Kidonda cha Chid Benz kinatisha, kinamliza, adai Wasafi walimtelekeza, amtetea Harmonize - Part 4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 217

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 6 หลายเดือนก่อน +21

    Fedrick bundala you’re one of the best

  • @m___ck799
    @m___ck799 6 หลายเดือนก่อน +17

    😅 Chidi is hilarious! Achoshii kumsikiliza !! Sky handled the interview kistaarabu sana

    • @uwezokinahi7870
      @uwezokinahi7870 6 หลายเดือนก่อน +2

      Fredrick Bundala Ni legend.. Kuna yule Jamaa anajiita King of Interviews 😂😂Ila Sky Walker ni Level nyingine kabisa

    • @aziziabeid6052
      @aziziabeid6052 6 หลายเดือนก่อน +1

      Father of ethics, journalism ethics hasa kwa investigation stories

    • @hadijagere
      @hadijagere 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa sky ni level zingine❤

  • @Adonai810
    @Adonai810 6 หลายเดือนก่อน +3

    1.Chidi needs to accept his in serious trouble,
    2. He needs rehabilitation, because its affecting his health.
    3. About that infection his leg, most drug addicts ends up with wounds due to injecting drugs into the veins in the particular area on the body for along period of time. This a big problem here in the 🇺🇸.

  • @user-xm9wr1lk4t
    @user-xm9wr1lk4t 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chidi Benz ni one of the exceptional musicians that God has blessed our country with. Binafsi, nimeanza kumsikia chidi tangia anatoka anajiita chidi benzino na mangoma kama hoi ft black rhyno, Kuna Ile wakati ndiyo huu ft marehemu Ngweair, natubu bonge la ngoma
    Halafu hii natubu ni kama alikuja kuirudia kwenye ngoma take fulani inaitwa nipokee ft Ben pol. Ila Chidi amewasaidia wasanii wengi sana na hiyo ndiyo inayomuuma kwamba zile fadhila zake hajizalipwa!! Lakini ndivyo walivyo wanadamu

  • @bongomastory791
    @bongomastory791 6 หลายเดือนก่อน +4

    Stop blaming people' bro,Ur on top of your own problems.Nenda kwenye kioo angalia utakayemuona huyo ndio tatizo.ACCEPT

  • @maneibaztv5943
    @maneibaztv5943 6 หลายเดือนก่อน +6

    Watching from kenya...chidi benz we love you🇰🇪

  • @franksimonngole8481
    @franksimonngole8481 6 หลายเดือนก่อน +11

    Unga ni kitu kibaya sana ndio maana China na Asia wanaua wauazaji wa madawa ya kulevya. Very sorry. Hicho kidonda kisipotibiwa muda mrefu kinaweza kuwa Cancer au kama kidonda hakiponi apimwe sukari.

    • @HajiDotto
      @HajiDotto 6 หลายเดือนก่อน +1

      Shukran Kaka umeelewa ubinadam tumuoombee tu

  • @ritchiexanti9587
    @ritchiexanti9587 6 หลายเดือนก่อน +16

    Nadhani kinachomsumbua Chidy now ni ile illusion ya kudhani bado ni the same CHIDY BENZ wa zamani...but truth be told huyu mwamba needs help like yesterday...hii kusema "I don't need yo money"... halaf kutwa kucha lawama kwa Diamond na WCB tunajua kabisa ni njaa tu na hali ya kimaisha....washkaji zake wanatakiwa wawe real at some point.

    • @Hauleshabby
      @Hauleshabby 6 หลายเดือนก่อน

      It's true kaka upo sahihi kabisa

    • @rixone612
      @rixone612 6 หลายเดือนก่อน

      unaelewa nn kuhusu mzk ww,chid ana njaa gan

    • @kamole3
      @kamole3 6 หลายเดือนก่อน

      He needs help but he will never be the same, due to brain damage. IMO though 😏

    • @omarzinga7046
      @omarzinga7046 6 หลายเดือนก่อน

      Mbona kidonda akipoi kama hana njaa​@@rixone612

    • @ritchiexanti9587
      @ritchiexanti9587 6 หลายเดือนก่อน

      @@kamole3 unspoken fact

  • @josephusekwelas9743
    @josephusekwelas9743 6 หลายเดือนก่อน +11

    Kumu oji chid kazi kweli😂😂😂😂

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu waponye watoto wetu na hii roho ya uharibifu, na he is a star lakini maisha yanHaribika kwa kila kitu,it's painful

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 6 หลายเดือนก่อน +8

    Sky isn't listening to this guy,he is just studying him to understand his personality! He is just trying to make sure he gets help? He needs to go for rehab!

  • @salmakyule4996
    @salmakyule4996 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hallo Sky Chidi ni Rapper mzuri savanna,ila kama kweli anatumia unga basi kidonda kupona itakua ngumu.Hapo njia ni rehab.

  • @mrfashion1687
    @mrfashion1687 6 หลายเดือนก่อน +15

    Unachotakiwa kujua kwamba mtu yeyote anaetumia madawa ya kulevya hua hasikii maumivu, ila mwisho wa yote chidi hayupo sawa anahitaji kusaidiwa

    • @nathanaeltweve8304
      @nathanaeltweve8304 6 หลายเดือนก่อน +3

      Kusaidiwa nini?

    • @ruu6592
      @ruu6592 6 หลายเดือนก่อน +4

      Yupo sawa kwa wenye akili tu

    • @mancholotrasco8350
      @mancholotrasco8350 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@ruu6592seems like wewe huna akili coz huwez kuona asiosawa kuwa yupo sawa alafu unasema unaakili .... My question is ulianza kumjua child lini na ktk hali gani ..!??

    • @Kujason12
      @Kujason12 6 หลายเดือนก่อน

      Vipi na wale wanao m ft wao hawamuon kama hayupo sawa

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@nathanaeltweve8304Aache madawa

  • @yasminally1015
    @yasminally1015 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asallam maalequ Allahadulilah Allah hjelp you Ishaala Ishaala Allahadulilah ❤❤❤

  • @chany9950
    @chany9950 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sky much respect 👍🏽👍🏽 unaweza kweri 👍🏽

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 6 หลายเดือนก่อน +2

    Chidy you can stand on your feet and manage your self, stop blaming others for your situation no one can help you but your self

  • @adamabui6121
    @adamabui6121 6 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu atusitiri sisi na vizazi vyetu Ameen Ameen Ameen kwa. Ila wanaoleta madawa ya kulevya akikamatwa wapigwe risasiiiii hatharari ili iwe fundisho kwa wengine .

  • @taffabanana2272
    @taffabanana2272 6 หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂Utamlindaje Mtoto Na Baba yuko tungi😅😅

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asipoangalia atakuja akatwe huo mguu alafu wapumbavu wenye kuona anaakili timamu au anapngea sense ndio watakuja kustaajabu ... Hata huku SA tunao watu wa ainahiyo wanaovuta madawa na kipata majeraha then wana end up Kwa kukatwa baadhi ya viungo vyao ... Imagine huku kuna matibabu na ma professional doctor's but watu wanakatwa viungo vyao je eweje huko kwenye kilakitu pesa when comes to health care

  • @jeremiahmtui6822
    @jeremiahmtui6822 6 หลายเดือนก่อน +7

    Chid Itabidi akubali kuwa yupo vitani na Komandoo ni yeye peke yake hili ndo naloliona mimi

  • @user-zq2nb4yh6t
    @user-zq2nb4yh6t 6 หลายเดือนก่อน +2

    Chid Benz ebu kua specific upate msaada brother acha usela sana man game inakuitaji acha madawa mzee utaishia kulaumu watu

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mpaka umuelewe Chid benz inahitaji uwe makini mimi namuelewa sana

  • @user-wu9zz1bm9h
    @user-wu9zz1bm9h 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu anavyo zulumika zulumia na hana wakumtetea wala kumsimamia kupata haki zake hakuna.nawanamchukulia teja sijui ndio mana hawampi pesa.najiuliza na hata hizo nyimbo zake zinazo tumiwa na watu zingawaingizia pesa halafu chid hapewi chochote.najiuliza hakuna wanasheria wakumsaidia huyu bingwa?haya mambo yanazidi kumchanganya msaidieni kupata haki zake.Bilashaka anaweza akabadikika.vitu vingi huyu mwamba vinampa strees dah mungu amsaidie nsha Allah

  • @Lashymreal96
    @Lashymreal96 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sky ulikua mvumilivu na understanding ,,, kuhost Chidy sio rahisi

  • @Sisopotashiumz
    @Sisopotashiumz 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hicho chanzo ila chid kwa alivyo now kinamuondoa uhai hicho kidonda.asipo jirekebisha mwenyewe maana watu wamemshindwa chid

  • @mussarashid2216
    @mussarashid2216 6 หลายเดือนก่อน

    God bless u Chid....Ila haya yote unayopitia siwez kukujudge bro wewe ndo unapitia na ndo unajua UKWELI ila MUNGU ATAKULIPIA na kwenye MSIBA wako WANAFIK watakuja wengi sanaaaaa na mpaka KUONGEA wataongea

  • @frankmhengilolo1584
    @frankmhengilolo1584 6 หลายเดือนก่อน +6

    Yani kaja kwenye interview kashakula dawa

  • @Loismo
    @Loismo 6 หลายเดือนก่อน

    Sky Fred Bundala 💥💥💥
    Gwiji kabisa,shout out kwa Rasheed Makwiro Chid Benz ✊🏿

  • @user-rg5xp2rj8s
    @user-rg5xp2rj8s 5 หลายเดือนก่อน

    Yes chidi tunakuelewa sana awo watu tuwaite malimbuken wa hela

  • @ursulinenyandindi3051
    @ursulinenyandindi3051 6 หลายเดือนก่อน +6

    Sky anavumilia 😂😂

  • @Kiggy22
    @Kiggy22 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani yoote aliyo ongea Chidi ni kweli kabisa, mtu poa sana Benz

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 6 หลายเดือนก่อน +3

    Diamond nawatu wake wanaroho mbaya na madharau hamna chann walann watakao nitukana watukane ila chidy Benz kashasema ukweli

    • @joshuamakota6714
      @joshuamakota6714 6 หลายเดือนก่อน

      Acha kuamua mambo kwa kuskia maoni ya upande mmoja nenda kawahoji na wao uskie wanasemaje, chidi ana tatizo la kisaikolojia, ksho pia atasema sky mbaya hanicheki tangu kanihoji haulizi chochote.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kinachomtesa chidi benzi ni memories good memories alizozipitia sasaiv hayupo sawa Kwa anayoyapitia kuhusu kushuka kiuchumi Sasa wanamfanya azidi kudata..ila pole chidi

    • @alvinsamir2013
      @alvinsamir2013 6 หลายเดือนก่อน

      na hakuna kitu kina muumiza kama KUONA YEYE ALIKUWA NA ROHO NZURI MNO NA SASA HIVI haoni huo #UPENDO yeye aliwapa watu

  • @user-ps5yv4nr9l
    @user-ps5yv4nr9l 3 หลายเดือนก่อน

    Wengi mnaongea tu ila kwa sisi tulio bahatika kukaa Ilala na karibu nae huyo jamaa kawabeba wana wengi sana hata pale magorofani ilikua hakukauki Wana kuanzia asubuhi Hadi jion kuanzia kula kuwavalisha kuvuta na mambo mengi wasanii wa kubwa wengi jamaa kawasaidia huyooo akiwemo Daimond alikua hatoki ilala kipindi anajitafuta😊

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 6 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa watu wanampenda sana...yaani watu wako na mapenzi kwa dhati kwake ...Ingekua zile ngoma zake zimpatia maokoto angekua mbali sana...ingekua alalamiki sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 6 หลายเดือนก่อน +2

    Subhannallah, mtihani kwakweli. 😢

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shida brother anapata watu wa kumsaidia ila hakawii kuchange

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 6 หลายเดือนก่อน +19

    Am always on chidy’s side lakini sasa ifike muda anatakiwa ata take a full responsibility of his own life na aache kulaumu watu…..mtu halazimishwi kujali…he’s a grown man …this is 💯 stupidity…Unataka huruma sana chidy
    Men don’t act like that man you have to do better….ili hizi dharau za watu ziishe fanya kitu kingine Kama mziki unakupa stress..achana na kujiona Kama mimi ni CHID BENZ kwamba huwezi fanya kazi zingine…fanya ishu zingine upate hela yako…kila mtu siku hizi anabeba msalaba wake

    • @ruu6592
      @ruu6592 6 หลายเดือนก่อน +1

      keep your opinion to yourself he don't need it.

    • @kinthermedia
      @kinthermedia 6 หลายเดือนก่อน +1

      Anatakiwa kujuwa maisha yake ni wajibu wake

    • @jbwisechirume
      @jbwisechirume 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kwa namna hii unaweza hata kushauri mtoto wako kweli.

    • @HatibuHatibu-cd7hs
      @HatibuHatibu-cd7hs 6 หลายเดือนก่อน

      Real..

    • @rixone612
      @rixone612 6 หลายเดือนก่อน

      kazi zingine ni kaz gan kwa msanii?unajua chd katoka wap na mzki

  • @1wernerweck
    @1wernerweck 6 หลายเดือนก่อน +1

    How can WE Help chidi .WE should standup and Help him before IS Not late pls . Watching from München

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 6 หลายเดือนก่อน

      How, yeye mwenyewe yupo kwenye denial, hataki

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 5 หลายเดือนก่อน

    Chalii mjanjamjanja sana huyu mtu. Remember his a last song about wapinzani wa chama cha" like mzee wetu......!!!

  • @Aidansimwanza
    @Aidansimwanza 6 หลายเดือนก่อน

    Best interview

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka sky mbona utaisoma tu Leo...mada kuhusu kidonda lakin chidi kashapeleka mada tofauti Yan....Yan chidi kashadata Yani hayupo sawa kabisa...uteja unazidi kumaliza chidi benzi..😱😂🥲inanibidi nicheke tu..kwachidi japokuwa inasikitisha..

  • @osiasloveable2536
    @osiasloveable2536 6 หลายเดือนก่อน

    Kufanya Interview na huu mwamba inaomba akili,big up sky

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 6 หลายเดือนก่อน +1

    My kaka tunaomba upige kampeni huyu jamaa asaidiwe kwenda hospital na iwe Seriously kwani huyo jamaa sawa zinamtesa tusubiri mtu aondoke tuanze michango ya chakula😢 na kuvaa tishet ya picha yake 🙏 huyu jamaa apelekwe hospital

    • @aziziabeid6052
      @aziziabeid6052 6 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu shida sio watu kumsaidia ila huwa akipata nafuu anachange, mkali na anatoroka huku akiamini kuwa hana tatizo

  • @boneyme9433
    @boneyme9433 6 หลายเดือนก่อน

    Msaidie...Haji PENDE..ni LEGEND HUYO.

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 6 หลายเดือนก่อน

    Sky sio kazi rahisi kufanya interview na CHIDI bro

  • @meislive5234
    @meislive5234 6 หลายเดือนก่อน

    From France huyu jamaa hawezi kuwachwa ulevi wake hana dawa kumwachilia vile yuko.....🇨🇵🇨🇵🇨🇵🇨🇵👍

  • @hermanarron5341
    @hermanarron5341 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kneel down confess to your god he is bigger than any thing must show you the Real way instead of blaming every body

  • @MareeshMipasho
    @MareeshMipasho 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ongera sana kaka sky

  • @toney..
    @toney.. 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kila siku anaelalamika akati maisha ameyakosea mwenyewe.....

    • @kassimmtepele5986
      @kassimmtepele5986 6 หลายเดือนก่อน

      Mwamba kila siku kulalamikia watu

  • @sultanmaxmed366
    @sultanmaxmed366 6 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la Chidy kutokubali mabadiliko kwake unapishindwa kukubali watu wakusaidie kwenye mabadiliko ndio wengine wanaitumia njia hiyo yakumtumia wanamfanyisha kazi kisha anaishia kulalamika, hebu akubali Watu wamsaidie Arudi Chidy Yule tulomzowea tuone kama kuna mtu atakeweza kumdhulumu, Chidy unahitaji mabadiliko kiafya, kiuwezo Kumarifa pia.. We lov Bro..👊🇬🇧

  • @chany9950
    @chany9950 6 หลายเดือนก่อน

    Diamond mungu anakuona tu

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 6 หลายเดือนก่อน

    Bundala huwa najua wewwe ni mkali wa interview, lkn leo umepanda viwango vingine😅😂😂😂. Una uvumilivu wa hali ya juu sana, wengi hapo wangechemka😂😂😂

  • @KarimwilsonNyigo-cw4ou
    @KarimwilsonNyigo-cw4ou 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwamba tuache ni brother wangu najikuta natoka na chozi ila sijui inakuwaje inaumiza sana

  • @bekatv1009
    @bekatv1009 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sky usinge mfanyia interview juu amekula vitu vyake tayari

  • @WyclefBwaazaVileiko
    @WyclefBwaazaVileiko 6 หลายเดือนก่อน

    Benz jamaa clean sana kimuziki from Kenya still we love you but weh wacha sukari aisee

  • @GONGALIFESTYLE
    @GONGALIFESTYLE 6 หลายเดือนก่อน

    Chid the great Artist ever but Stop DRUG MEN 😢

  • @kagoyemwambal9061
    @kagoyemwambal9061 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hata la mlevi linamaana..anaongea..ukweli

  • @gladnessfinda7534
    @gladnessfinda7534 6 หลายเดือนก่อน +2

    Daah I wish atokee mtu atakaemconvince huyu mtu aweze kusaidika.
    Kuna mda tunaweza mlaumu mtu kumbe kakwama kabisa ,kashindwa kutoka lkn bado anajiona yupo pow.
    Kaka Sns anajaribu kutaka utayari kwake ili km kuna mtu basi aweze mpa au kunsaidia chochote ila yeye ndy kama hivyo sisemi hataki ila nafsi yake anajiona yupo sawa.
    Tusihukumu ndugu ila kuna mengi ktk dunia anapaswa apewe ukaribu na kusaidiwa.

    • @ruu6592
      @ruu6592 6 หลายเดือนก่อน +1

      He is very ok

    • @user-ih9xy5vd5d
      @user-ih9xy5vd5d 6 หลายเดือนก่อน

      Mtu wa kumkonvince chidi ni chidi mwenyewe, he needs to take responsibility for his own actions, analaumu kila mtu aisee, it’s wrong in every way, ndo maana watu hawataki kufanya naye kazi kwasababu in the end utalaumiwa

    • @neponova8988
      @neponova8988 6 หลายเดือนก่อน

      He is very clever,talented,blessed and loved..once he puts entitlements aside he has a great opportunity to do wonders

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 6 หลายเดือนก่อน +2

    mm nlich gundua ata akil ashaanz kupoteza chid

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mziki wa bongo fitina na choyo

  • @heightsmays5963
    @heightsmays5963 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kama kuna shabiki ya chid anayeishi bara Amerika amchukue akaishi huko kwa kipindi ili akajitazamie kwa muda

  • @user-oo3zy4ti9s
    @user-oo3zy4ti9s 6 หลายเดือนก่อน

    Uyo Jamaa Jinsi Anavyo ongeya Anaonekana Amekujanatumiya Madawa ya Kulevya;...Sana Sana Bange Mingi Sana!.

  • @raymondkanyama1890
    @raymondkanyama1890 6 หลายเดือนก่อน

    bill Nas big up

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hata sky amepotea sababu anaongea vitu tofauti sana!!! Sky is lost!! Sky angelivuta unga angeli flow naye!!

  • @officiallymercymargaret3259
    @officiallymercymargaret3259 6 หลายเดือนก่อน +1

    He really need help,
    First step is to accept he has a problem
    Second step is to accept help

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 6 หลายเดือนก่อน

    Confidence is good but over confidence is harmful

  • @tullymgogo6167
    @tullymgogo6167 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba huyu anaumwa kiakili na kimwili pia , tatizo ni hataki kukubali ili asaidiwe hii shida

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 6 หลายเดือนก่อน +1

    Stop to blame people,
    This is your health man, let people to help you 💔

  • @Zuu673
    @Zuu673 6 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂kaka sky kamuanzia mbaaaali anaogopa majibu ya chid

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 6 หลายเดือนก่อน

    Depression is real...hataki kuongelea wale wanaosababish kuhofia kuwaharibia rzik kwa roho yake ya utu Ila he knows everything and y...

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 6 หลายเดือนก่อน

    Naomb kujua je msanii anafaidika vip na hizi interviews baada ya mm kutazama na kutengeneza number of views

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 6 หลายเดือนก่อน

      Mashabiki zake watajua kwa undani shida zake na kumsaidia

  • @user-cr7vi4qp9c
    @user-cr7vi4qp9c 6 หลายเดือนก่อน

    Anaweza kuwa na kisukari

    • @m___ck799
      @m___ck799 6 หลายเดือนก่อน

      Nimefikiri hivyo pia..😢

  • @khalidwaid8021
    @khalidwaid8021 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hicho kidonda ata kukitibia ni ngumu sababu bado anakula madawa

    • @tgdeemoney1375
      @tgdeemoney1375 6 หลายเดือนก่อน

      Why you sounds so idiots

  • @walterkisaro-9168
    @walterkisaro-9168 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu amponye maana huyu jamaa kaongea ukweli watu wanapitia mengi na magumu

  • @jovinekahwa9628
    @jovinekahwa9628 6 หลายเดือนก่อน

    Hayo ni maji kweli au ni maajii😮😮

  • @pitbullfamily4499
    @pitbullfamily4499 6 หลายเดือนก่อน

    For Real man 🙌🏾🔥💯

  • @peterchande957
    @peterchande957 6 หลายเดือนก่อน

    Achaneni na Hilo teja, Mungu alimpa zawadi ya kipaji lkn hakithamini sasa wa nini huyu

  • @EsauBanda-cw3cf
    @EsauBanda-cw3cf 6 หลายเดือนก่อน

    Mhhhh walk of life😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @user-kf4zn3ez8y
    @user-kf4zn3ez8y 6 หลายเดือนก่อน +6

    Chid kazi yake ni kutukana Diamond na Wasafi ndo maana hicho kidonda hakiwezi pona...Chuki moyooni😭😭😭😭😭

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 6 หลายเดือนก่อน +2

      Anajifanya star lakini anaumia! Huyu hata amelewa

    • @svt3
      @svt3 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@BarbaraPatience-qt9ccHalafu wengibe wanamsifia Chidi mkali Chidi kipaji mpaka swali linakuja kipaji kinamunufaisha nini ? Mbona soko za mziki ziko wazi? Mpaka unakuta waasirika kama chidi ndio wanamona ni mtu wa maana

    • @HajiDotto
      @HajiDotto 6 หลายเดือนก่อน

      Pouw wakubwa kumbukeni katiyenu hakuna anempata chidy ki vyovyote alafu matatizo nisehem ya mwanadam

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 6 หลายเดือนก่อน +1

      Point yako ni nini labda?..Diamond na wasafi ndo wanamloga au ndo wanaotakiwa kumtibia?..

    • @svt3
      @svt3 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@HajiDotto hakuna anaye mpata kwa kula unga sio kwa kulaumiana na ukapuku, kipaji kinamnufaisha nini, mbona asipeleke kipaji studio na studio ziko kila corner na mauzo ni mitandaoni

  • @aziziabeid6052
    @aziziabeid6052 6 หลายเดือนก่อน

    Labda aishi nje ya DAR lkn kama ni hapo mjini mmmmh hasaidiki

  • @user-et5jw2kb8o
    @user-et5jw2kb8o 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana.

  • @boneyme9433
    @boneyme9433 6 หลายเดือนก่อน

    Mwambie.

  • @josephmtingwa8387
    @josephmtingwa8387 6 หลายเดือนก่อน

    Nasubiri pod yako na dizasta vina.

  • @MwonekanoTv
    @MwonekanoTv 6 หลายเดือนก่อน

    Mama hamuoni huyu mtu na hatambui mchango wake katika jamii

  • @TechByNac
    @TechByNac 6 หลายเดือนก่อน

    Apewa another chance Part 5 au wekeni session muwe mnapiga story na cheed the guy is genius

  • @gracewairimu800
    @gracewairimu800 6 หลายเดือนก่อน

    Inaskitisha jamaa bado hayupo sawa mtaalam wa magonjwa ya akili namuelewa sana 24:30

  • @dullyjabri8393
    @dullyjabri8393 6 หลายเดือนก่อน +1

    WABONGO BWANA KAMA MTU HAJIONEI HURUMA MWENYEWE KWA NINI MKO CARE NAYE?

  • @wajisheikh_
    @wajisheikh_ 6 หลายเดือนก่อน

    Labda nusra ya allah ila tunaeza tu muona ivi adi akafa akiwa na hali hii na apo watu wataongea meng but unga sio kitu kizury kbs

  • @hamisathuman2729
    @hamisathuman2729 6 หลายเดือนก่อน

    😊😂😂😂😂uko mwishoni

  • @augustfive5279
    @augustfive5279 6 หลายเดือนก่อน

    Saidieni uyu jamaa apone mguu na aache zile vitu zinampeleka pabaya kiukweli,,,,Kenya inampenda chidi...

  • @jomba6514
    @jomba6514 6 หลายเดือนก่อน

    Yupo live 😮

  • @Zuu673
    @Zuu673 6 หลายเดือนก่อน +4

    Alafu analaumu wasafi na qatu munatoa lawama mtu anabebwa lkn wapi mihadarati sio poa,sasa kaja hapo yupo tungi akubali akatae anatakiwa kuchange life style yake

    • @mohamedswaleh6778
      @mohamedswaleh6778 6 หลายเดือนก่อน

      Xx ww chawa n chid Benz Nani anajua itroria y mziq wake

    • @Zuu673
      @Zuu673 6 หลายเดือนก่อน

      @@mohamedswaleh6778 ukweli ndo huo wafanye kazi waache lawama

  • @barakamshiu7146
    @barakamshiu7146 6 หลายเดือนก่อน

    ukipata kidonda ukiwa mtumiaji wa kokein huwa akiponiii mpaka mraibu aende sober akatibiwe kisha ndo kidonda kitibiwe..... kutopona kwa kidonda cha mraibu kuna uhusiano mkubwa na concetration ya drug katika damu... swali la msingi hapa ni je bado jamaa anapenga?

  • @iam_maglan101
    @iam_maglan101 6 หลายเดือนก่อน

    Chid Benz is hurting bado huyu jamaa anamaumivu na amekuwa disappointed kiasi hana imani kwa peers kwenye game tena

  • @papamukulu1045
    @papamukulu1045 6 หลายเดือนก่อน

    Chid namkubali sana lakin madawa yame mvuruga

  • @charlesmihuwa6287
    @charlesmihuwa6287 6 หลายเดือนก่อน

    Mzao huu wa huyu dogo Chid ulinishanipaga wasiwasi walikuwa wanaitana kwa kusalimiana mambo Kichaa wangu kweli sasa nashuhudia ukichaa wenyewe huyu sio mzima anahitaji kupepewa.

  • @sululuzungu9587
    @sululuzungu9587 6 หลายเดือนก่อน

    Oya ongea hpo kuhus kidonda mbona huelewek mzee unajimung'unya hpo

  • @almuhorig1077
    @almuhorig1077 6 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi munaomsema anakula Unga sijui ,unga mbaya ,mara unga sijui nini....Kama huezi saidia Muombe mwenzako ...sio kumuongelea binadamu mwenzako vibaya ...hujafaa hujaumbikaa

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 6 หลายเดือนก่อน

      hizi unavyofikiri chid ajawahi saidiwa?

  • @user-mx1my2pj4e
    @user-mx1my2pj4e 6 หลายเดือนก่อน +1

    Chid aongea ujeuri