Hahaha really music is buck..chidi all the best kaka nataka ile ladha ya zamani yani wafanya Kolabo na msanii yoyote haijalishi ni up coming am msanii mkubwa enzi zenu kulikua hakuna kudharauliana wote sawa..Mung akutangulie kaka
Huyu jamaa wa bongo five alitaka kukumbushia ujinga na mbaya zaidi akajistukia au sijui aliogopa kwenda straight na chidi aliliona Hilo na mwisho wa siku akamjibu kwa mikato tu! Vido amejibiwa vizuri kwa sababu anajua kusoma nyakati na huuliza maswali kwa ustadi na heshima Sana!
KARIBU KATIKA IBADA YA JUMAPILI YA LEO KUTOKA HAPA OMEGA MINISTRIES CHURCH OF ALL NATIONS KWA MTU WA MUNGU NABII S.S ROLINGA, MBEZI BEACH - DAR ES SALAAM PIA USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU PENDWA, GUSA LINK HII CHINI KUTAZAMA #LIVE UBARIKIWE th-cam.com/video/AzbW_WbP_iM/w-d-xo.html
Chidi baba lao nakuombea kwa Mungu urudie hali yako ya mwanzo na madawa uache we love you so much brother.
Ameshaacha bro mungu amsimamie
Chuma Afya imerudi wapige lile goma na mzee yusuph tamu sana lile
Unalalamika joto ulivovaa umejiona?
My best rapper ever, watu km hawa ukiwahoji ujipange.
Jamaa hapendi majungu kabisa
Kazi zifanywe miziki iimbwe.kama hautaki kurekodi na wenzio rekodi peke yako.maneno ya KING
Safi sana chidi. Kupiga kazi kwa ajili ya mama. Ila ukiweza kuwekeza mama atakuwa na uhakika ya pesa
mama ni baraka
This guy is a moooooood . Chid Benz always keep it 💯
th-cam.com/video/rrfh8v5xOQQ/w-d-xo.html
Good wekeza kwa mama 👍 nimependa hyo
Chidi so fresh so clean mze wa michongo kigogo wa enzii na bado anatisha 🔥🔥🔥
Afya imerudi kaka, kongore mzee baba
Nakupenda sana chid benz chuma chuma chuma
🔥🔥🔥💪
th-cam.com/video/rrfh8v5xOQQ/w-d-xo.html
Chid saiz kapona kajibu vizuri sana leo,huyu ndio Chid mwenyewe sasa na hana kinyongo na wenzie safi sana ,piga kazi kaka Chid tunakukubali.
Katika siku alizo hojiwa hapa kajibu kiistaarabu Sana kama binadamu big up sana
Chidi BenzThe best Rapper in Africa.....na tusibishane😃
Genius + hekima + busara = Cheed beanz :)
Karud chid mwenyew sasa huyu aliharibika na unga chek amerud chid chid kweli
🔥🔥🔥
Kama umemuona mtangazaji wa bongo5 anapiga mak time na kutwanga mchele gonga like yako
Leo hajala vile vitu vyake, nmemuelewa😘😍
I like Chidi's interviews. Anajua sana kujieleza. Ako na akili mingi sana huyu budah
Mwamba leo kaongea point tupu mamaee
Usiseme leo huyu kila cku ukimsikiliza vzur utamuelewa
Hahaha really music is buck..chidi all the best kaka nataka ile ladha ya zamani yani wafanya Kolabo na msanii yoyote haijalishi ni up coming am msanii mkubwa enzi zenu kulikua hakuna kudharauliana wote sawa..Mung akutangulie kaka
Yeah 🔥🔥🔥
Chidi Benz chuma upo vzr mzee baba
Huyo ndo CHID BENZ CHUMA
Chid anawaweza sana wandish wa habari wandish wa habari muemakini na huyu mtu muni moja uyo
Napenda vile chuma anajibu media.ukiuliza upuzi anakukorogea upuzi
🙏🙏 afya imerudi mungu mkubwa .usirudie tena madawa
Chuma nichuma waga aferiiiii heshima kaka chuma
Leo angalau yupo vizuri
nice chid mungu u nawe
Chidi hapendi kuongeleaga wenzie vibaya🤣🤣🤣
Kweli kabisaaa
Yani huyu mtu mzuri sana sema basi tu
Ni mwanaume wa ukweli th-cam.com/video/rrfh8v5xOQQ/w-d-xo.html
Swadakta
Mama!👍
Huyuuu jamaaaa bhnaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu jamaa wa bongo five alitaka kukumbushia ujinga na mbaya zaidi akajistukia au sijui aliogopa kwenda straight na chidi aliliona Hilo na mwisho wa siku akamjibu kwa mikato tu! Vido amejibiwa vizuri kwa sababu anajua kusoma nyakati na huuliza maswali kwa ustadi na heshima Sana!
Kazi ifanywe miziki iimbwe
"Ukimya vipi unataka tuongee kila siku"🤣🤣🤣
th-cam.com/video/rrfh8v5xOQQ/w-d-xo.html
Hunaga mambo mengi nakukubali sana Bloo
Chid 😂😂😂😂majibu nimeyapenda kukamua ni lazima kukamua coz anatakiwa kukamua 😂😂😂😂🔥😘
Lijamaa la bongo 5 limekaa kimya tu...
Limetulizwa.. linauliza maswali yakijinga
@@vankalulu7433 ndo maana chid alikuwa akimjib hovyo!...
@@vankalulu7433 🤣🤣🤣🤣🤣
Boss wake akimuona lazima ammaind
😂😂😂😂😂😂
Nimependa mwisho kaizungumzia tmk vizuri sana
Still nampenda chid wallah😂
Aliyepotea hayupo kashakufa😀😀😀
Nakukubali sana bro Chidi
"hakuna, hakuna, hakuna ambacho hakiendi sawa,ndio maana kuna mic hizi saahizi makuja nazo mbilimbili, zamani ilikua moja tuu" hahahaha
😂😂😂
th-cam.com/video/rrfh8v5xOQQ/w-d-xo.html
Hakipo 🤣🤣
Like Kwa chid benzino
Chid kasema yap!!! Kama umesikia like hapa
HAWA NDIO INSPIRATIONAL SPEAKERS SASA ANAULIZWA SWALI LA KUKATISHA TAMAA ANAJIBU KWA LOGIC
Chidi akili nyingi sana 🧠
Kuna wakati wao wanaona kama wanamchora kumbe Naye anaona wanajichoresha 🤣
Huyu Jamaa ana akili kutokana na Jisi anavyojibu maswali
Very true,
KARIBU KATIKA IBADA YA JUMAPILI YA LEO KUTOKA HAPA OMEGA MINISTRIES CHURCH OF ALL NATIONS KWA MTU WA MUNGU NABII S.S ROLINGA, MBEZI BEACH - DAR ES SALAAM PIA USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU PENDWA, GUSA LINK HII CHINI KUTAZAMA #LIVE UBARIKIWE
th-cam.com/video/AzbW_WbP_iM/w-d-xo.html
Jamaa wa Bongo5 kila akitaka kuongea anawahiwa...😆
A.C Hamnaaa
Nakukubali chid
Ndio msanii wa kwanza kutembea na kikos mfano wa mabodygrd, nan anabishaaa
Tofauti ni kwamba chidi benz anawajibu maswali kwa akili kubwa sanaa ila vilaza ndio wanamuinaga anazingua
Kweli mama ndo kila kitu
Huyo ni moto mzeee, hanaga verse mbaya huyu kaka
Chid Ni Brighter Sana
Jamaa yuko smart sana
safi sana
This guy is damn intelligent
Nimepoteaje Wakati Nipo Mtu Aliepotea ni Yule Aliekufa Kabisa Yaani Hayupo 😂😂😂😂😂
Naqubaliiiiii sana Benz
Point tupu safi chidy
Presenter huwa mnafel WAP msanii hajatoa wimbo siku nyingi et kapotea kha! Mnazingua
Usipomungalia vizuri huyu anaweza kukuhoji wewe
Kwl
Hehehe Kweli Kabisaaaa,
Chid kapendeza saana ata kiafya upo vizur
Chidi mwanangu pac Wa bongo, maneno kama uliyapagilia kkkkkk!
Alivyaanza kuhojiwa nimeona kama moshi wa fegi vile 😁😁
Kapatia sana sio ww ukipata unampa malaya
Hahahaa joto humu ndani ac hamna mbali roof
Chuma 🦴🦴🦴🧠🤲🤝
Noma xana
Mwamba yupo kula fegi afu na bado anaingia stejini kuvunja,,hiki kweli chuma
Alie potea kafa 😂😂😂
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 penda wewe sana ❤
Mara akatae aliepotea ni aliekufa mara akubali sometime unapotea kidgo unafanya mambo mengine
🤓🤓🤓coz ikabidi nikamue
Chumaa
Mama atabaki kuwa mama
Mama kila kitu
Eti wanatamani niende sebleni nikaimbe
😂😂😂
Mtangazaj wa bongo5 hujui unalolifanya umetia aibu
Tehteh mambo hayaaa😀😀😀
Benzino
Chuma
🔥🔥🔥💪
Chuma Chidy
😀😀😀😀😀
Benzino Hilo 10 umemvua mtu mda mchache uliopita ha ha ha
Nc
Akili nyingi
chidy kama chidy
Chid Benz kichwa mno
😂😂😂😂ganja boy
Hahahàaa seblen,
geniuz
CHID kichwa hapotei bado anapambana nasijui anakwama wapi
Hahahah dah good
Yan co pw
Nyagi piga ila poda acha
Zaidi ya chuma
HISTORIA YA KWELI YA |JANGA LA NJAA....WATU WALA NYAMA ZA WATU..|JOSEPH STALIN ...BOFYA LINK 👉🏿th-cam.com/video/LuLXyQxi1ck/w-d-xo.html
♨️♨️♨️
😀😀🔥