuzaliwa kwa issa na Yesu ni vitu viwili tofauti. Yesu ndio kweli yenyewe, haki inakuja ukianza na ukweli

  • @nyingos
    @nyingos หลายเดือนก่อน

    Simba Ulanga kama Simba Ulanga. Ilikuwa hatari sana.

  • @nomar3708
    @nomar3708 หลายเดือนก่อน +1

    Wazungu wenyewe wameacha ukristo na wanaingia makundi kwa makundi kwenye dini ya haki, uislamu. Mumebakia nyie tu waafrika mnashikilia uongo ulioandikwa na paulo

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kilichogeuzwa wakristo watazame kinachosemwa kama hakimo wao hupokea kinachotungwa na wachungaji na kukataa wanachokiona kwa macho wakristo bhana 😂😂

    • @BOAZIMPITANYE
      @BOAZIMPITANYE หลายเดือนก่อน

      Unajitekenya na unacheka mwenyewe

  • @user-zs7eq8up5s
    @user-zs7eq8up5s หลายเดือนก่อน

    Mihadhara haipo sbb ya kina mazinge na dr sulle wamekua watafta pesa tu

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js หลายเดือนก่อน

    Yesuuu ni jibuu toshaaaa kwa woteeee wamwitajiooo

  • @HafidhiSaidi
    @HafidhiSaidi หลายเดือนก่อน +1

    Yesu mamaake maliam issa mamaake maliam embu tuwambie kwaelimu yako manabii wangap amezaliwa pasipo baba kama wanafika wawili utuambie uje utuletee tofauti ya issa na yesu alafu ao jamaa zako wanakusapot eti unaongea ukweli sumu ulio wapa watuwako ni nyingi uzee uo unakalibia kwenda kwa mungu fanya utubu baba kama pesa tayali unayo🙏

    • @0badiaMwasongwe-rt1wr
      @0badiaMwasongwe-rt1wr หลายเดือนก่อน

      Tofauti kabisaa yesu alizaliwa kwenye holii la ngombe huko Yeruslem nchi ya Israel. issa alizaliwa uarabuni chini ya mtende tofauti kabisaa kabisaa

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 หลายเดือนก่อน

      Vipi Adam

  • @abubakarsalanga2497
    @abubakarsalanga2497 หลายเดือนก่อน

    nakurepoti kwa babu mazinge ulimkimbia songea simba ulanga huwawez kina sule for sure

  • @MSUYA-n1t
    @MSUYA-n1t 11 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @AllyMsafiri-kw2ne
    @AllyMsafiri-kw2ne หลายเดือนก่อน +2

    Profesa MUSSA NGOGO NA PASTOR IMANI PETRO HAWA NIWAKRISTO WASOMI WALIACHA UKRISTO NAKUWA WAISLAMU ...NITAJIE WAWILI WALIOACHA UISLAMU NAKUWA WAKRISTO...KISHA TUWAPIME...ACHENI UONGO NINYI SIKU YAKIYAMA NINZITO MNO.

    • @fabianalfredy5557
      @fabianalfredy5557 หลายเดือนก่อน

      Nyie mnawazui Kwa nguvu Hadi kuwata kuua, so huwa hatuwatangazi km nyie. Shekh sharifu aliposilim MLIMFANYA NINI? Huo ni mfano mmoja

    • @FrankMushi-cs5js
      @FrankMushi-cs5js หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo lako ujuwi km ujuwi hapo ndo shidaa sasaa mpo kiushindani sisi hatopo ivyo nyi mnamfoc mtu awe muislamu

    • @charlesmwasi7646
      @charlesmwasi7646 หลายเดือนก่อน

      Katika ukristo unahubiriwa ili umpokee yesu, hakuna vitisho vya mauaji endapo atahama dini, upande wa pili ni shida mtu analazimishwa kinguvu awe dini hiyo na yule anayehama yupo hatarini kwa kifo . Kule Iran watu wanaingia ukristo kimya kimya ole wako ujulikane. Ulaya hawalazimishi watu wawe wakristo, nenda arabuni uone. Maajabu wahamiaji wanawakimbia ndugu zao katika Iman na kukimbilia kwa makafiri ulaya. Yaani hawajui kinachowavuta ni upendo wa kristo kwa watu wote walioupokea watu wa ulaya

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 หลายเดือนก่อน

    Mzee wetu Simbaulanga bado ana nguvu, nashauri awe anafanya mafundisho au mafafanuzi ya mada mbalimbali alizoandika kwenye vitabu vyake. Awe anarusha kwenye You Tube na mitandao mingine, atasaidia sana wakristo kuelewa kwa undani ukweli wa imani yao vs imani ya Kiislam.

  • @universitylink
    @universitylink หลายเดือนก่อน

    Wakati hizo nikisoma form five na six Dar Sheikh Mazinge na Simba ulanga msasani .Mzee simba ulanga akipinga uislamu na watu wanasilimu tu nafikiri ilikuwa 2000 mpaka 2004 ndio nilikuwa Dar

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 หลายเดือนก่อน

    Isa na Yesu watu wawili tofauti kabisa maandiko yapo wazi

    • @nomar3708
      @nomar3708 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

  • @hassantoure7472
    @hassantoure7472 หลายเดือนก่อน

    Maks Media mtafute sheikh shafii shomari kw hili swala la debate na Simba ulanga

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 หลายเดือนก่อน

    Kushindwa kuwaambia wa kristo ukweli mtakwenda kujibu mbele ya mungu

    • @BOAZIMPITANYE
      @BOAZIMPITANYE หลายเดือนก่อน

      Mkristo hana haja ya kuthibitishiwa maana wanajosomea wenyewe.

  • @Motheking-ps2tl
    @Motheking-ps2tl หลายเดือนก่อน +3

    Waislam wamewaacha mbali sana wakristo kwenye eneo la dini.

    • @Baba-JJ
      @Baba-JJ หลายเดือนก่อน +1

      Hujui hata unachokiabudu wala unachokiongea. Labda kwenye kuabudu majini ndio mmewaacha mbali. 😂😂
      Nyie endeleeni kugombania pepo ya ngono. 😂😂

    • @myself4128
      @myself4128 8 วันที่ผ่านมา

      Umbali lazina uwepo sababu sisi Tunaelekea Mbinguni wao Kuzimu

  • @yamungummungulo633
    @yamungummungulo633 หลายเดือนก่อน

    Allah na Jehovah wana tofauti gani kihusika

    • @FredizMhagama
      @FredizMhagama หลายเดือนก่อน +1

      Yehova ni Baba yake Yesu na Baba yetu Allah hana mtoto wala watoto

  • @universitylink
    @universitylink หลายเดือนก่อน

    Issa amezakiwa chini ya mti wa mtende wakati yesu amezakiwa katika zizi la ng'ombe

    • @user-zs7eq8up5s
      @user-zs7eq8up5s หลายเดือนก่อน

      Leta andiko yesu kazaliwa ndani ya zizi

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c หลายเดือนก่อน

    Lamu niwaongo Sana nimaarufu kubadirisha majina.

  • @Fathertrucker
    @Fathertrucker หลายเดือนก่อน

    Twaitaji DIBET Sule vs Shaffi Jamani ili tuelewe

  • @nomar3708
    @nomar3708 หลายเดือนก่อน

    Huyu anazidi kuwapoteza

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 หลายเดือนก่อน +1

    Tupe number tuje kununua hivyo vitabu.

  • @universitylink
    @universitylink หลายเดือนก่อน

    Kwenye Bible Daudi alimzini mke wa jirani yake na kumuwa mumewe wakati Daudi wa Quran ni mtu safi kabisa

  • @sleyumngolo
    @sleyumngolo หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo ndacha anasapoti uislamu au

  • @universitylink
    @universitylink หลายเดือนก่อน

    Saa zingine mlikwa mnakata umeme yaani mnachomoa wire za speaker

  • @ZuberySaid-dt2mh
    @ZuberySaid-dt2mh หลายเดือนก่อน +1

    Huna point,

  • @StephenSelelya
    @StephenSelelya หลายเดือนก่อน

    Vitabu hivyo havionekani sasa hivi bookshop!

  • @yousirsports7482
    @yousirsports7482 หลายเดือนก่อน

    Andiko liko wap

  • @alyumaraos
    @alyumaraos หลายเดือนก่อน

    Mzee mzima uongoo 2 waislam gan waloingia ktk ukristo? Na kama huna machoo vaa miwan uangalie wakristo wanao ingia ktk dini ya Haq ya uislam.

  • @yousirsports7482
    @yousirsports7482 หลายเดือนก่อน

    Aya ipo wapi kwamba aligeuza maandiko

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 หลายเดือนก่อน

    Natamani kuvipata hivyo vitabu

  • @user-xt4mi5zs2s
    @user-xt4mi5zs2s หลายเดือนก่อน +2

    Ukweli utabaki pale pale mungu hazai wala hazaliw na hawezi fananishwi na chochote

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 หลายเดือนก่อน

      Kama hafananishwi, kwanini yeye MUNGU aliesema, tuumbe MTU kwa mfano wetu. Maana ya mfano ni nini? Viumbe wote hawafananishwi na MUNGU, isipokua ADAMU na wanadamu tu,, ndio maana hata malaika mkuu yule wa kwanza kuumbwa kabla ya viumbe wote, yaani shetani, aliamliwa kumsujudia ADAMU, na, akakataa,, swali! Kwanini ADAMU asujudiwe? Na anaestahili kusujudiwa ni nani? Nipe jibu. Na hilo, la shetani kuamliwa kumsujudia ADAMU, hata kwenye Quran yenu hiyo aya ipo.

    • @FrankMushi-cs5js
      @FrankMushi-cs5js หลายเดือนก่อน +1

      Nani kasema MUNGU anazaa tatizo mnaakili ndogo sana ayo mambo ni ya roho Sanaa wewe c mkresto uwezi elewa uctungulie kwenye Imani yetu

    • @dennisezakiel3380
      @dennisezakiel3380 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂 soma vizuri Quaran

  • @user-zs7eq8up5s
    @user-zs7eq8up5s หลายเดือนก่อน

    Nmeona mzee hana hoja ni chuki tu za kuvimbiwa makande...yani mkristo hatakiw kukubali chochote kinachosenwa na qur an kama biblia imekosea

  • @user-sy9sl7of8w
    @user-sy9sl7of8w 24 วันที่ผ่านมา

    Hivyo vitabu mtumishi nitavipataje,? Niko kahama

    • @MaksMedia1
      @MaksMedia1  24 วันที่ผ่านมา

      No ipo hapo

    • @user-sy9sl7of8w
      @user-sy9sl7of8w 23 วันที่ผ่านมา

      @@MaksMedia1 mawasiliano yao tafadhali naomba hapo kahama

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 หลายเดือนก่อน

    Hili zee jinga zaidi yesu ni jina la kutunga asili ni isa bin mariam

    • @ibrahimgwasma235
      @ibrahimgwasma235 หลายเดือนก่อน

      Wew ndo ulompa?

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 2 วันที่ผ่านมา

      Huna shule ww

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 2 วันที่ผ่านมา

      Unajua maana isa ww

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hoja. Kimsingi nani wa kuaminiwa zaidi Kati ya Mtu anaye simuliwa jambo na yule aliyeshudia kwa macho?. Islam inaonekana kuanzishwa miaka 610 AD. Injil zote agano Jipya zimeandikwa na watu waliomwona Yesu na kufanya kazi naye. Mtu ambaye kaja miaka 610, ushaidi wake unawezaje kuaminiwa zaidi?. Kwanza haya moja ilitelemshwa na ilipoonekana akidhi Mungu alitelemsha iliyo bora zaidi?. Unakutana na Hadithi za kiimani kwa nini usione shaka?.

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 หลายเดือนก่อน

    ww mzee simba ulanga unawapotosha MAKAFIRI wenzio lkn ukwel unaujua km ukristo si dini ya mwenyezi Mungu mtakuja chomwa motoni nyie na unamuogopa mazinge kuliko chochote

    • @basilejuma
      @basilejuma หลายเดือนก่อน

      Mazinge achia ndacha, ndo maana Mahali ndacha Yuko mazinge anahepa

  • @amoschacha2885
    @amoschacha2885 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee muongoo sanaaa tena sana hakuna muhadhara wowote toka iyanzishwe hakuna mkristo ambae anaingia katka uislam ila wakristo ndo wanaingia

    • @user-lf5sd6du3c
      @user-lf5sd6du3c หลายเดือนก่อน

      We ni mtoto wa 2000 humjui vzur huyu mzee

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuhama Imani ni kawaida sana. Mwanadamu amepewa karama ya kushawishika na kufanya maamuzi binafsi. Lakini kuhama aina maana ndio umeingia mbinguni. Bible inasema mwana wa Adam akirudi atahukumu wazima na Wafu. Huyu ndiye wa kuhamia tu. Islam imeiga kazi hiyo ya Yesu siku ya mwisho na kumpa Allah. Mwanadamu tunatafuta ukweli wakati wito.Yesu ndiye mwenyewe mamlaka ya mwisho kwa wenyewe mwili. Kila Goti litapigwa kwake

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu hakuoa Issa alioa
    Yesu ni mwana wa Mungu,Issa hatujui ni mtoto wa nani
    Yesu alifufuka Issa hakufufuka
    Yesu alihubiri habari njema ya uokovu ,Issa alikua nabii wa kiislamu
    Jina la yesu linaokoa ,jina issa ni la kihistoria na nabii wa waislam
    Yesu yu hai anaishi hata leo,issa alishajifia huko
    Msilazimishe wafanane hawa ni wawili tofauti kitabu chenu kimeandikwa kwa kuiba iba kwenye biblia ili vifanane

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 หลายเดือนก่อน

      Sasa mbona huyo yesu alisulubiwa na rangi dhambarau luka anasema jekundu marko anasema kijani hapo vp

    • @afropatriot7769
      @afropatriot7769 หลายเดือนก่อน

      Hayo huwezi kuyaelewa kwa sababu huijui biblia unasomewa na hao mashehe ubwabwa kama unataka kuelewa soma vizuri hivo vitabu vyote kwa lengo la kuelewa utapata ukombozi katika maisha yako

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@afropatriot7769soma vizuri hakuna hizo tofauti. Ukweli ni kwamba tujisomee hivi vitabu vya kiimani wenyewe kwa makini sana. Lugha za kimungu zinahitaji ujuzi sana. Nilishangaa sana kwamba Yesu wa bible kwamba akiludi atahukumu wazima na Wafu. Pia kile kitabu cha ufunuo kinasema ule Mji yeye atakua ndiye taa na Mungu ndiye hekalu la huo Mji.Watakatifu na wote watasujujudu kwake na Baba. Bible inashangaza kidogo tena, kwamba katikati ya watakatifu na katikati ya kiti cha enzi alimuona mwanakondoo aliyechinjwa akiwa na macho saba na ndizo roho saba za Mungu. Basi ni Nani basi?. Bible inataja kisa cha Ibrahim kukutana Na kuhani mkuu Melkizedeck kule Salem, leo hii Jerusalem. Huyu kuhani bible inasema yeye Akuzaliwa hakuwa na mama wala baba. Hana mwanzo au mwisho. Tena anafananishwa na Yesu katika agano Jipya. Huyo kuhani ni nani?. Kwa nini Hana mama au baba. Kwa nini Hana mwanzo au mwisho?. Ni Mungu mwenyewe?. Quaran nayo ukifuatilia baadhi ya mambo nayo inaibua maswali mengi tu. Unaweza kuhitimisha kwamba upo ubinadamu tu. Wengi wetu na sayansi tunaelewa kuwa Radi ni umeme. Inakuwaje quaran tukufu itwambie ni malaika au ni kwa nini Mungu asahu uumbaji wake?. Kufanana kwa watoto na wazazi kwa Quaran mbona ni kinyume na sayansi. Ishara ya mwezi kugawanyika Ili Mtume tumwamini ni kweli mwezi sayansi inasema umegawanyika?. Dhana ya uadilifu kwa kiongozi ikoje?

  • @user-dv8lm4ko5i
    @user-dv8lm4ko5i หลายเดือนก่อน

    Shida ni Mchanganuo ww mzee hujui lolote sisi wenyewe tumekimbia kanisa tunadanganywa saana Mungu hawezi kuzaliwa na mtu bana

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 หลายเดือนก่อน

      Imam kakimbia uislamu msomii sembuse wewe?
      th-cam.com/users/livec2e99p3YSqY?si=My42Rd54cgqmkST7

    • @user-zs7eq8up5s
      @user-zs7eq8up5s หลายเดือนก่อน

      Ni kweli

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 หลายเดือนก่อน +1

    Mkirsto hana dini akichinja ni umekula mfu. Na mkiristo hana hoja ndiomana wanamiminika kwenye uislam.lini ukaona wakiristo wanamiminika kweny uislam?ukweli ni uislam pekeyake

    • @silvesterrichardhelenya1319
      @silvesterrichardhelenya1319 หลายเดือนก่อน

      Endelea kujichanganya acha kusoma utakuwa mjinga mpaka kufa

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 หลายเดือนก่อน

      @@silvesterrichardhelenya1319 ndio maana tunawausia waliolala kwenye ukiristo wamepote waingie kwnye uislam wasije wakafa kwenye ukafiri

    • @MajiTakaMaji
      @MajiTakaMaji หลายเดือนก่อน

      Broh nenda kwenye makanisa ya kilokole utapata jibu

    • @user-jw6ro5di3f
      @user-jw6ro5di3f หลายเดือนก่อน

      Mtu,akitaka kumjua MUNGU kuwa ndio YESU Mwenyewe aokoke awasikilize wanaomwabudu ili wajue kweli. Kwa maana akizungumza asiyoyajua ni kwa sababu hajui Mambo yote na kweli ni wazi hayajajifisha,Mungu yupo yaani YESU KRISTO,wataomwamini wataokoka na kuingia mbinguni wasiomwamini Watakwenda kwenye ziwa la moto (jehanamu) .Ukihitaji msaada katika hili maine mchungaji Aliye mwamini YESU,mfano Mchungaji Ulanga n.k

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 หลายเดือนก่อน

      @@user-jw6ro5di3f anaeitakidi yesu ni mungu nisawa na anayesema ngo,mbe ni mungu.mutaingia motoni .yesu sio mungu bali ni mtume wa mungu

  • @Mahershalalhashbazi-kf6xi
    @Mahershalalhashbazi-kf6xi หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi umetoboa ndonya

  • @user-xt4mi5zs2s
    @user-xt4mi5zs2s หลายเดือนก่อน

    Bado hujajielewa na utu uzima huo pole sana

  • @omaar5693
    @omaar5693 หลายเดือนก่อน

    isa sio kiarabu....
    musijichanganye...
    isa ndio jina original kama musa na yusuf..yakub, ishak ibrahim yote si ya kiarabu ila yameandikwa kwa lafudhii ya kiarabu

    • @FrankMushi-cs5js
      @FrankMushi-cs5js หลายเดือนก่อน

      Weee ndo ujuwiii kabisaaa una elimu ndogo sanaaa Bora ukae kimy tuu kuliko kukoment ujingaaa

    • @omaar5693
      @omaar5693 หลายเดือนก่อน

      @@FrankMushi-cs5js ah we nawe wewe si unasema yesu ni mungu?
      ametairiwa vile?
      so anayo chululu ?
      acha kuniambia jambo kama mungu wako ametairiwa na viumbe wake..

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 หลายเดือนก่อน

    Mungu anayeabudiwa na Waislamu ni yule yule Anayeabudiwa na Wakristo? Mwenye hekma ya kunijibu bila kupanic plz

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni Mungu tofauti. Mungu wa wakristo. Amejifunua kwa wakristo katika nafasi tatu. Nafisi Baba, Mwana na Roho mtakatifu ambaye ni mmoja. Wasilamu Mungu wao mmoja Hana mtoto au hazai. Wakristo vitabu kama Ufunuo. Injil ya Yohane, Kitabu cha mwanzo, Isaya. Zaburi. Baadhi tu hutumia kuonyesha Kuwa Mungu huyo mmoja amejidhirisha kwetu kwa nafasi tatu. Melkizedeck kuwani aliishi salemu. Hakuzaliwa , Hana baba wala mama, Hana mwanzo na Hana mwisho. Ila alihishi duniani na alipkea sadaka za Nabii Ibrahim. Huyu alikuwa nani? Kama si Mungu au Nafasi moja ya Mungu kama wanavyokiri wakristo. Soma Injil ya Yohane na Kitabu cha ufunuo. Kinaelezea mwanakondo kuketi kiti kimoja na Mungu na kuwa na macho saba. Na macho hayo saba ni roho saba za Mungu. Tuumbe mtu kwa mfano wetu. Kitabu cha mwanzo. Wasilamu wanakataa Mungu huyo. Wao ni mmoja. Wao 1+1+1=3. Wanasahau kwamba ipo pia 1*1*1=1.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mungu wa upande wa waislam anaonkana uwezo wake ni mdogo. Mungu wa wakristo anaonkana uwezo wake hashindwi jambo. Imani ya Islam ina swali la inawezekanaje juu ya Mungu. Ukristo wenyewe hauna hilo swali. Inampa Mungu uwezo na haki ya kutenda atakalo. Wakristo wanaamini kwamba Neno anayetajwa kwenye Kitabu cha mwanzo. Alivaa mwili ndani ya Tumbo la maria. Akawa mtu ili afanye ukombozi na kumtambulisha au kumfunua Mungu kwa wanadamu. Haya yapo kwenye vitabu vya injil zote. Mitume wa Yesu walitaka Yesu awaonyeshe Mungu Baba. Akawajibu kwamba amekaa nao mda wasimtambue?. Kivyo kwa Imani hizi mbili hazikubaliani umungu wa Yesu na Roho mtakatifu. Kwa asili ya uumbaji sote asili yetu ni moja. Baada ya Yesu tunaabudu Mungu tofauti. Na iyo aishangazi. Yesu alisema mtawala wa ulimwengu yuko na ameanza kufanya kazi.

  • @faridfrefre35
    @faridfrefre35 หลายเดือนก่อน

    Huyu kafiri hana lolote anamjua vzr mazingw

    • @BOAZIMPITANYE
      @BOAZIMPITANYE หลายเดือนก่อน

      Mazinge ndiye boya kabisa

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Boya wengi tu, Imani ni jambo gumu sana. Quran inasema Jua huzama na kuchomoza wapi?, haramu kutoka kwenye uso wa Dunia kwenda anga za mbali? Kufanana kwa watoto na na wazazi hutokea vipi?. Radi nini?. Mtu mzima mwanaume kunyonya?. Mvua hutoka wapi?. Kuoa mateka wa vita?. Maji ya zam zam?. Shetani kukaa usiku kwenye pua?. Shetani kuishi chooni?. Elimu ya makini?. Haya nayo ni ukafiri?

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 หลายเดือนก่อน

    Navipata je ivyo vitabu ??

    • @MaksMedia1
      @MaksMedia1  หลายเดือนก่อน

      Karibu no ipo hapo!!

  • @binseif2216
    @binseif2216 หลายเดือนก่อน +1

    Muongo sana we mzee😂😂Wakristo ni wengi waingiao uislamu mpka wachungaji na hamkuwahi kujibu maswali ya waislamu

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 หลายเดือนก่อน +1

      Nyie mnaona wengi kwakua mnatangaza wakristo hawatangazi

    • @binseif2216
      @binseif2216 หลายเดือนก่อน

      @@martinmkoba361 🤣🤣Wachungaji wanavopenda sifa wataacha kuwatangaza

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 หลายเดือนก่อน

      Wakristo wanaehamia uislamu, ni wale wasio jua kitu, au kwa tamaa zao za kimwili! Akiwa mwanamke,, sababu kapata mwanaume muislamu,, na akiwa mwanaume amepata mwanamke wa kiislamu,,, mkisto mwenye nguvu ya KRISTO nafsini mwake hababaishwi na vitu vya kimwili, maana hivi vipo duniani tu! Kwa upande wa sisi wakristo wenye nguvu ya KRISTO nafsini mwetu, hata angekuja mwanamke mrembo kuliko malaika, siwezi kumwacha YESU, na hata nipewe pesa na thamani zooote za dunia hii, sitamwacha YESU kamwe! Maana nilikuja uchi, na nitarudi uchi, nilikuja bila mke, wala pesa, na thamani, nitaenda peponi hali nikiwa sina hivo vyote va duniani,,, Sasa kwenu nyie waislamu ni sawa kulinganisha vitu va kidunia na pepo yenu,, maana pepo yenu nyie mmeandaliwa wake 1000 wa kuwakaza huko. Sisi wakristo pepo yetu haina kuowana.

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx หลายเดือนก่อน

    Huyu mchungaji ni muongo sana cheki pua yake

    • @user-vb7tu5zs9d
      @user-vb7tu5zs9d หลายเดือนก่อน

      Kadanganya nini hapo

    • @fabianalfredy5557
      @fabianalfredy5557 หลายเดือนก่อน

      Matusi yanatoka wapi tena.!!

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx หลายเดือนก่อน

      @@fabianalfredy5557 sas wew kwani hauwoni pua yake jinsi ilivyo?

    • @JamesJastin-bg1rx
      @JamesJastin-bg1rx หลายเดือนก่อน

      @@user-vb7tu5zs9d kwani wew hujui alicho danganya

    • @fabianalfredy5557
      @fabianalfredy5557 หลายเดือนก่อน

      Mathayo 12:34
      [34]Enyi wazao wa nyoka, mwawezaje kunena mema,
      mkiwa wabaya?
      Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake.
      NDIYO YALIYOJAA MOYONI.

  • @user-us7yu2cj9l
    @user-us7yu2cj9l หลายเดือนก่อน +1

    Acha uongo muda wote wamgazara yako haujawai kushinda muhadhala wakigoma ulikimbia ukasababisha mchafuko mbona ulikimbia wakati wewe unajua ukweli ulikimbia nini

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 หลายเดือนก่อน +1

      Wakristo hawashindani kwa hoja ili kutafuta mshindi bali kuelimishana na kusaidiana uelewa juu ya kumtafuta Mungu anayesikia na kuelewa ni sawa na asiye elewa pia sawa maana ni ukweli dhahiri kwamba Imani moja huweza kuwa uwendawazimu kwa Imani nyingine

    • @sundaystanley5322
      @sundaystanley5322 หลายเดือนก่อน

      Uongo ni jadi yenu,kigoma nilikuwepo,waisilamu ndio mliandamana mkatishia kuwaua kwamba wanadhalilisha uisilamu wenu,ilikuwa viwanja wa kanisa la moraviani

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 หลายเดือนก่อน

    Simbaulanga.umeamua.kufa.kafili?

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 หลายเดือนก่อน

      Pole,, sana,, kwakua unamacho ya kutazama, lakini, huoni, una masikio, lakini hutasikia kamwe,, uislamu ni dini ya kurisi, na UKRISTO unatafutwa kwa nguvu! Na Si kwa kurisii,, MUNGU mwenye enzi, anatuthibitishia kuwa,, wenye nguvu ndio wataiteka pepo.

    • @silvesterrichardhelenya1319
      @silvesterrichardhelenya1319 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ndiyo kafiri soma vizuri vitabu vyako utaukimbia uislamu mchana kweupe

    • @fabianalfredy5557
      @fabianalfredy5557 หลายเดือนก่อน +1

      Haa, umekubali kufa bila kumkubali YESU mwokozi wa ulimwengu kutoka dhambini..!!

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 หลายเดือนก่อน

      Hakimu wa kiyama ni YESU KRISTO,, na sio muhamadi! Siku ya hukumu,,, hatasimama, ibrahimu, musa,daudi, sulemani, ismaili, wala muhamadi,, wote tutahukumiwa na bwana YESU.

  • @FadhiliMakasi-vb9dl
    @FadhiliMakasi-vb9dl หลายเดือนก่อน

    Hiki kizee kiongo sana nakifahamu
    Eti Issa sio yesu

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 หลายเดือนก่อน +1

      mungu wenu anawafunza ukosa adabu' pole sana.

    • @limakisasautajirike
      @limakisasautajirike หลายเดือนก่อน +1

      Issa hawezi kuwa Yesu hata siku Moja! Issa mfuga Majini na Yesu mtoa Majini ni vitu viwili tofauti

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c หลายเดือนก่อน

    Waislamu hawawezi kuitwa YESU maana wanamajini. Yaya wapiga😂😂

    • @user-ks4hh8jb6k
      @user-ks4hh8jb6k หลายเดือนก่อน

      Wewe ni kafiri nguruwe tako

    • @user-wg2gd2nl6c
      @user-wg2gd2nl6c หลายเดือนก่อน

      @@user-ks4hh8jb6k acha matusi wewe sisi hatuna midomo michafu. Pangua hoja na andiko siyo matusi🙄

    • @khambhai360
      @khambhai360 หลายเดือนก่อน

      ​Eti hamna matusi mbona mnatuita wafuga majini mnaushahidi Gani?Makafiri nyie.

  • @universitylink
    @universitylink หลายเดือนก่อน

    Kwanza kwenu wakristo mkikubali kuwa yesu ndio issa ni faida kwenu kwa sababu issa anezungunziwa vizuri kuliko yesu wenu katika Biblia

    • @frankmugomba3484
      @frankmugomba3484 หลายเดือนก่อน

      Jamaaaa acha kuwa mpotoshaji coz ukweli ni kufatilia kuongeza Maarifa Jifunze ukiiva njoo kwa Table na Hoja

  • @FadhiliMakasi-vb9dl
    @FadhiliMakasi-vb9dl หลายเดือนก่อน

    Issa mama yake anaitwa Mariam
    Hakua nababa kama ilivyo yesu
    Wewe babu mimi ni mkiristo
    ila hapo nipagumu kwako

    • @MiziziMti
      @MiziziMti หลายเดือนก่อน +3

      Wewe sio mkristo..Sema nyie waislamu uongo mmeruhusiwa

    • @Visionofeagle9689
      @Visionofeagle9689 หลายเดือนก่อน

      Wewe sio mkristo

    • @limakisasautajirike
      @limakisasautajirike หลายเดือนก่อน

      Muislamu unayefuga Majini

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 หลายเดือนก่อน

      Imam kakimbia uislamu msomii sembuse wewe?
      th-cam.com/users/livec2e99p3YSqY?si=My42Rd54cgqmkST7

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 หลายเดือนก่อน

      We kichaa kweli Issa alizaliwa nakuongea siku hiyohiyo sasa Yesu aliongea siku hiyohiyo???

  • @user-je8mj8dc7u
    @user-je8mj8dc7u หลายเดือนก่อน

    Nani achaga umbea ushakuwa ww

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 หลายเดือนก่อน +1

    We Mzee ni muongo sana jina yesu limebuniwa hapo unguja walipo tafsir biblia

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 หลายเดือนก่อน +1

      Aya wewe nawe ni mandazi kabisa,haya kasome kihebrania au kiyunanani.

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@odilomwemeziernest646Hakuna maandazi apo Jina yesu Ni kiswahili na lilitungwa mkunazini Zanzibar

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 หลายเดือนก่อน +2

      Mtasema Sena ila jina la Yesu linaponya na kuyafukuza majini ambao ni ndugu wa Kiislam lakini Hilo la Isa halieleweki na halija wahi fanya muujiza.

    • @ephraimkabeya9648
      @ephraimkabeya9648 หลายเดือนก่อน +2

      Aksante Sana mchungaji. YESU sio Issa . Kila mtu abakie upande wake

    • @limakisasautajirike
      @limakisasautajirike หลายเดือนก่อน +2

      Kila Mtu abaki na Yesu wao - Yesu wetu anatoa Mapepo, Issa wao anafuga Majini

  • @abaafarhat9191
    @abaafarhat9191 หลายเดือนก่อน

    Hakuna muislam anapindisha biblia umri wote huo Mzee unasema uongo ingia kwenye mihadhara upinge kwa maandiko kama unasema kweli usizungumzie vichochoroni

  • @FadhiliMakasi-vb9dl
    @FadhiliMakasi-vb9dl หลายเดือนก่อน

    Yesu issa
    Mama yao ni Maliam
    Hakua nababa .hivyo Yesu ni Issa
    Wemzee unafeli

    • @theodorythobius3965
      @theodorythobius3965 หลายเดือนก่อน

      Yesu sio Issa , na Issa hawezi kuwa yesu kamwe, huo ni mpango wa shetani kuleta mtu anayefanana na yesu ili kupotosha.
      - Mama yake issa ni mariam ambaye ndugu wa haruni ambaye aliishi kipindi tofauti kabisa na ujio wa yesu kristo duniani.
      Yesu aliteswa msalabani , aliishinda mauti na akapaa mbinguni.
      Yesu atarudi kuja kuchukua walio wake(na wewe unalijua hilo) wakati huo issa anangojea hukumu.
      Yesu ni alizaliwa kwenye holi la ngombe wakati issa alizaliwa chini ya mtende . Pia sauti siku zote yesu ilitoka juu wakati issa anazaliwa sauti ilitoka chini.
      Mimba ya mariam mama wa Yesu kristo ni miezi tisa, lakini inaonesha mimba ya mariam mama wa issa ni muda huo huo alipata mimba akashikwa na uchungu na kwenda kuzaa.
      Ref:
      Maryamu" (19) kuanzia aya 16 - 35.
      Na mtaje Maryamu katika Kitabu, pale alipojitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu.(Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa Rehema aniepushe nawe, ukiwa ni mcha Mungu. (Malaika) Akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako ili nikubashirie tunu ya mwana aliyetakasika. Akasema: Nitampataje mwana hali mwanamume yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba? (Malaika) akasema: Ni kama hivyo! Mola wako Mlezi amesema: Haya ni mepesi kwangu! Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lililokwishaamuliwa. Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningelikufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa! Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji! Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu. Basi kula, na kunywa, na litue jicho lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi Mungu ya kufunga; kwa hivyo leo sitasema na mtu. Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu! Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba.Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi? (Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. Amenipa Kitabu, na amenifanya Nabii. Na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na ameniusia Sala na Zaka maadamu ni hai, Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya niwe jeuri, mwovu. Na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa, na siku nitakayo kufa, na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai. Huyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka. Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapolihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa.

    • @FredizMhagama
      @FredizMhagama หลายเดือนก่อน +1

      Allah sio Yehova, Issa sio Yesu. Allah na Yehova ni TOFAUTI, NA HAWAFANANI

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu หลายเดือนก่อน

    Wewe.mzee.moto.una.kungoja.potospha.watu